TRANSFER RUMORS ๐จ๐น๐ฟ
Klabu ya Gรถztepe S.K ya ligi kuu Uturuki ipo kwenye Hatua Za Mwisho Kukamilisha Usajili wa mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania Novatus Miroshi
Novatus Anatarajiwa Kufika Uturuki Hivi Karibuni kukamilisha usajili huo
โ๏ธ
@orcunakten
TAKWIMU ZA AMAHL PELLEGRINO ๐ธ๐ฏ๐น๐ฟ LIGI KUU NORWAY MSIMU HUU
๐Michezo 27
โฝ Magoal 23
๐ ฐ๏ธ Assist 14
โ๏ธ Total G&A 37
๐ Bingwa wa Msimuโ๏ธ
Wazazi wake wote wana asili ya Tanzania ๐น๐ฟ Hajawai kuitwa team ya Taifa ya Norway hivyo ana nafasi kuja kuchezea Tanzania
#BPH
๐น๐ฟ
Benard Kamungo ameitwa kwenye Team ya Taifa ya Marekani ๐บ๐ฒ inatakayo ingia kambini hivi karibuni.
Hope Maswali ya Kamungo yataisha sasa Hapa tumove on tu tushampoteza ๐ค๐ป
Kila la kheri Benard Kamungo ๐บ๐ฒ๐น๐ฟ๐จ๐ฉ
Erick Mwijage Amejiunga na Geita Gold ๐น๐ฟ akitokea West Armenia Ya ligi kuu Nchini Armenia kama mchezaji Huru
Karibu Nyumbani Eric Mwijage ๐ช๐ฟ๐น๐ฟ
Mwaka 1956 Hassan Afif Alizaliwa Moshi Tanzania ๐น๐ฟ na Kwenda Kukulia Somalia๐ธ๐ด akatumikia Team Ya Taifa ya Somalia na Simba Sc Ya Tanzania
Mwaka 1997 Mohamed Sagaf Alizaliwa Somalia ๐ธ๐ด Na kukulia Tanzania na sasa Yuko team ya Taifa ya Tanzania ๐น๐ฟ
Malipo ni Hapa hapa ๐
Mshambuliaji wa Kitanzania Enekia Kasonga lunyamila leo amefunga goal 4 na kuisaidia Team yake Ya
@EasternFlamesFC
kuibuka na ushindi wa Goal 6 - 1 dhidi ya Riyadh katika mchezo wa ligi kuu nchini Saudia ๐ธ๐ฆ
Video za Magoal yake zipo kwenye Comment ๐
OFFICIAL & CONFIRMED ๐น๐ฟ
Gadiel Michael amejiunga na
@CapeTownSpursFC
inayoshiriki Ligi kuu Afrika Kusini akitokea Singida Fountain Gate
Kila La kheri Mbaga ๐น๐ฟ๐ช๐ฟ
Najaribu kumuelewa kocha kwenye hiki kikosi cha match ya kirafiki amejaribu kuwaita vijana wa nje na wa wandani wengi wao wakiwa na miaka 23 kushuka chini ikiwa ni kutengeneza muunganiko wa mapema utakao dumu muda mrefu
#StarsMpya
Beki Abdallah Shaibu "Ninja" anae kipiga Fc Lubumbashi Sport amechaguliwa kwenye kikosi bora cha Nusu Msimu Ligi kuu nchini Dr Congo ๐จ๐ฉ
Hongera Abdallah Shaibu ๐ฅท๐น๐ฟ
Miano Van de bos โ๏ธ ๐ช๐ฌ
Miano ameondoka Tanzania leo Anaelekea Misri Kujiunga Na Team ya Taifa
Mo sagaf, Tarryn allarakhia, Novatus Dismas, Morice Abraham ni Kundi lingine la wachezaji litakalo jiunga na kikosi weekend hii
Elders Mliomshuhudia Baba yake akikichafua Simba Alikuaje? Leo ametupia Magoal mawili kwenye game ya ufunguzi na performance bora sana๐
Qatar 3-0 Lebanon
TAIFA STARS TO โ๏ธBAKU ๐น๐ฟ ๐ฆ๐ฟ
Taifa Stars itakwenda nchini Azerbaijani ๐ฆ๐ฟ Kucheza mashindano madogo ya FIFA Series yatakayo usisisha Team nne kutoka mabara tofauti ambapo Stars itacheza March 22 Dhidi ya Bulgaria ๐ง๐ฌ Na March 25 Dhidi ya Mongolia๐ฒ๐ณ
Baada ya Performance kubwa Kwenye Team ya Taifa Haji Leo amerejea kwenye Majukumu yake ya Club akitokea Sub dakika Ya 85 na kwenda kutoa Assist Muhimu dakika ya 90 na kuisaidia team yake
@OfficialShots
ushindi wa Goal 1-0
@mnogsss
on Fire ๐ฅ๐ฅ๐ฅ Hongera Haji๐น๐ฟ
