Kenedymosestz Profile Banner
Kenedymosestz Profile
Kenedymosestz

@kenedymosestz

25,779
Followers
287
Following
1,802
Media
2,722
Statuses

Kenedy moses Presenter/producer Azamtv Email:kenedymoses9 @gmail .com

Dar Es salaam
Joined November 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
WACHEZAJI WANAOVUTA MKWANJA MREFU YANGA SC: 1.Aziz Ki -Sh 23.2M 2.Morrison -Sh 23.2M 3.Aucho - Sh 16.2M 4.Mayele - Sh 16.2M 5.Diara-Sh 9.2M
Tweet media one
187
66
2K
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
DEAL DONE THOBIAS SEBASTIAN ➡️ SIMBA SC Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba Sc Thobias ni deal done , to Simba Digital Platform Manager and Video Analyst 🙏🏼
Tweet media one
54
54
2K
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Baada ya mchezo wa Jana dhidi ya Simba kumalizika wachezaji wa Wydad pamoja na viongozi wao wa benchi la ufundi walienda chumba cha Simba Sc kuomba kupata jezi za Simba kwa wachezaji na viongozi N.B Walitaka hadi jezi ya Ahmed Ally.
Tweet media one
59
60
2K
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Sikuwahi penda kuvaa suti maisha yangu ko hata siku ya kwanza kwenda hewani kwa tv nlivaa vbaya ,baadhi walinicheka.lkn huyu madam aliniita pekeyangu na kunielekeza suti,rangi na saizi itakayo nifaa na nlikuwa na pimples akaniunganisha na Dkt mmoja wa ngozi en now here am😭RIP
Tweet media one
30
33
1K
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
HABIB KYOMBO na JOASH ONYANGO kuikosa Simba leo ,kutokana na makubaliano ya mkopo wao kwenda Singida.
Tweet media one
Tweet media two
14
21
1K
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Mlinzi wa kulia wa zamani wa Simba Sc David Kameta Duchu amejiunga na klabu ya Azam Fc kwa dau la mil 40.
Tweet media one
5
12
1K
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
🚨TRANSFER UPDATES🚨 Huwenda Yanick Bangala asiwe sehemu ya kikosi cha wananchi msimu ujao.
Tweet media one
15
15
1K
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
🚨TRANSFER,,,🚨 Klabu ya Simba imefikia pazuri mazungumzo dhidi ya RS Berkane kuhusu Victorean Adebayor hivyo kuna asilimia kubwa Adebayor akavaa uzi wa Simba msimu ujao.
Tweet media one
31
15
971
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
TANZANIA TIMU 4 CAF MWAKANI Kwa mara ya 3 mfululizo Simba na Yanga zimesaidia Tanzania kupeleka timu 4 michuano ya CAF msimu ujao,simba wakiongeza alama 1 na yanga alama 0.5 na kuifanya Tamzania kuwa na alama 29 na nafasi ya 9 kwa mafanikio kama nchi
Tweet media one
Tweet media two
34
19
948
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
🚨TRANSFER UPDATES🚨 Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba Yanick bangala hatokuwa sehemu ya kikosi cha wanachi msimu ujao na anatumkia nje ya Tanzania .
Tweet media one
4
26
828
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Ni kweli Simba imefungwa ila,anastahili heshima yake,mchezaji mkubwa huonekana kwenye mechi kubwa .
Tweet media one
30
15
804
@kenedymosestz
Kenedymosestz
9 months
💪🏼
Tweet media one
7
14
720
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Huyu ni aina ya wachezaji ambao timu za tanzania kwa sasa zinawakosa ,japo morisson huwa anajaribu lkn hana mwendelezo.Mwamba anaitwa PHILIPE KINZUMBI🙌🏼🙌🏼
Tweet media one
9
10
665
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 months
GEORGE MPOLE ✍️🔰🔰
Tweet media one
4
8
653
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Take it from me ,wamepoteza sawa ,lakini baada ya msimu huu hakuna timu inatani kucheza na Simba Sc Afrika
Tweet media one
27
29
667
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Ayoub Lakred ,amecheza mechi 3 za kirafiki bila kuruhusu bao na kuna uwezekano mkubwa akaanza dhidi ya Power dynamos Ya Zambia jumamosi hii.
