@shirad21 Profile
@shirad21

@shirad21

2,851
Followers
4,985
Following
2,854
Media
5,671
Statuses

inspirational quotes | Man united fan | Real madrid fan | yanga fan| sport and music fan apdate.

Tabora, Tanzania
Joined June 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@shirad21
@shirad21
9 days
@Labella_Mafia95 Pamoja na juhudi zako kwenye kutafa maisha usisahau yakuwa ni Mungu pekee ndiye anayeruhusu mabadiliko yakupate, Hivyo usi msahau kwenye mahangaiko yako. Happy new Montb
Tweet media one
4
9
217
@shirad21
@shirad21
10 days
@Labella_Mafia95 Usisahau kumuomba Mungu tunaishi kwenye dunia ambayo shida zako zinawapa watu raha na raha zako zinawapa shida.
4
6
60
@shirad21
@shirad21
13 days
Tweet media one
0
6
46
@shirad21
@shirad21
10 days
Tweet media one
1
2
31
@shirad21
@shirad21
13 days
Tweet media one
2
4
25
@shirad21
@shirad21
2 months
0
0
24
@shirad21
@shirad21
16 days
0
0
25
@shirad21
@shirad21
9 days
Tweet media one
0
3
25
@shirad21
@shirad21
12 days
@Labella_Mafia95 Moja kati ya watu walio kuwa wana ishi mbele ya muda ni huyo imagine ivyo viatu ata Young lunya ajawai vaa ata leo
5
1
23
@shirad21
@shirad21
11 days
“Tafuta nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela, katika kupitia hatua hizi lazima ukubali maumivu ya mchakato mzima" ~ RUGE MUTAHABA Rest Easy Champ💔
Tweet media one
10
14
23
@shirad21
@shirad21
9 days
Tweet media one
4
0
21
@shirad21
@shirad21
10 days
@Labella_Mafia95 Wakikusaidia mahali leo kuna siku watakusaidia na vingine kwenye ndoa yako vitakuumiza. Pambana kaka lipa hata laki maisha yataendelea ukishindwa tafuta kwengineko utapata
Tweet media one
0
2
22
@shirad21
@shirad21
10 days
@Labella_Mafia95 Kwenye dua zako usiache kumuomba Mungu akuepushe na mitihani ya maradhi na umasikini
Tweet media one
1
1
21
@shirad21
@shirad21
16 days
0
0
19
@shirad21
@shirad21
9 days
@Labella_Mafia95 Wanaweza kuja wengi kukuzika kati yao wachache watashiriki mazishi yako. Wakati Sheikh au Padri anakuombea ulale salama wengi wao watakua busy na simulizi za mpira ama siasa hapo makaburini. Tumuombe Mungu, Dua zetu zina nguvu tukiwa hai
Tweet media one
3
2
18
@shirad21
@shirad21
11 days
Nishashuhudia mengi na mengine hayasimuliki, Achana na story zao eti “kuna watu na viatu” mambo yamebadilika siku hizi “Asiyefaa Kafaa” Wale “viatu” siku hizi ndio watu
Tweet media one
11
10
17
@shirad21
@shirad21
7 days
@Labella_Mafia95 Wakati Paul Labile Pogba akiwa kwenye matatizo na kaka zake pamoja na FIFA, aliamua kurudi nyumbani kwao asilia nchini Guinea kwajili ya kusaka utatuzi wa matatizo yake. Baada ya muda rufaa yake ya kufungiwa miaka minne ya kutojihusisha na mpira wa miguu ilipunguzwa kutoka miaka
Tweet media one
2
3
18
@shirad21
@shirad21
12 days
Katika muda ambao pesa yangu haitonipa furaha nitarudi kwako kuiomba amani, Katika nyakati ambazo machozi hayatamaliza maumivu yangu nitarudi kwako kuiomba faraja. Good morning ✍️ @shirad21
Tweet media one
5
9
16
@shirad21
@shirad21
15 days
@Psiteshio1 Unawachalenge vijana kwa namna yake
2
0
16
@shirad21
@shirad21
9 days
@Labella_Mafia95 Wema ndio lugha pekee ambayo kipofu ana weza kuona na wakati huo huo kiziwi nae akasikia.
Tweet media one
1
4
17
@shirad21
@shirad21
10 days
Kwenye dua zako usiache kumuomba Mungu akuepushe na mitihani ya maradhi na umasikini🙏.
