@kampalasfinest
this is often caused by having excessive emotions and not being able to reduce emotions... you know the act of loving homosexuality is not easy for people who are very aware of it... this is a situation in order for it to happen, those people must be desperate The problem here is
@Mkunga_Og
Hawa watu wamesha tumia njia nyingi sana kwaajili ya hii mambo so unakutana na kjn anatumia dawa sana madhara yake ndio hayo...ukitofautisha na wagonjwa wa sukari, presure , na watu wanao tumia dawa za maginjwa makubwa ....hii huwa ni athari za watu wengi ndani ya maisha yao
@diamondplatnumz
Zuchu kazingua knoma....wote mboso na platnum wako na good look lkn zuchu jap kavaa miniskert lkn bado haitoshi kApandisha....lkn huenda uwezo wake ndo umeishia hapo mpk kuinesha mapaja akat kk Platnum na mboso wapo na sut imekaa powah.
I'm boreed......to zuchu.
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema jambo linalomsikitisha kwa Wafanyabiashara wa Tanzania ni kuuza mazao nje kwa bei ndogo na sio ambayo wanapangiwa na Serikali.
#Clouds360
#CloudsTvNiMkataba
Hatimae ujumbe umefika Msikilizen huyu dada kagusa vitu vya msingi sana....wadogo zetu wa kike jifunzeni kitu hapa. Lkn pia wanaume tuchukue point hapa....its important kama utamuelewa....
*SALAMU ZA SIKUKUU*
Tunawatakia Sherehe njema za Eid Al-Adha Waislam wote.
Mwenyezi Mungu na awape Kheri na Fanaka, Sherehe hii ikawe MUBARAK kwa kila Mja wake - Amina!
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@Psiteshio1
SOCKS hukuruhusu kutumia zaidi ya anwani moja ya IP, hutumiwa zaidi kwa madhumuni ya kuchana kwenye wavuti, au kuunda akaunti nyingi za watumiaji. VPN hutumiwa sana na watu wanaotaka faragha na wanataka kuficha maeneo yao kwa ajili ya matumizi ya kimsingi ya wavuti.
Duuuuh 😟😟😟
Yani UNAKATA viungo vya MWANAO alafu unazunguka kutafuta mteja......😟😟😟
Unaroho Gani?
Nimesikiliza hii report ya polisi nikaumia sana...
Msikilize mwenyewe...
Video Kwa Comments👇🏾