Enock Kiswaga (RUTO) Profile Banner
Enock Kiswaga (RUTO) Profile
Enock Kiswaga (RUTO)

@TheRealEkiswaga

5,657
Followers
2,878
Following
915
Media
26,104
Statuses

Farmer and Businessman. Winner out of 35Candidates 2020Wanging’ombe constituency in preliminary CCM. and Proud SDA! Wangi the 5th

Wanging’Ombe, Njombe Tanzania
Joined January 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
8 months
First Day in Dar 2003 🫣
Tweet media one
69
31
570
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
What Happened to you my good friend? Siku tatu zilizopita tumekula lunch wote... Umeumwaa lini? What happened? Anyway God knows better kuliko sisi wanadamu.
Tweet media one
134
133
4K
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Vijanaa wanaendelea kutekeleza maamuzi ya Vikao💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿Ikawe heri Kwao congratulations
Tweet media one
172
51
2K
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Mh Rais Wetu Katoka Mbali sana🌺🌹🌺🌹
Tweet media one
76
54
2K
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Katika miaka minne he was the second powerful man in the country. Just imagine alikuwa anauwezo wa kuwakataza wabunge wote wakamtii. Alikuwa na uwezo wa kumdindia mpaka PM wa Nchi😀😀😀. You know I agree wth. @freemanmbowetz Neve Never again 💪🏿💪🏿💪🏿
Tweet media one
73
83
1K
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 months
Mimi sio Mganga wala Nabii... Ila wiki Hii kama wewe ni Naibu waziri au Waziri ni vyema ukatoka na vitu vyako ofisini... Vile vya mhimu ambavyo ni mali yako . Utanishukuru baadae
76
111
1K
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Why Kikatuni anachukiwa sana now Dayz?
177
16
928
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
5 years
Nimetoka kumwangalia rafiki yangu bwana Jacob Zuma @TitoMagoti anaendeleaa vizuri sana. Anawashukuru wanafamilia wa Twitter yupo Imara.... Tumuombee
17
44
736
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Waziri mkuuu Ameenda Kariakoo na kamishna Mkuu TRA hayupo kamtuma muwakilishi na Waziri Mkuu anasema TRA wana Dharau... are you guys thinking wht i am thinking
50
32
748
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Nina kama mwaka na nusu sijatembelea sehemu za Starehe Mjini DSM😀😀😀 Leo ndio nimejuaa tatizo la LGBTQ lilivyokubwaaaa... Yaaani Wanaume wanagombaniana wanaume na wanawake... Sijuw mnanielewa? Mungu atunusuru na Vizazi Vyetu....
70
25
692
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Tuheshimiane Brother ⚡️
Tweet media one
@SimpertE
Sir Edward Majira
1 year
@TheRealEkiswaga @AnnaTibaijuka Hii nchi ina ujinga mwingi sana unafichwa kwenye suti zenu za mtumba
11
3
54
37
20
635
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
9 months
Makampuni ya Kibongo magumu sana kirudisha kwa jamiii...😂😂😂 Yani mpaka sasa hata kampuni moja ya Magodoro kutoa msaada huko Hanang hamna🤔
49
41
536
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
9 months
RC anapambana Peke yake toka alafajiri yani hata Nguo hajabadilishaaa... Yupo wapi Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri mkuuu? Yupo wapi mkuu wa Kitengo cha maafa? 🤷🏿‍♂️
30
23
476
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 years
Just imagine Karani ananiuliza namiliki Punda😀😀😀
Tweet media one
16
6
444
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
6 months
Kwahiyo Mzee JK kashajuaaa Kwamba Dkt Mpango hatakuwa Makamu wa Rais 2025 to 2030😇😅. But why mzeee he love spotlight kila wakati...? Anataka kurudi mara mbili kama Malasusa?🤷🏿‍♂️
35
25
428
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
4 months
Imenitokeaa kama mara mbili nikiwa Dar kwenye migahawa kadhaa ya hawa wachina Wanapiga wafanyakazi na Kunyanyasa kama watumwa... Huwezi amini kama inatokea Tanzania hii... So sad
81
34
388
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Kila lenye heri watani zetu @yangasc1935 Mkishinda Tanzania inashinda. Tafadhali mpeni mama zawadi leo tenaa… Cc @Arafat__AH mh Makamu wa Rais. Tupeni heshima kama taifa💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Tweet media one
13
18
363
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Mbegu mh Rais ameipanda kwa huyu Mtoto leo haitakaaa ife...
