Zature Profile Banner
Zature Profile
Zature

@iamZature

33,685
Followers
8,611
Following
4,214
Media
50,103
Statuses

Jack of all trades: Politics pundit, tech enthusiast, comedy, business, medical , media junkie, and meme. ๐ŸŽ™๏ธ๐Ÿ”ฌ๐Ÿ“บ๐Ÿคฃ Youโ€™ve come this farโ€”give me a follow!

Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟToday Oslo๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Tomorrow
Joined May 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@iamZature
Zature
1 year
@NoContextHumans No context cat
60
301
5K
@iamZature
Zature
2 years
Unaweza ukadhani mazingaombwe
Tweet media one
45
39
4K
@iamZature
Zature
1 year
@HumansNoContext Die hard fan with determination, speed and dodging skills Security tried tho
18
125
2K
@iamZature
Zature
4 months
Muone huyu, kusifiwa tu, kukosolewa Aa aah
Tweet media one
200
153
2K
@iamZature
Zature
16 days
Unaua Binadamu lakini unaogopa Katuni ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ˜ณ
Tweet media one
89
221
2K
@iamZature
Zature
1 year
@1000waystod1e Iโ€™ve just crashed lol
15
143
2K
@iamZature
Zature
25 days
RPC MULIRO akiri polisi ndio wanaofanya utekaji.
32
245
2K
@iamZature
Zature
1 year
Wahenga nao walikua wahuni tu, ule msemo โ€œkubali wito kataa nenoโ€, umekaaa kimkakati sana. Walijua kabisa ukishakubali wito imeisha hiyo, Kideo kipo chini
Tweet media one
Tweet media two
74
74
1K
@iamZature
Zature
3 years
Anapenda sana kusoma, asije akaikacha wilaya kisa shule ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tweet media one
30
36
1K
@iamZature
Zature
1 year
Huyu mtangazaji wa redio/televisheni gani? Ana kipaji balaaa Kideo kipo chini
Tweet media one
Tweet media two
38
42
982
@iamZature
Zature
3 years
Baada ya kujadili Tozo tutafute Followers sasa Retweet na weka handle yako kila mmoja tumfollow,
354
213
910
@iamZature
Zature
1 year
Full kipo chini Hawa wanaojimwagia maji ndiyo wacheze imekaaje hii ๐Ÿค”
Tweet media one
Tweet media two
53
50
915
@iamZature
Zature
1 year
Baba unakaaje na mtoto wako hivi, hata kama ndo utandawazi na maendeleo hii imezidi bwana Kideo chini
Tweet media one
Tweet media two
124
36
903
@iamZature
Zature
4 months
Jiina; Eric Bernard ngimbuchi Umri; 35 Elimu; Shahada Kazi; Kada wa CCM Inasemekana nahisiwa kujua au kuhusika na utekaji nyara wa bro Sativa.
Tweet media one
81
180
907
@iamZature
Zature
1 year
@PicturesFoIder Also asking myself How?
11
35
858
@iamZature
Zature
3 years
๐Ÿฅฐ
Tweet media one
73
44
810
@iamZature
Zature
6 months
Kwa wanaouliza Komando anawezaje kuwa muuza madafu. Huyu pichani ni mwanajeshi, ni Padre, ni Architect,
Tweet media one
70
44
826
@iamZature
Zature
2 months
Kinyozi akewa fursa adhiiimu, kaogopa, ametuangusha sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
57
78
792
@iamZature
Zature
3 years
Demu anakuja Gheto simu anaweka Flight Mode, Hiyo kitaalamu inakaaje?
198
35
737
@iamZature
Zature
4 months
@Am_Blujay Microbes are everywhere and not all are bad for your health. Chill out
8
12
774
@iamZature
Zature
5 months
@Am_Blujay Is it a heat seeker or the guy is really good?
