George Job Profile Banner
George Job Profile
George Job

@GeorgeJob14

204,778
Followers
231
Following
551
Media
10,883
Statuses

Sports analyst Wasafi Media

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Mr & Mrs George Job. @Rasheedah13
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
308
202
4K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
🚨BREAKING NEWS: Klabu ya @yangasc1935 imerejesha pesa(112m) zilizolipwa na Feisal Salum "Feitoto" tarehe 22/12/2022 kwa lengo la kuvunja mkataba wake na klabu hiyo. Zaidi, klabu imemuandikia barua mchezaji huyo na mamlaka za soka kutaka mkataba baina yao uheshimiwe.
374
176
4K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Fiston to @pyramidsfc its a matter of time..confirmation to follow. @YoungAfricansSC will pocket a transfer fee of around 2B.
Tweet media one
167
140
4K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Ilikua ndoto ya vijana kukutana tena..finally leo imekamilika!
Tweet media one
43
79
3K
@GeorgeJob14
George Job
7 months
Kiutani utani tu tutakuja kuachwa kwenye mataa..mkuu wa masoko Chelsea na rais wa Zanzibar, Chelsea wataitangaza Zanzibar kiutalii na kujenga kituo cha soka.
Tweet media one
110
113
3K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Nilichokiona mpaka sasa kwenye Simba day kinatosha na kinaridhisha..itoshe kusema tamasha limefana.🙌🏻
79
130
3K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
All the best son @jobdick05 am proud of u.
Tweet media one
31
40
3K
@GeorgeJob14
George Job
7 months
Get well soon my friend..ukipona nitaitisha press ili uweze kuziongelea hizi 4.
Tweet media one
31
71
3K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Tweet media one
17
66
3K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Mkude kaamua kumchana Inonga.
121
47
3K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Watueleze tu kuwa Mandonga ni influencer wa boxing na sio pro boxer pia tuwekwe wazi kuwa fight zake ni za maonyesho sio ushindani.
158
59
3K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Kwanini kituo cha mabasi cha Mawasiliano kina andikwa kama "simu 2000"?🧐
192
72
3K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Ameilipa klabu yake pesa kiasi cha 112m ikiwa ni thamani ya kununua mkataba wake uliosalia na klabu hiyo. Kwasasa nyota huyo hayupo pamoja na timu kambini kujiandaa na mchezo wa jumapili dhidi ya Azam.
Tweet media one
107
57
3K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Hii tuzo ya Sakho imeiheshimisha klabu yake lakin pia imeweka rehani mustakabali wake. Tuzo itavutia wanunuzi.
109
69
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 months
🚨 BREAKING: Mshambuliaji wa Simba Kibu Denis Prosper ameondoka nchini Tanzania leo saa 10:45 jioni kwa ndege ya Ethiopia flight namba ET804 kuelekea Stockholm (Sweden)
Tweet media one
123
75
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Kwanini wamevaa jezi za wananchi? Hadi ile jezi ya mauaji kule Tunisia nayo imevaliwa mule dooh!
64
44
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Kuna mwamba huko kachapa lile jackpot la 1.25B la Sportpesa dadeki.
81
39
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Naomba elimu kidogo..strength ya huyu mshambuliaji ni ipi?
Tweet media one
340
29
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Mazembe kapigwa goal la setpiece na Yanga hivi nao mabeki wao ni wafupi?
121
76
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Shukrani kwenu!🙏🏻
Tweet media one
55
30
2K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Wape tabasamu imeisha salama..sasa turudi kwenye uwakala, @SimbaSCTanzania tukutane weekend nawashushia mtu wenu. @azamfc tayar tumemalizana. Wananchi @YoungAfricansSC bado kidogo naweza kuwashushia MVP wa next season.
Tweet media one
90
54
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
I hope kuna mpunga mwengine nje ya hiyo BAJAJ..Hivi angeshinda Mmexico hii bajaji angeenda nayo Mexico?
151
50
2K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Mudathir Yahaya kuihakikishia Yanga ubingwa kwenye uwanja wa Chamazi itakua ni moja kati ya kumbukumbu zake kubwa kwenye soka.
Tweet media one
30
78
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Asante kwa kushiriki Real Madrid.👋🏻👋🏻
479
45
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Tweet media one
49
30
2K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Yassin Ally mwamba wa wiki.😄
Tweet media one
38
30
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Sio tu wamefungwa..na msako wamepigwa pale Emirates.kuwafunga Spurs na Liverpool hiyo ni statement toka kwa Arsenal.
