Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile Banner
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@maganga_sm

9,660
Followers
10,563
Following
8,662
Media
138,977
Statuses

Don't let life change your goals, achieving your goals can change your life. Baba Kendrick & Rodrick.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Nimeanza na mtaji wa kopo moja la paracetamol nikitoboa msije sema sikuwaambia..
Tweet media one
59
95
288
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Tujikumbushe: Mwaka 2008 Wasabato Masalia walitinga Airport Dar wakitaka kwenda ng'ambo wakaeneze injili bila kuwa na documents yoyote kama visa, passport, tiketi nk ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nchi hii imepitia mengi sana aisee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Tweet media one
272
489
2K
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 years
From whatsApp.. Kama unamjua huyu jamaa, Kapata ajali chalinze kafariki..
Tweet media one
Tweet media two
138
230
2K
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
R.I.P madamu
Tweet media one
143
48
1K
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Clement Mzize, na Mzee wake. Enzi izooo
Tweet media one
18
34
924
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mi Niki like zinatokea nyota nyota za malangi langi.
Tweet media one
9
4
764
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Chama akaribishwa Jangwani....๐Ÿซฃhii sasa sifa......๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
26
38
751
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
72
96
676
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Duh๐Ÿ˜ข๐Ÿ™Œ Shkamoo Jide @JideJaydee
77
98
663
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Jamaa anaongea kichina kuliko wachina wenyewe mpk mzee hakuamini macho yake.
52
123
654
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Imeisha iyoo
Tweet media one
7
9
596
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Manara huu Ubunifu,Superb๐Ÿ’ชhapa kamaliza Kila kitu aisee
25
113
602
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Kuna wanawake lakini kuna Dr WARDA NATAI..
Tweet media one
Tweet media two
38
20
587
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
Mmh sio poa kabisa wadau dah ni kama vile vile... ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€
4
42
494
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜
120
83
467
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Hii kolabo inaitwaje wataalamu wa Mambo..!!??
66
60
433
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Wakali wa location hapa ni wapi ?
Tweet media one
106
15
385
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 years
Hili kabila wakarimu sana, yaani jamaa kwa uzuri kabisa anamkarimu jama mke ingawa inauma sana, Ingekiwa mkoa wa mara yaani hawa, jamaa na hawala yake wangekula panga za kutosha tungeshuhudia damu..๐Ÿ˜€๐Ÿ˜๐Ÿ˜„
172
78
376
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 month
Huyu si ahamie Yanga tu.... ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„
7
41
367
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kuelekea SIMBA DAY ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
22
46
336
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
Hivi bus kama hili linaweza kupiga ruti za mwanza to Dar kweli. ๐Ÿ’š๐Ÿ’›..
23
36
333
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 years
Hii ni stage gani kwenye mahusiano..??
Tweet media one
89
16
313
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 years
Huyu nani tena, mbona hatumjui, Ngoja kwanza mabaharia mnamjua huyu...!????๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
127
14
300
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Hii habari inasikitisha sana..
Tweet media one
31
19
306
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
#imajini Hii driving school..
117
65
297
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Huyu ni nani tena..
70
37
294
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 years
Basi zamani nilikuwaga nafikili huyu ndio @McinikaWaLamar
Tweet media one
26
7
284
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Kujenga daslama ni kazi sana aisee ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿคญ๐Ÿคญ
60
32
251
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Injili imevamiwa na wahuni.. ๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ
117
63
234
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Yametimia ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
25
27
205
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Tazameni vizuri.... Utafiti lakini msiogope.. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
99
60
206
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 years
Gafla leo nimesoma na machozi yametililika..๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ Nilikuwa naona picha na skip, sisomi, kumbe ni habari ya kusikitisha..๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Tweet media one
50
17
195
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Yaliyojiri 2020... Tunaendelea kujikumbusha... Bafu kama min supermarket
Tweet media one
34
5
196
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Jamani nimemfuma sijui mwanga or nani heb nisaidien basi
47
31
189
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 years
Hii picha @realDonaldTrump Kaifurahia na wala haja koment chochote, tena kaipost mwenyewe ingekuwa huku kwetu afrika aliyefanya hivi mpaka sasa angekuwa anasafari za kila siku kwenda central @IdrisSultan @abdulazackabdul @PatricOleSosopi @MariaSTsehai @fatma_karume @halimamdee
@realDonaldTrump
Donald J. Trump
5 years
Tweet media one
121K
137K
527K
15
15
182
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Hapa ndio utajua hujui.. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
65
8
177
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Happy birthday to me. NB: hizi kaunda suti tulikuwa nazo familia za mabro tu wa enzi hizo..