57
1
669
@iamZature
Zature
2 months
Dudu Baya humu ndani kaongea ukweli mtupu. Hebu mtag waziri wa mali hasili na utalii ujumbe umfikie. Akina shilole, Muddy mabiriani na vijana wengine wanatakiwa wapewe nafasi hizi. Kigwa mwenyewe alishindwa kuwaza hii nje ya box
38
166
688
@iamZature
Zature
3 years
Najaribu kuwaza ni kitu gani pesa haiwezi Kununua, ambao mko na Ideas naombeni mnishirikishe labda naweza kubadili mtizamo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
118
45
655
@iamZature
Zature
1 year
@PicturesFoIder Thinking America is the world
11
18
662
@iamZature
Zature
3 months
HILI LINAITWA SHAMBULIO LA MOYO Huyu ni mke wangu kabisa, nimefunga naye ndoa mwaka huu mwezi wa pili ila kufika mwezi wa 5 MUNGU alijaalia kupata ujauzito. Mwanzoni huyu mwanamke ilikuwa Kila alhamis lazima aombe ruhusa ya kwenda kusalimia Kwa ndugu yoyote, na Mimi sikuwa na
Tweet media one
290
76
664
@iamZature
Zature
2 months
@gunsnrosesgirl3 These Barnacles are giving me Trypophobia
Tweet media one
27
23
652
@iamZature
Zature
1 year
We Maiko, Maiko duu du du du
112
98
604
@iamZature
Zature
11 months
Hii ingefanyika hapa kwetu waziri wa tisiaraei angeshatoa tamko. Uhuru ukizidi inakua ni hatari fire ๐Ÿ”ฅ Tazama video
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
80
61
599
@iamZature
Zature
1 year
Video kwenye comments Katika suala zima la ku tengeneza maudhui wazee wetu bbc watakuja kukaushwa damu. Alichofanyiwa huyu mzee ni ukatili wa kijinsia na kihisia.
Tweet media one
Tweet media two
68
47
567
@iamZature
Zature
1 year
Makonda kuteuliwa nafasi Nyeti serekalini Hili linafanyika kimkakati Ili kutafuta kuungwa mkono na wafuasi wa Hayati Magufuli. Hizi za ndani kabisa
Tweet media one
63
40
569
@iamZature
Zature
1 year
Kideo kipo chini TID is in great shape, halafu anaenjoy, kweli kufanya mazoezi kitu kizuri sana
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
22
27
546
@iamZature
Zature
3 years
Ukiona unachelewa kupewa mic kuwa mvumilivu kuna maombi mengi watu wanataka kuzungumza
Tweet media one
42
32
520
@iamZature
Zature
1 year
Tizama hii picha kwa umakini niambie umeona nini?
Tweet media one
101
14
528
@iamZature
Zature
1 year
Mpira wa miguu ni burudani, huyu namba kumi huyu, mmemuelewa?
41
172
501
@iamZature
Zature
3 years
Ishu ya @diamondplatnumz na BET ni wakeup call kuwa gharama ya kujitenga na ccm inaweza kuwa sawa na gharama ya kujitenga na wananchi cc @tonyalfredk
34
37
481
@iamZature
Zature
4 years
Sasa twende sawa like kwa @MwanaFA au retweet kwa @yosepherfkomba Muheza inogile
Tweet media one
Tweet media two
26
1K
467
@iamZature
Zature
3 years
Inaelekea hii space watu wengi waliikosa, Kama mngependa irudiwe niambieni kwa kunipa retweets 3000 kwenye hii Post Niffollow weka notifikation on, Zikifika retweets 3000 ama followers 20k ndani ya saa 24 lispace linaruka kwa hewa: TWENDENI KAZI #ZatureSpaces
Tweet media one
85
254
460
@iamZature
Zature
3 years
Wapendwa @ExMayorUbungo anawakaribisha kumuunga mkono kwenye biashara yake ya MAYAI maana Kuku wake ni kama wanamkomoa kwa kutaga.Raising hands Anauza Tsh. 6500 tu kwa TREY na anakuletea popote ulipo DAR, pia Kwa wa maeneo mengine wasiliana nae kwa namba 0712 239 595
