JORD-𝕏 Profile Banner
JORD-𝕏 Profile
JORD-𝕏

@Mwakyagi_

2,620
Followers
2,132
Following
1,720
Media
25,215
Statuses

SCHOLAR| @manchestercity 🐬 @SimbaSCTanzania 🔴 | Not a content creator | LET’S MEET AT THE 🔝

Tukuyu-Northen Highlands
Joined December 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@CristianoXtra_ Cry more🫵😅
Tweet media one
6
5
816
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Mko sehemu gani?🧐🧐
Tweet media one
28
48
614
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@IAMartin_ Hakuna kitu kizuri kama kuwa pro active yani! Wakati hassani anapewa order, comrade anayo taarifa kabla ya order 🫡😅
7
13
388
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@ManUtd Every training picture posted by each club with Argentina player for national duty call up, alongside there Messi😂😂. Is it a coincidence??😎 No, they’re Messi’s die hard fans too.
5
2
386
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
2 years
Matamasha ya urembo (BYUTI BYUTI) yameisha! Karibuni kwenye tamasha kubwa la mpira jumatatu @GIVENALITY @SimbaSCTanzania 🔥
Tweet media one
4
15
335
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Wakuu kuna watu watafanya tutoke kwenye reli hapa tushindwe kumpokea mwanetu.. Sasa huyu amekuja kumpokea sativa au kutupokea tunaompokea sativa?😅😂
Tweet media one
37
16
297
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@BlackYellow 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Do something for Marco Reus,please 😅
17
3
245
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
3 months
@datius_tz “Vunjabei ujanja ujanja ndio umefanya apate pesa”🤣 Heshimuni hustle za watu! Bundle lisiwape kiburi
Tweet media one
32
5
207
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 years
@moodewji mkopo wa pikipiki tena😂? ko hoja za waziri zina makasiriko ndan yake?
Tweet media one
9
2
199
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
2 years
The long wait is over… happy simba day yo everyone out there 🦁 @SimbaSCTanzania @GIVENALITY
Tweet media one
1
15
187
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Can we connect the DOTS??? 🚨🚨🚨
Tweet media one
Tweet media two
4
68
151
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Tweet media one
0
106
146
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
2 years
Timu yenye uwekezaji wa 20B inahaha hivi kwa mkapa? Mnaijua 20 BILLION lakini? Embu tuwe serious basi, @HKigwangalla tuendelee na hoja za uwekazaji pale @SimbaSCTanzania , kuna kitu hakipo sawa🙇
42
4
137
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@Troll_Futballl 💔..😂😂
Tweet media one
1
0
135
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
28 days
Happy birthday to me! Third floor inakuja kwa kasi sana wapwa zangu🙌🏻😂
Tweet media one
Tweet media two
41
36
117
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@Sirjeff_D @elonmusk @ComradeKawaida @X PLEASE BLOCK THIS ACCOUNT PERMANENTLY @ComradeKawaida , CORRUPT PEOPLE HATE FREEDOM OF SPEECH 🎤!
Tweet media one
4
8
115
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@MwijakuBurton Ko unamuweka mkeo kuomba msamaha kwa kipanya sio? Au D mbili zangu hazijasaidia kuelewa hapa?🧐
Tweet media one
3
2
112
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@Mrs_Pappi Watoto lonya lonya😂.. majina yetu zamani Tungupawa, Lulenda, Mwantimwa yani unaandaliwa kuwa shujaa😂
19
4
114
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 years
ila SO HOT ya @OfficialAliKiba ni goma kali sanaaa🙌 tulibeza b4
4
5
112
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@BarcaWorldwide When the GOAT 🐐 Speaks, listening is the only thing that you can do better 🫡😅
Tweet media one
0
3
107
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@BarcaWorldwide Smart worker vs Hard worker 😅. Can’t be my Goat
Tweet media one
3
6
98
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@ESPNFC Mbappe response: But I scored three goals in front of you.😂
Tweet media one
16
2
95
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
2 years
Agenda imekuwa Agenda. @Adventure_36 . Unakubaliana na hoja za jamaa?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
29
97
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
1 month
@julip202 Aseme tu kama anataka kujiua, lakini sio kwa njia hii😂😁
11
0
89
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
29 days
@Roma_Mkatoliki @naythetrueboy Kuliko kuendelea kuwapa pesa hawa marafiki zake na P.Diddy wanaojari matumbo yao bora tuelekeze nguvu kwa mwanetu wa kitaa!🫡
2
1
87
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@FKihamu Msimu ujao vile tutakuwa tunarelax tukicheki pira Manchester City plus barcelona ya Pep likipigwa na mnyama!😂 we will be there..