Tweet media one
28
3
161
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 years
Sio kila mwanamke unaye muona ni chombo cha starehe, Wengine ni ufunguo wa mafanikio yako, Naona volume bado ipo chini...
11
7
155
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Tabata watu wanakula raha hadi aibu jamani..๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
57
27
161
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
The Oldest person in the world.. She is 230 years old.. Mzima wa Afya na Akili๐Ÿ˜Š "UNATAMANI KUFIKA UMRI HUU?" ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
48
52
158
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 years
Nguvu ya kuwa tajiri, Kwanza ukatae umaskini..
6
19
125
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
0
0
119
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kwani mzee baba hii tweet yako uliisahau, tunasubilllia hasira yako mkuu.. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜†
Tweet media one
@hancymachemba
Hancy Machemba
2 years
@SimbaSCTanzania Hizi mbwembwe zenu mapema kwenye game ya kwanza tu huko mbele mkizingua mtatujua mashabiki hasira zetu. Hakuna haja ya kutamba kwa game moja tu,japo tulishinda 3 ila sijaona mpira ambao nilitarajia kutokana na quality ya wachezaji wetu na mwalimu tuliyenaye ukilinganisha na Geita
13
5
23
1
7
113
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Habari wapendwa nimeokota waleti inahivi vitamburisho naomba nisaidieni kusambaza katika magroup yenu avipate muhusika. Anitafute kwa no 0753 222378
Tweet media one
21
41
110
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Location, kwa wale watembezi. Hapa ni wapi!?
Tweet media one
32
2
106
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Dogo kachana mkeka wa mother
12
28
101
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 years
@lemutuz @MariaSTsehai @SuphianJuma @TitoMagoti @KennedyMmari @MarekaMalili Siku hizi darasa la saba hawana wivu tena na wasomi wa chuo kikuu maana hakuna tofauti katika fikra zao.
0
7
91
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Katika pita pita zangu nikakutana na hii kwa whatsApp.. ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
11
9
89
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Huyu mama ni mbongo kabisa tena ni wakule tandale kwa mpalange, maana sio kwa haya mahaba ya kibongo bongo..๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿ˜„๐Ÿ˜€
12
17
89
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
0
0
85
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
0
0
84
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
@MariaSTsehai Huku kwenye jimbo moja la uchaguzi mkurugenzi kawakata wasimamizi wote posho kiasi cha Tsh100,000, walioteuliwa kusimamia uchaguzi kuanzia msimamizi mkuu hadi wasaidizi wote. Yaani wapo wanalalamika hawajui cha kufanya.
9
7
84
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata Jovina Mwakiyee (33) mkazi wa kijiji cha Mang'ula A wilayani Kilombero kwa tuhuma za kula njama na kumuua mume wake wa ndoa ambaye ni mwalimu mkuu wa shule ya msingi Signal, Christian Tangaraza mwenye umri wa miaka 39.....
Tweet media one
12
13
85
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Tukachimbe dawa na kupata msosi guess the location.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
18
5
80
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Mambo
Tweet media one
4
6
78
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 years
2020 twendeni na hii challenge ya @dottoimeli , najua watakao iweza ni wamikoani sisi wa Dar es salaam ni ngumu sana na muda huo hatuna..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Tweet media one
Tweet media two
11
6
79
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 years
Huyu dada Peponi moja kwa moja, Naomba handle ya huyu mdada..
10
25
78
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Ila Mungu huyu jamani yaani nimekaa naangalia hii self matata nikagundua mungu fundi sana, Dental formula ya @rollymsouth Inafanana sana na ya @YourFrenchFry ..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
7
3
76
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 years
@Happnesmlay 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 0747555590 0747555591 0747555592 0747555593 0747555594 0747555595 0747555596 0747555597 0747555598 0747555599 Namba yako hiyo hapo umeiona.??
7
2
62
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 years
Tangu nijitambue sijawahi kuona mtu akiosha mswaki wake na sabuni mara baada ya kuutumia, ila kijikiko na sahani baada ya kutumia vinaoshwa vizuri na maji safi na sababu.. Ndio maana miswaki mingi ina harufu mbaya.... Hebu nusa wa kwako usikie.. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
10
5
59
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Wapwa na ujenzi, unaweza jenga nyumba kama hii na ikaonekana ya kisasa zaidi. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
6
65
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Hili Jamaa litakua Punga aiseee ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
15
9
65
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Tweet media one
3
1
67
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 years
Tweet media one
3
3
58
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Gari la Serengeti lapinduka Zanzibar watu Wala hawana habari nalo. Ukisikia kwenye miti hakuna wajenzi ndio hii sasa.
17
10
57
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
0
0
60
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 years
Huyu nae vipi!????๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nahisi anatafuta kiki..
