Victoria C Mwanziva Profile Banner
Victoria C Mwanziva Profile
Victoria C Mwanziva

@victoriacharlz

32,706
Followers
1,799
Following
9,534
Media
39,648
Statuses

District Commissioner- LINDI, Lindi Region. Government of the United Republic of Tanzania 🎓 Master’s Degree in Public Administration 🇹🇿 #LindiKuchele

Lindi, Tanzania
Joined January 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kula kiapo cha uongozi kwa nafasi ya Mkuu wa Wilaya mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka tarehe 30 Januari, 2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe. #LudewaYetu #LudewaYaSamia #UongoziShirikishi #KaziIendelee @HLudewa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
26
33
249
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
VICTORIA MWANZIVA ✅
Tweet media one
139
115
3K
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa baraka hii ya kuaminiwa na Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan -kuwa Mkuu wa Wilaya (Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe)
Tweet media one
280
112
2K
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
4 years
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii maishani mwangu🙏🏽 Nawashukuru wote waliokua nasi katika maombi; na katika kufanikisha hili Mwenyezi Mungu awabariki Sana ✨✨ A New Beginning @gipsongeorge45 🌟🌟 #GibsonWedsVictoria
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
175
121
2K
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
1 year
Tweet media one
54
116
2K
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
ASANTE MWENYEZI MUNGU Tumeanza safari hii na Mwenyezi Mungu; na hatimaye tumeimaliza safari hii na Mwenyezi Mungu.
Tweet media one
191
72
2K
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
3 years
May we always be surrounded by love, abundance, happiness and gratitude🙏
Tweet media one
42
42
2K
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
By the Blessings of the Almighty; I have Graduated with my Masters Degree in Public Administration from the Harbin Institute of Technology, China 🎓🎓 Kwa Baraka za Mwenyezi Mungu nimehitimu masomo yangu ya Shahada ya Uzamili 🎓🎓🎓 #HarbinInstituteofTechnology #Graduation
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
185
98
1K
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
3 years
GO SIMBAAAAA❤️❤️❤️ @simbasctanzania #NguvuMoja
Tweet media one
21
42
1K
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
1 year
Thank you God Almighty for blessing me with another year, Happy Birthday to me 🎂🥳 Prayers for Blessings, Wisdom, Abundance, new avenues for growth 🤲 August 16th ❤️🎂🎂 Asante Mwenyezi Mungu kwa baraka zako zote nazidi kukutumainia na kukutanguliza kwa kila hatua🤲
Tweet media one
192
87
1K
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
4 years
🧵Uzi wa kozi mbalimbali ambazo zinaweza kusomwa na Vijana mtandaoni kwa malengo ya kujiongezea ujuzi na uzoefu; utapata Cheti kilichohakikiwa utakapomaliza kozi hizo mtandaoni 💻 Tusome, Tujifunze, Tujiongezee maarifa na ujuzi👩🏽‍💻🧑🏽‍💻
40
458
1K
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
Chumvi haitakufaa kwa chai asubuhi, ila itakufaa kwa mboga mchana Usivunje uhusiano na mtu sababu tu umegundua kuwa sio rafiki. Kwenye maisha hatuhitaji marafiki tu. Tunahitaji watu wote. 📝 📝📝
69
203
1K
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 months
Nanyenyekea kwa kutumia fursa hii kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa baraka zake daima katika hatua zote; Ninapenda kumshukuru kwa dhati; Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania- Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuniamini na kunipa nafasi ya kuwatumikia wana
Tweet media one
210
89
1K
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
4 years
