Kuna vitu unaweza kufanya online na ukalipwa bila kuwa na hata 0tshs kama una bundles na smartphone na shughuli hizo ni kama
• Testing
• Surveys
• SocialFi
• Research
• Airdrops
• Focus Groups
• Interviews
• Case studies
• Experiments
• Micro tasks
•
Nimefanya research Miaka 10 nimegundua salon ya kiume inalipa kuliko ya kike.
Nimekuwa manager miaka 6 chini ya salon zote 2 na Kila mwisho wa mwaka nilingundua salon ya kiume imeingiza pesa zaidi.
Ndugu Mtanzania, kama hujui ufanye Nini na una pesa at least 1M unaweza...
Siku Moja nikiwa naogelea Chemka Hotsprings nikakutana na demu mkali.
Tukaanza kuogelea wote Huku tukipiga story za hapa na pale na kufahamiana.
ilipofika jioni akaniambia tutaondoka na gari lake...
Ndugu Mtanzania kabla ya kuendelea na huu Uzi gonga LIKE Kisha shuka nao
Demu mmoja mwaka 2019 akaniambia
"Mimi siwezi olewa na mwanaume ambaye hajajenga"
Nikaguna, nikamuuliza kwanini unasema hivo? akasema
"Siwezi olewa kwenye nyumba za kupanga"
Nikasema OKAAYY
Sasa 2020 nikamkuta ana ujauzito...
Nikasema OKAAYY
2021 nikamkuta na mtoto lakini
Weka jina lako la biashara nami nitakuundia logo 1
Logo itakuwa 100% high resolution
Na Kwa fonts, style, color, design Hadi 50%.
Nitaunda Kwa watu 20 wa kwanza watakao retweet pekee na Kila logo nitaitumia dakika 2
Retweet, weka jina.
Unampeleka mkeo kwenu kajifungua,
Unasema akakae pale kidogo
Kumbe bana huko kwenu hakuna ampendaye mke wako
Yaani hata Mama Yako hampikii, ingali ni mzazi
Anamka anaenda kukata majani ya ng'ombe kuliko amhudumie mkeo
Ukioa hakikisha unaishi mbali na familia zote 2
Wapwa Leo Naomba Tuinuane Sana, Kama Uko ChiniYa Followers 20K, like na ku comment hapa kisha Follow Wale Wote Watakao Like Comment Yako Pia watakufollow back Usisahau Na Ku Retweet ili ujumbe Ufike Mbali Zaiidi Tuinuane Leo.🙏🙏🙏🙏
Nimepata habari mbaya sana muda huu.
Ukweli mkubwa ni kwamba vijana tunawindwa sana na shetani,
Vijana tupo kwenye hatari kubwa mnoo ya kuuwawa, kuwa vichaa, misukule na mambo mengi..
Leo asubuhi mapema saa saa 11 alfajiri napigiwa simu na...
Bidhaa huko China ni Bei za kutupwa, Kuna umuhimu wa kuwa na viwanda...
Wewe Tanzania ukinunua t-shirt Kwa 15000/= unaona umepiga bingo
Wakati huko China ni TSH 900/=
Jifunze kutumia Alibaba....
Good morning Tanzania.
Nimecheza kamari zaidi ya miaka 6, na nikagundua kuwa ni umaskini.
Wacheza kamari ni maskini wakubwa, hawana wazo,
Matajiri wamefilisika, wameuza mpaka nyumba nimeshuhudia.
vijana wengi wezi na matapeli, ombaomba na Wana nguvu za ...
#Thread
#retweet
Kama mmeo ni mzinzi huyo huyo mrekebishe maana umepewa na BWANA
Kama ni mlevi huyohuyo mhudumie vizuri, akija mvue nguo, muogeshe na umlishe kama amezidiwa sana.
Mpeleke kitandani alale.
Akiamka mpe nguo nzuri za kuvaa, huku ukimpa breakfast ya nguvu na makiss moto moto.
Kabla hujanunua gari niee, Onana na Serikali ya Tanzania kwanza
Lisije kukwama Bandarini....
Lexus ya million 13, Kodi yake ni million 119
Hii Serikali 😂 Ina mpango gani na wananchi kweli?
Nauza nyumba yangu kwasababu ya msimu wa kilimo nimeshindwa kumalizia.
Location: Arusha-Makumira
Ukubwa wa kiwanja 23 Kwa 22.
Bei: million 30. Mazungumzo yapo kidogo.
Nyumba Ina : 3 bedroom, 1 master, kitchen and dining, public washroom
Kutoka lami umbali wa dakika 8.
Blogs zinazoingiza mkwanja mrefu hapa Tanzania.
MillardAyo estimated revenue
Kwa siku 480,000/=
Kwa mwezi 14,400,000/=
Bongo5 estimated revenue
Kwa siku 432,000/=
Kwa mwezi 13,000,000/=
Mwananchi estimated revenue
Kwa siku 523,000/=
Kwa mwezi 15,7000,000/=
Umegundua Nini?
JPM alipofariki ulikuwa wapi? Ulifurahi au ulihuzunika?