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
17
120
452
@iamZature
Zature
1 year
Ngorongoro: Tundu Lissu atimiza malengo yake Ukweli ni Kwamba, lengo la ziara ya Tundu Lissu na Chama chake, kupeleka Oparesheni 255 kwenye maeneo ya hifadhi ya Ngorongoro ilikuwa ni kuitangazia dunia unyama wanaofanyiwa Wamasai na Serikali ya Tanzania, wa kuwahamisha kwenye
Tweet media one
37
79
469
@iamZature
Zature
3 years
Kwanini Huu ni Muda sahihi Kupata katiba Mpya? Ni kipi serikali ya Nyinyiem hawakioni, Mwananchi atanufaika vipi na katiba mpya, Usikose kushiriki jumatano hii saa 3 usiku CC @lifeofmshaba @MariaSTsehai @IAMartin_ @godbless_lema @msangijeff @Rodrigo88192003 @fatma_karume
Tweet media one
17
88
441
@iamZature
Zature
1 year
12
19
447
@iamZature
Zature
3 years
WaTZ Changamkieni fursa
Tweet media one
123
25
396
@iamZature
Zature
3 years
Kulingana na Unyeti wa mada na mapendekezo ya wachangiaji tutarudi hapa saa 4 usiku kujadili katiba Mpya
Tweet media one
18
62
407
@iamZature
Zature
6 months
Kwanini wanafanya hivi lakini?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
55
40
419
@iamZature
Zature
3 years
Jumatano hii kuanzia saa 4 usiku TUTAZUNGUMZA KATIBA Karibisha rafiki yako asijekosa kusikia madini muhimu
Tweet media one
14
65
397
@iamZature
Zature
1 year
Watu wanahonga magari pesa wanatoa wapi kwani? Ila BEN kiboko, mtoto kakataa Gari kisa penzi la Ben
90
95
406
@iamZature
Zature
2 months
Mtoto mdogo Abigail anamkosea Heshima Top in Dar, siyo poa kabisa
49
58
408
@iamZature
Zature
4 years
Kwahyo kwenye mfumukobwa bei ruksa kujilinganisha na wengine, ila mambo kama mdahalo na mengine hapana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿค“
Tweet media one
Tweet media two
24
36
387
@iamZature
Zature
27 days
Tulienda kwa Diddy, eeh nafikiri siku moja kabla ya siku ya uhuru wa marekani. Ah Tulikua kwa Diddy, usiku tulienda, eee Yah Tukakaa KUNA VITU TUKAFANYA, KUNA MAMBO TULIKUA TUNAFANYA, halafu SEMA YALIYOFANYIKA, kuwaโ€ฆ.. SIYO YA KUPOST
172
75
385
@iamZature
Zature
4 years
Eti wapwa na Mabloo eti Audi Q7 mpaka kuingiza barabarani bongo hapa inaweza kuwa bei gani
Tweet media one
47
2
356
@iamZature
Zature
4 years
Msaada: Kubanwa Mafua, Kupumua kwa shida, Kukosa ladha na harufu (Lost Sense of Smell and Taste) na Uchovu ni dalili za nn, First aid yake ni nn
Tweet media one
66
15
360
@iamZature
Zature
4 months
Inabidi tuwe na list ya wasukuma reli. Hebu weka majina ya wapush # hapo kwa comment
Tweet media one
30
59
362
@iamZature
Zature
5 years
Hata uwe mkapi vp hii huwezi patia, Kama unabisha jaribu
Tweet media one
297
8
331
@iamZature
Zature
2 months
Sisi kuna kiazi mbatata alitaka wajenge ofisi Dar ๐Ÿ˜ก
Tweet media one
Tweet media two
25
24
352
@iamZature
Zature
1 year
@HumansNoContext Iโ€™ve just crashed lol
6
37
343
@iamZature
Zature
2 years
Huyu Ngโ€™ombe anaitwa Freshian, Asili yake ni huko Uholanzi, ana uwezo wa kutoa maziwa lita 400 (ndoo 20) kwa siku. Hii mbegu haijafika Afrika bado, kwa sasa iko zaidi ulaya na Amerika ya kasikazini. Wakishushwa 5 Mto Ruvu, Dar unaitishwa mgao wa maji ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
