Mkushi Profile Banner
Mkushi Profile
Mkushi

@Mkushiiii

29,704
Followers
1,487
Following
2,451
Media
232,969
Statuses

Mungu + Heshima + Juhudi 😇❤️🦅

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Mwana FA once said...??
Tweet media one
306
192
2K
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Wasafi Media vipindi vyao vyote wao ni Makelele tu fujo Studio , Clouds Media Group Heshima Kwenu.
163
138
2K
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Mzigo wa kupoa nao ijumaa ya leo Short Scene kwenye Comment .🔥🙌🏽
Tweet media one
61
69
2K
@Mkushiiii
Mkushi
3 months
😂😂 apa hutakiwi kujihusisha na Mahusiano kabisa.
Tweet media one
209
112
2K
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Sitegemei kuona akipata Interview yoyote pale Wasafi, Kwevo kamaind sana asee..!😂
Tweet media one
54
61
1K
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Kumbe Alikulaga..! 🙂
Tweet media one
68
61
1K
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Skudu Makudubela💚💛
Tweet media one
23
43
1K
@Mkushiiii
Mkushi
3 years
Epuka kudate na videmu under 24 visumbufu na wengi hawajielewi!
162
213
1K
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Nasoma Comment.
Tweet media one
238
113
1K
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Mtajua Kwevo Round kapania kuwapoteza watoto wote ..! 😅
Tweet media one
46
51
1K
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Usijipe umuhimu kwenye Maisha ya watu!😂
Tweet media one
Tweet media two
189
109
1K
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Brother! Usiruhusu Mwanamke atokwe na machozi kwa ajiri yako ni laana.
147
109
1K
@Mkushiiii
Mkushi
7 months
Ukishaoa ndio anatokea Mwanamke anakupenda kuliko Mkeo Daah!!💔🥹
Tweet media one
84
102
1K
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Kwevo kapata Mtetezi kutoka Nigeria Kweli Nabii hakubaliki kwao..😅
Tweet media one
33
55
1K
@Mkushiiii
Mkushi
5 months
Kama wewe ni Legend hii picha imepigwa kwenye Movie gani??🔥😅
Tweet media one
269
66
1K
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ambangile ye anafollow back Mademu tu Aseee..😅
120
44
1K
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Aisee 😂😂😂
Tweet media one
97
62
1K
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
May GOD Bless me with a long life! Happy Birthday To Me! 🎂🥂
Tweet media one
184
97
974
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ukiishi na Girlfriend wako mwezi mzima ndio unagundua kuna umuhimu wa kula Dagaa hata km una Hela ya Nyama.
63
102
1K
@Mkushiiii
Mkushi
8 months
Kama huijui hii movie, basi endelea kuangalia tamthilia za Huba, Jua kali na Dada Zako.
Tweet media one
162
67
1K
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Manzi anakuja Ghetto hafui, Hapiki ,Hafanyi usafi na bado anakuuliza kuhusu Ndoa.!?🤨
107
87
1K
@Mkushiiii
Mkushi
6 months
Wapambanaji wote MUNGU atufanyie wepesi katika kutafuta ugali wetu wa kila siku!🙏🏽🤲🏽
Tweet media one
42
113
1K
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ricardo Momo kukiwa na Mgeni Sports Arena anayeongea English huwa anakimbia Studio.😆
77
73
966
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Mwanetu Skudu anapumzika Pazuri Aisee.😊
Tweet media one
35
38
968
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Mwanamke mwenye hofu Ya Mungu ndiye atakaye kutunza vema wewe na watoto wako.
61
132
932
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Behind every successful man, there’s a woman, that’s the WOMAN, she’s called MAMA.
Tweet media one
40
98
950
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ka Binti Under 20 kakikupenda kanakuwa km kamelogwa Yanii.😅
101
72
921
@Mkushiiii
Mkushi
2 months
Sasa itakuwaje??? 😂😂😂
Tweet media one
18
40
932
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ex wako kamzidi Nini Bae wako wa sasa?? Kuwa Mkweli tu.🤭🥲
134
75
901
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Nini kimemkuta Mmakonde, mbona kanenepa na kazidi kuwa mfupi?? 😳😂
Tweet media one
62
46
905
@Mkushiiii
Mkushi
8 months
Wazagamuaji eti ni kweli??🤷🏾‍♂️🙂
Tweet media one
71
58
880
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Kuna yule Ex hata ipite mwaka ila ukivuta Simu Moja tu.🤭
55
53
861
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Mkimaliza kula mwende mcheze nje baba enu anaumwa kichwa” Leo ndo nimejua maana yake.🙂
70
70
869
@Mkushiiii
Mkushi
9 months
Huu ni umalaya tu hakuna lolote apa.😎
Tweet media one
137
47
869
@Mkushiiii
Mkushi
3 months
Baada ya Harmonize kumuomba Meekmill kolabo, rapa huyo alimjibu kuwa hajawai kumsikia. Meekmill.. "I never heard". 😂😂😂
Tweet media one
87
54
867
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Uyu Mchezaji anaitwa Nani??