Tweet media one
16
18
357
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
9 months
Nilihudhuria Msiba wa Shujaaaa Nilikuwa Kiti cha Mbele kabisaa... Mzee Kinana, Zumbe, Maradona hawakuwepo . Imechukua Miaka miwili Mzee Kinanaa kwenda Kuona Kaburi la Shujaaaa... Are you guy's thinking wht i am thinking?🤔😳
32
24
355
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
4 months
Nimeonaa Nyomi analo Jaza Makonda kwenye mikutano yake huko Kaskazini... i think ths guy ni mtu wa kumwangalia sana... Tutakuja kushtukaa kumekuchaa
49
13
344
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
9 months
Jerry Slaaa anasema amekataa Rushwa ya Milion 300 kwenye kituo cha mafuta Mikocheni... Ni sawa.... But huyo alie taka kumpa Rushwa waziri bado yupo Uraiani au yupo wapii? Jerry amemripoti TAKUKURU?🤷🏿‍♂️ au Story za JABA?
33
31
339
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Waislam Mkristo akichukuaga Nchi wanakuwaga wapole na waungwana na very supportive saana kwenye serikali....Kimbembe akija Muisilamu wakristo tunatafutaga kila sababu ya kumsumbua, kumuona hatoshi na hamnazo hivi... Lazima tutataka apate shida kidogo yani ... Mambo ya udini
228
47
313
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
I don't have anything against wanao pinga mkataba wa DPW. But maneno aliyo tumiaa Nshala yalikuwa mabaya.. unamwambia Mkuu wa Nchi eti badala ya Kuchutama anachanua halafu? 🤷🏿‍♂️ mkuu wa Nchi tenaa jinsiaa ya Mama yake akichanuaa halafu? Its wrong kutweza utu wa watu
@AbroadTanzania
Tanzania Abroad TV
1 year
Wahuni wakishindwa Hoja wanakimbilia kuua, mbunge mmoja kaondoka eti trekta, sasa wanahamia kwa lawyers Lolote litakalompata Nshala serikali ya @SuluhuSamia ina mkono
Tweet media one
18
35
274
161
20
302
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
3 months
Sema wengi wanao mtukana na kumzushia Abdul Hawamjuwi Abduli mwenyewe....I wish wangekuwa wanamjuaa. 😅😅😅😅But hata Ridhiwani piaa walisema majengo yote na Sheli zote za kwake...😅😅😅 Abdul mwenyewe sasa he is to shy hizo dili anaongeaga akiwa usingizini?🤷🏿‍♂️
85
9
308
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Binafsi yangu Sikubaliani na Watu kutoka Nje ya CCM kuja miezi Mitatu wanapewa Vyeo na watu ambao wanakufa na kuamka na Chama chao wanakipiganiaa Usiku na Mchana Wanabakia kuwa mashabiki.. kwenye Hili hapanaaaaa. Inatakiwa tujisahihishe
117
9
301
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Sikubaliani na Vitendo vya kubaka watoto shuleni na ukatili wowote wa kijinsiaa. But i hve so many questions kwa huyu mtoto. Sawa alibakwa but akatoroka akaenda kwa Baba Jose mwezi mzima? Ina letaa maaana kweli?
@HabarimpyaTv
HABARIMPYA TV
1 year
MWANAFUNZI Ester adai kubakwa na Mwalimu kabla ya kutoroka shuleni na kukutana na Baba Jose Muuza MKAA.. Habari kamili ipo YouTube Link
307
93
648
137
28
281
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
5 months
Kama una ndoto za kuzikwa kwenu ukifa Hakikisha Unajenga kwenu.... Walau Mahali pa kufikiaa Watu watakao Kusitiri .... Jenga kwenu
34
26
280
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
When bwana yule he was breaking the laws and constitution na mambo kadha wa kadhaa ya Kupingwa Sikuwahi Msikia Pengo akiongea chochote zaidi ya Kusifu na kuabudu.... au Kwa sababu Q sio Mkatoliki? Halafu hili jambo la Bandari linapotoshwaa sana alie sema Watanzania hawata
@hancymachemba
Hancy Machemba
1 year
Neno la baraka kutoka kwa baba Askofu jpili ya leo. Ni mtanzania halisi tusianze kutafuta uraia wake mwingine.
