wezzey Profile Banner
wezzey Profile
wezzey

@kasimuabuu98

6,739
Followers
6,392
Following
198
Media
206,671
Statuses

Journalist Don't take it easy

Joined May 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@kasimuabuu98
wezzey
7 months
Kuna demu nilitongoza fresh na akaelewa,akanambia kipaumbele chake kikuu ni upendo wa dhati. Siku ya pili asubuhi kabla sijaamka akaniomba 40k .
30
23
158
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Wakuu mshawahi kujaribu kiporo cha wali maharage na afiya berries? Unaweza usitamani chai ya rangi
16
34
159
@kasimuabuu98
wezzey
6 months
@DullahTheking2 Kuna mmoja ni ICON huyo mwenye namba kumzidi mwingine halafu kuna mwingine ni COIN
16
2
145
@kasimuabuu98
wezzey
2 months
Kuna hiyo heartbreak niliipata kwa huyo demu anaitwa anitah nikajua yeye ndio kavunja record sitakuja kutumia tena kama vile. Weeh! Komanyoko nikaja kukutana na huyo jini la majini ya kike anaitwa Davina ile mwana ukome bora anitah. Wanawake ni majini.
23
27
134
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Hii simu nimeilaza chaji na 10%,mbona naamka naikuta vilevile 10% na umeme haujakatika kuna nini tena hapa au wachawi waliichomoa🤔🤔?.
13
32
126
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Siku hizi ikifikaga saa 11 jioni tu baaasi kwisha kabisa. Hapo fikiria kuhusu kesho tu,siku ishaisha hiyo.
15
26
122
@kasimuabuu98
wezzey
6 months
Mtu nimemuuliza unahitaji zawadi gani nikuletee au nikuandalie?? Ananijibu CHIPS MAYAI aah haya wakuu ndio hivo.
13
27
114
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Eeh😳😳 kwamba hizi post🤔🤔??
Tweet media one
13
14
109
@kasimuabuu98
wezzey
2 months
Wakuu kuhonga ni jambo rahisi sana kama ukikaa kwenye mfumo,hata usimlaumu muhuni anayehonga gari,nyumba hata kiwanja.
11
26
110
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Mtu anakwambia kabisa "napenda unavyonipenda tu". Haustuki tu mpaka hapo?,kimbiaa unatumika fwala wewe.
7
30
109
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Dah! Huyu demu kila nikikutana nae ananikuta na nguo hiyo hiyo. Unaweza ukapita mwezi tukionana ananikuta siku nimevaa nguo ile ile niliyovaa mwezi uliopita huzuni hii 😢😢.
12
19
103
@kasimuabuu98
wezzey
5 months
Mimi nipande daladala bila ya kuongea na konda,labda mimi sio mimi.
16
22
100
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Kuna demu nilikua namuonaga onaga kwa mbali mbali nikawa natamani kuwa nae karibu,ila nilivyopata nafasi ya kuwa nae karibu kwa dakika 15,nikagundua nahitajika niwe nae mbali zaidi ya muda wote.
2
27
96
@kasimuabuu98
wezzey
5 months
Sema X kuna visanga mpaka unashangaa watu wa humu ni malaika au? Yaani views unakuta 4k halafu likes ni 35 zimezidi 60 tu.
10
21
94
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Uaminifu ni gharama,ambayo huchukua muda na vitu vingi sana mpaka kujengeka. Jaribu kuutunza na kuzuia usiondoke kwa mtu juu yako. Morning
7
38
94
@kasimuabuu98
wezzey
7 months
Hivi unajua kama unaweza kugombana na kuachana kabisa na mkeo wa kizaramo kisa ngoma ya siku 1 tu??.
12
14
90
@kasimuabuu98
wezzey
2 months
Mimi nikishatongoza mara ya kwanza ukaonesha kunikataa usidhani kama nitakuja tena. Bora uniue ila sio kulazimisha tutumie pesa zangu wote.
6
28
90
@kasimuabuu98
wezzey
1 month
Siku zote uaminifu huvunjwa zaidi na yule unayemuamini zaidi. Tutulie tu.
