Mwakimi Jr Profile Banner
Mwakimi Jr Profile
Mwakimi Jr

@Mateomwakimi

2,406
Followers
2,514
Following
658
Media
19,655
Statuses

Computer scientist. Yanga, Chelsea & Real Madrid

Kyela, Ngolela
Joined May 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
5 months
Good days will come, if not the purpose would have been fulfilled.
0
5
17
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Gender: Male Age: 25 Education: Bsc. In computer science of RUCU. Resident: Kyela Mbeya. Skills Nyingine 1. Kilimo 2. Usimamizi wa Biashara 3. Digital Marketing Naombeni kazi at least for Living.🙏🙏
52
254
796
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Usiku wangu jana Uliisha Vizuri sana Ilikuwa ni faraja Mnoo kupokea Order kutoka kwa Aunt yangu komandoo @JideJaydee Sio kwa sababu yeyote ila nimuendelezo wake wa kussupport Vijana. Nilikosa cha kusema kwakweli shida sio kuagiza tu kuweka imani kwangu. Sitomwangusha.
Tweet media one
67
132
795
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Tsh 1900 tu kwa Kilo 🏠Kyela Mbeya ☎️📩 0719577865
Tweet media one
Tweet media two
33
89
388
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
Kwani Bagonza yeye PhD yake alisoma wapi Mbona ni tofauti na za hawa Wengine? Askofu ana Maakili mengi kila anapoandika au kusema huwa nahisi ameandika kidogo au kaongea Muda mchache hachoshi kumsikiliza wala kusoma Maandiko yake..
19
38
344
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
4 months
Natakiwa kulipa kodi hapa ninapo kaa sina option Nyingine naomba nimuuzie mtu hii simu yangu. Google pixel 4a, 6GM RAM, 128GB.
22
75
262
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Upendo na Support mnanipa Humu hauelezeki. It's unbelievable. Mungu awabariki sana.
Tweet media one
Tweet media two
10
32
244
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
1 year
@OleMtetezi TEC walishampinga mkapa kuhusu ubinafsishaji na mikitaba ya madini alipuuza kinachotekea sasa tunakiona na mkapa alikuwa mkristo na mkatoliki mwenzao
7
8
157
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
MCHELE SUPER GRADED KUTOKA KYELA 1kg kwa Tsh 1900 tu. Naomba Order yako niambie kg ngapi na mchele ufike wapi. Nitafarijika Kukuhudumia Derivery popote Tanzania 🏠Kyela-Tanzania 📞📩 0719577865
10
34
150
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
6 months
Alhamdulilah, Grateful to see another year. Turned 27 years old today. Nazeeka sasa
Tweet media one
60
21
154
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
Kwanza Kabisa Nimshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema na Neema. Shukurani zangu za Dhati kwa Bibi yangu Amekuwa Akinipa Nguvu sana kwenye vipindi vyote. Nawashukuru wote Ambao Mmenishika mkono kufikia hii ndoto. Binafsi sina cha kuwalipa ila nawaombea sana.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
29
15
134
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
MCHELE SUPER GRADED KUTOKA KYELA. Wakati uko darajani unapiga Hennesy au uko Kilumba unawacheki watani afu unahika home au geto umeacha kitu mambo yanakuwa Mwake sana. 1kg Tsh 1900 Tunafanya Derivery popote Tanzania 🏠Kyela-Mbeya 📞🏠 0719577865
Tweet media one
Tweet media two
6
52
129
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
9 months
UZI WA CLOUDWORKER AG Nimeona message nyingi sana kujibu moja moja naona itakuwa kazi ngumu ziko zaidi ya 70 sasa ngoja niandike hapa kwa ufupi sana kwa namna mambo yanaenda pale na namna unaweza kulipwa
12
27
112
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
8 months
Nimeteseka bando sana Alhamdulilah 😂😂👊👊👊 Sasa @melch niko huki full time😂
Tweet media one
20
8
97
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@privaldinho X+Y+Z=16...(i) X/2 = Y....(ii) Under root of Z =1 Then X + Y + 1= 16 X + Y = 15....(iii) Now solve by simultaneous equation (i) and (iii) X/2 - Y = 0 X + Y = 15 3X/2 = 15 Multiply both side by 2 6X = 30 X = 5 Then X + Y = 15 Y = 15 -5 Y = 10 Therefore No1 = 5 No2 =10 and No3 =1
20
7
96
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
RUCU corridor 🎓🎓
Tweet media one
11
3
82
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Asee Ahsanteni sana sana kwa mnaondelea kuniamni. Jukumu langu ni kuhakikisha kwanza unaridhika na bidhaa na huduma. Lakini pia kufanya kwa uaminifu mkubwa. Watu wa Mchele wenu kutoka Kyela Wanao umefika Ofisi za mabasi ahsubuh unawafata. Watu wanaupiga mwingi sana na Kg 50😁😁
Tweet media one
Tweet media two
3
19
82
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
7 months
Magufuli was a good leader but a bad politician. Probably not a good president.