81
16
343
@iamZature
Zature
3 years
NASHUKURU KWA 10,000 followers Si kwa nguvu si kwa uwezo, niwashukuru wote mlioniheshimisha, Asubuhi hii nianze na watu 100 kwa haraka follow @iamZature @iamZature Retweet, weka handle yako nikufollow, follow wote wakufollow back
Tweet media one
116
59
315
@iamZature
Zature
3 years
Natengeneza fremu za picha size A4 hadi A1, kama una picha za zamani na unataka kuziongezea ubora na kuzipreserve usisite kunicheki
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
30
102
309
@iamZature
Zature
3 years
Kumbe Mfumo Mpya wa Tigo ukiwa huna salio ukipigiwa Hupatikani, Yaani hadi tutapike damu Enzi hii
53
12
307
@iamZature
Zature
3 years
Ni nani umemuona yuko na notebook anachukua data? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tweet media one
Tweet media two
7
17
316
@iamZature
Zature
3 years
Leo ndo leo tukutane saa 2 kwenye space kujadili katiba mpya @godbless_lema @fatma_karume @MariaSTsehai @MsigwaPeter
Tweet media one
14
66
300
@iamZature
Zature
1 year
@PicturesFoIder Iโ€™ve just crashed lol
5
8
304
@iamZature
Zature
3 years
Like & Retweet nipate hera, Asante sana
Tweet media one
6
83
285
@iamZature
Zature
1 year
1
23
301
@iamZature
Zature
1 year
@NoCapFights Bro is packing ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ This is my what!
7
28
284
@iamZature
Zature
1 year
Wazee wa muvi hii mmeiona? Inaitwaje?
16
75
289
@iamZature
Zature
3 years
Hii naweka lamination naweka kwa Frame ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tweet media one
20
15
277
@iamZature
Zature
3 years
Yakiitwa mashindano ya Mamisi leo, halafu waende mama zetu wasichana wasiende, Mmoja wa mama yetu ndo atakuwa Miss, maana majaji hawana uchaguzi CC @godbless_lema #ZatureSpaces
3
12
265
@iamZature
Zature
1 year
Wazee wa movie, hii mmeiona? Ni movie kali? Inaitwaje nikaisake? Niko Nasoma comments
30
68
272
@iamZature
Zature
4 months
@kibeandy Bendera Fuata Upepo, what happened to you Andrew?
5
3
271
@iamZature
Zature
4 years
Maneno ya @kigogo2014 yametimia crdb atm wameshafanya yao
13
4
260
@iamZature
Zature
3 years
15
22
264
@iamZature
Zature
1 year
Waka waka ndo wimbo mkubwa wa Shakira baada ya Hips donโ€™t lie
18
86
269
@iamZature
Zature
3 years
Tuzungumze, Uzalendo kwa nchi yetu, Katiba yetu Je kuna uhitaji wa katiba Mpya? CC @fatma_karume @Ms_Dahir @IAMartin_ @Kiganyi_ @msangijeff @MariaSTsehai @amprincess9 @Kazimotoinc
Tweet media one
41
53
263
@iamZature
Zature
1 year
MUHIMU SANA HII ITAKUSAIDIA Je, unajua kwamba wakati wa Kusafisha Damu (dialisisi), damu Hutolewa mwilini kupitia bomba jekundu, hupita kwenye mashine ya dialisisi, na kisha kurudishwa tena kwenye mfumo wa mwili kupitia bomba la bluu?. Mchakato huu hurudiwa kwa saa nne huku
Tweet media one
Tweet media two
45
110
266
@iamZature
Zature
3 years
Unamaliza kupiga Kimoja unaambiwa mkaa umeisha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
34
11
252
@iamZature
Zature
1 year
Mnaotoka mwanza kuna ujumbe wenu mzito hapa ๐Ÿงต
Tweet media one
Tweet media two
27
19
256
@iamZature
Zature
1 year
@NoCapFights What is happening?