Tweet media one
10
15
666
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
MAYELE CLATOUS CHAMA Goals 16 Goals 04 Assists 02 Assists 14 Total 18 goals Total 18 goals Nani chuma zaidi hapo ,,,,,,?
Tweet media one
Tweet media two
40
13
650
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 months
“Wameturingishia weeeee mwisho wa siku injinia kapita naye kweli Swaaaaaaa”-ALI KAMWE . Unadhani hapa KAMWE anamzungumzia nani???
Tweet media one
13
13
633
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 months
Naskia Chuma kina taka mil 53 na ushehe hvi ,vipi wana nchi apewe au,,?
Tweet media one
38
9
614
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Bahati mbaya siku akifanyaga mazuri huwa haimbwi sana ,wengi husubiri akosee tuh ila Mwamba anajituma sana 🙌🏼🙌🏼
Tweet media one
6
14
604
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Huu ni utani wa ngumi huu🤣🤣🤣🤣🙌🏼,,,,,,,,Bajana.
Tweet media one
17
9
594
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
NEW: Top 10 walio zoa alama nyingi CAF Misimu hii 5 hadi 2022/2023. Ahly -83 2.Wydad Ac -74 3.Esperance- 56 4.Mamelody S-51 5.Raja CA -51 6.Zamalek-39 Berkane-37 Belouizdad-36 9.Simba Sc -35 10.Pyramids -35
23
18
582
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 month
SEMA MGADAFI 😂😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼 ⁦NMECHEKA KINYAMA AMEFUNIKA KULIKO WOTE 🤣🤣🤣.
Tweet media one
3
5
584
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
WACHEZAJI WA YANGA AMBAO WANAMALIZA MIKATABA YAO; 1.Benard Morrison 2.Ibrahim Bacca 3.Metacha mnata 4.Jesus Moloko 5.Crispin Ngushi 6.Denis Nkane 7.Eric Johora 8.Dickson Ambundo 9.Tuisila kisinda ungekuwa umekabidhiwa panga ,ungebaki na nani na ungemuacha nani na kwanini???
90
8
534
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
JEAN BALEKE dhidi ya IHEFU Mechi 🏟🏟 Magoli ⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️ Jumla mechi 14 ,magoli 14 akiwa na uzi wa Simba.,,,,,,
Tweet media one
3
19
521
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
"goli kipa wa Azam Fc ALI AHAMADA ndiye mchezaji anayelipwa mkwanja mrefu kuliko mchezaji yeyote yule kwenye ligi ya Tanzania na hata usajiri wake (Signing fee ) ndiyo ghari zaidi nchini"-CHARLES ABEL(Mchambuzi).
Tweet media one
16
4
515
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Shomari Kapombe Jana ameumia kiasi cha kutolewa uwanjani wakati ambao siku 15 zimesalia kuelekea Derby ya K Koo.
Tweet media one
2
10
513
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
"Kombe la Shirikisho siokipaumbele cha sisi timu kubwa ,hatutamani kushiriki kombe hilo kwasababu haliakisi mafanikio na ukubwa wetu,,,,,sababu linashirikisha timu ndogo ndogo na timu mpya kama KMC,Biashara ,Geita"-AHMED ALLY.
Tweet media one
20
19
509
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
"Wote lengo letu ni moja,yani kuhakikisha na kuona timu inashinda hivyo nimefurahi ,,,,,,ambayo yamejitokeza wala sio ya muhimu sana"-CLATOUS CHAMA.
Tweet media one
2
13
494
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Mbwana,Novatus Dismas na Kelvin John njiani kujiunga na stars Misri.
Tweet media one
1
7
492
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
🚨SIMBA NA MAKUSU 85% KUKAMILIKA🚨 Klabu ya Simba imefikia makubaliano mazuri na mshambuliaji wa DRC Jean Makusu (30) na jana imemtumia mkataba ili ausome na asaini nakuurudisha tena kwa njia ya mtandao,makusu hivi sasa yupo kwenye mashindano ya CHAN na timu ya taifa ya DRC
Tweet media one
10
10
488
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
"Nimeambiwa nchi imepooza ,msijali muda si mrefu naanza kuichaangamsha"-AHMED ALLY.