70
41
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
First international goal..great penalty son! @jobdick05
Tweet media one
Tweet media two
14
28
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Tutafute hela jamani mambo ya kutegemea ukweli na uhakika kuangalia kombe la dunia tutapishana sana na uhondo.
120
73
2K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Kwahiyo wamepigwa faini kwa kuwashutumu marefa ambao nao wamefungiwa kwa kushindwa kutafsiri sheria. Both teams to score!🤝🤝
141
55
2K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Turkish Airline TK525 Tareh 13/07/2023 Kutua 23:30pm.
Tweet media one
53
50
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Erasto Nyoni ni kama alijua hatari ya kutoa faulo kwenye eneo lile.
66
38
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Hizi ndo fainali ambazo team zetu zinataka kucheza?🤔
184
32
2K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Naomba kuuliza, kwahiyo tulifurahia kitendo cha Inonga kwa Mayele ila hatujapenda maneno ya Banda kwa Inonga?
201
56
2K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Kuna shabiki wa Yanga anaweza kuponda kurejea kwa Chama lakini alifurahia kurejea kwa Makambo.
142
97
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
MLETE MZUNGU will be number one on Ligi kuu trending this week.
34
35
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Haya aliepiga mpunga leo kupitia mechi za EPL atuonyeshe mkeka wake.😄
129
45
2K
@GeorgeJob14
George Job
1 month
Karibu sana ndugu yangu! Sasa tuna nafasi ya kufanya kazi pamoja.🤝 Kukosa Arena sikuhiz itakua ni jinai.
Tweet media one
68
62
2K
@GeorgeJob14
George Job
14 days
Fountain siku ya kwenda Chamazi waende na Mungu upande wao.
108
51
2K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Nahitaji kuwa na game moja tu kwenye simu yangu, ni game gani unaweza nishauri? Please not candy crsh..can be a sports game or mission.
331
80
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Bad news to MAKAMBO
55
35
2K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Sasahivi ndo mashabiki wa Simba wanajua kuwa Haji ana waongelea zaidi wapinzani kuliko timu yake..ndo wanasema leo kuwa Sports Arena inalipwa na Gharib kuichafua Simba. Kweli mkuki kwa nguruwe!
225
81
2K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Huyu Remmy from Bolt huwa ana watumia na nyie emails au ni mimi tu?
245
37
2K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Nimeona mahala kuna mjadala umeibuka kati ya Martinelli vs Greenwood. Binafsi nitaondoka na Mason Greenwood.
206
35
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Spot the dffrnce?
Tweet media one
831
59
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Headers, acrobatics, solo goals, outside box, inside the box he scores from any situation..Mayele is Yanga's super weapon.
45
78
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Kmmk* uongozi wa Juventus..haya mambo ya kumuacha Dybala halafu sisi tuna hangaika.🤬
152
26
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Maisha bhana! Kwahiyo Ronaldo ana tafuta team hata ya mkopo ilimradi acheze UEFA champions league ambayo nayo hana uhakika wa kuichukua? Hii concept nimeshindwa kuielewa kiukweli.
139
44
2K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Daah! Wife kaamua kunichapa kijembe kwa whatsapp status. 😂
Tweet media one
77
40
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Picha halisi ya Yanga bila Mayele.
121
30
2K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
🚨 BREAKING NEWS: Baada ya kukamilisha uhamisho wa Bangala kutokea Yanga huenda @azamfcofficial ikampunguza kiungo wao Isah Ndala ili kutimiza idadi ya wachezaji wa kigeni (12). Taarifa zinaeleza kuwa Ndala hafit kwenye mfumo wa mwalimu mpya. 🎯 To be confirmed.
Tweet media one
47
41
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Aishi Manula amefanyia kazi moja kati vitu ambavyo vilisemwa kuwa ni kasoro yake, penalties! Great penalty save kwa mara nyengine.
43
25
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Badala ya kubeza na kuwaona kama ni European rejects! Nadhani tuanze kuangalia kwa jicho lengine kuwa ligi yetu imeanza kuattract wachezaji wenye profile kubwa kama hao (former EPL & Ligue1 players)
77
37
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Hii mvua imesha punguza uhondo wa mechi ya leo, Lupaso haitokua sawa.
39
29
2K
@GeorgeJob14
George Job
10 months
Lisemwalo lipo kama halipo basi laja.. dirisha dogo si ni mwezi ujao?
Tweet media one
Tweet media two
117
36
2K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Together we hve it all champ.