30
12
254
@iamZature
Zature
3 years
TUZUNGUMZE Kauli ya serikali kudhibiti mijadala Twitter, Clubhouse Hofu ni nini? Tumefikaje hapa? Saa 12 jioni #ZatureSpaces
Tweet media one
22
77
232
@iamZature
Zature
3 years
Jamani jamani @kigogo2014 he is very handsome. for those who has met him can confirm that
42
9
241
@iamZature
Zature
6 years
Nime tafakarari sijapata majibu, Jana dingi alivyotumia muda wake karibu wote kumjibu jj inamaana hakuwa ameandaa hotuba yake? Kwa maana Kama alikua ameandaa hotuba ya mambo ya maendeleo asingepoteza kumjibu jj MNISAIDIE MAJIBU MSIISHIE KULIKE ๐Ÿ˜‹๐Ÿค—
Tweet media one
27
21
248
@iamZature
Zature
3 years
Kuna watu wanalalamika #ZatureSpaces wanaopata mic ni wale wale, kuna space anaongea host pekeyake na hakuna kitu mtamfanya Bladfrying
36
8
240
@iamZature
Zature
3 years
Hatimae na mimi leo nimetweet Twitter for iPhone
35
12
234
@iamZature
Zature
3 years
Space ya Leo ๐Ÿ‘Œ๐Ÿฝ, kama imekupita sijui utaambi watu cc @amprincess9 @kigogo2014 @babalao__ @MathiasZakaria @Mshambaflan @IAMartin_
Tweet media one
25
19
237
@iamZature
Zature
9 months
GWAJIMA AMLAUMU HALIMA MDEE KUTOTENGENEZA MITARO YA BOKO 2020 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia CCM, Askofu Josephat Gwajima alimlaumu aliyekuwa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA) kwa kusababisha mafuriko kwa wananchi wa Boko. 2024 atamlaumu nani? @godbless_lema
89
63
252
@iamZature
Zature
3 years
nahitaji Followers 60, Nifollow kisha retweet nakufollow chap
53
53
226
@iamZature
Zature
3 years
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
55
35
238
@iamZature
Zature
2 years
Day 119 4 DAYS TO GO
31
24
245
@iamZature
Zature
1 year
Hivi wanaposemaga nakuja ila hatufanyi chochote huwa wanamaanisha?
14
16
243
@iamZature
Zature
1 year
@HumansNoContext Iโ€™ve just crashed lol
5
22
233
@iamZature
Zature
3 years
Mwamko ni mkubwa, Ni muda miafaka kabisa
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
3 years
#KatibaMpya haihitaji eti CCM ikubali ๐Ÿ™„ tusijidanganye! Katiba ni ya WANANCHI na mamlaka ZOTE hutokana na wananchi! Walichofanya CCM (and they mastered the craft) ni kujenga taswira (Illusion) as if wao ndo gatekeepers wa Katiba - Thubutuu ๐Ÿ˜‘ #KatibaMpyaMovement is ON ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
38
116
789
3
15
233
@iamZature
Zature
3 years
Huyu inamaana atapunguza kuweka Vifurushi, atapungua kutuma na kupokea pesa, Hii TOZO itaumiza wananchi ila serikali na makampuni ya simu yatapata sehemu yake ya hayo maumivu, athari za tozo ni DOMINO EFFECT
Tweet media one
10
23
230
@iamZature
Zature
1 year
@ESPNFC Dad of the year
6
32
230
@iamZature
Zature
3 years
So it is My Birthday jamani ๐Ÿ•บ๐Ÿฅณ Merry Christmas ๐ŸŽ„๐ŸŽ kila mmoja na familia yako, tukutane kukata keki baadae ๐Ÿคช๐Ÿคช
47
25
216
@iamZature
Zature
1 month
Mko shua kabisa huyu nae anaweza akaachika ama akachitiwa? Wanaume tutakua hatujui kile tunataka
41
15
224
@iamZature
Zature
3 years
We are Gaining masivelly Follow me @iamZature + @Lee_ian_Mosenya and Drop your handle. Follow all the retweeters.
148
123
187
@iamZature
Zature
1 month
Mwijaku Kamjibu Vunjabei Na Diamond, anakuambia vita Haiwezi kuzimwa kirahisi hivyo. Kwanza Vunjabei ndo humuomba amuongelee Video ya 2 anamsema Diamond na vibanda vyake
2
15
226
@iamZature
Zature
3 years
Mungu ni mwema sana, Nami ni twita for iPhone
28
5
205
@iamZature
Zature
3 years
Anaupiga Mwingi ama Kiini macho? Part 2 saa 3 usiku, Usikose
Tweet media one
26
24
203