40
115
358
122
18
270
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 months
Sema nimeona Post zake zilee zilikuwa sio nzuri... Hata hivyo haisababishi watu wakamfanyia unyama alio fanyiwa... Mambo kama haya hayafai na ni ya Kishamba....
36
21
270
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
3 years
Watu wa @azamtvtz hii ni picha ya mamilioni yani. Azam Media wafanye kitu kwa huyu mtu. @ezekiel_kamwaga @Shilinde_cc @Arafat__AH huyu mtu ameongea maneno milioni ya azam Media.
Tweet media one
13
30
263
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
5 months
Haijalishi anapitia nini ila @ExMayorUbungo Ni Rafiki yangu.. Kwa wiki hizi mbili umefanya kazi ya Mungu kuokoa Roho za watu... GOD BE WITH YOU BROTHER
6
36
260
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 years
Media of Tanzania you should be ashamed Mandonga kashinda
11
42
254
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
5 months
Safari hii kwenda kuomba msamaha Ikulu Chamwino ni umbali wa Kilimita 6 kutoka Parking... my Free advice Anzeni mazoezi😅😅😅
21
14
254
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
7 months
🙏🏿🙏🏿
Tweet media one
4
9
252
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Waziri Mkuu amedharaulika? Jana kasema kamaliza Mgomo leo tena Maduka yamefungwa why?
45
10
247
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 years
Kingekuwa chama cha @zittokabwe kimemwalikaa mama Kuwa Mgeni rasmi hakuna Matusi tungeacha kuskia😀😀
@ChademaTz
CHADEMA Tanzania
2 years
“Mhe Rais @SuluhuSamia atakuwa Mgeni rasmi kwenye tukio la kina Mama siku ya Wanawake duniani, tumemualika na amekubali mimi nitakuwepo Moshi kumpokea ”- @freemanmbowetz
Tweet media one
136
97
1K
82
34
241
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Tundu Lissu nae kwani Ukiwa Mtoto wa Rais ndio hutakiwi kufanya Biashara? Hutakiwi kwenda Nchi Nyingine? Hutakiwi kuwa na proposals za Biashara? Hawa watu mbona hawana agenda namna hii? Ukiwa mtoto wa Rais hutakiwi kuwa na Kampuni inch Nyingine This is wrong!
@AbroadTanzania
Tanzania Abroad TV
1 year
Abdul Ana Mpaka kampuni UAE baada ya Mama Kuwa ikulu vielelezo vipo na unahusu mambo ya madini
28
133
624
182
16
239
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Namshukuru Mungu Kwa Miujiza yake kwakweli. Leo mama yangu mzazi amenusirika na Radi kali ilimpiga lakini bado yupo hai. Mifugo yote iliyokuwa karibunae imekufa kwa Radi. Aliwahishwa hospitali na anaendelea vyema. Mungu ni wa ajabu sana🙏🏿🙏🏿🙏🏿
38
8
233
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
3 years
Tarehe kama ya leo mwaka jana Wajumbe walinipa zote Wanging’ombe! Kilichotokea baada ya hapo sijajuaga mpaka leo🤷🏿🤷🏿🤷🏿! Kama vipi Irudiwe tena😀😀😀😀😀😀.