17
11
84
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
7 months
Naomba mmoja nimuuzie hii saa Moja kwa Tsh 50000 badala ya 80000 sina options my grand yupo hospital kuna bills natakiwa nilipe. Kama uko nje ya Dar utaongeza 5000 ya usafiri.
Tweet media one
4
78
82
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Sio lazima uagize tani nzima au Kg 100 ndo uiniungishe Anzia Kg hata 20. Na Kuendelea Ndugu yangu kutoka Moshi alikuwa mtu wa kwanza Kuniamini na kunitumia pesa nimtumia Mzigo wa Kg 30. Alinipa Nguvu sana. Nimeshatuma Mzigo wake
Tweet media one
9
9
79
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
MCHELE SUPER GRADED KUTOKA KYELA Maisha halisi ndio rahisi Pata Mchele halisi kwa Bei rahisi ya TSH 1900 tu kwa kilo Tunafanya Derivery popote Tanzania 🏠Kyela-Tanzania 📞📩0719577865.
Tweet media one
Tweet media two
5
33
75
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
8 months
@IAMartin_ Huwezi amini nimeshangalia gori la zambia hapa. Sipendi mapambio ya kijinga😂
7
4
76
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
MCHELE SAFI SUPER GRADED KUTOKA KYELA unakula kitu kizuri ila unakiongezea uzuri kwa kula na Mwenzio 1kg kwa Tsh 1900 tu. Tunafanya Derivery popote ndani ya Tz. 🏠 Kyela - Mbeya ☎️📩 0719577865
Tweet media one
10
17
78
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
𝐎𝐅𝐀 𝐎𝐅𝐀 𝐎𝐅𝐀🔥🔥🔥 𝗠𝗖𝗛𝗘𝗟𝗘 𝗦𝗨𝗣𝗘𝗥 𝗚𝗥𝗔𝗗𝗘𝗗 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗔 𝗞𝗬𝗘𝗟𝗔 Pata mchele mzuri na bora usio na Chenga chenga wenye radha nzuri kutoka kyela kwa bei ya punguzo 1kg Tsh 1900 Tunafanya Derivery popote Tanzania 🏠Kyela Mbeya 📞📩 0719577865
Tweet media one
8
25
75
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@MomoHerMajesty This how women walivyo wako emotional sana na wanaheshimu sana hisia zao unaweza hisi unamfanyia kitu kidogo sana kumbe kwake kina thamani kubwa.. They will always appreciate as long as kimeingia kwenye hisia na utu... Abarikiwe Boda boda
3
3
77
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
4 months
Wakuu mnafanyaje kukwepa pressure ya kuoa kutoka kwa Mwanamke na ndugu?
20
15
76
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
@livelynea @AD_Abinallah Dad ulisikiliza story ya jamaa aliye mwagiwa mauji ya moto na Mkewe?? Wanawake wote humi walitaka wasikie upande wa pili ndipo yalipo anazia labda kama ulipitwa na lile tukio... Hizi battle za Me na Ke humu haziishi. Hili sio tatizo la Jinsia ni tatizo la Jamii.