Tweet media one
5
11
467
@kenedymosestz
Kenedymosestz
9 months
“Jwaneng ndo alikuwa kibonde wa group,sasa amempiga mbabe wa group ,,,,ametushtua ,,,,,,tunakwenda kuchukua alama 3 na 3 za hapa zinakuwa 6 na ile 1 ya Asec,na ile moja ya Wydad ,alaf Wydad anakuja kufia B Mkapa ,11 Mnyama robo fainali”-AHMED ALLY.
Tweet media one
12
15
472
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Hadithi ya maisha yangu ilibadilika siku nilipo kutana na huyu nguli wa habari nchini TIDO DANSTAN MHANDO,,,,happy birthday to him👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Tweet media one
3
10
470
@kenedymosestz
Kenedymosestz
9 months
FT: Wydad 1-0 Simba Sc. Sema hawa wana wawili 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Tweet media one
Tweet media two
5
9
465
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 months
CHE MALONE 🚫🚫🚫🚫.
Tweet media one
1
0
462
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
"Dear Wydad we are ready than ever before"- CLATOUS CHAMA.
Tweet media one
3
8
447
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
🚨STEPHEN SEY TO DODOMA JIJI FC🚨
Tweet media one
5
10
438
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Baada ya kupambania vibali kwa takriban siku 3 ,huwenda sasa SAIDO NTIBAZONKIZA akawa sehemu ya kikosi cha Simba kitakacho minyana na TZ PRISONS kesho.
Tweet media one
3
4
436
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
FOOTBALL. FOOTBALL. FOOTBALL.
Tweet media one
3
10
439
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Simba ya akina micquisson mechi ya 18 ,magoli 41 ,point 42,conceded goals 8 Simba ya sasa mechi 18,magoli 40,conceded 9 ,point 41. Simba hii si mbovu ni kama ile wanayoikumbuka wanasimba ni kuwa Simba sasa wanajipima kwa kumuangalia yanga ambaye msimu ule hakuwa mzuri.
Tweet media one
Tweet media two
6
16
427
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Tayari Simba Sc wamekabidiwa mzigo wao leo baada ya kuwasili nchini
Tweet media one
7
9
429
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
"Tumeona raha kweli kweli kwasababu karekodi kao ka unbeaten kalikuwa kanatukera ,alaf ile vita ya kurejea kileleni imerejea ,,,,, sisi simba hatujifichi tumefurahi"-AHMED ALLY .
Tweet media one
7
4
428
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 months
🚨⬇️📤🚨
Tweet media one
Tweet media two
3
3
431
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Kwa mujibu wa vyanzo vyangu I can comfirn kwamba hakuna mchakato wowote unaofanywa AS Vita kumtaka kiungo wa Simba Sadio Kanoute kutokana na gharama ya kumnasa kiungo huyo na Uchumi wa AS Vita kwa sasa.
Tweet media one
3
2
424
@kenedymosestz
Kenedymosestz
10 months
Sisi kama PIPO tumefurahi,kimebaki kisasi kimoja kwa WYDAD. Kazi wanayo .
Tweet media one
1
6
412
@kenedymosestz
Kenedymosestz
9 months
Sio tuh kubeba alama 3 na Magoli 4 dhidi ya mtibwa,ila Yanga hii ni Yamoto sana aiseee ,,,,,,,,sema yule bwana mdogo khasim haruna (tiote) ni wamoto sana talent nyingine ya wakata miwa 🙌🏼🙌🏼
Tweet media one
Tweet media two
4
6
410
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
"Bado naikumbuka Simba,nawakumbuka sana mashabiki wake,naamini utakuja wakati naweza kuja kuichezea Simba hivi karibuni"-VICTORIEN ADEBAYOR.
Tweet media one
10
3
398
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
BARAKA ADSON MPENJA Miaka 07 Derby za k koo 13 Chuma hiki hapa kutoka Green city Congole home boy.
Tweet media one
4
4
394
@kenedymosestz
Kenedymosestz
10 months
Wakuuu wa kazi wamekutana bungeni Dodoma ,,,,,,,Football💪🏼
Tweet media one
1
5
384
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Hivi na nyie mmeona nlichokiona mimi pale Azam Complex Chamazi leo au macho yangu yalipata kigugumizi,,,,?
Tweet media one
5
5
380
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
SIMBA TRANSFER UPDATES 🚨Nelson Esor-Bunulwo Okwa,sajili mpya ya Simba Sc . Ni kutoka Rivers United jezi no 8,Unaambiwa jamaa ni kama chama wa Rivers United ana kijiji hichoo balaaa.