Tweet media one
Tweet media two
72
11
214
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Shujaaa wenu Alisaini Hii ni IGA ya bomba la mafuta article 23 na yenyewe imesema hakuna kuvunja mkataba huu …na tafsiri ni mpaka mikataba ya utekelezaji iishe….na huu ukisainiwa wakati wa awamu ya tano😀. Na hamkupiga Kelele sababu alikuwa na Mkono wa Chuma? Tuacheni kwanza
Tweet media one
147
30
219
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
6 months
Kwanini hakuna siku maalumu ya Hayati Mzee Benjamini Mkapa? Mageuzi yote ya kitaasisi na mambo makubwa yalifanywa na Mzee Mkapa. Bwanaa yule why he is so special?🤷🏿‍♂️ nauliza tuu
29
12
211
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 months
Vijana tuache matusi kuna mtu mmoja aliwahi nitukana tusi mpaka niliskia kichwa kinaniuma. Kuna siku nipo Mlimani City cheka tu nikamuona huyu hapa macho kwa macho... Nikamsamehe sababu nilimhurumia tu. Sio wote utakao watukana wana moyo wa kusamehe na kuchukulia poaa... Kuna
70
17
197
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
5 months
Kuna wakati Personally nilikuwa simkubali Magufuli kwakua na mambo ya kiwaki kiwaki sanaa... Ila kuna jambo mojaa Magufuli he was right 💯 Ni kuhusu Dynasty... kutemana nao kwenye baraza alikuwa sahihi saana.. Hawa watu ni wa Hovyo hawafai. Wanajionaga hii nchi kama ni ya kwao
13
12
196
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
She is my friend na Mama yangu @AnnaTibaijuka ... Kwenye Hili la DP World Mwache mh Rais afanye kazi yake.... Tusiende huko Kubaya
Tweet media one
102
4
187
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
8 months
Watani zetu CDM sio vibaya wakarud kwenye Boardroom wakajipanga wakachora upyaa ramani yao. Sio vibaya kujisahihisha . Sioni Maandamano naona Magari hamna muitikio sio Chadema ile Vibrant. Chadema ile yenye mvuto. Chadema yenye kufichua ufisadi. Chadema yenye Hoja ile ipo wapi?
98
16
181
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 years
Master @zittokabwe Chukuaa mauaa yako wakati mzima…. Your great man ambae anaona Mbali saana. If you know you know….
Tweet media one
27
25
173
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
3 years
Ukiwa Mbeya usiache kupita na Kula na Kulala kwenye hoteli ya kaka yetu @IamJongwe__ 💪🏿 Utanishukuru baadae.... 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Tweet media one
4
14
164
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Sisi wengine ukilinganisha na tuliko tokaa na jinsi ulivyokuaa zamani Tunapo pataga nafasi za Kukanyaga tu ofisi kama hizi ni Muujiza Mkubwa saana. Achiliaa mbali kushikana Mikono na wanaofanya maamuzi makubwa kwenye Nchi zao💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿. Thank you Jesus maana hata sasa wewe ni
Tweet media one
24
9
165
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
9 months
Kuna saaa Unatamani Kumteteaa Maradona but mfano mm binafsi alinipiga Tofali bila sababu... I think its high time kwa Mamlaka kuwaaangaliaa kwa jicho jingine wateule wasio pendwa na watu wenye kiburi cha uzima.. Sometimes dynasties wana feeling kama nchi hii yakwao peke yao.
20
19
163
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 years
@MarekaMalili Kaka katika malezi ndugu yangu tunasahau sana mtoto wa Kiume tunakimbiliaa watoto wa Kike. KizAz cha kiume kinateketeaa saana. But i am told Domo anapata mpunga kwa kuwapa platfom kuonekana anawatambuaa na ni kitu cha kawaida😭
6
7
152
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Kitu nashindwaa kabisa kuelewa Yani Rais , Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Mamlaka ya Bandari, Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wabunge 393 wote hawa Wawe Hawana akili halafu Dr Slaa na Mwambukusi na Mdude wawe na Akili pamoja na CDM jamani surely?Eeeh
204
18
149
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
4 months
Simfahamu sanaa @godbless_lema na sina Ukaribu nae wowote... Ila kuna namna flani Hua anafanya kazi ya Mungu sanaa... Kuna namna hua anaisaidia CCM na viongozi wakuu wake namna ya kuona mambo.... Ana namnaa yake flan ya kugundua mambo ambayo sio kila mtu anayo...😅 Ukiachana na
17
14
148
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 years
With great sadness, we announce the loss of our beloved father mzee Token Kangambili Kiswaga. Tumepoteza Nguzo ya familia. Kama familia tupo katika kipindi kigumu ambacho hakizoeleki. Tunamuomba Mungu atuongoze katika wakati huu mgumu. Taarifa zaidi zitafuata!