Ninamshukuru Sana Mungu kuweza kupata wasaa wa kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Muwakilishi wa Vijana Mkoa wa Dar-Es-Salaam (Ubunge Viti Maalumu- Vijana Mkoa wa Dar-Es-Salaam- UVCCM) kupitia Chama Cha Mapinduzi @ccm_tanzania @uvccm_tz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
65
58
957
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
Mtanzania Denis Chinamo, anayesomea Uhandisi- Jijini Chengdu- China ashika nafasi ya kwanza ktk riadha kwenye mashindano ya chuoni kwake Watanzania wanaosoma China wanaendelea kuwakilisha vema katika nyanja mbalimbali- 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Huku wakiendelea na masomo yao hapa China 🇨🇳
88
105
918
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Grateful for my Birthday; August 16th- Feeling Blessed. Handing over my life to the Almighty because he is the protector- through his blessings all things are possible. Wishing for Wisdom, Patience, Abundant Love and Happiness from all that surrounds me 🌟🌟🌟🌟🌟
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
144
58
849
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
Shukrani kuu zimfikie Mwenyezi Mungu kwani nimepata tuzo na utambulizi maalumu wa kuwa Mwanafunzi bora katika chuo ninachosoma cha Harbin Institute of Technology, China ambapo ninasomea Masters in Public Administration
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
99
81
766
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
You degree is just a piece of paper, your education is seen in your behavior ✍🏽✍🏽✍🏽✍🏽✍🏽
33
108
696
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
4 years
Mhe 👋🏽 @JMakamba Asante kwa kujitoa ili tupate nafasi ya kujifunza zaidi kuhusiana na Taifa letu 🇹🇿 Nashukuru sana kuwa mmoja waliopata nakala hizi adhimu za #NyerereBiography Zaidi nawashukuru wote walionipendekeza kuona nafaa kua miongoni mwa wenye fursa hii 📚
Tweet media one
Tweet media two
58
74
681
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Tovuti za Vitabu Mtandaoni; Online Book Websites 📚📚📚
39
332
665
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
3 years
Asante Mwenyezi Mungu kwa baraka ya mwaka mwingine ndani ya maisha yangu🙏 Grateful to God Almighty for the blessing of another year in my life🤲 #August16 #VictoriaMwanziva
Tweet media one
Tweet media two
102
22
581
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
4 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
19
48
552
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
Very Grateful to receive an award for one of the best presentations at the Silk Road and Young Dreams Forum in Beijing, China Aug 11-14th It's an honor to have represented my Country #Tanzania in this #BeltandRoad Youth convening I presented on African Youth Development 💪🇹🇿
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
39
105
544
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
Salaam wakuu Karibuni mpitie Website nilizoainisha za kupata fursa aina mbalimbali, hizi ndizo website kuu ambazo Vijana hutumia kutafutia fursa za kimataifa za Mikutano, Midahalo, Semina, Scholarships dunia anima Karibuni Sana, Asanteni Sana
37
210
525
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Eid Mubarak Everyone 🌙🌟 #EidMubarak
Tweet media one
Tweet media two
34
21
495
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Really Grateful to have successfully defended our Masters Theses today- at the #HarbinInstituteOfTechnology in #Harbin Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu kwa hatua hii ya muhimu ya kutetea maandiko yetu ya kuhitimu masomo ya Uzamili hapa chuoni kwetu Ni jambo la Baraka kubwa 📚📚
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
58
44
483
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Ninakushukuru sana Mume wangu Mr. Gibson Bayona @gipsongeorge45 kwa kuwa nami kwa kila hatua; kunishika mkono; kuniombea- kunishauri; kunipa moyo- kuniimarisha kiimani na kiungozi. Mwenyezi Mungu aendelee akubariki sana. #LudewaYetu #UongoziShirikishi #KaziIendelee
Tweet media one
Tweet media two
