KO GRAPHICS Profile
KO GRAPHICS

@KohelethiS

1,163
Followers
1,219
Following
277
Media
3,409
Statuses

GRAPHIC DESIGNER, MOTION GRAPHICS CREATOR, SHORT FILM DIRECTOR

Joined March 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@KohelethiS
KO GRAPHICS
4 months
31 Subscribers Tayari ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š tunaanza next week Kushusha vitu, Subscribe na kaa tayari kwaajili ya vitu tofauti tofauti Poster ya kwanza tutakayo angalia na tips na Tricks zilizo tumika kutengeneza Poster ya Jurgen klop kuagwa na Liverpool
Tweet media one
@KohelethiS
KO GRAPHICS
4 months
Kwenye poster hiyo Kisha baada ya hapo tutaifanya na kureplicate Muonekano wake ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Kuepuka Msongamano unaweza uka subscribe kabisa ili next week tuanze Safari wote ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Tutakuwa tukifanya Poster Tatu kwa wiki ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
0
1
3
0
6
12
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
Tweet media one
22
115
628
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Thread ya Artwork zangu Bora za 2023 @thisistemidayo @IamKabote @lutherakyoo 1. Yanga
Tweet media one
12
25
425
@KohelethiS
KO GRAPHICS
9 months
Artwork by Me ๐Ÿ’ช Leo moja kati ya Timu za Tanzania zinashuka Dimbani Kusaka point tatu muhimu kuwavusha makundi na kuingia Robo fainali Goodluck Simba Sc ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐ŸŽจ โœ’๏ธ @Sativa255 @thisistemidayo
Tweet media one
18
33
245
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Naamini Naweza Kufanya Poster Kali za Mpira kwa Timu mbalimbali hapa Bongo, Naamini naweza kutengeza Content nzuri kwa Timu mbalimbali ndani ya Ligi Kuu I hope One day nitaandika Jina langu katika media Team ya timu yoyote ya Ligi Kuu ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
23
74
228
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
Na hii ni Motion Graphic ya Poster inayoelezea Statistics alizonazo kwenye Ligi ya Norway ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Mpaka sasa na uwezo wake He is a Top Class Player #BPH BRING PELLE HOME @lutherakyoo @zittokabwe @IamKabote @Tanfootball @MwanaFA Artwork by me
13
71
192
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Wishing Tanzania a victorious game day for Afcon ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโšฝ Broo @__moejr , lead the way to triumph! ๐ŸŒŸ Let the cheers resonate! ๐Ÿ† #TeamTanzania #MoSagaf #VictoryInOurGrasp " @Thereal_Kabote @Sativa255 @lutherakyoo @CentyUncle
Tweet media one
6
24
180
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Unadhani Mbwana Samatta anafaa kuja kuwa Rais Wa TFF? Kutokana na Exposure aliyokuwa nayo kwenye Soka? @Sativa255 @Thereal_Kabote
Tweet media one
18
12
157
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Wenzetu Burundi ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ wameunda Kamati maalumu kwaajili ya kusaka wachezaji wao wanaocheza nje, na hii ni sababu Irankunda alipata ushawishi Mkubwa Na sasa yuko mbioni kuelekea Burundi. Kwa hapa Bongo kama watafanya Hivyo, Binafsi ningependa kuona Eng. Hersi na Babra wakiwemo....
Tweet media one
Tweet media two
8
11
150
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
HII NDIO BONGO *Mnoga alipoitwa dhidi ya Algeria* Watz: Mnoga tulishamuona kipindi Cha Poulsen alishindwa kabisa Soka letu *Tulipofuzu AFCON* WaTz: huyu ndio kocha apewe muda maana anaamini Sana Vijana *Alipoitwa Charles Mmombwa* Mchambuzi mmoja aliandika: Hatuwathamini wazawa..
Tweet media one
11
21
149
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
@yangasc1935 Artwork by me ๐Ÿ’ช
Tweet media one
11
10
143
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Nilijaribu kutumia Picha kama ilivyo kutengeneza match day Poster, bila Kum-cutout mchezaji na kutengeneza Poster pembeni. Hii inaweza kuwa Simple na kufanyika kwa haraka kwa Timu ambazo hutengeneza Poster Tofauti Tofauti za Match Day
Tweet media one
9
21
131
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Taifa Langu Team Yangu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ @lutherakyoo @Sativa255 @Thereal_Kabote
3
19
118
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
WAZO LA LEO Bob Marley aliwahi kuulizwa kama kuna mwanamke mkamilifu. Anajibu: Nani anajali ukamilifu? Hata mwezi sio kamili, umejaa mashimo. Bahari ni nzuri sana, lakini ina chumvi na giza kwenye vilindi. Anga daima haina mwisho, lakini mara nyingi mawingu....