3
25
88
@kasimuabuu98
wezzey
5 months
Unakuta rafiki yako wewe anamuombea rafiki yake yeye ambaye sio rafiki yako wewe,aje kuishi kwako wewe kwa muda🤔🤔🤔. Imekaaje hii.
11
23
86
@kasimuabuu98
wezzey
5 months
Nakuomba namba unanipa,nakupigia hupokei, nakutumia sms haujibu sasa si bora usingenipa. matako yako.
14
26
85
@kasimuabuu98
wezzey
5 months
Ukienda ugenini ambapo haujawahi kwenda wakikuuliza unatumia vitafunwa gani asubuhi,waambie mihogo.
6
9
83
@kasimuabuu98
wezzey
5 months
Kwani arsenal mnaugomvi gani na bayani huko UEFA wakuu?? Kila mkifika mnakutana nao tu
8
21
81
@kasimuabuu98
wezzey
7 months
Nyingine nimezificha msije kuniona mnywaji bure
Tweet media one
14
15
77
@kasimuabuu98
wezzey
30 days
Sometimes yule anayekufanya ukatae watu kwa ajiri yake yeye hawezi kujilinda kwa ajiri yako.
3
29
80
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Nilizidi kuwaogopa wanawake na kuwaona hatari pale waliponithibitishia kuwa kuna muda wanaweza kulia msibani na wasimaanishe machungu ya kufiwa.
4
19
76
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Huko tunapoelekea watu wengi sana watakataa kuwa na familia za kuishi nazo hasa upande wa mahusiano ya kimapenzi.
8
24
78
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Kama shule uliyosoma siku ya j/4 hakukua na kipindi cha HISTORY au KISWAHILI,basi tambua hiyo haikua shule.
6
20
77
@kasimuabuu98
wezzey
2 months
Kuna muda sisi tunaojitafuta tunahitaji kukaa wenyewe na kujiuliza kwanini tunajitafuta tukipata jibu basi tuendelee na maisha.
6
29
77
@kasimuabuu98
wezzey
2 months
Mbona leo sielewi nakutania na post za waongea vingereza tu imekuaje hii🤔🤔. Au nimelewa sijui.
10
25
78
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Moyo ukishachoka na mauza uza ndio utajua kama mapenzi yanaisha.
4
22
76
@kasimuabuu98
wezzey
1 year
0
1
73
@kasimuabuu98
wezzey
5 months
Mtu unalala na MB zako fresh tu kwenye simu muda wa kulala na data umezima. Unaamka asubuhi unakutana na sms umetumia asilimia 75 ya MB zako,sasa usiku sijui majini waliwasha data au vipi?.
9
20
75
@kasimuabuu98
wezzey
1 month
Kwenye swala la kutoka nje ya muda hawa WASAFI FM hakuna anayewaweza. Kipindi saa 2:30 utakuta kinaanza saa 2:40 na hawawazi kesho tena hivo hivo.
8
23
75
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Oyah! Nyie followers mnaenda na mtandao au inakuaje mbona siwaelewi tena mnashuka tu.
11
17
74
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Wengi wanaojifanya wanatupenda ni wanafki hawako real na upendo wanaotuonesha mbele ya nyuso zetu.
5
24
74
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Hivi vitoto vya siku hizi vikisikia neno kumisi tu akili zao zinawaza kupigwa mjulubenge tu kupapapeki zao.
8
15
74
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Wakuu hili baridi ni huyu miss hidaya au kuna kingine kimeongezeka??
7
15
72
@kasimuabuu98
wezzey
13 days
Wanetu mnaotu unfollow tukiwa tumelala mnajikita wajanja wenyewe au siyo? Fresh wanetu,sisi sio milima
21
27
73
@kasimuabuu98
wezzey
7 months
Sema siku hizi mchana umekua mgumu sana. Ukitembea unapigwa na jua,ukikaa unapigwa na njaa ukipumzika unapigwa na joto.