43
37
492
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Je Wajua? Nchi ya China imewekeza kwenye Reli kiasi kwamba ukizirefusha reli zote za China zinaweza kuzunguka Dunia mara mbili 🌏 🌍 Reli za China nyingi ni za Kasi na zinatumia umeme; ni mojawapo ya usafiri mkuu kwa watu waishio China. 🚞 🚅 #ElimikaWikiendi
Tweet media one
Tweet media two
44
90
468
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
SALAMU ZA SHUKRANI Kwa dhati ya Moyo Wangu Naishukuru Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuniamimi, kuona ninao uwezo, natosha, na kunipitisha kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi kwenye Uchaguzi Mkuu 2022
Tweet media one
83
60
428
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
8 months
Mkulima mmoja alikuwa na punda aliyedumu naye kwa miaka mingi sana aliyemsaidia shughuli za kilimo na uchukuzi, alikaa naye toka akiwa mtoto mpaka punda akawa mzee kabisa. Siku moja wakiwa wanatoka shambani, kwa bahati mbaya yule punda alitumbukia kwenye kisima kirefu sana
Tweet media one
64
63
423
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
4 years
Thanking God for the blessing of life❤️ Thanking God for the blessings that surround me. Praying for his guidance in each and every step in life. Asante Mwenyezi Mungu kwa Baraka zako. Nashukuru kwa kumbukizi ya siku yangu hii ya Kuzaliwa #August16 #HappyBirthday
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
56
30
415
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
I’m overwhelmed by this Appreciation and Recognition🙏🏽🙏🏽 Nimekuwa Nominated kuwania tuzo za “For The Culture Alliance”- China, Tuzo hizi zinalenga kutambua wadau mbalimbali wanaofanya vitu vyenye kuinua Diaspora Nchini China 🌟🌟🌟🌟🌟
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
42
52
388
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Eid Mubarak Eid Al Adha Blessings to you and your families 🤲
Tweet media one
18
23
388
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 months
“Ee Mwenyezi Mungu, Baba wa mbinguni, Asante kwa siku hii maalum ya kuzaliwa ambayo umenipa. Nakuomba uniongoze na kunipa hekima na ufahamu wa kukujua wewe zaidi. Nisaidie kuishi maisha yaliyojaa upendo, neema na unyenyekevu. Nisaidie kutembea katika njia yako na kuwa na imani
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
95
47
398
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
3 years
First Female Minister for Defence in Tanzania 🇹🇿 Dr Stergomena Tax @DrTaxs @DrTaxs @DrTaxs All the best in your tenure ✅✅
Tweet media one
8
32
390
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Mungu atuepushie mioyo iliyojaa Husda, Unafki, Roho za Kwanini, Uchoyo, Nafsi za Kusengenya- Tabia za kuzibiana riziki na kuneneana mabaya, Wivu na Chuki za aina zozote. We deserve better 🤲🏽🤲🏽🤲🏽 It begins with me & you 👊🏽👊🏽👊🏽 🖋🖋🖋🖋🖋🖋🖋
29
56
358
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
1 month
Tanzania Salama na Mheshimiwa Rasi wetu Dkt Samia Suluhu Hassan🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫡🫡🫡 #TanzaniaSalamaNaSamia
Tweet media one
83
24
369
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
9 months
Blessings and Gratitude 🙏🙏
Tweet media one
21
29
349
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
4 years
SAMATTA @Samagoal_77 Thanks for being our Champion we are very proud of you #Tanzania @FBespor @Fenerbahce_EN GO GO GOAL💥💥💥💥 Jersey on point from @shaffihdauda1 ⚽️ ⚽️ ⚽️ #HainaKufeli #Samatta #SamaGoal
Tweet media one
Tweet media two
20
33
334
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Thank you God Almighty for your continued blessings, Grateful for this day. Living my life in service for your grace. August 16th, Birthday Blessings 🎂🎂🎂
Tweet media one
Tweet media two
49
31
332
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
MAMBO 13 KATIKA PESA AMBAYO UNAPASWA KUZINGATIA (Thread) 1. Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.