Naelewa haya Ni majina ya awali kuna baadhi ya wachezaji wanaweza wasitokee Kwenye Majina ya mwisho kuelekea AFCON ila napenda kutoa hongera na shukrani kwa wote tulioshiriki Kampeni ya "Bring Pelle Home" Wote tumefanya jambi kubwa tuendelee kuungana mkono Mpira wetu ๐๐น๐ฟ
Mshambuliaji wa Tanzania ๐น๐ฟ Bernard Kamungo Jana amefunga goal lake la kwanza La Ligi kuu ya Marekani Kwa team yake
@FCDallas
๐บ๐ฒ Match yake ya kwanza pia Kuanza kwenye kikosi cha kwanza
Video kwenye Comment ๐๐
Clara Luvanga jana alifunga Goal Moja na Kutoa Assist Mbili na kuisaidia Team yake Ya Al Nassr Kuibuka na Ushindi wa Goal 4 - 2 Dhidi ya Al Hilal ushindi uliopelekea Team yake kutangazwa ubingwa wa ligi huku yeye akiwa bado anaongoza Orodha ya Wafungaji
Hongera
@AlNassrFCW
๐
BREAKING ๐น๐ฟ
Team ya Js Kabyle Ya Nchini Algeria Imetangaza kuvunja Mkataba na Winga wa Kitanzania Simon Msuva ๐. Simon Msuva alijuunga Na Miamba Hio jully Mwaka huu
GOOD NEWS:๐น๐ฟ
Goalkipa kwesi Kawawa nyota wa Hammarby FC nchini Sweden alipotembelea ubalozi wa Tanzania huko Sweden kukamilisha safari yake kuja Tanzania kuchezea team ya taifa
ยฉ๏ธ
@kenedymosestz
โ๏ธ
Wachezaji wenye asili ya Tanzania , Zion Nditi, Robert Nditi , Twariq Yussuf , Tarryn allarakhia na Mohamed ali sagaf wanao cheza Soka ligi mbali mbali nchini Uingereza wamekutana na kufanya mazungumzo na afisa Ali Mtanda anaeshughulika na maswala ya diaspora nchini humo ๐ฌ๐ง
Benard Morrison anasema kila siku hua anaongea na Mwana FA Aweze kumsaidia kupata uraia wa Tanzania
Vipi wadau endapo atafanikiwa kupata uraia wa Tanzania mtatamani atumike kwenye team ya Taifa? Tuangalie kipaji kwanza au tuzingatie nidhamu kama kwa kelvin john?
Kinda wa Kitanzania Shafii omary Amesaini Mkataba wake wa kwanza kama mchezaji wa Kulipwa katika Club ya Tulzaspor ya ligi Daraja ya Kwanza Nchini Uturuki. Shafii aliekua anakipiga Academy ya Klabu Hio amepewa mkataba wa miaka miwili
Hongera Shafii omary
ยฉ๏ธ
@MwanaspotiTZ
โ๏ธ
UPDATES ๐จ๐น๐ฟ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Mshambuliaji Wa Kitanzania Jack Topley (16)anekipiga Hullcity u18 yupo kwenye Msafara Wa team kubwa ya Hullcity Fc ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Unao kwenda Uturuki Kujiandaa kwa msimu mpya wa championship Uingereza
Kila La kher JT ๐น๐ฟ
UEFA EURO 2024 ๐
Mshambuliaji wa Team ya taifa Denmark na klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani Mwenye asili ya Tanzania Yussuf shihe yurary poulsen amejumuishwa kwenye kikosi cha Denmark kinacho kwenda kwenye mashindano ya Euro 2024
Kila la kheri Poulsen &
@dbulandshold
๐ฉ๐ฐ
Beki Wa Kitanzania Jana Alifunga Goal pekee la ushindi dhidi ya Royal Am Fc Lilioisaidia team yake ya ya Cape Town Spurs kupata point 3 muhimu Katika kujinasua kutoka katika nafasi za chini katika msimamo wa ligi kuu nchini Afrika kusini ๐ฟ๐ฆ
NATIONAL TEAM CALL UP ๐น๐ฟ
Kiungo Mshambuliaji Taryn Allarakhia anae kipiga
@WealdstoneFC
๐ฌ๐ง amejumuishwa kwenye Kikosi cha Taifa stars Kitakacho Kwenda kwenye mashindano ya AFCON 2024.