Tweet media one
Tweet media two
12
12
385
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
COMFIRMED: Baada ya pre match meeting ,mchezo wa Wydad vs Simba Sc utakuwa ni saa 2:00 usiku kwa saa za Morocco sawa na saa 04:00 usiku kwa saa za Tanzania.
Tweet media one
1
9
389
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Manzoki vs Simba 75% deal done ,its jus a matter of clicking the button.
Tweet media one
9
6
371
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Mwanangu sana Mwite ⁦ @JoyceMwalimu ⁩ kipenzi cha watoto,watoto wanatamani madam afungue shule wawe wanafundishwa naye.
Tweet media one
14
12
379
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Bruno Gomez kutua jangwani Msimu ujao,mazungumzo binafsi na yanga yamekamilika kilichobaki ni kumalizana na klabu yake ya Singida Big Stars .
Tweet media one
2
8
377
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Simba Sc imemtambulisha Roberto Kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho ,kabla ya kujiunga na Simba Roberto alikuwa kocha wa Vipers ya Uganda.
Tweet media one
2
6
371
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Ni mwaka mpya sasa,bila shaka natakiwa kukua zaidi kikazi ,nambie ukweli, nini unadhani natakiwa kuacha kukifanya ili kuwa bora 2023 na nini niongeze ilikuwa bora zaidi kikazi,,,,,?
Tweet media one
27
10
367
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Raja Club Athletic wamewasiliana na uongozi wa kocha pablo franco Martin ili kuweza kupata huduma ya kocha huyo ikiwa ni saa chache tuh baada ya kuachana na Simba,Orlando pirates na wao hawako nyuma licha ya kuwa mazungumzo rasmi bado hayajaanza.
Tweet media one
16
7
354
@kenedymosestz
Kenedymosestz
11 months
"masuala ya kusapotiana timu 4 yameishia hapa , katika kitu wananchi tunakitamani ni kukutana nao (Simba ) makundi,,,uzuri tukikutana naye makundi guarantee point 6 hzo"-ALLY KAMWE .
Tweet media one
16
1
363
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
YATAPITA ya Diamond itakuwa ndiyo hit Song ya 2023 ,watu maisha magum wanatafuta relief.
Tweet media one
16
5
346
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Okrah anasema kila anachokifanya ni kwa maslahi mapana ya timu,hakumuona mchezaji mwenzie Clatous Chama akikimbia pembeni yake. ⁦ @MickyJnr__
Tweet media one
8
1
347
@kenedymosestz
Kenedymosestz
11 months
Kwenye michuano ya AFL hakuna sheria ya goli la ugenini,hii ni kwa mujibu wa ukurasa rasmi wa CAF hivyo mechi ya Al Ahly vs Simba bado mbichi.
Tweet media one
19
8
340
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
TETESI: Feisal Salum amekubali kurejea yanga kwa mkataba wa miaka 02 kwa dau la Tsh Mil 350 na mshahara Tsh mil 15 kwa mwezi,kama mambo yataenda sawa, Feitoto atakuwa ndiye mchezaji mzawa anaye lipwa pesa nyingi kuliko yeyote yule NBC.
Tweet media one
15
11
342
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
"Ntibazonkiza anaweza kuanza mchezo ujao,lakini banda ni mpaka ripoti ya madaktari itakapo ruhusu"-AHMED ALLY.
Tweet media one
2
8
332
@kenedymosestz
Kenedymosestz
3 months
HAWA WANAUME WAWILI NI PICHA HALISI YA UBORA WA LIGI KUU SOKA TZ BARA WANAWEZA KUCHEZA LIGI YEYOTE AFRICA.
Tweet media one
9
7
326
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
🚨TRANSFER UPDATES🚨,,, Klabu ya Singida Fountain Gate FC imekamilisha usajili wa beki Joash Onyango raia wa Kenya kutoka klabu ya Simba SC. Onyango mwenye umri wa miaka 30 amesaini mkataba wa miaka miwili Singida.
Tweet media one
6
12
322
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
🚨AKAPAN NA OKWA IHEFU KWA MKOPO🚨 Nelson Okwa na Victor Akpan wametolewa kwa mkopo kwenda IHEFU na huwenda wakatambulishwa muda wowote toka sasa,,,,,,,, N.B mechi ya Yanga inayofuata ni dhidi ya IHEFU.