Tweet media one
3
3
84
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@MickyJnr__ My man MGUNDA is Simba’s first choice in hard times only! So painful 😓
Tweet media one
4
2
77
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Kumekucha wakuu! Kumbuka tu kuwa unadhifu huficha umasikini! Vaa vizuri, jiandae kiakili kwenda KUFOSI! Good Morning Wapwa!✌️
Tweet media one
30
29
74
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@bvrbvra Aaah so you’re saying there’s a chance?🥲🥲🥲
Tweet media one
1
1
73
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@ErlingRoIe Whenever they hit a wall with their poor investment strategies, start throwing blames to city that is ruining football . Insane 🤣
1
2
74
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 years
@ASRomaSwahili ole wenu na nyie muuze account😄
0
0
71
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
1 month
@millardayo Ko huko kwa baba wa demokrasia, nani anapanga haya mauaji wakuu? kuna mafwele pia kule?
30
1
76
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Ukiona mzee anaangalia taarifa ya habari kwa pozi hili, ujue kuna mahali unyama umetokea😬😬
Tweet media one
9
12
70
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@ESPNFC Nigeria 🇳🇬 to the world once again 😂😂😂
1
0
65
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
2 months
Wewe ukikata Tamaa ya kufosi kata tu hatuwezi wote kuwa matajiri!😂 Kumekucha.
Tweet media one
17
20
68
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
3 months
@SuluhuSamia Mama hapo katavi usisahau kutembelea pori walilomtesea na kumtupa sativa! ☹️
Tweet media one
1
6
68
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
3 months
All the way from Miami, Kigamboni 📍 Good Morning wapwa zangu! TUKAFOSI SASA!
Tweet media one
18
27
67
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@Roma_Mkatoliki Wakazi Last card: Mimi ni BILINGUAL MASTER, nina Green card Ya USA 🇺🇸, I hang out with your favorite rappers in USA, anakuwekea picha ya 90’s yupo na P.diddy😂😂🙌🏻. Wajob bhn
Tweet media one
4
1
67
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Good morning wakuu. Kumekucha KUFOSI tenaa✊✊
Tweet media one
18
17
65
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Polisi katavi si wamesema wanachunguza waliomteka mwana? So kutokana na maelezo ya mwana inabidi waje kuwakamata polisi wa OysterBay ama?🧐 Aah only in Tanzania 😂😂🙌🏻🙌🏻
7
22
64
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
1 year
Siku hizi tukishangilia hatuangalii pitch, tuna imani wachezaji wetu wanashinda hata tukiwapa visogo.😅💙 @ManCitySwahili1
Tweet media one
4
2
65
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
3 months
@millardayo Mpotoshaji ashakamatwa, wabakaji hata hatuna uhakika kama mnao🤣🤣. Nchini KUWAIT kuna jokes wakali
2
5
66
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
25 days
Tafsiri ya kisa cha zuchu kutupiwa makopo kutoka kwa shuhuda: “Tena kanakuja uchi uchi na nguo za huko kwa wapumbavu, halafu kanasema fulani mitano tena, mitano ya mama yake labda. Mitano ya nani, kampeni wafanyie kwao huko sisi kwetu hatutakii” 🙌🏻🤣
Tweet media one
13
13
62
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
3 months
Siku mpya, Wiki mpya, mwaka uleule na ujumbe ni uleule; KUFOSI! Good morning fellas!
Tweet media one
18
18
64
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
6 months
@IAMartin_ Ndo maana bony yai hakondi, jamaa yupo positive hata kwenye matatizo😂🙌🏻
2
0
64
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
1 month
@IdrisSultan Idris nakuelewa unatamani kuongea mengi sana ila ndo vile kinywani una maji mzee wangu🙌🏻😁
Tweet media one
1
0
64
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@SharonMontana20 Ungekuwa hujutii si ungepost kwenye account yako! Why anonymous??😂 FAKE
1
0
62
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@IAMartin_ @Sativa255 NYIE SI NDO WATUHUMIWA? Kwendaa…😬
Tweet media one
4
4
62
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@BarcaWorldwide People’s GOAT 🐐
Tweet media one
1
3
59
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@MickyJnr__ Every departing coach says the same story, if they really wish to see our clubs rejuvenate its competitive spirit let them be straight to mention these guys with so much power.! That will be so helpful than these repetitive stories.