Mimi nilikuwa nacheki mechi ya UEFA Banda umiza Chelsea vs Atletico Madrid.
(Watu walifurahi sana) sikujua kwanini
Hii picha nilipiga 2014
Miaka 10 iliyopita.
Nilikuwa namwaga zege hapa na kupata pesa
Vijana mnaosema hamuoni Cha kufanya, wekeni degrees pembeni
Jichanganye, Anza kupiga vibarua
Uliwahi sikia websites ambazo ni hatari na zinauza bunduki, madawa ya kulevya na hata viungo vya binadamu?
Sitaki kusema mengi, hapa chini nimelist website zaidi ya 56 ambazo ni hatari sana kwenye internet. 👇👇👇
Kama Bado hujaoa na una demu wako
Amini nakuambia kipimo number 1 ni kuombwa pesa
Kama akikuomba pesa, huyo achana nae,
Niamini japokuwa Mimi sio nabii
Kabla sijafunga office, weka jina la biashara/duka/kampuni nikuundie logo 1 buree.
Watu 10 wa mwanzo tu ku retweet na kuweka jina la biashara watapata logo muda huohuo.
Retweet, weka jina, nifollow
Nimeona hizi sarafu nikakumbuka ushirikina.
Kuna wale jamaa Huwa wanazitafuta, unakuta sarafu ya 20 TSH ya Zamani anatoa 500,000/=
Hivi huu ni ushirikina? Au Huwa wanaenda zifanyia Nini? Zina kazi gani?
Nani anajua hata kidogo kuhusu hizi sarafu za zaman au noti
Elon Musk anajibu hata mtu mwenye followers 10
Hata ukimwambia Elon Musk "Hi" ana reply,
Mtu anayerusha vyombo sayari za mbali huko, sio level yetu kabisa lakini Hana majigambo
Wewe mkulima mwenzangu kulikoni?
Vanilla 😥😥😥
Nimefanya research kidogo tu nimegundua mambo ya kutisha nyuma ya kilimo Cha vanilla
Naombeni niendelee na research zaidi, (Kwa ajili ya ushuhuda na uwazi) nitaleta Uzi namna ambavyo makampuni ya Vanilla ya.....
Tafiti haijakamilika USIOGOPE SANA
Wapwa Leo Naomba Tuinuane Sana, Kama Uko ChiniYa Followers 100K, like na ku comment hapa kisha Follow Wale Wote Watakao Like Comment Yako Pia watakufollow back Usisahau Na Ku Rt ili ujumbe Ufike Mbali Zaiidi Tuinuane Leo.🙏
Muwe Na Jumapili Njema
Mungu ni mwema.
Baada ya kuanza kufanya shughuli za Technology hapa Twitter miezi 4 iliyopita
Leo nimepata mteja wa website ambaye amelipia 800k na nimeanza kazi
Hii ni kazi ya kwanza kabisa kutoka Twitter
Nataka kusema nimekuwa nikipata calls nyingi lakini wanajipanga
Weka jina lako la biashara nami nitakuundia logo 1 buree.
Logo itakuwa 100% high resolution
Na Kwa fonts, style, color, design Hadi 50%.
Nitaunda Kwa watu 50 wa kwanza watakao retweet na Kuni follow pekee na Kila logo nitaitumia dakika 4
Retweet, weka jina, follow
@Psiteshio1
Naomba Leo Tuinuane Kidogo Kama Uko below 10k like na ku comment hapa kisha Follow Wale Wote Watakao Like Comment Yako Pia wanakufollow back
Teleza na Followers Jumapili hii🙏
Simu 23 za kununua mwaka 2024 chini ya 300,000/=
Gonga LIKE kama unapenda Kuni support.
1. Samsung S9
• Camera 12mp
• Battery 3000mah
• 4GB RAM
• 64GB ROM
• Size 5.8''
Bei 289,000/= tsh 👇👇👇
Jinsi Ya Kuandika CV/Resume Kwa Dakika 1 Kwa Kutumia AI
Katika thread ambayo hutojuta nii hii,..
Watu wengi wamekosa kazi Kwa kushindwa kuandika CV, ni aibu.
Ondoa aibu Yako Leo....
(Bookmark kabla hujalia baadae)
Gonga LIKE twende kazi👇👇👇
Imagine sai umelala na kitoto Cha miaka 14.
Ni uhaini mtupu, ukatili mkubwa.
Ni mambo ya aibu sana, ni laana kwenye familia na hata Taifa la Tanzania.
Kataaa kuolewa chini ya Miaka 16
Kazi 180 za wenye mitaji
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na
kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na
kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
Jumatatu ya Kuinuana imefika leo, Kama uko Bellow 37K comment handle name yako hapa chini watu wakufuate chap, na Kama bado sijakufuata comment FB hapa chini zoez hili lidumu ndani ya masaa ma tano tu. Twende Kazi... 💪🥑
Ukiingia gafla hapa utafikiri wana agenda kuu ya kuinua Taifa
Kumbe wamechanganyikiwa,
Wengine hapo wamehaliwa pesa za bosi zao walizokuwa wanapeleka bank
Wengine mshahara wa mwezi umeishia hapo
Vijana ni Taifa la Kesho, Taifa haliwezi kuishi Kwa kubeti, kubahatisha.