56
169
333
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Kheri ya kumbukizi ya siku ya Kuzaliwa Mheshimiwa Rais; tunakuombea Dua njema za baraka, kheri na mafanikio katika kila hatua yako ya utumishi na uongozi kwa Taifa letu la Tanzania. Tunakushukuru kwa dira yako ya maendeleo katika Taifa letu Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 @SuluhuSamia
Tweet media one
10
30
321
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
SCHOLARSHIP THREAD: Please share these opportunities within your networks👇 1. Australia Award Scholarship () 2. LPDP Scholarsh hip () 3. DIKTI Scholarship Dalam Negeri ()
17
237
305
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
FURSA za Kimasomo nchini China 🇨🇳 kwa Watanzania 🇹🇿 (Thread) Yafuatayo ni maelezo ya namna ya kuomba fursa za kimasomo nchini China Maelezo haya yameandaliwa na Watanzania wanaosoma China- kupitia HEOCT (Higher Education Opportunities in China for Tanzania)
36
133
301
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Tunakushukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia kwa kutoa vyombo vya usafiri kwa ajili ya watendaji wa Kata hapa Wilaya ya Ludewa. Tumepokea na tumewasilisha kwa watendaji- wanashukuru wanaenda kuchapa kazi 🇹🇿 #LudewaYetu
Tweet media one
28
19
305
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
MAOMBI 7 kwa ajili yako 1.Mungu akupe neema ya kuishi 2. Akukinge na mabaya 3. Akufungulie mlango wa baraka 4. Mto uliofurika mema uelekee kwako 5. Watu wabaya wakusahau, bali wema wakukumbuke 6. Akusamehe kama unavyowasamehe waliokukosea 7. Akupe moyo wa kutoa, kuliko kupokea
12
65
286
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
50 REASONS TO READ BOOKS (Thread) 1. Books help to feel more confident. 2. Books help to travel around the world in the cheapest way. 3. Books develop your personality. 4. Books provide food for thought. 5. Books make you laugh and think.
10
141
282
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 months
Namshukuru Mwenyezi Mungu nimefika na kuripoti rasmi ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi na kupokelewa na Mhe Zainab Telack RC Lindi leo Septemba 5, 2024. Umekuwa wakati mwema kuripoti katika kituo changu cha kazi cha Wilaya ya Lindi baada ya kile cha awali Wilaya ya Ludewa Mkoa wa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
57
41
288
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
4 years
❤️Happy Mother’s Day to All Hardworking Moms our there- Keep taking care of your families and raising your children to be a blessing that they are to this world ❤️ #HappyMothersDay
Tweet media one
15
17
280
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
Wadau👋🏽 Kuna Mdada mmoja anatafuta kazi ya Saluni Kwa maeneo ya Ubungo, Riverside/Kimara/Sinza/Mwenge maana ndio maeneo yake Tumsaidie Mdada huyu kwa atakayekuwa na chance naomba anicheki DM tafadhali nimpe mawasiliano yake Anajua Kazi zote za Saluni, na anasuka vizuri sana 🙏🏽
3
65
265
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Tumefurahi Sana kukutana @VwalaViola kwa mara ya Kwanza 😍😍🌟🌟(Victoria na Viola❤️) Hakika Bonanza hili ni zuri sana kwa kutuleta pamoja kushare mawazo na kufahamiana zaidi. @TOTBonanza #TOTBonanza #TOTBonanza2019
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
21
270
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Tweet media one
12
20
261
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Kidumu Chama Cha Mapinduzi Komradi wenzangu, wajumbe na wapiga kura wa Mkutano Mkuu @uvccm_tz . Hongereni kwa Majukumu ya Ujenzi wa CCM, UVCCM na Taifa letu. Kwa moyo Wangu wa Dhati Nakuomba kura yako ya NDIO kwa Victoria Charles Mwanziva kuwa Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa.