Tweet media one
4
18
112
@KohelethiS
KO GRAPHICS
7 months
Habari kaka @jemedarisaid , nimeona interview yako na @shaffihdauda1 Ukisema Shida wetu wanacheza Non-League, Nina maswali Kadhaa hapa 1. Ulimtaja Mmombwa kwenye List, je A-League ni Non-league? 2. Je unajua kuwa Equatorial Guinea iliyoifunga Ivory Coast Goli 4, wachezaji 15......
26
17
112
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Oyaaa wanangu Si mlete hizo kazi za Graphics ili na mimi niwe na Room kama hili ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Halaf Sina hata Bei kubwa ๐Ÿ˜Š we njoo inbox tuyajenge ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
4
23
97
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Pelle Today, Tomorrow and Always ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
@europacnfleague
UEFA Conference League
9 months
Steven Bergwijn or Amahl Pellegrino? ๐Ÿ‘€ #UECL
Tweet media one
313
129
2K
0
2
93
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Wakati @TzFootballers akisisitiza kuhusu wachezaji wa nje, pamoja na @lutherakyoo na mm, moja ya timu tulizokuwa tunazitaja zilifanya Transition ni Cape Verde, hata @GeorgeJob14 aliwaongelea siku moja pale wasafi. Nadhani mnaiona Shughuli yao sasa ndani ya kipindi kifupi
Tweet media one
4
8
86
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Hi Megan, I'm Kohelethi, aka KO GRAPH from Tanzania (Africa). I specialize in sports graphics, particularly for football. Would you mind if I share some of my artworks for feedback and suggestions on improvement? Thanks, Kohelethi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
@marayu9
Megan Orpych
9 months
Yo, itโ€™s me againโ˜‘๏ธ๐Ÿ–Œ๏ธ ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ #M9 #smsports #CWC23 #Fluminense #ManCity
Tweet media one
8
11
256
3
17
78
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
@europacnfleague Pelle always ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
0
2
71
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
Ni kweli mwanentu Admin Shaktar anatujali sana Kwa kumpost Mwanetu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Ila MVIVU sana ๐Ÿ˜‚ anabadilisha Logo na Tarehe tuu Picha ileile. Designer wa Bongo Tuingilie Kati ๐Ÿ˜‚ tuwe Tunatengeneza alaf siku wakipost twitter tunaenda kuweka za kwetu kwenye Comment ๐Ÿ˜‚ @Sativa255
Tweet media one
2
9
72
@KohelethiS
KO GRAPHICS
9 months
Kukuche wanangu ๐Ÿ˜Š @lutherakyoo @luhanda_lee @TzFootballers @IamKabote Home coming ๐ŸŽจ๐Ÿ–Š๏ธ
Tweet media one
6
12
67
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
๐Ÿ˜‚ Sema wanangu Tuseme Ukweli Aliyetengeza hii Poster ya Liverpool kuna some Extent ana Connection na page Yangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ eidha Twitter au Insta Angalia Glow nyuma ya mchezaji wa Liverpool ,na nyuma ya wachezaji wa Azam. Halaf angalia makombe yalipo kaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mind you....
