Muslim|Proud Father||die hard
@LFC
&
@DodomaJijiFC
fan|Nature📸|coffee addict|alum @ CBE DSM and Institute of Tax Administration. Be you they will adjust 👊🏽
If you tax the rich more than what is necessary, they will reduce the pay of the poor. So you see, no matter how you try to punish the rich, it will eventually get to punishing the poor.
Leo nawaletea uzi wa maeneo ya kutembea ukiwa Mbeya. Mbeya ni mji uliojaaliwa kuwa na vivutio vingi na vya kipekee. Ardhi yake imesanifiwa vema na athari ya volkano na kuipa “view” nzuri kijografia.
Usiyo yajua kuhusu Mbeya thread.
1. Nanenane ni sikukuu kubwa kama Christmas na Pasaka.
Watoto wana nunuliwa nguo mpya na nyumbani pilau linapikwa.
📍Iganzo 🇹🇿
Sio kila mtu wa kumfollow au ku engage nae humu X.
Kama unajua mtu sio mzuri na ana link na kuumizwa kwa watu muanze kum unfollow tu I hope it’s not to much to do
Tukuyu inakatikana wilaya ya Rungwe. Ni wilaya tajiri kwa mali asili na mazao. Rungwe kuna maporomoko mengi ya maji, uoto wa asili, maziwa bwete zaidi ya kumi. Mlima wa tatu kwa urefu Tanzania. Rungwe kuna limwa mahindi, chai, kahawa, hiliki, mbao, viazi na ndizi.
Ukweli kuhusu
Kutoka Maktaba
Mwanafunzi Ndemezo Lutakwa aliyeshika nafasi ya kwanza kitaifa katika mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2018 akiwa na wazazi wake wilayani Chato mkoani Geita.
Kama wewe ni baba una mabint au kaka una madada au mjomba una wapwa wa kike usisahau kuwa spoil wazoeshe kuwa vyakula na outings ni mambo madogo sana ili wasije uza utu wao kwa 🍕😃
Wanasema kabla ya uhuru huko alie architect hiyo barabara alikufa kwa sonono. Baada ya kufanya “usanifu” wa barabara wenzie walimsema sana na kumcheka barabara kwanini iwe na kona? Aliamua kujinyonga na kufa. Kazi walifanya wasanifu mbalimbali na mainjinia walishindwa wakarudi
Based on true story my family iliwahi pitia crisis moja mbaya sana when I was 10 ndugu yangu anaenifatia akiwa na five years, nakumbuka marehemu mama yangu alikuwa anatuambia tule mimi na mdogo wangu tukimwambia tule wote as we normally do anakataa anasema ameshiba na kikibakia
Once the rain is over, an umbrella becomes a burden to everyone. That's how loyalty ends when benefits stop.
Utengule Coffee Lodge
📍Utengule, Mbalizi 🇹🇿
Tuweke record vizuri kwa vizazi vijavyo. Michango ya
@Sativa255
ilitumwa moja kwa moja kwenye namba ya ndugu yake na haikutumwa kwa
@MiriamMkanaka
wala
@IAMartin_
kama ambavyo
@JiniKinyonga
anavyo taka kuaminisha.
Summary ya hoja ya Dotto ni kuwa hawakupenda ummoja tulionao X
Unaweza kuchagua mke lakini watoto wako hawawezi kumchagua mama yao. Hivyo basi kuchagua mama atakae kuwa mama bora kwa watoto wako ni jukumu lako na usilichukulie “poa”
Kama bank hawakupigii simu kuomba appointment “ya kukutana” ofisini kwako kuomba uchukue facility kwao sio kuwafata na kuhojiwa. Unasafari ndefu sana kwenye haya maisha 😀
@SuluhuSamia
Shikamoo mama,
Mimi naomba professional camera ili siku ya siku na mimi unipongeze kwa kushinda picha bora ya “nature” duniani. Make my dream come true mama. 🙏🏻
I just found out Busokelo is outstanding national heritage significance and should be recognized by
@UNESCO
as world heritage site. Kifupi Rungwe yote iwe hifadhi 😀
In frames: Kyambangululu, Ikapu, Malamba Creter lakes and Matema beach view by far.
📍 Mbambo, Busokelo 🇹🇿
@ComradeKawaida
Surah Ar Rahman aya ya 26 kama sijakosea MwenyeziMungu anasema
Kila kilioko juu yake (ardhi) kitatoweka.
Yaani hakuna kitakacho ishi milele
Kampeni yetu ya kupanda mm miti 1,000 Miganga South inaendelea. Leo mimi na vijana wangu tume weka mbolea na maranda kwa ajili ya kuhufadhi unyevu na kuongeza muda wa umwagiliaji kutoka kila baada ya siku tatu na kuwa kwa wiki mara moja.
Dodoma ya kijani ina wezekana watch this
Hii tweet imetuijia ili tusiulize tena justice ya
@Sativa255
tujikite kujadili pesa zime enda wapi na ivunje mioyo likitokea kama la Sativa kusiwe na mshikamano. Kifupi tweet ipo kimkakati sana 🙃
Imefika wakati tuweke record clear.
1. Haya malipo yote ya matibabu ya ndugu yetu
@Sativa255
akiwa Dar Salaam yamelipwa na watu watatu
👉🏿Mh. Rais Milion 35 ambazo zimeingizwa kwenye Account ya Aga Khan,
👉🏿Shirika la THRDC Milioni
NA
👉🏿Kiongozi
@zittokabwe
Milioni 10 ambazo
As a new chapter of my life unfolds, I am making a wish for a year filled with success, love, self-love, growth, endless possibilities and unforgettable moments. 1+ Alhamdullilah 🙏🏽
If Lake Ngozi (or Lake Ngosi[1]) is the second largest crater lake in Africa why they teach our kids about Lake Natron? Kwenda Serengeti kutokea Arusha na kutokea Mwanza wapi karibu? 🙃
📍 Katumba, Rungwe 🇹🇿
Wenzetu Ofisi ya Rais Tamisemi - ambao ndio wenye dhamana ya utoaji huduma za afya ngazi ya msingi - wanafuatilia suala hili. Naomba tusubiri taarifa rasmi kutoka kwao.
Nimeangalia Mkutano Wa Rais na Matajiri Watano Kutoka Kila wilaya Nchi Nzima!!Sikuona Member Hata mmoja Kutoka hapa
@Twitter
!! Hivi sisi tumekwama wapi??🤣🤣
My daughter texted “Baba now days we don't even go out with me l really don't remember the last tym me and you.....yaani daughter and dads
tym” my lower back felt that 🥹
Spika kwa niaba ya Watanzania awapongeza Wizara ya Nishati na Tanesco kwa “kazi nzuri wanayofanya”.
Msisahau kutembelea Utengule Cofee Lodge kwa huduma bora ya malazi, chakula na kahawa.
📍Utengule, Mbalizi 🇹🇿