Tweet media one
51
49
266
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
3 years
DONDOO UJIO WA TSH TRILIONI 1.3 KUTOKA IMF ⬇️⬇️ 1. Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari. 2. Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi. 3. Kutengeneza madawati 462,795. 4. Kumalizia vyuo vya VETA 32. 5. Magari 25 ya kuchimba visima vya maji.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
38
50
259
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Ninamshukuru Mwenyezi Mungu nimefika salama Minnesota @UMNews ambapo ninashiriki @WashFellowship ambayo ni Programu ya Mafunzo ya Uongozi kwa Vijana wa Kiafrika- nchini Marekani Tayari kuanza kozi ya Leadership in Public Management @usembassytz #YALI2022 #UMNProud #TANZANIA
Tweet media one
Tweet media two
45
29
259
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
“Tunakwenda kufanya kazi mpaka ngazi ya Kitongoji, tutakwenda kuwasikiliza wananchi wanahitaji nini, twende tukasikilize kero na zikatatuliwe hapo kwa hapo. Watendaji nchi nzima jipangeni kwa sababu ni lazima mjibu kero na kuzitatua" - Ndugu @sophiamjema1 , Katibu wa NEC CCM Taifa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
31
16
260
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
3 years
PICHA RASMI - UVCCM TAIFA - @uvccm_tz Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi - Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi - Taifa (UVCCM) - @uvccm_tz Ndugu, Comrade, (Cde). Victoria C. Mwanziva @victoriacharlz
Tweet media one
29
19
256
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Grateful to be part of the YALI- Young African Leaders Initiative- Mandela Washington Fellows 2022 @WashFellowship 📚 Leadership in Public Management track at University of Minnesota - Twin Cities @UMNews #YALI2022 #MandelaFellows #MWFConnect #MWF2022 #UMNProud #UMNDriven
Tweet media one
13
37
257
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Harvard university is offering 67 courses for free during this pandemic Share the link with anyone who wants to spend their time learning something new.
11
142
259
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
Asanteni sana kwa Utambulizi na Support hii, Tunajitahidi kadri ya uwezo wetu Watanzania tuliopo masomoni Nchini China kuwakilisha nchi yetu vema katika nyanja mbalimbali Kitaaluma Shukrani za kipekee ziufikie Ubalozi wetu kwa kutuongoza na daima kutuinua @TZEmbassy
@CloudsMediaLive
Clouds Media
6 years
MTANZANIA AWEKA REKODI CHINA...! Mtanzania Victoria Mwanziva, amepata tuzo maalumu na utambuzi maalumu kama Mwanafunzi bora katika chuo kikuu cha Harbin Institute of Technology, Mjini Harbin, China ambapo anasoma Shahada ya uzamili yaani Masters in Public Administration.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
57
119
1K
27
40
250
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
SIMBA NGUVU MOJA 🇹🇿🇹🇿 #ThisIsSimba ❤️❤️❤️
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
17
17
249
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
UTALII KUPITIA ZIWA NYASA Meli inasafiri kila wiki siku ya Alhamisi Saa Saba mchana kutoka Kyela kwenda Mbamba- Bay kupitia Ziwa Nyasa. Hufika Mbamba Bay siku ya Ijumaaa saa nne Asubuhi. Ludewa ya Utalii 🇹🇿🇹🇿 #LudewaYetu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
19
55
257
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
4 years
Tweet media one
7
9
238
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 months
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka hii ya kuonana na Mhashamu Baba Askofu Eusebio Kyando- Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe. Asante Sana Baba Askofu Eusebio Kyando kwa kunipokea na kukubali ombi langu la kuniona kwa dhumuni la kukuaga rasmi, kupata busara, nasaha na hekima
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
19
28
246
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Hospital ya Rufaa ya Kanda - Chato mkoani Geita.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
11
29
233
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Tulimuahidi Waziri wa Maliasili kuwa Wilaya ya Ludewa itaendelea kutoa elimu kwa vijana na watu wote ya umuhimu wa utunzaji mazingira na kuyafanya mazingira hayo kuwaingizia kipato #LudewaYetu @HLudewa
Tweet media one
Tweet media two
19
24
234
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
