fantasy🌹❤ Profile Banner
fantasy🌹❤ Profile
fantasy🌹❤

@fantasy_FGP

8,146
Followers
6,314
Following
271
Media
27,798
Statuses

Graphic designer || Fashion lover || Madrid for life || Music always treats me better || Soltero mirando hacia adelante || I love+255

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Aina gani ya mwanamke unaemtaka ?nasoma comment 🫣
47
23
152
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Hizi bikini 🤣🤣🤣🙌acha niwaachie wenyew ,naona kabisa zinataka kuniaibisha 😂wenzangu mnawezaje jaman?
26
23
148
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Kuna mwanaume anakua mwema kwako Hadi unaogopa kumkosea 🥹
17
36
147
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Mapenzi na muhindi kipi kinawatesa vijana ?🤣🤣
30
13
128
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Hii trend ya diamond na Sarah inawafanya wanaume waanze kututisha like nyakati ngumu hazidumu 😂😂oya hauwez kua diamond,na hautakaa uwe, em mtupishe uko.
29
27
118
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Kama wewe ni Mwanaume na hupendi Kati ya hivi ,basi usinisogelee 🤣🤣🤣nisije nikakukata mitama bure🚮 Game Mpira Movie Mziki Pombe Sex
36
16
123
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Hii setting ya kufanya usipatikane bila hata kuweka kindege wala kuzima sim😂aaah imenivutia sana.
19
25
115
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
7 months
Ni tweep gan unampenda na unafatilia tweets zake kila siku ?weka handle yake nimfollow chap😊
33
20
113
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Ni kabila gani wanajua kupenda ?🥹niambieni haraka kabla sijajichanganya.
35
19
111
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Haya matendo tuliyoonesha au kufanya wakati wa mfungo ,tukiendelea nayo hata baada ya mfungo bas Mungu hawezi kutuacha hivihivi ,lazima atushangaze Kwa vitu vingi sana 🙏 Good morning.
24
39
105
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
7 months
Sawa unaniacha sikatai 😭lakini kwanini uniache usiku wa manane,umeshindwa kuvumilia jua likawaka jamani🥹🥹🥹
14
25
107
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Usimnyime mtu kitu ambacho huna kazi nacho 🤣rudia tena.
17
19
105
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Nakupenda kuliko kitu chochote 🤣jibu kama mtu uliechoshwa na mapenzi
31
17
104
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
😒mwanamke ukimtongoza mwanaume ,ukamueleza namna unavojiskia ,anakuona kama mwendawazim ,af mwingine anakukataa kabisa 🚮🚮nimewamind.
37
21
102
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Nyie mnaoogopa wanawake ,mnataka tuwafikiriaje Kwa mfano 🚮🚮🚮
15
19
97
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Bodaboda wangu amefariki😭😭
36
17
103
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Akishakupenda mmoja ,hakuna haja ya kuweka mazoea na wanaume au wanawake wengine.
12
14
93
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Safisheni vyumba vyenu 🤣🤣🤣hata mara moja Kwa wiki sio mbaya .
15
12
89
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
3 months
Unasoma tweet hii ,nakutakia usiku mwema na nakupenda sana ❤️
34
20
95
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Smart phone yako ya Kwanza ulimiliki mwaka gani?
29
15
93
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
7 months
Mnaotuma pesa Kwa wanawake wa mitandaoni na hamjawaona bado mbarikiwe sana🤣
20
13
92
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Hawa watoto wa 2000 wanamaamuzi magumu kuliko hata wakongwe🙌
19
26
89
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Kama wewe unanunanuna hovyo ,basi wewe sio mwanaume uliekamilika 🚮
18
15
89
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Nilikua mpole sana wakaniibia mchumba 😒😒
19
18
91
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Kumbe ukijichubua then ukazaa mtoto anakua mweusi 😒😒😒hii imenilamba
19
22
85
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Ni tweep gani hujawah kujuta kumfollow? 😉Na mm nimfollow
32
23
83
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Kila mtu anajua jinsi gani ameteseka kufika alipofika 😂😂hizo pesa unazopewa ,unachekacheka kama mjinga ,utazilipa Kwa namna moja ama nyingine .
17
29
85
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Ukitaka ushauri wa kitu chochote huwa unamwambia nani?
20
8
88
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
4 months
Ni siku nyingine tena ya kuitegemea nafasi ya pili toka kwa MUNGU... GoodMorning 🌍
32
45
87
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Kuna baadhi ya wanaume Mungu akiwatolea njululu zao Leo 🤣🤣🤣kwisha habari yao ,wanakua maskin wakutupwa
15
17
85
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Kama hauko tayari usiingie kwenye ndoa 🤣🤣🤣mnawaaibisha wenza wenu burnerrrrrrrrrr.
10
10
80
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
3 months
Mlindwe na nguvu ya Yule mnaemuamini Kwa Imani ya kila mmoja wetu. Usiku mwema ❤️
18
22
86
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Tunashika mawili na hakuna litakalotuponyoka 😡
12
23
83
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
4 months
@julip202 🤣🤣nacheka kama mazuri ,jaman mtu humjui unakubali ukalewe nae aiii mtakuja kufa vibaya aisee ,kulipa bills kidogo Tu umejaa🤣🤣eeh haya
14
0
86
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Wanaume wanaotongoza barabarani wamepungua ,sijui shida ni nn🥹
23
19
82