7
1
61
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@FKihamu Yawezekana performance ya simba ilikuwa inadepend kwenye this beautiful face😂. Akina bokko walikuwa wanajituma ili waendelee kuona tabasamu hili kambini😂. Mnakumbuka story za yule doctor wa chelsea mwanamama yule alivoondoka tu team ilikuwa na lundo la injury mpaka tukawa
Tweet media one
4
4
60
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 years
@HKigwangalla umetuliza temper, sasa tunaweza kuendelea hoja kwa hoja👏
Tweet media one
0
0
59
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
3 months
Good morning Mpwa!
Tweet media one
31
29
58
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
kwenye taaluma yangu lazima niongezee course mojawapo ya IT haswa kwenye mambo ya coding na system development baada ya kumalizana na issue chache za finance that I am currently pursuing. Yeah I’m so excited, can’t wait for this..🔥. Any recommendation/Input kutoka kwa mliopo
Tweet media one
12
30
53
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Hii picha inatia huzuni ukiiangalia lakini ukikumbuka alikuwa anarusha bomu ili awaadhibu watu wa tabaka la chini unabaki kusema Kazi ya Bwana haina makosa🙏 Angepatwa na hii hali wakati anawapambania wananchi, moyo wake ungejaa amani kuliko maumivu✌️
Tweet media one
17
14
57
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@SharonMontana20 Waliooa singo mazaz baada kusoma anonymous hii😭😭
Tweet media one
7
0
59
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Kwenye mapambano ya KUFOSI, hakikisha kila hatua unayopiga inasindikizwa na DUA/SALA za kutosha mkuu!🤲🧎 Ukawe na asubuhi njema mpwa!✌️✌️
Tweet media one
18
26
56
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Hakuna uchawi wapwa, TUKIFOSI YANAWEZEKANA!👊🏿 Habari Za Asubuhi Mpwa?
Tweet media one
17
29
55
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@millardayo Tunakoelekea mtoto wa kiume atakuwa geti kali sanaa! Mabinti ndo watakuwa masela mitaani😂
9
2
56
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
3 months
@JamiiForums Hivi mnajua nchi ya IRAQ mpaka leo hawajamjua aliyempiga risasi Lissu?🥸🥸
6
2
56
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@Sirjeff_D Huyu jamaa angepata hii ajali kwa kutetea wanyonge mitaa isingemsahau! Lakini mpaka sasa ruto hapokei simu zake💔
6
1
56
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
6 months
Wanangu tunaoishi chini ya Dollar 💵 1 tusichoke kupambana. Siku nyingine fursa nyingine ya KUFOSI! Tutafika nchi ya ahadi tu kwa uwezo wake Mola🙏🤲 Good morning 🌞☀️
Tweet media one
17
13
52
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@ESPNFC Dear Pep Guardiola, please save football again next season. 🤝. Only team that can stop these Madrid clowns
Tweet media one
4
1
53
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
24 days
@millardayo Ukifikiria kiundani kabisa, hawa jamaa hawakai gerezani! Ni kama tumezugwa kinamna hivi. Imagine wakasema wamefungwa kwenye jela za kijeshi, nani ataenda kuhakikisha?😅
19
2
52
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
1 month
@millardayo Kupishana treni inachukua masaa manne?😂 hilo treni limebeba mikoa ya Tz ama?😂
2
3
49
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Baba yetu wa mbinguni,Amen Jina lako litukuzwe,Amen Utakalo lifanyike,Amen Utupe leo riziki zetu,Amen Utusamehe makosa yetu,Amen Kama tunavyowasamehe waliotukosea,Amen. Good morning Wapwa!🌞
Tweet media one
18
25
47
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 years
#WEUSI msijifanye mko busy na sakata la shishi, kuna habari zenu pia kutoka gazeti la #KIKOSIKAZI huko wadau mmewagusa na wamenuka kweli...😁
5
2
50
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@IdrisSultan Baada ya kuelewa kwann legend unamkumbuka legend mwenzako😁
Tweet media one
2
0
50
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
3 months
@rollymsouth Kama ambavyo unaamini Mungu yupo bila kumuona, the same here bro Go CAST YOUR VOTE! Kuna kikomo cha kuiba wakuu! Hawawezi kuiba zotee! NEVER
Tweet media one
1
4
48
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Sema watumiaji wa X Bio zenu zinaonesha wote mmejipata!😂 sasa hao majobless ni akina nani? Wadanganji ni akina nani? Unapokea 20K ya kusukuma reli wakati kwenye bio unasema ni CEO😂😂
11
13
48
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 years
unpopular opinion: @IdrisSultan is the dopest rapper than your favourite rapper😎, bora uliamua uwe comedian tu wenzako wangeimba nn sasa mzee?