Tweet media one
7
5
16
@shirad21
@shirad21
9 days
@Labella_Mafia95 Kioo kinachomsaidia dereva kutazama mbele ni kikubwa kuliko vioo viwili vya pembeni vinavyomsaidia kuangalia nyuma.. Tutumie nguvu nyingi kuangalia tunakokwenda kuliko tulikotoka Nyuma pangekuwa muhimu Mungu angetuwekea macho kisogoni
Tweet media one
0
1
15
@shirad21
@shirad21
15 days
@Sativa255 😂😂😂sativa jau sana ety piga chuma paaaaaaa Sema goma la kwenda itabaki kama kumbu kumbu kwenye maisha yako ila naiyona safali mpya ya maisha yako ikikua kwa kasi yani viewers 1k sio mchezo na huu ni mwanzo2
0
0
15
@shirad21
@shirad21
13 days
Tweet media one
0
2
13
@shirad21
@shirad21
16 days
@MaryTilesTexas Welcome Serengeti national park
0
0
13
@shirad21
@shirad21
11 days
Ukiachana na mapenzi, Maumivu makubwa kwa vijana ni kuamka asubuhi kumekucha halafu hajui aelekee wapi yaani hana mchongo unaoweza kumfanya akadaka walau senti moja, Eeh Mw/Mungu awapiganie wapambanaji wote, Hali hii ni ya muda tu🙏 good morning ✍️ @shirad21
Tweet media one
5
10
13
@shirad21
@shirad21
10 days
Usipojipa muda kutafsiri na kushukuru kwa neema uliyojaaliwa, Utakufuru kwa majanga uliyoepushiwa. Good morning #TushukuruKwaYote
Tweet media one
3
5
12
@shirad21
@shirad21
4 months
Ivi polisi tz hawanaga falasi ety
Tweet media one
3
5
13
@shirad21
@shirad21
15 days
2
0
12
@shirad21
@shirad21
16 days
@SportsarenatzTz Tutaona mengi msimu huu ngoja tusubili
0
0
12
@shirad21
@shirad21
10 days
Marehemu RUGE MUTAHABA aliwahi kusema “Msimamo wa kweli ni ule unaouweka leo bila kujali wala kuhofia kuhusu kesho” REST EASY CHAMP
Tweet media one
2
4
11
@shirad21
@shirad21
4 months
Kuwa kama ulivyo na sema unachojiskia,kwa sababu wale wanao kuchukia hawana faida, kwako, na wenye faida kamwe hawawezi kukuchukia. X ni zaidi ya familia yenye upendo wa kweli They didi its again.🙏🙏🙏🙏🙏
Tweet media one
1
6
11
@shirad21
@shirad21
12 days
@Labella_Mafia95 Katika muda ambao pesa yangu haitonipa furaha nitarudi kwako kuiomba amani, Katika nyakati ambazo machozi hayatamaliza maumivu yangu nitarudi kwako kuiomba faraja.
Tweet media one
0
0
11
@shirad21
@shirad21
9 days
Hata kama kuna baadhi ya mambo yako hayako sawa Mungu bado anakuthamini na anasikia unayomuomba usichoke, usivunjike moyo. Good morning God's people 💫🤍
Tweet media one
3
3
11
@shirad21
@shirad21
4 months
Ikiwa kila kitu hakidumu kwenye hii dunia,Tambua kwamba hata matatizo yako si ya kudumu kwenye maisha. Good morning africa 🌍🌍🙏🙏🙏
Tweet media one
0
6
8
@shirad21
@shirad21
11 days
Sisi ndio wale ambao hatupendi kufanana wala kufananishwa hatupendi kushindana wala kushindanishwa tunapigania nafsi zetu tu na tuna amini kila mtu atapata kwa wakati wake Good morning @shirad21
Tweet media one
6
7
10
@shirad21
@shirad21
1 month
Drop your handle tuku follow chap
Tweet media one
4
2
10
@shirad21
@shirad21
10 days
Wakikusaidia mahali leo kuna siku watakusaidia na vingine kwenye ndoa yako vitakuumiza. Pambana kaka lipa hata laki maisha yataendelea ukishindwa tafuta kwengineko utapata good morning
Tweet media one
4
4
8
@shirad21
@shirad21
10 days
Wakati wa majira ya joto mwaka 2016 taarifa kubwa iliyotikisa duru zote za habari duniani ilikua ni Pogba kurejea United . Ikabidi Patrice Evra ambae alikua nae Pogba Juventus anyanyue simu na kuomba kukutana na “La Pioche” . Wakati huo Real Madrid ilimhitaji sana Paul na yeye
Tweet media one
3
5
10
@shirad21
@shirad21
14 days
Hatujui kama tuta pata ila tunaimani na anae toa good morning
Tweet media one
4
7
9
@shirad21
@shirad21
10 days
@Labella_Mafia95 Kila mtu katika maisha yako atakuwa na siku moja ya mwisho na wewe na hata hujui itakuwa lini. Kuwa mwema kila nyakati🙏🏽 Good morning
Tweet media one
0
0
9
@shirad21
@shirad21
4 months
Mungu haweki kufuli bila ufunguo wake, mungu hakupi shida bila suluhisho zake mtegemee yeyetu utayashinda majalibu. Good morning africa 🌍🌍🙏🙏🙏
Tweet media one
1
0
8
@shirad21
@shirad21
6 days
Tweet media one
2
0
33
@shirad21
@shirad21
6 days
@Labella_Mafia95 Ukipata mwanaume wako lijali shukulu mungu uku kitaa ma broo wana ndevu na wame Left hii ni mbaya sana kwa mwanaume
Tweet media one
2
2
30
@shirad21
@shirad21
14 days
Wapwa shusha hendo muda ndio huu tuomoke wote
Tweet media one
2
2
7
@shirad21
@shirad21
10 days
Usisahau kumuomba Mungu tunaishi kwenye dunia ambayo shida zako zinawapa watu raha na raha zako zinawapa shida.