It was an honor not only to attend but witness this historic moment- the launching of the Autobiography of the former president I am looking forward to reading this Autobiography with outmost concentration for key lessons from one of our very best #MyLifeMyPurpose
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
36
233
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
4 years
Have a Blessed Day everyone 🙏🏽 May God Almighty keep guiding us and protecting us 🤲🏽 Happy Reading everyone #MwalimuBiography #NyerereBiography
Tweet media one
8
11
232
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
Hatimaye nimeipata #FYNbyFalsafa @FYNbyFalsafa it smells absolutely perfect; my best new fragrance by our very own🇹🇿🇹🇿 @MwanaFA Let’s support our Tanzanian brands 💪🏽🇹🇿
Tweet media one
Tweet media two
8
18
216
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Daraja la Wami, Mkoani Pwani.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
11
21
212
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa 1. Daniel Chongolo - Katibu Mkuu CCM 2. Anamringi Macha - Naibu Katibu Mkuu CCM Bara 3. Said Mohamed Dimwa - Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar 4. Sophia Mjema - Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi 5. Dkt. Frank Haule - Katibu wa Uchumi na Fedha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
15
21
220
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Fursa za kimataifa kwa Vijana kutoka ktk Taasisi mbalimbali Duniani- Karibuni tuzipitie- Funding, Semina, Mashindano, Mafunzo mbalimbali 👇🏽👇🏽👇🏽 Top 35 Fully-funded Opportunities for Africans The door of opportunities are open for you. Go right in and thrive! ⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️
16
94
214
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
📍 Dodoma Mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Tanzania Jenerali @VenanceMabeyo , akicheza mchezo wa Gofu kuashiria uzinduzi wa Mradi wa wa Uwanja wa Gofu, Hoteli ya nyota tano na kituo cha michezo katika eneo la Jeshi Ihumwa leo Juni 28,2022 Jijini Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
5
19
214
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
4 years
Mgombea Urais ametanabaisha nini amefanya🇹🇿 Kinachoendelea kufanyika📑📑 Na nini atafanya akiaminiwa tena✅ Hotuba yake imebeba dira ya Taifa letu Si kila mahala na si kila wakati anaweza kupatikana Raisi kama huyu- ni Dr John Pombe Magufuli @MagufuliJP Pekee 🇹🇿
Tweet media one
10
26
211
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 months
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka ya kushiriki Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa; Na kuwasilisha Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Wilayani Ludewa. Tunamshukuru Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan- kwa hatua za Maendeleo Wilayani
Tweet media one
Tweet media two
30
19
206
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Honored to participate in the International Conference on “Africa & China Jointly Promoting Sustainable Development” Organized by African Union Commission- Department of Economic Affairs China Africa Institute & Chinese Academy of Social Sciences @AU_Economy @_AfricanUnion
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
31
204
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Very grateful to the the recipient of the -“For The Culture Awards” by For The Culture Alliance- Presented in Shanghai, China Nov 16th Receiving in the Category for the Person who uplifts “Diaspora by bringing forth Opportunities , Change and Positivity” ❤️I appreciate 🇹🇿🇹🇿
Tweet media one
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
I’m overwhelmed by this Appreciation and Recognition🙏🏽🙏🏽 Nimekuwa Nominated kuwania tuzo za “For The Culture Alliance”- China, Tuzo hizi zinalenga kutambua wadau mbalimbali wanaofanya vitu vyenye kuinua Diaspora Nchini China 🌟🌟🌟🌟🌟
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
42
52
388
29
30
202
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Ulikuwa wakati mwema kupata nakala yangu ya #MimiNaRais kutoka kwa @LelloMmassy kwenye #TOTBonanza #TOTBonanza2019 Naamini ntapata mengi mazuri kwenye kitabu hichi 📚📚📚 Asante Sana 📚📚📚
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
24
199
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