3
0
65
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
MCHELE SUPER GRADED KUTOKA KYELA Ni wapi kwingine unaweza kupata Mchele mzuri, safi na mtamu kama huu kwa bei hii ya 1900 tu Kg Tunakutumia popote Tanzania Tupo Kyela Mbeya Call&WhatsApp 0719577864
Tweet media one
Tweet media two
4
21
59
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Wiki kama nne zilizopita Nilipata changamoto kwenye biasahara alikuja Mtu akataka Mchele kg 2650 (tani 2.65) Mtu huyu alikuwa akitokea Tunduma. Alifika Kyela akaona Mchele Akafanya Malipo Nusu ya Mzigo aliokuwa akiutaka 2.5M. Na akasema Nusu atamalaizia mzigo ukisha mfikia.
22
12
61
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@chapo255 RickMedia na Harmonize
5
0
60
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Well, Twitter got me balloons Today for my birthday. I turned a Quarter Century old. Life has no Manual. Thanks to God
Tweet media one
22
7
56
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
@Kitururu1 @darmpya_ @wasafimedia Kaka huyo Mwandishi sio Diamond. Huyo mtu ni anapambana tu kutafuta mkate wake kaajiliwa hapo akipotea Wafasi huzuni yao haitakuwa sawa na Ndugu zake wanao mtegemea. Nazani tufikirie upya.
2
0
56
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@funjojr Mwana alivoona I can't wait naona ilikuja tafsiri sisi (siwezi kukusubiri) 🤣🤣🤣
12
1
56
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
@Paulmeda1 @JideJaydee Daah bro namuomba sana Mungu kila nitakapo piga hatua anikumbushe jana yangu. Namuomba Hekima na Busara. Kaka Niombee tu🙏🙏🙏
2
0
55
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@Nkololotz It has never been. Russians helped many African countries to Attain their Independence from Western Country including Germany and UK.
2
1
53
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Tuna Mchele graded super Quality na tunakutumia popote Tanzania hii kwa Bei ya kizalendo 1kg Tsh 2100 20kg Tsh 42000 30kg Tsh 630000 100kg Tsh 210000 Naomba Mnishike mkono Ndugu yenu. Location: Kalumbulu- Kyela- Mbeya Wasiliana nasi; 0719577865
Tweet media one
Tweet media two
5
25
51
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Karibuni Mchele Super Kutoka kyela Kilo moja ni Tsh 1900 Tunafanya Derivery popote Tanzania. Tupo Kyela mbeya Calls& WhatsApp 0719577865
Tweet media one
Tweet media two
3
18
52
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
6 months
Changamoto ya Kalage Ilinikuta 2022 kwenye mchele japo mazingira yanaweza kuwa tofauti iliniumiza kiasi kwamba nikawa nashindwa hata namna ya kuisimulia. Nilipigwa pesa ndefu sana tena nikiwa na order za watu mkononi nimeishi maisha ya mashaka, yenye maumivu na kufedheheka.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
17
9
53
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Bado tunapokea order tunakutumia mzigo wako kwa muda mchache. Uamnifu ndio kipaumbele namba moja 1kg Tsh 1900 🏠Kyela Mbeya ☎️📩 0719577865
5
12
48
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Jipatie Mchele super kutoka Kyela kwa Tsh 1900 tu kwa kg Derivery popote Tanzania 🏠Kyela Mbeya 📞📩 0719577865
Tweet media one
4
20
47
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
4 months
Kama unaweza kunipa kazi pia nitashukuru. Nina Bsc in computer science na nimewahi kufanya kazi kama Customer service Representative miezi sita.