7
22
68
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Ukishalijua tatizo basi utakua una 60% ya kulitatua chanya.
2
22
69
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Jux alizungumzia uzuri gani uliokua unamfanya alie??
3
13
69
@kasimuabuu98
wezzey
7 months
Oyah! Humu nani aliyewahi kufata mikeka ya wanaigeria akaboom?? Mbona naona wanapost wao tu winning slip sheenzi.
4
17
71
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Islamic girl kanambia nimvumilie mwezi huu yupo kwenye mfungo wa ramadhani sawa nimekubali. Na mimi nataka nimwambie anivumilie kuniomba hela mwezi huu wa mfungo wa quaresma,sijui atakubali??.
4
14
67
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Hii sio kamba. Kula pilipili nyingi ikiwezekana pikia kabisa kwenye mboga kwa kuikatia katia then kula robo saa kabla ya game. Njoo unishukuru baadae,nikutakie j/tatu njema
9
17
70
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Oyah! Huu mji niliokuwepo sio kabisa tangu saa 8 natafuta juisi ya ukwaju ya Azam nimekosa maduka karibia yote duh.
9
23
70
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Usimuache demu wako kuwa busy na kuongea na simu muda wote tofauti na kuongea na wewe. Muda mwingine muulize na mkoromee hasa majira ya usiku.
3
25
70
@kasimuabuu98
wezzey
6 months
Kuna huyo demu wa mshikaji wangu anapenda kuja ghetto kichizi halafu ni morning tu.
7
13
68
@kasimuabuu98
wezzey
2 months
Waogopeni hao wanaotaka waaminiwe kabla ya wao kuamini,hawana huo uaminifu hata kidogo.
7
27
68
@kasimuabuu98
wezzey
8 months
Ifike muda tukubali tu mapenzi na hawa mademu wa 2000+ ni kupoteza muda tu hawajui wanachokitaka. Usiku huu tulale sasa
9
11
67
@kasimuabuu98
wezzey
7 months
Duh! Nimeshikwa na jino kichizi kubabeq huu mzigo ni maumivu. Nisevuni hata 20k wanangu nikang'oe nipo apeche alolo.
5
16
67
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Hizi manzi zinazoamini kupewa pesa ndio kupendwa zinatukaanga sana sisi jobless kupapapeki zao.
6
17
66
@kasimuabuu98
wezzey
8 months
Au nikachemshe mihogo ninywe na maji ya baridi nipumzike?
12
15
64
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Humu ukiingia j/pili asubuhi unaweza kudhani upo kabisa I. Jitahidi urudi tena mchana uone kinyonga anavyobadilikaga.
5
18
65
@kasimuabuu98
wezzey
8 months
Wiki nyingine mpya na mipango mipya. 🙏🙏 Mungu bariki kazi zetu.
12
28
62
@kasimuabuu98
wezzey
1 month
Haya tutajie huyo comedian wa familia yenu hapo. Maana sidhani kama kuna familia serious Cha kukosa huyo mtu.
5
22
62
@kasimuabuu98
wezzey
9 days
Halotel njooni mchukue mtandao wenu mturudishie pesa zetu za bundle daah! Mtandao upo slow kuliko konokono.
10
15
65
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Kama umeiona siku ya shukuru Mungu. Pia nakusalimia habari yako ndugu yangu katika imani?
4
17
63
@kasimuabuu98
wezzey
7 months
Wakuu mmesema boxing day huwa ni ya nini tena??
10
13
59
@kasimuabuu98
wezzey
8 days
Sema wazenge mnao unfollow mnakatisha tamaa kikuda mbwa nyie.
20
18
64
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
kuna mademu wanaingia kwa relationship kwa ajili yao tu,hawatojali kwenye kusapoti hustle zako wala shida zako utakapo kwama neno lao kubwa linakuaga "POLE".
9
20
64
@kasimuabuu98
wezzey
2 months
Hiki kipupwe kinasaidia sana ikifika mchana unaona kama Bado ni asubuhi tu kuikwepa lunch ni uhakika.