Tweet media one
228
44
856
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Tanesco rudisheni Umeme nina Mgeni wa Muhimu Asee leo!🥲
90
81
824
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ukipata Mafanikio Usibadili Mwanamke, Bali Badilisha Maisha yake, kwani huyo Aliekuvumilia Ndo anastahili hiyo tuzo.
55
146
824
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ukiacha Kulwa na Doto majina gani mazuri kwa watoto mapacha wa kike na kiume?👇🏾🙂
279
72
832
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Una date na Mwanamke kila siku ye ni kulalamika tu.🥲
86
79
807
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Kuna namna asa ivi nikimuona Manzi ana Sura Nzuri Naogopa.🥲💔
78
100
831
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Pesa yako ya kula mchana huwa haizidi shilingi ngap?🙂
109
68
801
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Nioneshe recently text uliyoambiwa "Nakupenda" nikutumie Buku 5 asa ivi.🙂
105
62
780
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Mabinti wamejazana kule kwa Mwamposa maombi yao ni kuolewa na Wanaume Matajiri.
88
79
792
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Unapofika umri fulani, Unakuwa hauvutiwi kabisa na mambo mengi, unavutiwa na machache yenye faida kwa maisha ya kesho yako.
56
131
791
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Kule WhatsApp status Kuna viazi wanaeka screenshot ya kila mtu aliyemuwish birthday yake, kama na wewe mmoja wao Huna akili.
92
89
802
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Vijana wenzako wanapambama kujikwamua kiuchumi we upo Twitter 24hrs kushindana number za followers.
93
106
786
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ukitaka kuteka Moyo wa Single Mother Mpende Mwanae kuliko Yeye.
64
60
768
@Mkushiiii
Mkushi
7 months
Pesa ya Pombe ni ya pombe tu , hata ununue Cement fundi ataiba ataenda kununua Pombe! 😂😂😂
46
111
802
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Kwenye kila Contacts za Mwanaume Hayakosekani majina ya Happy na Neema!🙂
102
81
760
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ukiacha tatoo, Mwanamke aliyetoboa sikio mara 3 naye sio wa Kuoa..
76
61
760
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ukiachana na Wangoni na Wazaramo asee Wanyamwezi nao sio Kabila la Kuoa.
105
62
781
@Mkushiiii
Mkushi
8 months
We ni Mkali wa Movie Hili Tambala Linaitwaje??🔥
Tweet media one
222
63
780
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Kuzaliwa Mwanaume sio mchezo. Kitendo cha kumpa Pesa mtu ambaye hakudai sio mchezo Wakuu 🥺
Tweet media one
83
100
764
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Kwani kikubwa wanachotafuta wanawake kwenye simu zetu ni nini?
102
75
740
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Apa Tz kuna kabila ambalo lina wanawake wazuri kuwazidi Singida!? Aise Warefu,Rangi shepu ,ntaoa kule🤭🙌🏾
122
52
742
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Bro! Kuna Umri ukifika unatakiwa udate na Mwanamke sio msichana.
58
68
737
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Umkute Doctor wa Kike mzuri afu akupime ukutwe na UTI.🥲
72
68
735
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Mpaka sasa Messi kamzidi kila kitu Ronaldo.
73
30
766
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Hapa jux alipoteza mwanamke wa maisha yake na Mama wa Watoto Wake.
Tweet media one
72
52
749
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Maisha ya sasa Mapenzi yakiwa ndio kipaumbele chako Hutoboi!
50
88
723
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Kwanini hizo nguvu unazotumia kutafuta Mapenzi ya kweli Usihamishie kwenye Kutafuta Kazi?🥲
69
90
725
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Mwanaume ukiwa kiwembe sana una change wanawake kila leo, Mungu nae anakubless Kababy Girl Kazuri tu.🥲
61
78
715
@Mkushiiii
Mkushi
5 months
Mzigo gani anamaanisha uyu Shekhe! 😂
Tweet media one
47
45
740
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Wakuu! ivi ukiwa na Aftatu unaeza kula nini pale Serena Hotel.?
184
59
714
@Mkushiiii
Mkushi
7 months
Huna Kazi Huna leseni Huna Passport Huna kiwanja Huna milion 5 kwa Account Huna nguvu za kiume Huna Biashara Huna Mke Huna Nida Huna Nyumba Huna kitanda Huna kadi ya Mpiga kura Huna ndevu ...halafu kibaya zaidi huna wasiwasi na Maisha Haya Mkuu Kila La Kheri.😅
108
145
739
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Kwa iyo Ambangile alikuwa anapita na Dada Zetu wa TL kumbe ana Chaka lake.😅
53
50
719
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Vijana mnashinda Mitandaoni hamtak kufanya kazi Taifa litajengwa na nani?🥲
184
106
717
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Usifanye Mwanamke akalia kwa ajili yako Machozi yao ni Laana.