3
1
49
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
2 months
@MickyJnr__ If I speak Abyudi will be in trouble 😂😂
Tweet media one
1
0
49
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
30 days
@Roma_Mkatoliki @naythetrueboy Nay anachotupatia mashabiki vs Return tunayompatia! Inaumiza sana aiseh,. Ni idea nzuri coz jamaa since day one hajawahi acha kukemea maovu regardless ina mcost kiasi gani. Repost na likes hazimuinui, let’s go extra mile folks!🫡
Tweet media one
0
2
47
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
1 month
@millardayo Mkishapewa ganji state house basi mnasahau kuwa mna akili za kupambanua mambo nchini. Sawa Mufti✌️
1
0
47
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
3 months
13
0
46
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Time the Time before time times you! Good morning wapwa zangu✌️
Tweet media one
19
25
47
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@bvrbvra Sijaelewa hata umemaanisha nini lakini katika hili nasimama nawewe, japo hili lenyewe sijui ni lipi haswa ila tupo pamoja mpaka urudi unyamani. Ni hayo tu Madam CEO
Tweet media one
1
1
46
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
2 years
Ukiingalia BREAKING BAD vizuri ndo utajua kuwa kuna namna wasure wanajirisk maisha yao ilimradi familia ikae sawa hata kama hiyo risk itamcost maisha yake! Mungu awasimamie wazee hawa🙏 @MarekaMalili
3
2
42
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Kumbuka wewe ni Mnyakyusa, Usivumilie Dharau!😕
Tweet media one
10
13
45
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@ESPNFC A certain fan base is cooked here😂💔
Tweet media one
0
0
44
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@swahilitimes ZAMBIA HAPA MNAPIGWA WANETU! Msijesema hatukuwaambia😂.
Tweet media one
5
0
44
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@ClatousCC You’re not crying, we’re crying! Nuff respect 🫡 maestro! Keep doing what you’ve been doing! Kwa mara ya kwanza nitashabikia mchezaji akiwa uto😬
Tweet media one
2
2
46
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@fatma_karume Chawa wanavyoutetea msafara wa Bajeti😂
Tweet media one
0
1
44
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@ComradeKawaida @abdulnondo2 Mshawahi kusikia ule msemo polisi anajidai anakuongelesha kiingereza anakuambia “ I am not your friend, my friend “😂. Kakukataa wewe sio rafiki yake lkn anamaliza statement kwa kukuita rafiki yangu.😂😂. Ndo anachofanya comrade NORMAL, haitaki X lakini updates zake anapost X.
Tweet media one
5
3
45
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 years
@rollymsouth nadhani ifike mahali tukubali tu kuwa waandishi wetu wako vzr kwenye habar za udaku tu coz hizo wanaweza kudig out each and everything
1
4
44
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@MickyJnr__ Thanks Varane! You are truly a Lion 🦁 material! Simba fans, relax just grab a cup of coffee ☕️. Next season we’re going to cook!
Tweet media one
2
0
43
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
3 months
@julip202 Sema wahuni wengi mnadate na malaya ni vile tu hamjakutana nao riverside
Tweet media one
3
0
44
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
UKIFOSI hulali njaa mpwa! ✊ Habari za kuamka mpwa??
Tweet media one
16
18
43
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
@IAMartin_ @Sativa255 Vyombo vya habari vimekataa kuripoti kupotea kwa mwana, alivyopatikana imajini wamefunga safari mpaka katavi kumfanyia interview mtu ambaye yupo kwenye critical condition ilihali walikataa kuripoti kupotea kwake! Hii imenionesha kuwa media nazo ni kama akina mporipori na
1
1
43
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 years
ukiambiwa pesa ngumu hutaki kuamini haya kuna challenge ya kumwag uno tu kadri uwezavyo upate 1M chapchap, ajabu uno gumu kama nondo ata ukijitahidi kulizungusha bado wana wanalikataa, hawatoi likes ilimradi uone thamani ya pesa yani😂 #SerebukaDanceChallenge @rollymsouth
3
2
39
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@ManCity @aguerosergiokun Happy birthday Kun. Our forever legend 💙💙💙💙
Tweet media one
0
0
42
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 months
Kigamboni hatuna umeme tokea asubuhi!😬 Au sio sehemu ya Tanzania wakuu?😂
13
9
40
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
4 years
@BenMembe mshambuliaji wetu umetuchania mkeka tulijua lazma ufunge la ushindi, umepaisha😅
7
0
39
@Mwakyagi_
JORD-𝕏
5 months
@ESPNFC Harry kane mood right now 💔
Tweet media one
0
1
41