NURSE WA ZAMU Profile Banner
NURSE WA ZAMU Profile
NURSE WA ZAMU

@nurse_wa_zamu

3,229
Followers
5,503
Following
394
Media
4,656
Statuses

Creative/Social Media Influencer/ Educator/Health Teller/Content Creator /Medical Advisor/

Joined April 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
27 days
Sex Husaidia ngozi kuwa angavu zaidi, wakati wa sex homon ya oxytocin na endophins huzaliwa kwa wingi zaidi. Vichocheo hivi 2 ndio hurapair ngozi hivyo hufanya ngozi ku glow zaidi. Pia sex ni aina flani ya zoez hivyo huboresha msukumo wa damu.
Tweet media one
0
2
6
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Hapa labda alikuwa anakula ugali na nini kama mshahara milion 4 alafu anakula ugali na sukari
Tweet media one
4
5
86
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Unaweza Usikate Tamaa Na Usifanikiwe Vile Vile.
2
2
74
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kupiga Picha Chakula Unachokula Ni Dalili Moja Wapo Ya Umaskini.
3
3
68
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Hakuna Haja Ya Kutumia Nguvu Kubwa Kumuaminisha Kuwa Wewe Ni Mtu Mzuri Muache Aende Aishi Na Watu Wabaya Ataelewa Kwa Njia Ngumu
4
10
69
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Azam Akimfunga Singida Big Stars Niitwe Aisha Ma U.T.I
2
3
64
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Ifike Mahali Yanga Tuombe Mechi Na Real Madrid.
Tweet media one
3
0
65
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kwani Kutumia Kinga Si Ni Bora Kuliko Kutoa Mimba?
0
1
61
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kama Unaridhika Na Ulicho Nacho Basi Tayari Una Kila Kitu Unachohitaji.
4
7
60
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Hili Jua Linavyowaka Acha Tu Wadada Wapende Wanaume Wenye Magari.
2
1
58
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kuna Hili Pepo Linaitwa Saratani Omba Mungu Lisipite Kwenye Familia Yako.
0
0
59
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Umaskini Huwa Haudumu Kwa Mwanaume Mwenye Ndoto Za Kuwa Tajiri Wanawake Muwe Mnaamini Ndoto Za Wanaume Wenu Maana Ipo Siku Mtaaishi Maisha Mnayoyaota
2
5
62
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kwenye Marafiki Zako Watano Usikose Rafiki Mmoja Anaekuambia Ukweli Hata Kama Unauma
2
6
62
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kuna Wale Wanaume Tuna Malengo Ya Kuwa Matajiri, Na Kuna Wale Wanaume Malengo Yao Ni Kuonekana Matajiri Wadad Mjue Kututofautisha.
1
5
58
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Utu Uzima Ni Pamoja Na Kuacha Kutunza Vinyongo Ili Uanze Kutunza Pesa
2
10
58
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kwenye Kitabu Cha Mafanikio Kuna Kurasa Sio Za Kusoma Kwa Sauti, Kuna Kurasa Za Mateso, Chuki Na Manyanyaso.
1
7
53
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Watu Huja Na Kuondoka Katika Maisha Yako Lakini Mtu Sahihi Siku Zote Atabakia Upande Wako.
2
6
54
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Songa Na Anae Reply Text Zako Anaejifanya Sukari Muche Asubiri Chai Iive
1
3
53
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kuna Wanaume Matajiri Kuliko Boyfriend Wako Na Ni Lazima Wawepo Tu, Na Pia Kuna Wasichana Warembo Kuliko Girlfriend Wako, Msaidie Boyfriend Wako Kuwa Mwanaume Unayemtaka, The Same Mtunze Girlfriend Wako Kuwa Mrembo Kama Unavyotaka.
3
6
53
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Unaachana Na Mtu Afu Bado Anakujia Ndotoni Ndo Nn sasa
6
4
55
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Shika Simu Ya Boyfriend Wako Ingia Kwenye Contacs Alafu Search Fundi. Kama Hamna Fundi Gari, Fundi, Ujenzi Na Fundi Bomba Dada Yangu Achana Na Huyo Mtu Hana Future.
3
3
55
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Siku Ukija Kumuomba Mungu Maadui Zako Wafe Ujue Utapoteza Ndugu Na Marafiki Wengi Mno.