Tweet media one
Tweet media two
12
11
70
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
โค๏ธ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Shukrani Sawa mkuu na kwakuwa mwenyewe kaonysha reaction hope itakuwa Kuna hope Kubwa mbeleni ๐Ÿ’ช Ngoja tuandae mabango ya #WANAFUNGIKA
Tweet media one
1
9
68
@KohelethiS
KO GRAPHICS
9 months
Sio tena #BrinPelleHome bali ni HomeComing ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Japo ni majina ya Awali but I hope atapewa nafasi na kocha kwenye Kikosi Cha Mwisho. Shukrani kwa wote walioliongelea hili, @zittokabwe @TzFootballers @lutherakyoo na wengine. 2024 Ni Muda wa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #HomeComing @Sativa255
Tweet media one
2
14
64
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
@yangasc1935 Artwork by me ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Kwa artwork nyingi za mpira Follow me
Tweet media one
3
7
60
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
Today is another historic day where we are going to witness the first Tanzanian ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ to play in the UEFA women's champions League all the best to @MasakaAisha @bkhackenofcl @muan_sports @TzFootballers KO GRAPH WAS HERE ๐ŸŽจ
Tweet media one
0
13
53
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Oyaaa wanangu wa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ˜Š huyo wa katikati ndio Mo Sagaf Pasi Master ambae Ameitwa timu ya Taifa ya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š Twendeni tukawashangaze Wazungu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ @TzFootballers @view_lets @lutherakyoo
@BOREHAM_WOODFC
Boreham Wood FC
8 months
๐Ÿ˜ค Derby day #WeAreTheWood
Tweet media one
23
12
92
0
7
54
@KohelethiS
KO GRAPHICS
11 months
Artwork za weekend by me Kama utatamani kufanyiwa Artwork Dm me ๐Ÿ˜Š 1. @nyuki_malkia
Tweet media one
6
22
54
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Ni kauli gani ukiisikia tuu kutoka kwa mteja, unajua tuu huyuu anataka Kitonga (mserereko)
Tweet media one
13
7
51
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
5. Aisha Masaka, UEFA women's champions League
Tweet media one
3
2
55
@KohelethiS
KO GRAPHICS
9 months
Hii ni Summary ya Mahojiano ya Mchezaji Roberto nditi alipohojiwa kuhusu kuitwa Timu ya Taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Beki wa Forfar, Roberto Nditi, anakaribia safari isiyo ya kawaida, akihamia kucheza Peterhead katika Scottish League Two hadithi Tanzania katika Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon).
Tweet media one
@TzFootballers
Tanzania Footballers Abroad ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
1
5
78
5
11
50
@KohelethiS
KO GRAPHICS
7 months
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Upepo wa Miso missondo Sio kabisa leo Wazee wa Makoti wamepostiwa na CHRIS BROWN ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Singeli ni mziki pekee unaoweza kututambulisha Dunia @Thereal_Kabote
Tweet media one
4
6
52
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
Tomorrow Inshallah ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ #BPH ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
4
6
48
@KohelethiS
KO GRAPHICS
9 months
Ndugu Jamaa namarafiki wa Twitter, Msiniruhusu nimalize mwaka huu bila followers 1K, na uzuri ukinifollow nafollow back. @Sativa255 @jobles_bukujero @CentyUncle @Neypaul01
Tweet media one
3
13
44
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Najaribu kufanya mzoezi na kuangalia namna ya kuboresha namna ninavyotengeza Skin tones za wachezaji, So nimejipa daily Challenge ya kutengeneza Different Skintones kulingana na vitu mbalimbali @Sativa255 #SkinToneChallenge
Tweet media one
4
13
46
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Yanga DESTINED FOR GLORY "a Journey of Champions" Taifa leo litakuwa mikono Salama, Artwork by me
Tweet media one
2
7
44
@KohelethiS
KO GRAPHICS
9 months
Kwa Mahitaji Ya Motion Graphics za Wedding invitation au Pre-wedding, Anniversary Slideshow Unaweza nicheki DM. Hii inafaa pia kwa wale ma Mc ambao hutumia Tv. Karibuni Sana. @thisistemidayo @lutherakyoo @Sativa255
2
14
43
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
Asset zote ziko Tayari @TzFootballers tuanze kazi sasa ya kutengeneza #BPH (Bring Pellegrino Home)
Tweet media one
4
6
37
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
Bring Pelle Home #BPH ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
@TzFootballers
Tanzania Footballers Abroad ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Shirikisho limefanikiwa Kuwarudisha ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Haji Mnoga,Ben Strakie, Kwesi kawawa, Adi Yussuf, Charles Mmbombwa na Rais karia alikiri Ana majina Zaidi ya vijana 60 wenye asili ya Tanzania wanaotamani kuja kuchezea Taifa stars ila Tunaomba a Tuanze na Huyu @AmahlPellegrino #BPH ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
19
73
431
1
7
41