Njia za kupiga mpaka million 7 Kwa mwezi hapa Twitter
Kwa anayeanza unatakiwa uwe na
• Followers 500+
• Miaka 18+
• 5M impressions
Kwa uliyetimiza hapo juu unatakiwa uwe na hichi kimoja
• Blue Tick
Kwahiyo, kama unaanza au upo chini ya followers 500 Nini cha muhimu
Leo Niko shambani na TT55.
Kama unanunua mpya After 3 years make sure umeuza, bada ya mwaka wa 4 inaanza kupigika Kila kona.
TT55 Raha yake inakimbia sana,
Mali utazipata shambani,
Betting inalipa sana.
Mambo 5 ya kupiga pesa online ukiwa umelala,
1. Blog
2. E-commerce
3. YouTube
4. Dropshipping
5. Affiliate marketing
Tuanze na blog ni Nini?
"Nimenunua gari Kwa hii blog, "
@Wakale_
Blog Ina pesa. Blog ni 25,000/= tu kumiliki Yako.
Moja ya jambo kubwa nataka kufikia Mwishoni mwa mwezi huu
Kila aliye follower wangu awe amejua namna ya kuagiza bidhaa China na Nairobi
Kama Bado hujajua, Like Kisha reply neno SIJAJUA
Nami nitakujibu instant kama bot.
Pichani: Bei Ya jumla ni 3000/= unakuja kuuza bongo 22k
Usimlipe fundi pesa akale kitimoto, tatua matatizo ya laptop Yako mwenyewe.
Gonga LIKE kama unapenda Kuni support....
(Bookmark baadae utalia ukiwa na laptop)
Fungua Uzi sasa 👇👇👇
Weka jina lako la kampuni nikuundie logo 1 buree.
Watu 10 wa kwanza tu watakao retweet na Kuni follow watapata logo.
Logo hizi zote zitakuja bila icon yoyote, kujaribu huduma zetu.
Retweet, weka jina.
Mwaka 2010 nikiwa Sina hili Wala lile
Nikiwa nakaribishwa kwenye maisha,
Ikatokea nafasi ya kazi za kumwaga zege
Walikuwa wanahitajika vijana 10 tu na awali 6
Na Mimi nikajisemea Wacha niende, ilipofika asubuhi
Nikadamka nikawahi site, kufika getini nikaona vijana kama
Weka jina lako la Biashara nikuundie logo 1.
Leo nitaunda logo 1000 ndani ya dakika 5 nitaitumia (AI April Fool day)
Kila mtu Leo atapata.
Retweet, weka jina lako la biashara.
Pia, usisahau kunifollow.
Watu wote watakaotuma kabla ya saa 4 asubuhi watazipata instant.
Watu maskini wanakopa pesa wakajenge nyumba
Utajiri ni matokeo ya mambo 3
• Income
• Savings
• Returns
Yaani Utajiri = Income+savings+returns
Kwahiyo unatakiwa ku focus kuongeza KIPATO chako, kuweka akiba na kuwekeza.
Jambo lingine ni kuishi chini ya KIPATO chako, kuepuka
Good morning Tanzania.
Leo nataka kununua vitu vingi zaidi, lakini kutoka Wanangu wa Twitter.
Weka biashara Yako hapa pia picha za kutosha za bidhaa husika, Mimi na wengine tutapita kukuungisha.
Kesho Jumatatu saa 1 Jioni tutakuwa LIVE CHAT Kwenye telegram channel yetu
Tukileta mchongo mpya wa kuunda million dollars
Watu 30 nitawashika mkono Bure kuunda at least million 1
Bonyeza link kujoin Kwa maelezo zaid
Gonga LIKE na comment kuchukua seat
Ndio unapita road unakuta mzigo mkubwa katikati ya road
Unafikiri ni mlevi aliuacha hapo, kumbe ni tajiri mkubwa
Kuna mtu anaomba ushauri, pichani Kuna maelezo ya kufedhehesha tunaomba radhi
Good morning Tanzania
Mvua kubwa sana zinanyesha Arusha, ni muda wa kutia Mbegu.
Mdau mmoja anasema
"inakera sana Kila redio kila TV kika kipindi cha redio kuna Tangazo la kubahatisha weka buku Ubukue, kila mtaa au eneo la baa kuna mashine ya kamari Nchi yenye ardhi kubwa ya
Zijue Apps/Software/Websites 3 Ambazo Ni Kama Mihadarati,
Hutakiwi kuzijua kabisa kwasababu ni hatari Kwa afya ya watu wengine.
Gonga LIKE Kisha shuka na Uzi👇
Kijana tajiri wa Dar Es Salaam aitwaye Hamis analala kwenye geneza zaidi ya miaka 15. Hana mke, Hana watoto. Lakini mpunga ni mrefu, naona unataka kusema neno 😁😁
@elonmusk
Israel is the Nation of God, its battles are great.
There are many enemies.
The enemies cannot prevail, but the Nation of God will triumph forever.
So that the name of God may be glorified