Tweet media one
34
9
138
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Mh Dada @ummymwalimu shikamoo Pole na Uchovu wa Eid🌹🌹.
Tweet media one
11
2
133
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 years
There is this girl who stole my heart and she calls me Daddy❤️❤️❤️
Tweet media one
7
9
114
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
4 years
Nimepokea kwa moyo mkunjufu uteuzi wa mwenzangu Dr Festo Dugange kuwa mgombea ubunge Wanging’ombe! Nikweli niliongoza katika kura za maoni! Itoshe kusema ulikuwa mchakato tu! Niwashukuru wjumbe wote walio niunga mkono! Nitamuunga mkono Mgombea alie pitishwa na Chama changu CCM!
16
10
119
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
4 months
Haya serikali ingekuwa imeruhusu Stra link🤷🏿‍♂️... Tungekuwa tunateleza tuu... Yani kuongozwa na Waziri mwenye maoni mfu ni shida sana
17
13
122
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 months
Viongozi mnaokuwa na ukaribu na urafiki na Rais Mnaweza kuwa marafiki na Rais ila hamtafanikiwa kuwa marafiki na Urais... i have seen people Walio wahi kuwa marafiki na Rais ila Presidency ikawashugulikia vibaya sana... Lower your expectations and ambition🙏🏿
2
14
119
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 month
Boniface Kajunjumele Mwabukusi🌚. I think AG wa Nchi hii ifike Muda ajitafakari sana.Tunapoteza kesi nyingi sana kimataifa. in my opinion and perspective . I think he is out of touch now. A good dancer must know when to leave the stage. This parastatal deserve better thn ths🌚
4
17
114
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
9 months
Kwa Heshima kabisa ninyi ni jamaa zangu @ExMayorUbungo @IAMartin_ Hebu situsheni hii vita Tutoe kwanza misaada kwa wathirika ya Kibinadamu. Tafadhali haifai namna hiii
@IAMartin_
Martin Maranja Masese
9 months
“Nape Nnauye ni mwizi wa kura, akiwa mwenezi wa CCM, aliiba kura za wagombea ubunge wa EALA akitaka mama wa mke wake, Mama Mkami ashinde. Nape ni MWIZI mzoefu, ashughulikiwe” - Livingstone Lusinde (mbunge Mvumi, CCM)
57
153
920
17
11
115
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 months
Kutekwa ni kutekwa tu.. Mtu ambae hajawahi pitia hali hii anaweza leta madharau. Msigwa aendelee na siasa zake
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 months
Tweet media one
17
4
48
10
19
112
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
4 years
Mh @HKigwangalla na Wewe Tajiri @moodewji Tunawaheshimu katika jamii yetu! Najua mna number pigianeni! Halafu Mud umekuwa kama Mzaramo unaropoka ropoka Kuwa na tabia ya Kitajiri my Brother! Ni hayo tu sasa kumkatalia Kigwangala mkopo inahusiana nini na @SimbaSCTanzania pls
25
8
106
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
3 months
DC ana Chawa Waziri ana Chawaa RC ana Chawa.... Do thy got paid?🤷🏿‍♂️ Kuna baadhi ya Mawaziri now wanachawa na hawagusiki haakosoleki... Unamwambia jambo kwa Wema tuu🤷🏿‍♂️ Its to much. Wrong ni wrong tu...
18
24
110
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
8 months
It's Okay to Not Be Okay... wakati mwingine its okey to cry.. Shukrani kwa watu wote mlio nicheki... I am doing fine... Im sorry kwa nilio wa Disappoint. Depression is really guys ..