4
8
52
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Manara Shikamooo 🖐🏾🖐🏾🖐🏾🖐🏾🖐🏾
Tweet media one
5
5
48
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Akiomba Hela Kupima Upendo Wako Kwake Na Wewe Mnyime Kupima Uvumilivu Wake Kwako.
0
7
47
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kila Mwanaume Mwenye BIDII Ni Tajiri Ajae Ni Swala La Muda Tu.
2
4
50
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Zawadi Nyingine Kubwa Kwenye Haya Maisha Ni Kumpata Mpenzi Aliyevuka Tamaa Za Kimwili Na Yupo Stage Ya Tamaa Za Kupambana Na Maisha.
1
3
47
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Jitahid Usiwe Available Kila Wakikuhitaji Si Umeona Ukiwa Na Shida Vile Wapo Busy
1
5
46
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Mwandamu Kumbuka U Mavumbi Wewe Na Mavumbini Utarudi.
1
2
46
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kwa Wale Waliopanga Mwaka Huu Watapata watoto Usiku Wa Leo Ndo Mwisho Ukipita Itakuwa ni Mwakani Hiyo 🤣🤣🤣
0
1
48
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Mwanamke Wa Kweli Analewa Glass Moja Ya Wine Alafu Sasa Kuna Hawa Wanajeshi.
0
0
45
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Rafiki Yako Ni Yule Anayetaja Jina Lako Kwenye Nyumba Iliyojaa Fursa
0
7
46
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Huku Mjini Tunapambana Sio Kwa Lengo La Kushindana Na Nyie Tunashindana Na Hali Tulizoziacha Nyumbani Kwetu.
0
4
45
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Mwendo Wako Sio Wao Na Akili Zako Sio Zao Kwa Hiyo Usijipe Umuhimu Kwenye Maisha Ya Watu.
1
6
47
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Samahani Chief Umesema Rl Au Ns
Tweet media one
3
5
44
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kwa Bahati Nzuri Muonekano Wangu Hauonyeshi Kama Nina Shida.
0
2
44
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Ukiachana Na Ukimwi Kuna Hii Kitu Inaitwa Homa Ya Ini Type B Vijana Kuweni Makini Sana Kindly RT
3
4
44
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kipindi Kile Sina Akili Nilikuwa Najua Nyie Wote Ni Marafiki Zangu 🥲
0
6
44
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
1 month
Tumalizie jioni kwa kubebana. As usual, unanifollow alafu unashusha handle tukufollow back tuongeze cycle...
Tweet media one
14
9
43
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kama Umeamka Salama Leo Ni Nafasi Nyingine Ya Kufanya Mabadiliko Kwenye Maisha Yako.
0
3
42
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Sheria no. 2 Ukilala kama Wengine Na Kuamka Kama Wengine Utakuwa Kama Wengine.
0
0
42
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kamwe Usile Tonge la Mwisho Kama Chakula Hujanunua Wewe.
1
0
40
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kwa Ninavyoona Tarehe 14 Watalia Wengi Na Mimi Nikiwemo 🤣🤣🤣
0
1
40
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Ile Kauli Ya Mshahara Hauwezi Kukutosha Kamwe Huwa Inafanya Kazi Uzeeni Vijana Tuamke Aisee
0
1
41
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Ulishawahi Kutumwa Ukasage Unga Wa Mtoto Alafu Ukala Karanga Zote Kufika Mashine Ukakuta Umeme Hamna.
9
9
38
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Juhudi Zako Ndo Zitakusogeza Karibu Na Bahati Yako.
0
3
41
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Hakikisha Unaishi Ndoto Zako Huku Wakikushuhudia
0
7
37
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
January Imekuja Speed Sana
Tweet media one
1
0
37
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kuna Saa Mtu Unapitia Mambo Magumu Mno.
1
1
38
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Ni Nani Aliyesema Tukienda Choon Tuteme Mate Kwanza
1
3
36
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Jana Ulikuwa Super Woman Alafu Leo Unaomba Vocha !!!! Seriously🤣🤣🤣🤣
0
2
38
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Saratani Ni Ugonjwa ambao seli za mwili Zinakuwa Kwa kasi bila kudhibitiwa na mwili.