7
24
62
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Kwahiyo wanetu wakishua hivo visilesi viwili na yai moja ndio mnashiba hiyo asubuhi?? Freshi wanetu hamna noma.
3
22
61
@kasimuabuu98
wezzey
1 month
Huyu ATLAS na roboti wake HARLAN kupapapeki wanapelekeana moto vibaya mno.
7
21
62
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Kuna raia kanipigia simu saa 2 na nusu asubuhi,nikamwambia tukutane saa 3:30 asubuhi nikidhani ipo mbali. Paap! Sijamaliza hata ninachofanya naona muda husika huu hapa.
7
22
61
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Kupapapeki hii nini tena mbona nimeamka kichwa kinauma kinoma na nililala fresh tu?.
4
11
61
@kasimuabuu98
wezzey
7 months
Tenda wema nenda zako bhna haya maswala ya mapilau mapilau sio muhimu saana.
4
20
59
@kasimuabuu98
wezzey
1 month
Ile hela mbona nilishaipigia hesabu tayari,imekuaje tena hata kuigusa sijaigusa dakika za jiiiioni nimeikosa.
10
17
61
@kasimuabuu98
wezzey
2 months
Leo nataka niwatafute maX wangu wote niwaambie nimewamisi nisikie wananijibu vipi.
9
20
61
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Oyah! Hicho kihidaya au kimekosea njia hakija enda morogoro? Mbona huku bagamoyo hali ni ile ile ya binti.
6
18
61
@kasimuabuu98
wezzey
1 month
Wanawake wengi hawajui kuomba hela tekniki yao ni ile ile tu ukisikia "Nikwambie kitu" Ujue kabooom
3
16
60
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Au pacome kashauzwa🤔🤔🤔,mbona hayupo??
3
12
57
@kasimuabuu98
wezzey
1 month
Homa zingine jau sana yaani,sasa hivi vidonda vya nini tena mdomoni daah.
10
21
58
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Wasichana wengi kwa ufikiri wao wa mwisho,wanaona mwili wao ndio zawadi pekee ya kuwapa wanaume zao na si kingine.
3
20
58
@kasimuabuu98
wezzey
3 months
Nyie wenye kazi nendeni kwenye sikukuu yenu mapema mapema tu
3
16
58
@kasimuabuu98
wezzey
2 months
Kuna washikaji hawaujui ushikaji ila wao wanataka kufanyiwa ushikaji. Happy Sunday 🔥
5
22
59
@kasimuabuu98
wezzey
2 months
Nimefumbua macho,nimetoka kitandani nimefanya kila kitu na nishaingia mtaani mapema sana ila sijaamka bado. Huzuni hii
2
21
59
@kasimuabuu98
wezzey
2 months
Humu ndani ukijichanganya kidogo tu unaingizwa chaka. Unaona jina la mtu la kike kabisa hadi AVI yake,ila angalia muandiko na maneno sasa ndipo utakapo gundua hakuna mwanamke mwenye muandiko wa hivo.
13
22
57
@kasimuabuu98
wezzey
4 months
Dah! Wanangu huzuni😢😢 Nimetokea demu kashanielewa tupo kwenye mchakato mzuri,nipo kwenye harakati za kupiga. Nasikia wana wanapiga story kuwa mtoto kawaka tena kazaliwa nao.
10
22
57
@kasimuabuu98
wezzey
2 months
Hilo parody la nani tena wakuu mbona linakuja DM lenyewe,halijaitwa linaitika.
9
18
58
@kasimuabuu98
wezzey
1 month
Kwahiyo wanetu mnaweza kuangalia movie mpaka inaisha mkiwa peke enu usiku??
7
15
58
@kasimuabuu98
wezzey
1 month
Leo dalili ya kupata makande as a lunch ni 85.9%,nikaze tu hakuna namna.
5
17
54
@kasimuabuu98
wezzey
15 days
Unalala na followers wako vizuri tu wengi wengi,sasa ngoja uamke kmmk uone wasenge wasenge walivyo kuunfollow.
12
20
57