@KohelethiS
KO GRAPHICS
2 years
Artwork zangu za 2022 Zifuatazoni list za Artwork mbalimbali nilizofanya mwaka jana 2022 #Tanzania
Tweet media one
2
6
41
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
@yangasc1935 Artwork by me
Tweet media one
2
3
40
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Another Day another Work, by me ๐Ÿ˜Š Unaweza kutoa Maoni yako na Ushauri ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
5
8
39
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
๐Ÿค” Ipi inaweza kua njia Sahihi ya kukupeleka kwenye Mafanikio? 1. Kupenda Unachofanya 2. Kufanya Unachopenda
Tweet media one
8
10
36
@KohelethiS
KO GRAPHICS
2 years
If you know you know
Tweet media one
9
7
37
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Nimeona kitu kipindi cha pili Especially kwenye Transition kama Samatta angekuwa na energy mpaka mwisho na Zile Chance kutokea pembeni ambazo Tarryn alikuwa wanatengeneza pengine kingetokea kitu
@TzFootballers
Tanzania Footballers Abroad ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 months
Tarryn Mguuni mali ipo
13
2
155
2
1
38
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Huyu sio mbelgium, huyu ni Mozambique ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila ingekuwa Bongo mara mzungu mara nini, @TzFootballers sema tutaelewana tuu
@CAF_Online
CAF_Online
8 months
Mozambique's Ricardo Martins is your TotalEnergies Man of the Match after a great performance. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ #EGYMOZ | #TotalEnergiesAFCON2023 | @Football2Gether
Tweet media one
51
268
3K
5
2
38
@KohelethiS
KO GRAPHICS
9 months
Nahii ndio BEFORE and AFTER
3
4
36
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Mtu anaefahamu Mahali ninapoweza Kupata Graphics Pad na Bei Yake wakuu. @thisistemidayo @IamKabote @Sativa255 @lutherakyoo @CentyUncle
Tweet media one
4
10
36
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
2: Azam Finalist
Tweet media one
1
2
34
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Template nyingine Designed by me kwaajili ya Games mbalimbali zinazochezwa siku hiyo ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ kwaajili ya SATIVA17 ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
1
7
34
@KohelethiS
KO GRAPHICS
6 months
Dakika Chache zimesalia ili kushuhudia Draw ya hatua ya Robo fainali. Je unadhani Simba na Yanga zitapangiwa timu zipi? @Thereal_Kabote @Sativa255 @jobles_bukujero @99Zaburi @thisistemidayo
Tweet media one
2
15
35
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Nazani Digala aliwahi kufanya interview na Samatta, Samatta alisema alienda Genk ingali akijua mshahara atakao lipwa ni mdogo kuliko ule aliokuwa akipata TP Mazembe. Ila Baada ya wao kuona uwezo wake ndio ngoma ikapanda. Hawa Vijana wetu wanakimbilia hela ambazo hazitakaa
@TzFootballers
Tanzania Footballers Abroad ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 months
Hata mimi nimekasirika ๐Ÿฅฒ Ila Nice move all the best Ladack Chasambi ๐Ÿฆ
8
0
52
3
2
33
@KohelethiS
KO GRAPHICS
9 months
Top Scorer katika Ligi kuu ya Norway huku akiweka rekodi mpya ya Ufungaji Mabao sio Mwingine bali Amahl Pellegrino #BPH BRING PELLE HOME ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ @TzFootballers @lutherakyoo @zittokabwe
@Glimt
FK Bodรธ/Glimt
9 months
Toppscorer og mรฅlpoengrekord๐Ÿ’› Amahl Pellegrino๐Ÿ†
Tweet media one
Tweet media two
11
33
692
1
7
34
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
@DeporFinanzas Artwork by me
Tweet media one
0
2
32
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
Taarifa ya Usajili wa Irankunda iliyochapishwa kwenye kurasa rasmi ya Ligi ya Australia imemuonyesha Irankunda akiwa ameshikilia Bendera ya Tanzania na ya Australia ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ @TzFootballers Kama inakuja halaf inakataa
Tweet media one
3
2
32
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
Hivi ๐Ÿค” adhabu kadi nyekundu ya Mwanetu, ataanza nayo AFCON au itabaki kwenye Qualification za World cup? @Sativa255
Tweet media one
3
5
33
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
@SimbaSCTanzania Mheshimiwa Mgeni Rasmi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Artwork by me ๐Ÿ’ช
Tweet media one
1
6
31
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
7. Bring Pelle Home #BPH
Tweet media one
1
2
32
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Top ten ya websites ambazo unaweza kudownload free Fonts! na Descrption Fupi kuhusu sites hizo (Kwa kingeleza ๐Ÿ˜„)๐Ÿ’ป๐ŸŽจ Twende Sawa ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
2
15
31
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Incase You don't know, Graphics designer wa Fabrizio Romano ni mnigeria @BrainiacGfx ambaye anaishi eneo la Ibadan Nigeria ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ. So anamfanyia kazi mtu ambae hayupo hata ndani ya mipaka ya afrika na kazi zinafika na mambo yanaenda. Umbali sio shidah kwa Graphics Designer.
