sanoma Profile Banner
sanoma Profile
sanoma

@sanoma_king

2,124
Followers
2,180
Following
66
Media
3,397
Statuses

MUNGU KWANZA SANOMA'S OFFICIAL PAGE FOLLOW FOR FOLLOW BACK TUINUKE I LOVE TANZANIA 🇹🇿 I SURELY FOLLOW BACK

Dodoma, Tanzania
Joined August 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@sanoma_king
sanoma
4 months
Mwanamke anaweza kutuma picha tu kwenye account yake muamala ukasoma mapema tu ila sio kwako mwanaume amka tukapambane mkuu kumbuka hata wewe ndio hutoa pesa kumpa mwanamke sio yeye kukupa wewe nakusihi amka bro Good Morning
2
9
18
@sanoma_king
sanoma
5 months
Kama sijakufollow weka handle yako hapo nikufollow chap
Tweet media one
172
37
326
@sanoma_king
sanoma
3 years
Sema ngoma ya alikiba ya bwana mdogo ni kali kinoma yani 🔥
0
6
147
@sanoma_king
sanoma
5 months
Naomba unifollow kisha shusha handle yako nataka nikufollow back mda huu.
Tweet media one
42
9
90
@sanoma_king
sanoma
5 months
Nafollow back wakuu
Tweet media one
41
27
70
@sanoma_king
sanoma
3 months
Kitu ambacho binadamu mwengine anaweza kufanya amini hata wewe unaweza kama ukiamua Good Morning
11
13
39
@sanoma_king
sanoma
4 months
@julip202 Tamaa ya kufanikiwa mapema, mtu anataka aanze kazi leo baada ya miezi miwili awe ameshajipata na anaweza kuishi anavyotaka lazima wakunwe viboga
2
1
41
@sanoma_king
sanoma
5 months
Ila watu eti mtu anakutana na post ya mtu anaulizia sites au handle za porn anaingia kwenye comment anamtukana mwamba mwenye post kinafiki halafu anaingia kwenye handle ziliyowekwa pale kuangalia nani anapost vikali.
7
8
36
@sanoma_king
sanoma
5 months
Kuna mabro humu nao ni mikundu tu wanataka uwanyenyekee ndio wakupe sapoti dm hawajibu wanajiona miungu watu wanahisi hii Twitter wanaimiliki wao mamae tutatoboa tu mdogo mdogo acha tuendelee kuinuana wenyewe
10
3
38
@sanoma_king
sanoma
4 months
Kama ulinifollow nikakufollow back then umekuwa fala ukani unfollow ili umaintain namba yako ya following unapoteza mda nakufyeka pia sifanya ujinga huo
Tweet media one
10
5
34
@sanoma_king
sanoma
4 months
Jamii yetu imeweka mkakati kuwa hakuna kumuhurumia mwanaume asie na kitu fanya ufanyavyo pesa muhimu mkuu Good Morning
9
15
33
@sanoma_king
sanoma
4 months
Unapokwenda pana maana sana kuliko ulipotoka usifikirie sana kuhusu uliyopitia hakuna anaejari. Good Morning
9
8
32
@sanoma_king
sanoma
4 months
Hatuwezi shinda vita kwa kulala, ili tushinde ni lazima tukubali kuingia vitani kupambana amka tuendeleze mapambano mkuu Good Morning
10
12
30
@sanoma_king
sanoma
5 months
Kuwa mkali kwako mwenyewe kunaweza kuathiri jinsi unavyowaona wengine. Jifunze kujipa umuhimu ili uweze kufurahia uhusiano mzuri na wengine. Good Morning
5
13
33
@sanoma_king
sanoma
5 months
Hii nchi ngumu sana wakuu
Tweet media one
5
4
31
@sanoma_king
sanoma
4 months
Kushindwa ni jukumu lako kama ilivyo kwenye kufanikiwa, nidhamu ya kuendelea kupambana inahitajika kwa wingi sana ili kufikia lengo Good Morning
8
7
30
@sanoma_king
sanoma
4 months
Ukishindwa kuiumiza akili wakati wa ujana, jiandae kuutesa mwili wakati wa uzee. Good Morning
6
9
28
@sanoma_king
sanoma
4 months
@TMnyama4_ Japo haijafika mwisho ila hii story inafanana na yangu sema me alikuwa anakuja na mtoto akiwa na nguo
10
0
30
@sanoma_king
sanoma
4 months
@julip202 Pesa nyingi sana hiyo kuanza me nilianza na laki 6 tu cha muhimu tafuta location nzuri yenye mzunguko wa kutuma na kutoa achana na mzunguko wa masalio halafu kama kuna uwezekano uwe karibu na wakala mkuu mapema tu unatoboa