SCHOLARSHIPS TENABLE IN THE PEOPLE’S REPUBLIC OF CHINA FOR THE ACADEMIC YEAR 2020/2021 Deadline: *Wednesday, 5th February 2020.*
6
73
193
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
7 months
Eid Mubarak !! 🌙✨ #EidMubarak
Tweet media one
10
18
198
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
3 years
MHE BALOZI TOGOLANI MAVURA🙌🙌🙌 @tonytogolani Hongera Sana Mkuu🤲🤲 God is great🙏
Tweet media one
6
19
197
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Mwisho niwaombe Wana-Ludewa, Mkoani Njombe- mnipokee na mniridhie kuwa Mtumishi wenu. Mwenyezi Mungu atubariki sote. Victoria Mwanziva
30
12
196
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
The alluring Zanzibar Island always leaves a lasting impression to all who visit it- Karibuni Tanzania, Welcome to Tanzania @TheEllenShow @HKigwangalla @CarolNdosi @tonytogolani @KennedyMmari @TZEmbassy @PWegesa #Zanzibar #ZanzibarIsland #TanzaniaUnforgettable #Tanzania
12
91
193
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
1 year
Nikiwa na Afande SSP Joannes Baitange- Mkuu wa Gereza na Mdhibiti wa mradi wa Kilimo Gereza la Ludewa. Sambamba na SSP Mariam Kija- Mkuu wa Gereza Msaidizi- Gereza la Wilaya ya Ludewa. Nilipopata wasaa wa kufanya ziara ya kutembelea Gereza la Wilaya Ludewa. Gereza hili lipo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
9
26
191
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Nawatakia Wana-Ludewa na Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Pasaka. Kumbukumbu hii ya kiimani iwe ya kuendelea kuliombea Taifa letu amani, umoja, upendo, mshikamano na weledi wa daraja ya juu kabisa wa kila mmoja wetu, katika kulifanya kuwa bora zaidi. #LudewaYetu
Tweet media one
23
20
195
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
Nawashukuru sana @CloudsMediaLive kwa nafasi hii ya kuwasilisha maoni yangu juu ya Mahusiano baina ya China na Tanzania- Nimejitahidi kugusia ya muhimu mengi iwezekanavyo haswa kwa upande wa Fursa za Elimu & Hatua mbalimbali za Watanzania waliopo China (Shirikisho @tasafic ) 🇹🇿
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
28
183
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
6 years
Dah nashindwa kabisa kuutoa wimbo wa Baba Diamond kichwani kwangu🤦🏽‍♀️
32
10
179
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
11 months
Kheri ya Sikukuu ya Uhuru “Tanzania Imara, Kazi Iendelee”
Tweet media one
7
34
186
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
“The most important thing is to try and inspire people so that they can be great in whatever they want to do.” —Kobe Bryant Thank you for being one of the greatest athletes ever 🙏🏽🙏🏽 #RIPMAMBA
1
22
183
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
VIJANA NDIO DHAMANA YA CHAMA CHA MAPINDUZI Namshukuru sana Mwenyezi. Mungu kwa hatua hii, kwa baraka hii ya kuaminiwa kuwania nafasi ya MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2022-2027
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
20
31
183
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
2 years
Tunakutakia Kila la Kheri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kwenye ushiriki katika Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) @_AfricanUnion #Agenda2063 #AfricanUnionSummit
Tweet media one
11
15
184
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
🌟Grateful and Appreciative 🌟 @Joh_tegA with the 📸
Tweet media one
Tweet media two
4
13
180
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
3 years
Nashukuru sana kwa imani hii- Vijana wenzangu tushirikiane katika kila hatua ili tuzidi kusongesha jumuiya yetu mbele🙏 “Imani huzaa Imani” #VIVAVIJANAVIVA
@uvccm_tz
UVCCM TZ
3 years
📸 Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu @Victoriacharlz #VivaVijanaVivaa #UVCCM #TukutaneKazini
Tweet media one
17
23
185
41
10
185
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
3 years
🌟🌟🌟🌟🌟 I want to strike it rich with God, the riches of His power, To reach the world with His great love, to serve Him every hour. I want to be His messenger no matter where He sends me, To walk by faith and not by sight through grace which He extends me.
Tweet media one
6
14
181
@victoriacharlz
Victoria C Mwanziva
5 years
#TOTBonanza #TOTBonanza2019 with @fredkavishe so great to link up 🔗🔗🔗 Keep moving forward Mkuu 🤝🤝
Tweet media one
4
11
180