Tweet media one
5
8
30
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Nimependa vile Bournemouth wanafanya Poster zao za Match Day. Nikaamua kutengeneza kama yao ila nikatumia wachezaji wa Chelsea ๐ŸŽจ By me unaweza kuangalia the way Bournemouth wanafanya ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
8
8
30
@KohelethiS
KO GRAPHICS
7 months
NON-LEAGUE NI LEAGUE ZA AINA GANI? ๐Ÿค” ๐Ÿงต ๐Ÿงต ๐Ÿงต kutokana na Sintofahamu kubwa na watu wengi kutokuwa na uelewa wa Non-league leo tutaziangalia Non-league maana yake, Uwekezaji, pamoja na Wachezaji ambao walionekana kupitia ligi hizi nankuwa tishio Ulimwenguni Twende Sawa ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
3
10
29
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
Mi naamimi Wengi wanaweza kufika ila pengine hatuna Connection ya kufika huko @TzFootballers
@muan_sports
Muan_sports
10 months
"Number 2, Sure, He cana Play in Europe, there are players less than him and they are playing ine Europe, He play with intelligence, He think before he Play" Kocha wa Morocco:Walid Regragui
Tweet media one
4
32
705
2
1
31
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Leo Mwanetu Mo Sagaf ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ atakuwa tena mzigono @TzFootballers
@BOREHAM_WOODFC
Boreham Wood FC
8 months
๐Ÿ‘Š Time for some Boxing Day football #WeAreTheWood
Tweet media one
0
1
15
0
1
31
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Ndugu zake @Sativa255 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Vichwa vinawaza kuchekesha Tuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2
9
31
@KohelethiS
KO GRAPHICS
11 months
Sasa unaweza kutazama Kazi mbalimbali ambazo nimewahi kuzifanya na Updates ya Kazi ambazo nazifanya Kupita KO GRAPH WhatsApp Channel Hapa utaweza pia kupata Baadhi ya TIPS na TRICKS ambazo ninazitumia kufanya Graphics (Motion na Normal Posters) @Sativa255 Link Below ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
2
13
30
@KohelethiS
KO GRAPHICS
7 months
Cheza ligi daraja la 3 la 4 6. Je ulipata nafasi ya kuangalia kikosi cha Mauritania na Kufwatilia historia ya maendeleo yao? 7. Je tunaweza kupeleka wachezaji hata 10 kwenye ligi kubwa Ulaya ndani ya miaka 5? Tukijua Chanzo halisi cha sisi kushindwa tutajua tiba yake
5
3
30
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
11. Simba Matchday Friendly
Tweet media one
1
3
30
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Bado Watu 9 Tuu, Nifunge Mwaka na 1K Na kama inavyojionyesha hapo ๐Ÿ˜ ukinifollow nakufollow Back Chap tuu ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ @IamKabote @TzFootballers @jobles_bukujero @Neypaul01 @Sativa255
Tweet media one
2
6
29
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Asanteni wote Mlionipa Ma-deal 2023, Office Yangu imeanza Kubadilika na kutanua Wigo wa Vitu ninavyofanya ilikuwa Bora Zaidi ๐Ÿ”ฅ. 2024 Madeal yaje wakuu ๐Ÿ˜. natamani kuwekeza 4.9 M Kwenye Vifaa ifikapo Mwakani January. Nichangieni kwa kunipa Madeal ๐Ÿ˜ @Thereal_Kabote @Sativa255
Tweet media one
1
9
31
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
@bkhackenofcl Artwork by me
Tweet media one
0
5
28
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
kwa hivyo, kila kitu ambacho ni kizuri sio kamili, ni maalum. Kwa hiyo, kila mwanamke anaweza kuwa maalum kwa mtu. Acha kuwa "mkamilifu", lakini jaribu kuwa huru na uishi, ukifanya kile unachopenda, bila kutaka kuwavutia wengine! โค๏ธ
0
2
29
@KohelethiS
KO GRAPHICS
7 months
TUNACHOKIKATAA SISI NDIO WENZETU WANAKITUMIA EPISODE 1 Leo tutaangalia Vikosi vinavyounda baadhi ya Timu zilizoonyesha kiwango kizuri AFCON, Then kuna kitu nataka tuone @lutherakyoo Tutaanza na Equatorial Guinea kwenye Episode 1
Tweet media one
2
10
28
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Back in Days ๐Ÿ˜Š nilifanya Poster ya Bruno Gomez.. Hope atafanya vizuri this time Season
Tweet media one