1
1
29
@sanoma_king
sanoma
6 months
Sasa wakuu si mnifollow niwafollow back wanangu kweli hata following tunanyimana wazee sitaki kuamini
Tweet media one
4
6
27
@sanoma_king
sanoma
4 months
Hakikisha kila siku unaenda kazini haijalishi jana ilikuwa ngumu kiasi gani amka uende ukiwa na matumaini mapya Good Morning
11
6
27
@sanoma_king
sanoma
5 months
Hapo UTI yake sindano 60 kawaida
Tweet media one
7
4
26
@sanoma_king
sanoma
4 months
@TMnyama4_ Namuhitqji huyu please nipo serious nahitaji mwanamke wa kukaa tu nyumbani awe anatumia kifurushi cha kinga'amuzi nalipiaga ila sikai home nakula hasara
6
0
26
@sanoma_king
sanoma
4 months
Tuamke tukapambane at least hivi vitu vya kupita vipite na kwetu pia wakuu Good Morning
6
8
25
@sanoma_king
sanoma
4 months
Unahitaji watu wachache tu waaminifu ambao mtaelewana vyema ili ufanikiwe na hao watu wengi wao sio ndugu zako Good Morning
7
10
26
@sanoma_king
sanoma
4 months
Mnataka kusema baada ya kukosa nafasi mitaa ya chama na serikali akalazimika kuwa mwanaharakati?
Tweet media one
2
7
24
@sanoma_king
sanoma
5 months
Kila mtu ana thamani na uwezo wa kipekee. Kutokujipa umuhimu wewe kwanza kunaweza kukufanya ushindwe kutambua uwezo wako wa kipekee.
2
6
27
@sanoma_king
sanoma
6 months
Kitu siwezi fanya ni kumfollow mtu halafu nisi-like post zake, sasa nimemfollow ili iweje kama simsapoti kwenye post zake?
5
10
26
@sanoma_king
sanoma
4 months
Njia rahisi ya kukipata kile kilichopotea ni kuacha kukitafuta vingine havipatikani kwa kutafutwa vinapatikana kwa kujua ni wapi vilipo Good Morning
4
11
25
@sanoma_king
sanoma
4 months
Humu X unaweza pata hisia na mtu kutokana na tweets zake na ukampenda na kuvutiwa nae sana japo hujui anafananaje
2
6
23
@sanoma_king
sanoma
5 months
Mda huu wa mchana ndio mda mzuri wa kufollow back wakati tunapata chakula nifollow halafu shusha handle nikufollow back mkuu tufike 2k
Tweet media one
11
4
22
@sanoma_king
sanoma
4 months
Sijui kama ni kweli ila katika safari ya kupambania ndoto punguza adabu na heshima kwa watu, mda mwingine heshima ikizidi inazaa uwoga amini hakuna anaefurahia mafanikio yako isipokuwa wazazi wako. Good Morning
7
6
22
@sanoma_king
sanoma
3 months
Ifikie hatua tukubali kuwa umoja wa watu wa Twitter ni mkubwa mno
2
4
22
@sanoma_king
sanoma
4 months
Siku hizi heshima ya mwanaume inategemea kile alicho nacho mfukoni kama mifuko ni mitupu hakuna atakae jali wala kuthamini utu wako Good Morning
5
7
22
@sanoma_king
sanoma
4 months
Nyie boys mnaotumia majina na picha za kike mnatupa changamoto sana wengine basi wekeni hata picha za watu mnaowajua ili tukikuta nyie ni wanaume mtuunganishe na hao mnaowaweka dp zenu
3
5
21
@sanoma_king
sanoma
4 months
Siku moja ni muhimu sana kwenye safari ya mafanikio tunayoyatafuta tusichoke twendeni site Good Morning
3
8
20
@sanoma_king
sanoma
4 months
Nawazoom tu wakuu ndugu zangu acheni uchawi basi mfollow back wakuu
Tweet media one
4
5
21
@sanoma_king
sanoma
5 months
Mda mwingine tunafail kwa sababu tunalinganisha mwanzo wetu na mwisho wa waliotutangulia tunajiona hatufanyi kitu tunasahu kuwa wao walipitia hatua Good Morning
3
5
20
@sanoma_king
sanoma
4 months
@TMnyama4_ Jamani mbona lugha nyepesi sana mume wako amejenga kwao sababu ni wa kiume kwao na kaka zako wajenge kwenu kwa sababu ndio wa kiume wewe kaa kwako ushatoka kwenu kwa sasa wewe ni mtu wa ukoo mwingine kwa lugha nyepesi.