2
30
48
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
MCHELE SUPER WA KYELA Good morning watu wa Mungu Karibuni Mchele safi, ulionyooka na unaonukia vizuri upate urahi wa kuupika kisha radha Nzuri kwa Tsh 1900 tu kwa Kg Tunafanya Derivery popote Tanzania Tupo Kyela Mbeya. Call&WhatsApp 0719577865
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
24
40
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@IAMartin_ @MariaSTsehai Mpaka sasa tumeshaisoma namba 1. Tozo ya mshikamano 2. Kuongezeka kwenye pembejeo za kilimo 3. Kuongezeka Nauli (SUMATRA) 4. Kuongozeka kwa bei za Mafuta 5. Nazan soon maji na matibu Lengo ni tufe kabisa kudadeki.
6
12
44
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@Vet_doctor87 Binafsi kwa wakati ule nilishindwa kuchangia chochote kwakuwa nilikuwa na mawazo tofauti nilifikiri wale watu walio mtoa kwao wangefanya juhudi za kumpatanisha na Baba yake na Kukaa kumulisha Baba kama kuna sehemu walihisi amakosea Nazani wangeanza kutafuta suluhu
2
1
45
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
@Roma_Mkatoliki Mimi huwa sikubalianagi na hiki kitu hata kidogo talent huwa inaanza ila utofauti ni kwamba umebarikiwa kwa kiasi gani kuliko mwingine... huwezi ku work hard kwenye kitu huna au hukijui Ronaldo first know anajua na anapenda mpira then worked hard on it... sawa
7
1
43
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Ndugu zangu ninauza Mchele wa Kyela Tsh 2100 kwa Kg Mchele ni Super Grade ya kwanza kabisa haujakatika na Wala hauna Chuya. Kizuri kinakuwa kizuri zaidi ukila na Mwenzio nimeamua kula Na Nyinyi Ndugu zangu naomba mniunge mkono ndugu yenu. Sijaweka Picha za Canva hapa😃😃
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
28
38
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
JIPATIE MCHELE SUPER GRADED KUTOKA KYELA Naombeni order zenu ndugu zanguni 1kg Tsh 1900 Tunafanya Derivery popote Tanzania. 🏠Kyela Mbeya ☎️📩 0719577865
Tweet media one
4
25
38
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@IAMartin_ "Kwa njia ya imani, nyinyi nyote mmekuwa watoto wa Mungu kwa kuungana na Kristo. Nyinyi nyote mliobatizwa mkaungana na Kristo ni kama vile mmemvaa Kristo. Hivyo, hakuna tena tofauti kati ya Myahudi na Mgiriki, mtumwa na mtu huru, mwanamume na mwanamke. Nyote ni kitu kimoja kwa...
1
1
41
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
Hebu imagine mtu anayekuuzia simu, ni mtu anayezijua simu, imagine tu. Sasa sikia, acha kuimagine na mcheki mwanetu @SimuZaNjiwa chaaap akuuzie simu kiwango ya kwenda. Mcheki humu. 📞+255 745 100 757 Kindly Rt mwanetu afike mawinguni.
Tweet media one
2
13
39
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Habari za ahsubuh watu wa Mungu Naomba mnisaidie kuretweet mteja anaweza kuwa kwa Timeline yako KARIBUNI MCHELE SUPER WA KYELA 1kg Tsh 1900 Tunafanya Derivery popote Tanzania Tupo kyela Mbeya Tupigie 0719577865 WhatsApp
Tweet media one
0
19
38
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
@20qnana Mume ana mshahara laki tano na Mke anamshahara laki tano mnataka mwanaume alipe peke yake Bills ukilipa unachangia kidogo why??
6
1
39
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@Nnauye_Nape Tatizo Ni Bandwidth hao Isp wanavyozifanye ni kiasi gani Cha data kinatumika kwa muda gani unapokuwa connected kwenye internet. Msilete visingizio vya funga background usage, sijui background Update and lot's of bra bra.... ISP wanaweza kuamua kwenye Uplink na down link
2
1
38
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Dada @AD_Abinallah habari? Pole na Majukumu ya kazi. Dada samahani Ninamchele nitafurahi kupata offer yako kama njia ya kunishika mkono. 1Kg ni Tsh 2100 tu Nafanya Derivery popote Tanzania Nipo Kyela Mbela Namba yangu ni 0719577864
Tweet media one
4
18
35
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
OFA BADO INAENDELEA: JIPATIE MCHELE WA KYELA SUPER GRADED 1kg kwa Tsh 1900 tu. Tunafanya Derivery popote Tanzania 🏠kyela mbeya ☎️📩 0719577865 Karibuni sana
Tweet media one
5
15
37
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
11 months
Naapa naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa.