@jobdick05
Dickson Job
1 year
Family we may not have it all together, but together we have it all. #TheCaptainShark 🦈
Tweet media one
45
127
4K
21
28
2K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
What a play from John Bocco! Game over.
20
37
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Set completed at the age of 22. 1. Premier league ✅ 2. Community shield ✅ 3. FA Cup ✅ 4. Mapinduzi cup ✅ Waiting to see if we can add a second FA cup on 2nd of July vs Coastal Union. Congrats son @jobdick05
Tweet media one
Tweet media two
75
48
2K
@GeorgeJob14
George Job
11 months
"Hawaamin kwenye kuunda Kiba/Diamond wawili wanacho amini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe dili." @FidQ kwenye ngoma yake ya SUMU alituachia hii mistari yenye maana kubwa sana.
Tweet media one
Tweet media two
37
73
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
John Bocco hakuwa offside kwenye goal la Moses Phiri?
191
25
2K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Uhamisho wa Yannick Bangala uko mbioni kukamilika.Yanga imepokea ofa ya 100m kutoka kwa @azamfcofficial Yannick alibakisha mkataba wa mwaka mmoja na klabu yake ya @yangasc BISHARA 1️⃣ Mayele 2.8B 2️⃣ Feisal Salum 200m 3️⃣ Yannick Bangala 100m 4️⃣ Shaban Djuma 100m ⏳
Tweet media one
81
75
2K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Its ok to be misunderstood sometimes, nadhani caption ina eleza hoja yangu. Mjadala ulikua ni CAF champions league kabla ya michezo ya robo fainali. Ndio sababu last line nilitumia mfano wa Ahly na Mamelodi.
Tweet media one
444
67
2K
@GeorgeJob14
George Job
7 months
🚨 BREAKING: Mazungumzo ya kufanikisha pambano la Hassan Mwakinyo vs Twaha Kiduku tayari yameanza kushika kasi. Wadau kadhaa tayari wamejitokeza, ofa ya kwanza 100m kwa kila bondia imepigwa chini. Maboresho ya 200m kwa kila bondia pia yaligonga mwamba.
94
85
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Thibaut is the best goalkeepr in Europe currently. The debate is open.
86
26
2K
@GeorgeJob14
George Job
9 months
Kwa project mpya ya Simba wachezaji wa kigeni ningebaki na Inonga, Malone, Ngoma na Baleke. Wengine ningeachana nao kwa sababu mbalimbali. Wapo watakao ondoka kwasababu walishafanya makubwa klabuni na kwasasa hawawezi kuoffer tena kikubwa zaidi ya hapo na hawawezi kuwa back up.
138
67
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Hawa Argentina wamekuaje favourites kutwaa ubingwa? Nadhani kigezo kilicho tumika ni Messi.
117
26
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Zalan Fc goalkeeper anajitafutia signing yake.
38
20
2K
@GeorgeJob14
George Job
5 months
Mwenye kale kasauti ka wekaaa wekaaa..humu tuuu..humu tuuu! Anisaidie tafadhali.
34
63
2K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Kwahiyo wachezaji wote watavaa namba 29?
166
38
2K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Achaneni na siasa za Manzoki Jean Baleke kwasasa ndio mtu wa uhakika zaidi.
69
47
2K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Ila Tanzania aisee, kwahiyo ghafla tu mchezaji haruhusiwi kuingia mkataba binafsi na kampuni shindani inayo dhamini ligi kuu! Duniani huko Barclays alidhamini ligi na Liverpool akavaa Standard chartered. Wakati Man utd wakivaa adidas Ronaldo ana mkataba binafsi na nike.
106
42
2K
@GeorgeJob14
George Job
6 months
Hujui hata robo ya sakata hili na bado unajiona uko kwenye nafasi ya kumuita mtu MSALITI. Usisubiri TFF hata wewe unaweza kumfungia.
@Mzeewajambia
Wilson Oruma 🇹🇿
6 months
Mpaka sasa Dickson Job anachotakiwa kushukuru ni TFF hawajamfungia Kabisa kucheza Taifa Stars Lakini alichokifanya kukataa kucheza Mechi Muhimu ya AFCON dhidi ya Dr Congo huku tayari akiwa ameshachukua Posho ambayo ni kutokana na Kodi zetu ni USALITI. UNACCEPTABLE 😡
Tweet media one
378
43
1K
322
95
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
When Morrison decides to play..
31
26
2K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Nina uhakika yule askari itakua alighadhibishwa sana na yale matokeo, akaamua kumtia mabuti mwana. Huwezi kumtandika vile Simba mwenzio.😅
75
26
2K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Hivi huwa wanasikilizaga nini kwenye hizo airpods muda wote?