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Kua mweusi mapajani na makwapani ,sio uchafu!!! don't stress yohself.
11
11
79
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
7 months
Unamwambia mtu nakupenda anajibu "haina noma "🤣🤣🤣
27
20
80
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Ila kutoa hela kazi wanangu😂😂😂😂saivi ndo nimeanza kuwaelewa wanaume 🙌
20
16
83
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Una dem mkali lakini anakutesa🤣🤣🤣🤣🤣
21
13
83
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Mungu ,tuinulie watu wema ,watakao tuvusha hapa tulipo na kutupeleka sehem bora zaidi🙏🙏 Good morning fam.
28
30
81
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Wadada tusiokua na nyash tunadharaulika sana 🥹🥹🥹sijapentaaaaa
33
17
81
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Ni kauli gani ukiiskia Kwa mpenzi wako unajua kabisa hapa nadanganywa 🤣
16
13
83
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
@TMnyama4_ Pepo limekuingia binti,ikiwezekana nenda kweny kambi za maombi huko ukae hata miezi miwili ,omba Kwa kumaanisha ,hatuna kimbilio lingine zaidi ya Mungu ,an everything will be okay .
4
1
81
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Yafurahie na jivunie mazuri uliojaliwa na Mungu,mapungufu kila mtu anayo! Na nikwasababu ya ubinadam tuliopewa na Mungu Mwenyewe . Good morning family ❤️
16
35
84
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
7 months
Raha ya mwanaume anuke kibeberu🤗🤗🤗
28
17
80
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Umeshatembelea DM ngap mpaka sasa,ulifanikiwa?au tusiingilie mambo yako 🤣🤣🤣🤣
22
16
81
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
7 months
Unapata mshahara laki sita ,unaanza kuwaambia vijana watafute hela 😂😂😂😂😂😂sas wewe kitaalam sijui tukuitaje
14
20
80
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Ni zawadi gani kubwa uliowahi kutoa au kupokea kutoka Kwa Mama yako ?
16
17
79
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Nmepishana na mama mchungaji kavaa nguo zangu ,nilizompa akapeleke Kwa watoto yatima 🚮😒
13
13
82
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Ukiwa mjini mkojo ukabana ,unaweza kuvumilia 🤣shida ni macho yakishaona Choo akii unaweza kujikojolea 🙌
15
19
79
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Maisha yanakupeleka ukiwa wapi? Good morning
17
22
79
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Kufanya kundi kubwa la watu likuamini sio kazi ndogo ,tusichafue majina ya watu bila sababu za msingi .
9
19
79
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Kumchukia mtu usie mjua ni aina nyingine ya uchawi😃
6
24
76
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Tuwafundishe mabinti zetu ,kupika vizuri ,usafi wa mwili na nyumba ,kuishi vizuri na watu ,kujipambania katika kila Hali ,kwaajili yao!tusiwaambie wanatakiwa kufanya hayo kwasababu ya ndoa ,hii itawasaidia kiakili hata wasipofanikiwa kuzipata hizo ndoa ,bado watakua salama 🙏
8
26
76
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Neno "uvivu"ukilisoma nyuma mbele 🤣bado wembe ni uleule.
12
19
74
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
4 months
Nakuombea ikawe week yenye mafanikio tele juu yako.... Good Morning X Familiy ❤️
25
27
78
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
7 months
Kitu gani kinakuzuia kumpost mpenzi wako?
23
14
79
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Ukituma nauli anakuja au hadi upige sim za vitisho ?🤣
12
13
78
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
3 months
Imagine mtu anaenda msibani kufata chakula tu 😂 Gen Z🙌
9
18
79
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Ila mwanaume mkweli sana anaboa bna😒😒
19
10
76
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Mmeamkaje wapenzi wangu🥰
26
30
78
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
7 months
Kuna wakat nashindwa kumwambia Mungu namna ninavojiskia ,lakini sikuwahi kushindwa kumwambia Mungu Asante . Happy Sunday fam ❤️
10
30
75
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
7 months
Unapokuja kunipa taarifa za mpenzi wangu ,uje na mpenz mpya 🤣🤣🤣sipo tayari kua single kwasababu yako 🤣
11
17
75
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Hii space itaharibu mahusiano ya watu wengi sana 🤣walio ndani na nje ya x.
11
15
74
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
2 months
Kuna wanaume wanauwezo wa kulala na mwanamke kitanda kimoja na wasifanye kitu 🙌
30
22
75
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Mtoto wako wa kwanza anaitwa nan?
27
16
73
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Haiwezekan status uturingishie pesa na range ,af uje DM uniombe elfkumi 🤣🤣🤣nitakuroga walah😡shenzi
13
16
72
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
7 months
Kama hujatafutwa ,jipige kifua mara tatu 🤣🤣sema Mimi ni jasiri ,zima taa lala. Muwe na usiku mwema ❤️
14
11
78
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Nini kinakuvutia Kwa mwanamke🫣
28
14
72
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
6 months
Ametutumia picha yako hapa 🤣🤣tafadhali jifunze kuvaa ,punguza kitambi ,kabla kamati hatujafanya maamuzi magumu.
9
14
73
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Kuna sms unaisubiri saivi 🤣🤣ila lala tu unaweza kuikuta hata asubuhi
10
14
74
@fantasy_FGP
fantasy🌹❤
5 months
Nina sababu 10000000000000000 za kumwambia Mungu Asante❤️🙏 Good morning.
24
24
73