9
4
39
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
Hapa akishinda match tano naacha kushabikia mpira Cc @Eric_Bernard94 @BobMchelsea
Tweet media one
4
1
36
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Naombeni order zenu Ndugu nikale Mchana huu Tunamchele Super na Graded kabisa kwa Bei ya kizalendo 1Kg Tsh 2100 20kg Tsh 42000 25Kg 52500 30kg Tsh 63000 100Kg Tsh 210000 1000kg Tsh 2100000 Naomba nipigie/WhatsApp: 0719577865
Tweet media one
Tweet media two
5
24
36
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
Taarifa imeandikwa kishabiki saana (lack of proffesionalism) yaan bila wasiwasi wanathibitisha kwamba yanga walipigiwa simu muda fulani. Wao walikuwepo wakati yanga wanapigiwa simu?. Hatukuhoji sababu (why) yaani mtu akupe taarifa ya hairisho la jambo fulani unaogopa hata kuhoji
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
3 years
Taarifa rasmi ya klabu baada ya kuahirishwa kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga SC uliopangwa kufanyika jana jumamosi Mei 8, 2021 kwenye uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
1K
241
3K
4
11
38
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
7 months
Nimekuwa nikimfatilia Jimmy Mafufu kwa siku kadhaa sasa nimeseme tu Mnyakyusa anatuwakilisha vyema sana @MiriamMkanaka 👊
Tweet media one
3
4
36
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
4 months
@chapo255 Unapiga zako bia wanakuja polisi kukagua malaya BAR wanakulamba risasi😂
3
1
35
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
5 months
Unajua mkiweka JPM kwenye ballot paper 2025 na wagombea wengine na uchaguzi ukawa huru na haki anaweza kushinda uchaguzi. Hii investment kwa majority ya Watanzania sijui aliifanya kwa namna gani bila hata kuboresha maisha yao, bila kuajiri, bila kuwa na utawala wa kidemocrasia?
11
9
37
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@Vet_doctor87 Lakini wao wakaona option ni kumtoa kwao na ikibidi kupeleka wazazi police which to me was completely wrong.. wazazi wake wanao upendo mkubwa kwa mwanao kuliko wao.. But wao wakasimama kwenye kitu kinaitwa mental health nkawa najiuliza mental health ya kwenda viwanja au kwa msela
2
1
37
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
8 months
#Smartwatch --Mikanda saba kwenye Box Moja --Ziko na Earphones --Tsh 90,000 --Tupo Ubungo Kibo --Tunafanya Derivery na Tuna tuma ndani ya Dar es salaam
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
7
34
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Wateja wa Dar, moro, Njombe na Iringa watano wa Mwanzo leo tu nawauzia Mchele 1800 kwa 1Kg. Keyword Watano wa Mwanzo 🏠 Kyela Mbeya ☎️📩 0719577865
Tweet media one
0
15
33
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
Ni kweli pesa zipo mitandaoni lakini Je tunazipataje? Kuna mtu anaweza kuwaeleza vijana Wenzie kwa uwazi ni hatua gani wafwaye wapate pesa hizo lwa kufanya hizo kazi za online kama @Upwork yani kuanzia kutengeneza Profile top rated mpaka kwenye kuandila Proposal Cc @mafolebaraka
Tweet media one
Tweet media two
5
10
36
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
1 year
@IAMartin_ Njia rahisi ni kutumia WhatsApp web 1. utalogin kwenye WhatsApp web 2. Then utafungua chat yako unayotaka ku export 3. Nenda kwenye three doted line kwenye browser utaona kuna options imeandika Print mwishoni kabisa utaona save as pdf hapo utakuwa tayari kutunza chat hiyo
2
2
35
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Them: Ni nini? Mateo: samahani tunauza mchele Graded kutoka kyela 1kg kwa 1900 Them; unajua tupo Dar na husemi tunapata aje huo mchele? Mateo; Tunatuma popote Tanzania Them: Kwani upogo wapi? Mateo: Nipo Kyela Mbeya Them: kwani unapatana kwa namba ngani Mateo 0719577865