42
14
110
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
10 months
Mmeonaa Raha ya Kufuata Matakwa ya Wananchi... Hakuna ugomvi yani Taifa zima limeungana na Kusema Paulin Gekulu ni Mnyama ashugulikiwe na Rais kakubali 😁😁 Kamshugulikiaa.... Namnaa hii ndio Kuupiga Mwingi
9
16
107
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Kwangu mimi Binafsi naamini Bado mama ana Watu wa hovyo wasio msaidiaa aidha kwa makusudi au uwezo wao ndio umeishia hapo. Wanamrudisha nyuma kwa hujuma za wazi kabisa. Wanatumiaa Utu na urahimu wa Mama kumhujumu. You guys God is watching you... Mama nae sio kwa Ubaya kuna
Tweet media one
16
12
106
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
3 months
To my good Friend @RabbiHume and Your wife.. Leo ni siku yenu mhimu nilitamani kuwepo ila bahati nbaya sijawepo Dar . nawatakiaa heri my message to you is Be kind to each other,tenderhearted, forgiving one another, just as God through Christ has forgiven you." –Ephesians 4:32
Tweet media one
0
9
105
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 months
I have nothing against IGP Wambura. kuna namna mambo hayapo sawa.Idadi ya watoto wanao uawa na kubakwa, Watu wazima wanao tekwa na kupotea inaongezeka kila kukicha. Inawezekana kuna kundi ndani ya polisi lina msabotage .Uwezo wa Wambura ni Mkubwa sana.Something must be done
15
12
105
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Nikisema mimi mwanasimba najiskia vizuri Yanga kushinda nitakuwa Muongo. Najiskia vibaya sana ... hata ungekuwa wewe kila saa jirani anapika Pilau tuu na Nyama na Mabiriani....
13
3
101
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 months
Tuheshimianeeee 😅😅😅
Tweet media one
33
12
104
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
7 months
@ridhiwankikwete Hapana acheni unafiki Sema Ukweli kulikuwa na Nyakati Njema na Mbayaa... Usaliti na Royalties.., Jaribuni Kuwa wakweli wakati mwingine sio kwaajili ya wanadamu hata kwaajili ya Mungu piaa.. Mungu anawaonaa
8
11
102
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
TBT na Mwami miaka14 iliyopita😀😀😀😀 @zittokabwe 😀😀 😀😀 i was inspired by opposition youth to join and to dream about politics position and Leadership. And I am not ashamed kusema Mwami Ndio alinivutia sana. Ishi sana Mwanangu
Tweet media one
5
14
101
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
7 years
@Nnauye_Nape tupo pamojaa mzee ila mm nilishakusamehe mambo ya 2015 lakini nenden mkamuombe radhi Edward Lowassa ths is to much mtakwisha
6
6
98
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
5 years
Daaah @godbless_lema 😀😀😀😀😆😆😆
Tweet media one
37
4
92
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
9 months
Joyce Hilda Banda alifeli Round ya Pili ya Uchaguzi wa Malawi 2014 kwa sababu aliwaamini Wanaume wenye Tamaa ya mali na madaraka. Walisahau kufanya kazi na kumsaidiaa Banda wakawa to ambitious. I don't wish itokee Tz but The truth must betold Amesungukwa na watu wenye Tamaa.
13
9
95
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
3 years
Mgosi @JMakamba salam. Nina swali dogo ukipata muda utujub. Hivi kinachosababisha Mgao wa Umeme ni Matengenezo ya njia ambazo kwa muda wa miaka 6 hazijatengenezwa au kuna Uhaba wa Umeme? Naona kama kuna upotoshaji mwingi kidogo unaendelea.
13
15
94
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
3 months
My Good friend Bernad Camilius Membe aliwahi kuniambia.... Ukiwa kiongozi kwenye ngazi ya kuteuliwa na Rais always avoid vitu titatu (BMW) B. Beer M. Money W. Women's This three thing can take you down anytime anywhere 😅😅😅RIP Membe
7
19
95
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Nimemsikiliza RC wa DSM Albert Chalamila . Amefafanua vizuri jambo la Bandari na DP World kuliko hata Wahusika wengi wa hili Jambo.... Hawa Ndio wasaidizi wa Kweli wa Rais sasa.
12
4
92
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
3 years
Happy Sabbath! Trust God’s plan over anything and express your gratitude to Him today!