Tweet media one
4
5
8
@shirad21
@shirad21
13 days
Nchi iliyosimama juu ya nguzo mbili katikati ya bahari, ambayo pia ina timu yake ya mpira wa miguu
Tweet media one
1
1
8
@shirad21
@shirad21
4 months
Ukiachana na mapenzi, maumivu makubwa mengine kwa vijana ni kuamka asubui alafu hajui aelekee wap, Yani Hana michongo wowote wa kufanya aingize ata elfu moja, mwenye zimungu awapiganie wapambanaji wote Hali hii ni yamuda2.🙏🙏🙏🙏 Good morning africa #subiraInamalipo
Tweet media one
1
4
8
@shirad21
@shirad21
12 days
Tweet media one
0
0
8
@shirad21
@shirad21
8 days
@Labella_Mafia95 Wanaume wengi hawapendwi kwa dhati Wanahudumia kwa upendo na kupokea mapenzi kama malipo. Mara tu wanapopungukiwa upendo huo hufa kama maua yaliyokosa maji
Tweet media one
0
2
8
@shirad21
@shirad21
13 days
Tweet media one
0
0
8
@shirad21
@shirad21
9 days
@Labella_Mafia95 Hata kama kuna baadhi ya mambo yako hayako sawa Mungu bado anakuthamini na anasikia unayomuomba usichoke, usivunjike moyo. Good morning God's people 💫🤍
Tweet media one
0
1
8
@shirad21
@shirad21
4 months
Uyu mtoto bola nibadilishane na mbwa2 au nyie mnasemaje
Tweet media one
3
2
6
@shirad21
@shirad21
28 days
Good morning Africa
Tweet media one
2
2
7
@shirad21
@shirad21
28 days
Hakikisha unani follow na mie ntaku follow back chap
Tweet media one
0
0
7
@shirad21
@shirad21
13 days
Ni follow niku follow back chap @shirad21
Tweet media one
1
0
7
@shirad21
@shirad21
10 days
Kifo ndio hatua ya mwisho ya maisha ya mwanadamu alie zaliwa na mwanamke kwaheli dida mbele yako nyuma yetu
Tweet media one
0
0
7
@shirad21
@shirad21
9 days
Wema ndio lugha pekee ambayo kipofu ana weza kuona na wakati huo huo kiziwi nae akasikia.
Tweet media one
3
2
6
@shirad21
@shirad21
14 days
Bila followers ni kujiongelesha ✍️ Reply handle yako hapa ✍️ Like handle zilizowekwa na watu ✍️ Mtu aki like handle yako mfollow ✍️ Mtu akikufollow follow back ✍️ Mwisho kabisa mnifollow @shirad21 Kwa pamoja tutafika 10k
Tweet media one
1
3
7
@shirad21
@shirad21
4 months
Huyu si ndio alimfilisi
Tweet media one
2
4
7
@shirad21
@shirad21
1 month
Na follow back chap @shirad21
Tweet media one
4
1
7
@shirad21
@shirad21
1 month
Shujaa alie faliki katikati ya mapambano
Tweet media one
2
0
7
@shirad21
@shirad21
9 days
@Labella_Mafia95 Kama dunia inalizinguka jua kila siku iendayo kwa Mungu. Jitahidi jua hilo lichomozapo na kuzama iwe ni siku ya mabadiliko kwenye maisha yako. Mungu ameyafanya maisha yetu yawe na mzunguko ili tuzione rehma zake.
Tweet media one
0
0
7