0
0
34
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Wakishindwa Kukuvunja Moyo Watakuvunja Hata Mguu, Kuwa Makini Na Watu.
0
2
36
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Wanawake Wengi Wanaamini Mwanaume Anayempenda Ni Yule Anayempa Pesa, Na Wanaume Wanaamini Mwanamke Anayempenda Ni Yule Asiyeomba Pesa.
0
1
35
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
7 months
Siku Isiishe kizembee weka handle yako hapo nikufollow chap chap
12
6
35
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Ukiwa Kwenye Hard Time Usikate Tamaaa Na Ukiwa Kwenye Good Time Usisahau Njaa.
1
1
33
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Wadada Nawakumbusha Usomdharau Mwanaume Yeyote Kabla Hujaona Maiti Yake, Maisha Ya Kesho Ni Fumbo Zito.
2
0
33
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 months
Nani aliwadanganya Azuma inatibu Gono 🫣🫣🫣
Tweet media one
9
3
34
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kuna Hili Pepo Linaitwa Saratani Yani Linamaliza Sana Kizazi Cha Leo Shwain
0
1
34
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kwa Hiyo Mke Wako Ni Mzuri Au Ni Mweupe.
0
2
34
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
1 month
Tutafute usingizi kwa kubebana. As usual, unanifollow alafu unashusha handle tukufollow back tuongeze cycle...
Tweet media one
21
4
34
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Mungu Nipe Mke Ambaye Atakukimbilia Wakati Tukiwa Na Matatizo Na Sio Kukimbilia Kwa Mwanaume Mwingine.
0
5
33
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kama Unatuma Pesa Na Unauliza Kama Imefika Hy Ni Dalili Moja Wapo Ya Umaskini
2
0
32
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
4 years
Kwani hujui mshika 2 moja humponyoka 😂
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
4 years
Hivi wakati uchunguzi unaendelea bado kazi ya kupima Corona inaendelea au ndo imesitishwa rasmi? #TutaelewanaTu #ChangeTanzania
60
32
392
0
3
33
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Watu Huja Na Kuondoka Na Zote Hizo Ni Baraka
1
1
33
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Ishi Nao Ila Kwa Machale Sana
1
1
32
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Jifunze kusema Hapana
0
0
31
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 months
Tukiengage na nyie msisahau kuengage na sisi, nyie sio macelebret bhana🫢🫢
Tweet media one
6
8
33
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Sali Sana Na Usikate Tamaa.
0
1
33
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Mkinuna Napost Msimamo Wa Ligi Kuu
1
2
31
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Kijana Acha Kubeti Narudia Acha Kubeti.
4
2
28
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
7 months
TUONGEZE FOLLOWERS WETU SASA ✍️ Reply handle yako hapa ✍️ Like handle zilizowekwa na watu ✍️ Mtu aki like handle yako mfollow ✍️ Mtu akikufollow follow back ✍️ Mnifollow pia @nurse_wa_zamu TOGETHER TUFIKE 10K
30
9
29
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Wekeni Handle Niwainue Leo Nimefika 2K
2
2
30
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Hapa Ni Mkono Wa Mtafutaji Na Wa Mtumiaji
Tweet media one
3
1
29
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Uvivu Na Mafanikio Ni Kama Pepo Na Jehanamu
2
3
30
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Mungu Ni Mkuu Kuliko Wasiwasi na Hofu Zako Muombe Mungu Kisha Songa Mbele.
0
3
27
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 months
Imani Ni Kuwa Na Hakika Kwa Mambo Yatarajiwayo Weka Handle Yako Kwa Imani alafu Rt Hii Post iwmfike duaniani
Tweet media one
5
7
29
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
7 months
Bro Unajua kama demu wako anatafuta mzungu?
4
2
28
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 months
Kwa Unyeyekevu Naomba Mnifolo Na mm Niwafolo back Jion Ya Leo Nipo Na Nyie
Tweet media one
14
3
28
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
2 years
Unashangaa Umenyamaziwa Kumbe Mwenye Relationship Yake Karudi.
0
0
29
@nurse_wa_zamu
NURSE WA ZAMU
10 months
Inawezekana Huruma Zako Ndio Chanzo Cha Matatizo Unayoyapitia Kuwa Makini Na Unaowahurumia
0
3
29