Jina la Taryn ni Miongoni mwa majina 55 ya mwanzo ambayo badae yatachujwa kuelekea AFCON
Sio tena
#BringPelleHome
bali ni HomeComing ๐น๐ฟ
Japo ni majina ya Awali but I hope atapewa nafasi na kocha kwenye Kikosi Cha Mwisho.
Shukrani kwa wote walioliongelea hili, shukrani Za pekee kwa
@KohelethiS
aliehusika kwenye graphics zote za kampeni hii
#HomeComing
HAJI MNOGA UPDATES ๐น๐ฟ
Klabu ya Portsmouth inayoshiriki championship England Imetangaza kuachana na beki wa Kitanzania Haji Mnoga Ambae amemaliza mkataba wake klabuni hapo na sasa mchezaji huru huku team mbali mbali za madaraja tofauti uingereza zikionesha kuvutiwa nae
NAME: Omar Abbas MVUNGI
POSITION:Forward
BIRTHPLACE:Dar Es Salaam
NATIONALITY: Tanzania ๐น๐ฟ
DATE OF BIRTH
9/8/2004 (18Yrs)
CURRENT CLUB:
@Nantes
๐ซ๐ท
FORMER CLUB: cambiaso Academy ๐น๐ฟ
Mshambuliaji wa Kitanzania Enekia Kasonga lunyamila anae kipiga
@EasternFlamesFC
leo amefunga Magoal NANE 8๏ธโฃ kwenye Ushindi wa Goal 18-0 katika mchezo wa Saudia FA women's Cup
๐คฉ
#SokaLaWanawake
๐น๐ฟ
Mshambuliaji Simon Msuva Jana Alifunga Magoal mawili ya kufutia machozi Wakati team yake inapokea kipigo cha Goal 5 - 2 dhidi ya Al arabi katika Mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Saudia ๐ธ๐ฆ
Msuva Amefunga magoal matatu katika michezo miwili ya Mwisho ๐ฅ
TRANSFER RUMORS ๐จ
klabu ya Colchester United ya daraja la pili Uingereza imeonesha nia ya kumuhitaji Beki wa Kimataifa wa Tanzania Haji Mnoga
Aldershot ambao alikua kwa mkopo msimu ulioisha inahitaji sign yake lakini Haji hana mpango wa karejea National league kwasasa
PLAYER TRIAL ๐น๐ฟ๐
Beki Miano van den bos amepata nafasi ya kufanyiwa Majaribio katika Klabu ya Elche CF inayoshiriki ligi daraja la kwanza Hispania (Laliga 2) ๐ช๐ธ ili kuangaliwa uwezekano wa kusajiliwa klabuni hapo
Kila La kheri Danilo ๐น๐ฟ๐ณ๐ฑ
FIFA RANKINGS ๐
Team ya Taifa Ya Tanzania Taifa Stars Imepanda ๐ Nafasi Tano kutoka nafasi ya 119 Mpaka nafasi ya 114 katika orodha ya viwango vya FIFA ilio tolewa leo june 20 ,
Goalkipa Kwesi Kawawa ameiitwa kwenye kikosi cha Tanzania kitakachoingia kambini Kujiandaa Dhidi ya Niger Na Morocco katika michezo ya kufuzu Kombe la dunia
He is here ladies and gentlemen ๐น๐ฟ๐ฅ
Hongera Novatus Dismas Miroshi Na
@FCShakhtar_eng
Kwa kuhsinda Ubingwa wa Ukrainian Cup ๐บ๐ฆ
Ukrainian league Champions ๐๐ฅโ๏ธ
Ukrainian Cup Winners ๐๐ โ๏ธ
Pongezi Kwa Mshambuliaji Said Khamis Said Na Klabu Yake ya Fk Jedinstvo Kaa Kufanikiwa Kupanda Ligi Kuu ya Serbia ( Serbian SuperLiga) ๐ท๐ธ kwa Msimu ujao 2024/25
Hongera na Kila la kheri kwa msimu ujao ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐ท๐ธ
Wale wachezaji walioitwa Kweny kikosi cha Team ya Taifa Ningependa wapewe hii game ya kirafiki Dhidi ya Zanzibar kwanza ๐๐ japo wengi wana asili ya Zanzibar kama vipi wachague upande kama khelfin naona tayari kaitwa Zanzibar
Wabongo mnajikuta mnajali sana umri kuliko uwezo wa Mtu as if mna hao vijana sasa wenye uwezo zaidi ya Pellegrino wa kuisaidia team ya Taifa au team zenu Simba na Yanga zimejawa na Vijana watupu wa kizawa ๐๐ Messi amechukua Kombe la dunia akiwa na miaka 18 eti?