5
5
29
@KohelethiS
KO GRAPHICS
2 years
Je Unatumia Window Media Player na umekuwa ukikutana na hii Error ya "0xc00d5212" kila unapofungua .avi video files. Kuna njia mbili za kusolve Tatizo hili, Moja ni ndefu na moja ni fupi, Tutaanza na njia ndefu ๐Ÿ˜ #Tanzania
Tweet media one
3
17
26
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Pellegrino ni Mchezaji Namba Tano kwa Mchango wa Magoli Mengi DUNIANI. @TzFootballers @lutherakyoo @zittokabwe Kulingana na Mtandao wa Mpira wa Miguu wa @SofascoreLA mchezaji wa kitanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Amahl Pellegrino ni mchezaji namba Tano Duniani kwa Mchango wa Magoli 2023.....
Tweet media one
@SofascoreLA
Sofascore Latin America
8 months
๐Ÿ” Lรญderes en Goles + Asistencias en el mundo en 2023: 69 ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo 64 ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Kylian Mbappรฉ 64 ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Harry Kane 62 ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Erling Haaland 56 ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Amahl Pellegrino 56 ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Mohamed Salah 52 ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฆ Denis Bouanga 49 ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Romelu Lukaku 49 ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Karim Benzema 47 ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Mauro Icardi
Tweet media one
2
4
21
3
8
26
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Tanzania Maskini wana ajiriwa kuwakimbiza maskini wenzao wasiingize kipato, So inakuwa ni mchezo wa maskini kukimbizana. Hela anayopata mkimbizaji sidhani kama inakidhi vilivyo mahitaji yake ila ndo hivyo hana namna. Marathon ya Maskini ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
2
4
26
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
8. Baba Paroko
Tweet media one
1
2
27
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Leo ni siku nyingine tuliopewa katika Maisha yetu na Pumzi tuliyonayo ni Ishara ya kwamba tunaweza kuyakabiri yale ambayo tuliyashinda huko nyuma na kuelekea katika ushindi
Tweet media one
1
5
25
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Kazi ambazo nimezifanya Ila siku zipost hapa ๐Ÿ™Œ Short Thread ๐Ÿงต
Tweet media one
3
9
26
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
@Arafat__AH Artwork by me ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช kuona Artwork nyingi za mpira ni Follow
Tweet media one
2
1
25
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Tetesi zinadai kuwa kipengele cha "Kupiga simu" kitakuja hivi karibuni kwenye twitter ๐• kwenye mifumo yote mikuu yaani iOS, Android, Windows, Linux na Mac. ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ Nani atakula Bundle lako sanaa hii ikifika ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
1
7
24
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
From today nitakuwa nikidanya Poster nafanya na Motion yake, hii ni Ya kwanza ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ there is a room for Improvement
6
6
25
@KohelethiS
KO GRAPHICS
9 months
It's Friday Post your artwork Hii ilikuwa Artbord, ambayo niliweka Idea zangu zote ambavyo nataka ziwe kabla ya kwenda kwenye After Effect na Kufanya Motion ambayo tayari nilikuwa nimeifikilia na kuipa foundation kwenye Photoshop
5
7
24
@KohelethiS
KO GRAPHICS
7 months
๐Ÿ˜ Majibu ya Kocha na Captain Mbwana Samatta Baada ya Kuulizwa Kuhusu Match ya Kesho @lutherakyoo @Sativa255 @Thereal_Kabote
3
3
23
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
3. Simba Vs Wydad
Tweet media one
Tweet media two
1
2
23
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
4.Amahl Pellegrino HomeComing
Tweet media one
Tweet media two
2
2
23
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Huwa ana kununulia zawadi kama hizi au ndo tuseme Inshallah ๐Ÿ˜