21
4
58
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Leo nilikuwa mgeni kwa mh rais wa wapwa @abdulazackabdul Nilifurahia chaku hiki sana maana sikuwahi kukila katika maisha yangu..
Tweet media one
9
1
56
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Unaumia ukiwa wapi kiongozi..
Tweet media one
@ExMayorUbungo
Boniface Jacob
1 year
Mamipira ya nini..............?
78
15
377
3
2
59
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Mpo wapi...!!!??
Tweet media one
12
1
55
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Wale mliosoma cousre fupi Cuba,Yugoslavia,Ugiriki na Israel....๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜Ž
18
10
59
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
0
0
55
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Huyu mwamba..
20
15
57
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 years
Watu wa mbagala langi tatu mnanini lakini..๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Tweet media one
16
7
55
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
@kigogo2014 Nimegundua unampenda sana rais wetu na unakosoa ili akae kwenye reli..
1
5
58
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
@Labella_Mafia95 Walimu edit ndio maana yeye hana huzuni ana uhakika hakufanya kama Gwajima
Tweet media one
4
2
57
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 years
@TecnomobileTZ
TECNO TZ
5 years
Ni "Wakati wa Mazawadi" RT, tag wadau wa 5, @TecnomobileTZ @DStv_Tz na tumia #MerryBlueChristmas kupata nafasi ya kushinda Camon12 Mpya! Rts 3000 kwa mshindi. Unaionaje hiyo. #MerryBlueChristmas
59
79
286
1
16
50
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Nyieee
13
15
57
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Eti nyinyi mlioendaga VETA kusomea driving ni kweli ukikanyaga accelerator na Break gari inapiga screenshot..!?
10
3
51
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
My only one..
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
0
54
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 years
@kigogo2014 Shangazi haja sapoti ila anachozungumizia ni sheria na haki za mtu, na hii inalindwa na katiba ya nchi, hawa watoto wangejua huu mjadala wangeuamishia kwenye katiba mpya ili kuwekwe kifungu cha kuwateketeza hao mashoga na sio kumuandama mtu anaesimamia sheria kama kazi yake..
Tweet media one
16
1
53
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 years
Achana nalo hilo, chuoni kila mtu huwa anakula kwa ulefu wa kamba yake. Note: sijamaanisha kula chakula, ila nimemaanisha kufaulu mtihani...
0
0
52
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 years
Nahitaji kabati kama hizi 3, Kama kuna mtu anamjua mzabuni anaeweza kuniuzia, Awe mwanza au Musoma.. Taratibu za mauziano zinazingatia taratibu zote za kiserikali, Rt yawezekana mzabuni akawa kweye TL yako... Kwa waliopo Mwanza na Musoma nisaidieni kwa hili.. @abdulazackabdul
Tweet media one
2
18
54
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
1
1
53
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
@TumeUchaguziTZ Technolojia haisahau nyie..
Tweet media one
1
2
51
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Yaani leo huko whatsApp hii ndio habari,๐Ÿ˜„๐Ÿ˜๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜… Watu wanashangaa hilo jibu la @bob_mchelsea ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Tweet media one
Tweet media two
8
2
51
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 years
Huyu nae tumuiteje feminist au advisor wa akina mama na wanawake kwa ujumla....!!??? Ok tafakarini nitaludi baadae...
Tweet media one
7
11
51
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
1
1
49
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Tweet media one
1
2
53
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Tweet media one
Tweet media two
9
1
50
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
The olny ONE thread.....
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
0
44
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
@raiawahovyo Waendeje sasa, walipiga kambi airport wanamuomba mungu wao awapaishe kwa miujiza
8
2
46
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Tangazo halikusema mwenye engagement kubwa ndio mshindi. Hiyo mosi. Pili tangazo halikusema upost au uombe retweet Tatu tangazo halikusema u pin post yako na kuomba retweet Yafuatayo ndio yalihitajika 1. Follow account 2. Tag rafiki 5> 3. Retweet Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Tweet media one
Tweet media two
19
3
47
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Hiki ki HONDA 110 kina bei gani kipya!!??
Tweet media one
15
4
50
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Location kama wewe ni mzururaji kama Mimi..
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
14
2
49
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
46
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 years
Intern Doctor.. Morning report..
4
7
48
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 years
14 Feb. Valentine day 14 Feb. Ash Wednesday 14 Feb. Real Mad. vs PSG 14 Feb. Fc Porto vs Liverpool 14 Feb. FC Barcelona vs Chelsea Ladies just forget this day. Men will be busy. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
6
3
43
@maganga_sm
Dr SAMAKI..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 months
Sasa tumekubaliana friji la vinyaji lazima likae sitting room. Ila la vyakula likae jikoni si ndio au bado mnabishana. ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Tweet media one
Tweet media two
13
4
46