Tweet media one
4
7
86
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
9 months
Sio kwa Ubaya.... RC anasema ameongea na @tanescoyetutz kwamba wasikate umeme siku ya Sikukuu... My question is very simple inamaaana hua kumbe wanakata kwa Makusudi? Siku ya sikukuu wana miujiza gani umeme usikatike kama siku zote? au mimi ndio sijaelewa?
15
15
89
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
4 years
@JonMrema Akili za kuambiwa Changanya na Zako mzeee. UMEAMBIWA AU UMESKIA MWENYEWEWE?
3
1
87
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
@HabariLeo Hao ndio wamelielewa Somo wala wasingewafukuzaa hapo sasa ndio Somo lingekaa sawa sawaa wapewe madini zaid
8
1
87
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
3 years
Tushike Lipi sasa India? Mzena? Nairobi? SA? 😀😀😀😀Kuna watu kuwaamini lazima uwe mwendawazimu kidogo😀😀
5
5
85
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 months
Always keep this on your mind The State never misses its target. And if it does, then it is by design.
2
9
86
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
4 years
@swahilitimes Kama Kiduku amevuta ni kwamba atachukua huyu Dadaake Kiti... Mbaya zaidi ni kwamba Dadaake ni mtu hatari zaidi Kuliko kiduku mwenyewe....
Tweet media one
12
2
82
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Basi Wahindi washa Futa Number zote za Amos Makala saa hii
13
3
83
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 years
Today We had a very constructive meeting with my sister and Minister Honorable Dr Pindi Channa. Thnx for your time. #KaziIendelee
Tweet media one
8
8
84
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
4 months
@IAMartin_ @Nnauye_Nape @SuluhuSamia @Starlink Wakaishiaa kuwakamata na kuwapa kesi ya Kuhujumu uchumi Nape ni waziri wa Hovyo...
2
5
80
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
4 years
@JonMrema @CloudsMediaLive Sasa ndio maana kuna frequency kama mnaona radio ya watu haifai Sikilizeni Sibuka 🤣😂
7
0
80
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Halipi watu Mitandaoni kama wengine.... ila Vumbi lake linajulikanaaaa....Ipo Siku they wll understand 💪🏿💪🏿💪🏿
Tweet media one
13
5
81
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
3 months
Ukweli mchungu Wateule Wengi wa Rais hawamsaidii Rais wanamgombanisha na wananchi. Kuna mambo na migogoro mingi ni ta kusikiliza dakika tano tu na mnajadiliana mnachukua hatua yanaisha.... Ni kama wao ndio wanachocheaa hizi mambo.
17
19
83
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
1 year
Tweet media one
5
5
78
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
11 months
Kuna TV ipo SA Mtangazaji akiwa mkubwa kuliko TV hua wanakatisha mkataba wa Mtangazaji. Nilichojifunza ni kwamba Huwezi kuwa mkubwa kuliko taasisisi na kuwa mkubwa kuliko Taasisi ni Mbaya. Ukichaguliwa kwenye taasisi jaribu Kuipeleka mbelee taasisi unayo iongoza kuliko
9
3
80
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 years
@rollymsouth @MarekaMalili Mngezama kweli aisee bora umebakia Kuku kuku
1
1
76
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
3 months
Mama anafagia Ikulu kwa Fagio la Chuma kabisaaa😅😅😅 Who is Next? All pro Mayele out
10
4
78
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
5 months
Strike the shepherd and the sheep will scatter😎🤓
Tweet media one
6
5
78
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
5 months
Tuishi nayo Usiku Huuu😎
Tweet media one
2
6
76
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 months
Nikiwa nawaonya Muwe mnaelewa
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga (RUTO)
2 months
Director wa Hizi Kampuni Mnajielewa kweli? Just go and delete this utumbo thank Me later!🙏🏿 Hii ni Dharau kwa mamlaka? Jifunzeni kusoma mambo between the Line🌚 Mmeona TCRA kaandika hii Ujinga? Hamuogopi?🤷🏿‍♂️
Tweet media one
Tweet media two
6
11
58
14
9
75