96
79
711
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ukiachana na Kukosa Ajira nini kingine kinawatesa vijana wa Tanzania?
177
60
694
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Usishangae kumuona mwanamke mzuri Yuko Single' Wanakuwaga na Kasoro zao kubwa sana.
59
78
705
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ivi Tukija Mtaani kwenu tutakupata kwa jina gani Mkuu.?🙂
139
74
705
@Mkushiiii
Mkushi
7 months
Pisi za chuo we weka Pombe na free Wi-fi kwako utakula group lao lote.😎
44
80
729
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Nioneshe picha ya machezaji wako akiwa na Makombe matatu msimu huu, nami nikuoneshe Jogoo anayetaga 😂😂😂
Tweet media one
@Lizzie36021
chuga girl❣️
1 year
Nionyeshe picha ya mchezaji wa timu yako akiwa na tuzo kama saidoo ivi apa bongo👇 na mimi nikuonyeshe mbu mwenye hipsi😂😂😂
Tweet media one
33
24
226
24
23
711
@Mkushiiii
Mkushi
10 months
NGE-- sumu yake ni ya masaa 24 na inadumu kwa mda mfupi, tena ukibatika kumwona ukimuwa hapo mwisho wa sumu yake,TIBA YAKE chukua vijiti vidogo vidogo vikavu jivunjie sehemu aliyo kuuma. TANDU-- sumu yake kali inakimbilia kifuani na kooni mpaka kichwani sumu yake unafukuta kama👇🏽
Tweet media one
70
120
713
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Watoto wana sura nzuri ila Mitaro haina Kitu.🥲
57
60
692
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Mtu huna kazi huna Hela unatembea na wallet ya kazi gani sasa?
89
72
680
@Mkushiiii
Mkushi
8 months
Mwamba Kashaletewa Bidhaa yake na Kikuu.😂🌧️
Tweet media one
70
64
703
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Tanzania jobless wanaishi vizuri kuliko wenye Vibarua,Wana Simu kali na hawaishiwi Bundles.
58
61
683
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ivi Mwanaume unakuwa na matatizo gani mpk hunywi Bia?
92
51
658
@Mkushiiii
Mkushi
3 years
Ivi haiwezekani kuwa na Mwanamke wako Peke Yako!? 🥲
105
40
654
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Kwanini Back Bencha wengi hawakuwahi kuwa na akili?
114
44
674
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Kinachomrudisha Nyuma Best Naso bado anatumia Facebook 😅😅
Tweet media one
96
40
689
@Mkushiiii
Mkushi
1 year
Navyomjua mmakonde wiki haipiti lazima atafanya jambo kupoza huu moto..! 😂
Tweet media one
49
52
686
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ukiwa na hela mwanamke wako anakua anacheat kwa Adabu na Umakini Mkubwa.🥲
55
70
665
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Wimbo wako Pendwa Wa Gospel?👇🏾
110
83
668
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Konde anatufundisha ukiachana na mtu lazima ukapime Ukimwi sio? Uyu Jamaa!😅
37
46
676
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Nimekutana na Konda wa Kike pale Makumbusho mzuri sana, amenipa maswali mengi Asee salute sana kwake.
42
66
670
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Mahusiano ya Siku hizi aliye acha ndio unaumia zaidi kuliko aliye achwa!🥲
50
74
658
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Kunipoteza Mimi kama rafiki haimaanishi utanikuta upande wa maadui zako.
44
130
674
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Unakataliwa mpk na Manzi asiye suka Pumzika sasa.
52
67
649
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Mwanaume unaweka Disappearing Messages unataka kukatwa au??
64
76
668
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Ex wako akikwambia " I miss you" huwa unamjibu vp? Don't cheat🥲
105
45
642
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Huna kazi, Huna Mpenzi Huna Hela ivi Weekend unakwendaga wapi?
90
62
654
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Mkoa wako Umetoa mtu Gani Maarufu?🤔😅
158
57
642
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Mwanaume asiyekunywa Bia lazima atakuwa Mzinzi tu.
72
61
644
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Mwanaume unatakiwa upost picha yako moja kwa Mwaka sio mapicha kila siku km unataka kujiuza.
65
85
654
@Mkushiiii
Mkushi
1 month
Tunahonga Maneno Tu Pesa tuna shida nazo sana .😐
Tweet media one
43
50
677
@Mkushiiii
Mkushi
3 years
Ivi FIESTA ya Clouds Media imeishia wapi??🤔
77
30
629
@Mkushiiii
Mkushi
2 years
Pisi nyingi zilizosoma Engineering zinakuwaga ngumu na mbovu.
61
57
638