156
32
2K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Juventus imeshinda na twitter/X yote imefurahi..
Tweet media one
13
16
2K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Hii ishu ya Mason Greenwood, Mungu nifundishe kunyamaza.
59
32
2K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Nimehamia kwenye soda za take away kwani tofauti si jero tu?🚶🏼‍♂️🚶🏼‍♂️
80
30
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Stadium manager should be responsible for this.
79
18
2K
@GeorgeJob14
George Job
6 months
Umeomba kuvunja mkataba, klabu imekukubalia. Kulikua na haja gani tena kuongolea masuala ya viongozi na team wanazo shabikia? Siwatetei lakini hii kitu haikua na haja ya kuongelea Mwana mfalme.
154
63
2K
@GeorgeJob14
George Job
10 days
Nacheka tuu lakini hawa watu wawili wameniuma sana roho..haswa Dybala.
Tweet media one
22
26
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Diara's save from Mugalu's header thats a super save.
36
25
1K
@GeorgeJob14
George Job
20 days
Tuweke sawa hapa..tunazungumzia haki ya BINADAMU na MTANZANIA mwenzetu sio jambo la KIJINSIA. Maana mshaanza kuweka/kutanguliza mambo ya kijinsia tusichanganye mambo tafadhali.
39
144
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Augustine Okrah..Okrah Magic 🪄
22
20
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Kuna mtu anaweza kunielewesha wanacho fanya Utd kwenye eneo lao la goalkeeping? Walianza na kumleta Lee Grant..wakaja Tom Heaton, Martin Dubravka na sasa Jack Butland. Timu hiyohiyo iliwaacha Sergio Romero na Dean Henderson waondoke.
85
18
2K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Mondi ft Zuchu from the EP..damn!! 🔥🔥🙌🏻
41
37
1K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Jonas Mkude long balls..so far so good!
32
43
1K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Kwani alikua ana fikiria nini Baleke? Kuna mechi alishafanya hii kitu pia.
65
27
1K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Ally Salim mechi za Yanga anakua kama kazaliwa upya..that save against Mzize was fantastic.
19
28
1K
@GeorgeJob14
George Job
11 months
Watu hawaelewi kwanini Floyd alianzisha Mayweather promotions na bado wanajiuliza kwanini Floyd ni tajiri kuliko mabondia wengine wengi, na bado hawajui kwanini wazungu na promoters wengi walichagua kumchukia Floyd.
36
54
1K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Tuzo ya kipa bora imepata mpinzani halisi.
39
21
1K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Anaweza kuwa mfungaji mzuri lakini Mayele si mpiga penalty mzuri.
59
24
1K
@GeorgeJob14
George Job
1 year
Tuna msindikiza ndugu yetu kocha @George_Ambangil
Tweet media one
24
16
1K
@GeorgeJob14
George Job
6 months
Team zetu zimekutana na draw ya mtego sana..Ahly na Mamelodi ni vigogo wa soka Africa, lakini ni kipimo sahihi cha kukuza soka letu. Tunahitaji kupita dhidi ya vigogo ili kuingia kwenye meza ya vigogo.
50
84
1K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Denis Nkane to Yanga its a done deal..taarifa zinaeleza kuwa ni mkataba wa miaka mitatu (3).🟡🟢
Tweet media one
47
32
1K
@GeorgeJob14
George Job
11 months
Hii dini ya kikristo inafanyiwa mzaha sana kwa engo ya ubunifu. Imefikia point ambayo inabidi watu waanze wapate reaction kali kama upande wapili.
83
41
1K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
Vijana wangu ⁦ @jobdick05 ⁩ na ⁦ @KibwanaShomar15 ⁩ wana jambo lao la kijamii..tafadhali tuungane nao kufanikisha hili.
Tweet media one
29
99
1K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Kwa mtazamo wangu la Makambo lilipaswa kuwa goal.
51
24
1K
@GeorgeJob14
George Job
3 years
Marehemu baba yangu alikua shabiki mkubwa wa Man utd..alimpenda sana Wayne Rooney kiasi cha kumuota mara kadhaa. Mpaka ana fariki this February Bruno Fernandes ndio alikua kipenzi chake. Kwa kumuenzi nitanunua jezi za Utd kila msimu kuanzia next season. RIP Mr. JOB.
81
44
1K
@GeorgeJob14
George Job
2 years
I think Utd are getting Eriksen at the wrong time or late..
149
23
1K