0
0
20
@sanoma_king
sanoma
3 months
Hakuna pambano jepesi katika ushindi wako lazima utaumia pia na maisha ya utafutaji yapo hivyo lazima utaumia lakini mwisho uvumilivu na ukakamavu ndio utakupa matokeo chanya Good Morning
5
8
19
@sanoma_king
sanoma
4 months
Kwa nini unaogopa kuanguka? Watu pekee wasioweza kuanguka ni wale walio lala au walioamua kukaa amka tukapambane mkuu Good Morning
4
6
20
@sanoma_king
sanoma
5 months
Hata kama network ipo chini haimaanishi ukinifolo sitokufolo back mzee tuinuane
1
3
20
@sanoma_king
sanoma
6 months
Hivi nyie mnaotu-follow halafu mnatu-unfollow ni nyege mnazo au, kama mnataka followers bila kufollow back nendeni facebook wamejaa maniner
3
4
19
@sanoma_king
sanoma
5 months
Kwa kukemea ulawiti, mahusiano ya jinsia moja, ndoa za utotoni na ubakaji tutawalinda watoto wetu na jamii nzima dhidi ya maradhi yakuambukiza kwa njia ya ngono. Good Morning
4
8
20
@sanoma_king
sanoma
3 months
Ndo nimeingia leo after two days nakutana na hili la sativa imekuaje tena wakuu
Tweet media one
2
10
19
@sanoma_king
sanoma
4 months
Nilikuwa nimefungiwa kuna nini kipya humu wakuu?
2
5
18
@sanoma_king
sanoma
4 months
@julip202 Nyie ndio mnatupa shida huku mtaani tukiwashika kidogo wanasema wanaumia kumbe mnawawekea vitu vyemu huko demu unashika saa zima hapati hisia kumbe anawaza vibrator
3
0
19
@sanoma_king
sanoma
4 months
Ni kwangu tu au hadi huko Twitter ipo down?
1
6
19
@sanoma_king
sanoma
5 months
Kuna wasenge humu ni wasenge sana sisi tuna engage kwao ila wao wanatupita kama vipofu mamamamaee
4
5
18
@sanoma_king
sanoma
6 months
Na nilipotea siku kadhaa kuna habari gani humu wakuu
0
2
17
@sanoma_king
sanoma
5 months
Twitter haitaki watu wagumu utaendelea kujiongelesha follow watu wakufollow ufurahie mtandao
3
4
18
@sanoma_king
sanoma
5 months
Kwahiuo Allu Kamwe @Allykamwe_tz katika warembo wote walioomba nafasi huyu ndie alikuwa bora zaidi?