Tweet media one
Tweet media two
3
7
35
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@Roma_Mkatoliki Kwenye Gaseous exchange kuna involve process mbili inhalation na Exhalation sasa unapokuwa umevuta gas ambayo sio oxygen unaweza kukaa kwenye chamber inaitwa Exhibit hii chemba inaruhusu kuitoa Hewa hiyo Muda wowote unapofungua Mdomo.😂
0
0
34
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Za ndani kabisa naambiwa walio kula wali wa Mchele wa MWAKIMI kutoka kyela hawatak tena Mchele wa mahali pengine Unatamani kujua siri hii ya kwanini mchele huu umekuwa rafiki kwa kila mteja anae upata? Tupe order yako tukufikishie Popote Tanzania ☎️📩0719577865 🏠Kyela Mbeya
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
15
33
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
MCHELE WA KYELA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
8
32
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Ukiwa Dar es Salaam maduka ya mchele huwa yanajinadi kwa mbwembwe MCHELE SAFI KUTOKA MBEYA Pengine unaweza usiwe hata mchele wa Mbeya au ukawa umechanganywa. Ukishafika Mbeya unakutana na maduka ya mchele yakijinadi PATA MCHELE SAFI KUTOKA KYELA.
Tweet media one
Tweet media two
4
8
33
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
7 months
@Wakazi Msanii Bora wa Hiphop Tangu mziki wa Bongo uanze. Umeshakuwa GOAT in my book😂👊
3
0
34
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
4 months
Pia kuna hii Router ya Airtel hapa mtu aje achukue anichangie hata 30k tu.
7
7
33
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@rollymsouth Kuna namna ilitaka kujibu ila nimejiuliza kitu kimoja what if siku upo kazini au umesafiri unarudi unakuta mkeo amekaa na rafiki yake wa kiume sebureni. Au mmegombana mtu wake wa kwanza kumpigia na kumwambia matatizo yenu ni rafiki yake wa kiume..
1
0
33
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
OFA YA JUMANNE MCHELE SAFI, SUPER NA UMENYOOKA KUTOKA KYELA KWA TSH 1900 TU. Tunafanya Derivery popote Tanzania Tupo kyela Mbeya Call&WhatsApp 0719577865
Tweet media one
2
12
31
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
@mzeewakaliua Nikimuonaga Gary Neville anachambua mpira afu nikikumbuka huku Tuna Oscar Oscar 😂😂
3
0
32
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@Myahudii_ @kigogo2014 @IAMartin_ @SimbaSCTanzania Kukaa kimya wakati wa dhuruma na kabisa unauwezo wa kufanya kitu Haki ikapatikana wewe ni sehemu ya hiyo dhuruma
2
0
30
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
6 months
@bonichengula Daah hapa kuchomoka ni ngumu mpaka uwe umepata story kama hii😂😂
1
0
32
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@jaliluzaid Imenishangaza sana, mafenist walipaswa kulipigania hili kuweka usawa wa kijinsia, Rais wa Ukraine kabagua wanawake hapa
3
2
31
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
OFA OFA OFA🔥🔥 Mchele Super Graded kutoka Kyela 1kg kwa Tsh 2000 tu. Yani unapata radha halisi ya wali, unapuka usumbufu wa kupika hata ukimuachia mtoto jiko kinatoka kitu. Ukiwa unasubiri uive unapata harufu nzuri ya wali Derivery popote Tz 🏠Kyela Mbeya 📞📩 0719577865
Tweet media one
Tweet media two
3
17
29
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
8 months
@HusseinBashe Bashe huu unafanyika ni uhuni Tangazo la TMA lilitoka kitambo mlitakiwa kuishi kwa Tahadhari badala yake mnabeti. Kwa udhoefu wangu bei za bidhaa Tanzania zikipanda ni ngumu sana kurudi kwenye default kwa njia zenu za kijinga mnazotumia kusolve changamoto.
