Wazee mini unfollow nilipigwa stop sijaunfollow mtu hata mmoja jana nalala nlikua na 1630 cheki walivoni unfollow dah
NB:SIJAUNFOLLOW MTU NIMEPIGWA STOP
RT PLS
@alikomaster
Hakuna dem anaekupenda akatoka kwenda kusex na mwengine huyo hakupendi halafu acha ufala ushaona anakwambia mwana kaangusha kidoge unataka ubaki ili iweje sepa madem wengi tu