Tweet media one
4
2
22
@KohelethiS
KO GRAPHICS
1 year
Artwork ya Wakala wa 1xbet Short Thread ๐Ÿงต ๐Ÿงต Artwork by me Karibu tukuhudumie Open Barner
Tweet media one
3
7
23
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Mo Sagaf leo Anaanza Kikosi Cha kwanza baada ya ya kutoka majeruhi ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ @TzFootballers
@BOREHAM_WOODFC
Boreham Wood FC
8 months
๐Ÿ‘Š Your Boxing Day Wood line-up ๐Ÿ’ช Mo Sagaf back in the XI #WeAreTheWood
Tweet media one
9
4
43
0
1
20
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
10. Kibu D Mkandaji
Tweet media one
1
3
20
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
Broo nimeona imefika mpaka Norway kwa baadhi ya waandishi wameiandika Let's prepare kwa mafuriko kesho
@TzFootballers
Tanzania Footballers Abroad ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
๐Ÿ“Œ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1
9
131
2
3
21
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
SkySport wameipa Tanzania Asilimia 0.6% ya kuchukua AFCON 2023 huku wakiipa Senegal Chance kubwa kutetea Taji ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š Ngoja tuone @lutherakyoo @Thereal_Kabote
Tweet media one
3
6
21
@KohelethiS
KO GRAPHICS
9 months
I think you have seen which country's flag he has placed first, Sun or rain, we want him to come and play for the Tanzanian national team #BPH ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ BRING PELLE HOME ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ @lutherakyoo @TzFootballers vita ni vita
Tweet media one
2
3
21
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Fatilia historia ya Mahrez, Mbappe, Karim Benzema, Ansu fati, Inak williams, Wilfred zaha, Adam Turan..... Broo ww uko nyuma saanaaa kisoka, uko zama za anakwenda anakwenda, Burundi wameunda tume ili kufanya hichi kitu, Nenda kasoma Success ya Cape verde recent
@goligani
goligani
10 months
@senior1v Ishu ya kuwakilisha TAIFA inatakiwa kuwa kizalendo zaidi na sio KUSHOBOKEA watu ambao hata kuimba wimbo wa TAIFA ya nchi yao hawajui kisa tu aliwahi kuwa na uhusiano cjui na nani huko. Kuwakilisha Nchi lazima uwe mzalendo kwa nchi yako na sio kila mtu anaweza kufanya ivyo
10
0
4
8
2
21
@KohelethiS
KO GRAPHICS
8 months
Wanangu leo hamjazingati ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ kwa Mara ya Pili Mfululizo @__moejr ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ anaanza kwenye Kikosi Cha Borehal Wood fc, baada ya kutoka Majeruhi @TzFootballers @lutherakyoo
@BOREHAM_WOODFC
Boreham Wood FC
8 months
๐Ÿ“‹ Your Wood line up for this afternoon ๐Ÿ”˜ New signing, Josh Staunton features on the bench #WeAreTheWood
Tweet media one
3
5
26
0
4
20
@KohelethiS
KO GRAPHICS
7 months
Wanacheza ligi Daraja la nne au la 3 Spain? Lakini pia wachezaji wao wengine wanacheza ligi kama Andorra na Romania? 4. Je wajua Top Scorer wa Michuano mpaka sasa akiwa na Goli tano, anacheza ligi Daraja la nne Spain? 5. Wajua Kama Cape Verde wanawachezaji takribani 5 wanao......
1
4
21
@KohelethiS
KO GRAPHICS
11 months
My recent artwork for @Sativa255 Karibuni Tuwahudumie
Tweet media one
Tweet media two
4
9
21
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
Huyu wetu Bwana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mtu kacheza CCM academy ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
@TzFootballers
Tanzania Footballers Abroad ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Kama Charles Mmbombwa atakuja na kuichezea Tanzania nitapenda huu UMAFIA๐Ÿ˜† uendelee tunawachezaji wengi wenye asili ya Congo walio kulia wengine kuzaliwa Tanzania Ambao congo hawana Time nao lakini sisi wanaonesha kuweza kutusaidia kwa tulipo sasa nae yumo kwenye mkeka wa stars
Tweet media one
12
38
582
0
1
21
@KohelethiS
KO GRAPHICS
10 months
@bkhackenofcl Artwork by me
Tweet media one
2
3
20