Tweet media one
4
2
17
@sanoma_king
sanoma
3 months
Mwamba anacheka
Tweet media one
4
3
16
@sanoma_king
sanoma
4 months
Msiwe hivyo wazee naombeni mnifollow nitawafollow back
1
6
16
@sanoma_king
sanoma
5 months
Kila hatua tunayochukua leo inaunda mustakabali wetu kesho. Vijana, acheni tuwe wa kwanza kusimama na kuongoza njia ya maendeleo. Tunaweza kufanya tofauti kubwa Good Morning
0
1
16
@sanoma_king
sanoma
4 months
@julip202 Huyu binti anahitaji msaada sana story yake inasikitisha sana lakini hataweza kuwa sawa kama hatoruhusu mtu wa kurejesha imani na amani iliyopotea ingawa itachukua mdaa kuwa sawa kama utasoma comment yangu naomba uni dm
0
1
17
@sanoma_king
sanoma
4 months
Nipo nakula ngoma ya Oliver Mtukuduzi Neria ni kali sana wanangu
3
1
17
@sanoma_king
sanoma
3 years
@adamlutta @IAMartin_ @Mkyuba_ Mnifollow aisee maana mambo ni mazito bila followers hapa
0
1
17
@sanoma_king
sanoma
5 months
Aisee Shishi ana binti anaitwa Joyce ni kisu kinoma aisee niombeeni na mimi pesa zikuje mapema kabla hajachakazwa na vijana wa hovyo
1
1
14
@sanoma_king
sanoma
4 months
Kwakweli napata furaha sana napoona tunasapotiana kwenye post zetu mimi nimeamua kuwa mtumishi wenu kwenye post zenu nitumieni kila mnapohitaji sapoti yangu mda wowote nipo tayali wakuu
2
5
15
@sanoma_king
sanoma
4 months
@TMnyama4_ Pengine hata huyo kijana alifatwa yeye mpaka kufikia hapo I mean alitongozwa yeye pengine huwezi muuliza mama yako ni kukosa adabu lakini mnaweza ongea na kujana mumuonye aache hizo pigo mkiona haeleweki mumtongoze mama yake pia
3
0
16
@sanoma_king
sanoma
6 months
Elon ameniamulia kila siku nikiqmka nakuta amebeba wafuasi humu ni pagumu sana anyways tuzingatie kula ila wewe unaeunfollow tuliokufollow unakatwa na kalaba.
4
2
14
@sanoma_king
sanoma
4 months
Mafanikio yoyote yana gharama yake ambayo ni lazima ulipe mfano gharama ya muda, pesa, dharau, na maumivu hiyo ni lazima Good Morning
4
7
16
@sanoma_king
sanoma
4 months
Siku hizi mtu akitaka kupewa wazo la biashara akiwa na mtaji mdogo anauliza "ni biashara gani mtaani inadharaulika ila ina faida sana" acheni bhana sema tu nina mtaji wa 300k nifanye biashara gani ushauriwe kulingana na pesa ako acha janja janja.
1
4
15
@sanoma_king
sanoma
5 months
Kwahiyo we unaamini utapata followers bila kuwafollow wenzako? Ngoja tusubili pengine ukafanikiwa mkuu
0
4
16
@sanoma_king
sanoma
5 months
Nijiamkie nikapambane kuna wenzetu humu mna vya kurithi kwenu msiniponze Good Morning
7
4
14
@sanoma_king
sanoma
5 months
Nikikushauri haimaanishi kuwa mimi nauishi huo ushauri niliokupatia nimekushauri wewe tu so ukiona ninafanya mambo niliyokushauri wewe kuacha usishangae ni kawaida yangu.
1
4
16
@sanoma_king
sanoma
4 months
Wazee oeni wanawake wazuri kwa faida ya watoto wenu hasa wa kike, usitake binti yako apitie wakati mgumu kupata mwanaume kwa sababu ya kuwa na sura ya kiume
1
4
15
@sanoma_king
sanoma
5 months
Ni sawa kutokuwa sawa acha kuwaza sana umeshaachwa zingatia kutafuta pesa apate sababu ya kurudi ili na wewe umtese
0
2
15
@sanoma_king
sanoma
7 months
👨‍👩‍👧‍👦 My Twitter Family: 👫 Parents: @WideEdson @MaaqaveliVeee 👰 Spouse: @Zunzu666 👶 Children: @ExperryRichardy @mzeewamiyeyusho ➡️
Tweet media one
6
6
13
@sanoma_king
sanoma
4 months
Kila siku inatupatia fursa ya kupiga hatua mpya uhai ni zawadi yenye kikomo chake kulingana na matakwa ya mwenyezi Mungu tuutumie vyema kupambania ndoto. Good Morning
0
7
15
@sanoma_king
sanoma
7 months
My Twitter Interaction Circle ➡️
Tweet media one
2
5
13
@sanoma_king
sanoma
4 months
Tatizo lako mkuu unapenda tukufollow ila haupo tayali kufollow back tutaku unfollow tu ni vyema kama tutasaidiana wote acha hizo pigo mkuu weka handle nikufollow ufollow back
2
3
14
@sanoma_king
sanoma
4 months
Mzee ukinifollow halafu nisikufollow back mda huo kuwa na subra walau kwa masaa kadhaa nitakufollow usikimbilie ku-unfollow mkuu me huwa nawafollow nakaa siku 3 kusubili fb zenu mpaka nawaomba dm kuweni wapole. Ambae bado sijamfollow ni nani nimfollow?