0
1
31
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@2Chuggaboy @Big0047 Dowload app ya canva Afu Nenda youtube kasearch how to swap head with canva na vitu vingine kibao ukijifunza practice utajua sana tu
1
4
30
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
MCHELE SUPER GRADED KUTOKA KYELA Maisha halisi ndio rahisi Pata Mchele halisi kwa Bei rahisi ya TSH 1900 tu kwa kilo Tunafanya Derivery popote Tanzania 🏠Kyela-Tanzania 📞📩0719577865
Tweet media one
4
13
30
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
8 months
@MiriamMkanaka At least watajua Mama hakukubaliana na Mboga mboga 👊
1
1
31
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
@fbuyobe @zainabdehinde Now I'm going turn notification on for the promised date. It's tommorow right? Ooh yes adding more popcorn on my table... Respect to you Buyobe
0
1
30
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
Kuna mtoto hapa wa kike alikuwa anasoma Kudato cha tatu anamiaka 16. Alifukuzwa shule na walimu kwa utovu wa nidhamu. Baba yake akarudi tena shule siku iliofuata kuongea na Mkuu wa shule alimuomba sana, Mkuu wa shule akaelewa sababu za yule mzee akaona kuna haja ya ...
8
4
29
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
Ethical Hacking. Mpaka kieleweke yani #professionalcertification
Tweet media one
8
2
30
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
Mwaka jana na mwaka huu Mwanzoni ulikuwa Mwaka mgumu sana kwangu katika yote niliyo yapitia Mungu ameendelea kunionyesha Ukuu wake, aliacha nikalia akiwa na kusudi kwamba Watu wake walio Wema wapo na Wanaishi, Leo nipo Mwishoni kabisa kumaliza Degree yangu ambayo kiukweli....
Tweet media one
7
4
28
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
@siadevinci @MpondaSabinus Bei ya matifali ya kuchoma, bei ya mafundi kwa sababu mafundi wa kijijini ni wa mtaani kuanzia wa kujenga msingi mpaka kupaua, bei ya mbao kijijini ni tofauti na mjini, bei ya vibarua mfano kufukia msingi kubeha zege nk. Ni ndogo kuliko mjini.
5
1
29
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
3 years
Mapema Leo Tulipokuwa tuna test mitambo ya Project tulio ifanya tulikuwa tunatest Specific objective ya obstacles Detection pamoja na Lane Detection.. Kwenye project General objective ikiwa ni To Deveolop an autonomous Car driving model
7
10
29
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
Mzigo wa Dada mkuu @JideJaydee Umeshafika Tayari..🙏🙏🙏 Tunakufikisha Popote Tanzania Bei ni Tsh 1900 Tupo Kyela Mbeya Tupigie 0719577865
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
@JideJaydee
Lady JayDee
2 years
@Mateomwakimi @1TraVeLA Aaaah kumbe uko mbali basi kama ni huko bora niku support kg nyingi zaidi. Nitumie kilo 50
4
4
25
5
5
27
@Mateomwakimi
Mwakimi Jr
2 years
MCHELE SUPER GRADED KUTOKA KYELA Nunua Mchele kwetu uokoe pesa yako. --Upate mchele usiochanganywa wala kupakwa mafuta. --Ukinunua Mchele kwetu utakuwa umetushika mkono kwenye mapambano ya umasikini --Tupo kyela Mbeya --Tunatuma popote Tanzania Call&WhatsApp 0719577865
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
13
29