0
1
14
@sanoma_king
sanoma
5 months
Ngoja niamke nikapambane maana hawa mademu hawaeleweki wanataka nini wasiponipenda mimi watapenda hela zangu Good Morning
5
2
13
@sanoma_king
sanoma
4 months
@TMnyama4_ Daah! Hii story inafanana na yangu kabisa sema mimi afande hakupewa posho
4
0
14
@sanoma_king
sanoma
4 months
Aisee tupo safarini kuelekea morogoro gari letu limepata pancha tairi za nyumba zote za upande mmoja mitaa ya dumila, hii ilikuwa hatari sana
4
2
14
@sanoma_king
sanoma
4 months
Nimechelewa lakini sidhani kama ishafika mchana tuendelee kupambania ndoto zetu wanafiki ni wengi Good Morning
5
6
14
@sanoma_king
sanoma
4 months
Unalalamika wanawake wanapenda hela wakati huo una mademu sita! Acha wakuchune mpaka ngozi.
2
3
15
@sanoma_king
sanoma
4 months
Nahitaji watu kumi niwafollow mda huu wafollo back Retweet hii nikuone chap
1
5
14
@sanoma_king
sanoma
4 months
Uhalisia ni ule uliofichwa nyuma ya kile unachokiona mbele yako
0
3
13
@sanoma_king
sanoma
3 months
Umelala mpaka sasa hivi wakati kwenu ukitaka kwenda chooni lazima utoke nje. Good Morning
6
6
14
@sanoma_king
sanoma
5 months
@Yuivankey Follow nitakufollow back
1
0
13
@sanoma_king
sanoma
4 months
Kulala sana, kujifanya umeridhika na hali yako haitobadilisha ukweli kuwa hauna hela na una maisha magumu amka tukapambane Good Morning
6
5
14
@sanoma_king
sanoma
4 months
Habari za mda huu wakuu, saa 10 kamili jioni nitakuwa na zoezi la kuwa unfollow watu wote walioni unfollow kimya kimya na wale ambao wamegoma kufollow back nitaanza na yule msenge alienijibu kuwa hana account.
6
2
12
@sanoma_king
sanoma
4 months
Kama ilivyo ada ni lazima tuamke tukatafutie watoto wetu pesa za kulipia paredi za watu wakipoteza huko shuleni Good Morning
3
6
15
@sanoma_king
sanoma
5 months
Watu wanapiga hela za Elon Musk hapa Twitter we umekaa hapo kama fala hutaki kufollow watu wakufollow back unajikuta star nipo hapa nafollow back anaetaka tuinuane njoo chap mkuu.
1
5
14
@sanoma_king
sanoma
5 months
Kanuni ya kwanza ya mafanikio ni uaminifu tengeneza uaminifu kwa watu kwa sababu pesa zipo kwa watu sio vitu Good Morning
3
5
13
@sanoma_king
sanoma
5 months
Kwahiyo hii ndio aina ya wanawake mnao wapenda humu twitter (x)?
Tweet media one
4
1
13
@sanoma_king
sanoma
4 months
Mda mwingine kinachohitajika ni bahati tu, lakini bahati huwa zinawafata zaidi wale walioanza mchakato tuendelee japo ni ngumu. Good Morning
4
7
13