Tweet media one
4
9
318
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Imagine MAYELE ,KINZUMBI +AZIZ KI /MUSONDA 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼 🙌🏼 just Imagine.
Tweet media one
Tweet media two
4
9
312
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Pongezi wananchi mmepeperusha vyema bendera ya Tanzania+15m ,mbali na boli m nmeinjoy kuwa na mwanangu sana salama Ngale leo,,,,,,,wewe nini kilikuvutia leo,,,,?
Tweet media one
6
9
321
@kenedymosestz
Kenedymosestz
10 months
Miongoni mwa makocha wanaotajwa kuchukua nafasi ya Robertinho Simba ni Sven Vandenbroeck. Sven kurejea……?????
Tweet media one
6
4
314
@kenedymosestz
Kenedymosestz
7 months
Not Only Academy ,tena ni Academy za serikali ,imagine wana academy 2 za serikali kila mkoa. Hawa jamaa wako serious sana na football aisee 🙌🏼🙌🏼
Tweet media one
2
9
319
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Ally Salim amesaini mkataba mpya wa miaka 03 wa kuendelea kuitumikia Simba hadi mwaka huwenda akadaka tena dhidi ya Wydad jumamosi hii.
Tweet media one
4
7
309
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Hivi kwamfano kama shabiki wa Simba au Yanga ukaulizwa kubeba ubingwa na kumfunga mtani ,kipi kinanoga???,,,,,utajibuje?
Tweet media one
10
6
306
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
"𝑺𝒂𝒊𝒅𝒐 𝒉𝒂𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒔𝒆𝒉𝒆𝒎𝒖 𝒚𝒂 𝒘𝒂𝒄𝒉𝒆𝒛𝒂𝒋𝒊 𝒘𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒌𝒂𝒕𝒊𝒌𝒂 𝒎𝒛𝒖𝒏𝒈𝒖𝒌𝒐 𝒘𝒂 𝒑𝒊𝒍𝒊 𝒏𝒊 𝒃𝒂𝒂𝒅𝒂 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒖𝒐𝒎𝒃𝒂 𝒖𝒐𝒏𝒈𝒐𝒛𝒊 𝒂𝒐𝒏𝒅𝒐𝒌𝒆 𝒎𝒌𝒂𝒕𝒂𝒃𝒂 𝒘𝒂𝒌𝒆 𝒘𝒂 𝒎𝒊𝒆𝒛𝒊 6 𝒌𝒖𝒊𝒔𝒉𝒂"-𝑲𝑶𝑪𝑯𝑨 𝑴𝑰𝑵𝒁𝑰𝑹𝑶.
Tweet media one
1
6
299
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
"ZAKARIA HABTI" huyu jamaa Simba waka mgoogle kabla ya game ya jumamosi na wampangie mkakati,msimu wa mwisho wa Msuva yeye alkuwa na magoli 7,huyu mwamba alkuwa na magoli 16 na bado yupo.
Tweet media one
6
5
302
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
MORISSON:Mechi 13,goli 01 ,assists 02 SAIDO NTIBAZONKIZA : Mechi 19 ,magoli 06 ,assists 06. Mmoja anaingia mwingine anatoka
Tweet media one
3
1
280
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
"Mchezo wetu wa derby tarehe 16 dhidi ya Yanga japo uwezo wake ni mdogo ,lakini tutautumia kama mazoezi yetu kuelekea kwenye robo fainali dhidi ya Wydad"-AHMED ALLY
Tweet media one
6
11
292
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Timu zinazo ongoza kwa THANK YOU hadi sasa. 1.Coastal 14 2.Simba sc 12 3.Yanga 10 4.Prisons 5
Tweet media one
Tweet media two
5
3
278
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
TETESI: Klabu ya Yanga ipo kwenye mazungumzo na Fabrice Ngoma wa Al Hilal na kama mambo yatakwenda sawa huwenda akaibukia jangwani msimu ujao.
Tweet media one
5
5
285
@kenedymosestz
Kenedymosestz
10 months
Zimebakia siku 8 wananchi waanze shughuli ya kimataifa ,miongoni mwa nnao tamani kuona shughuli zao kimataifa ni Profesa ,,,,,,,,nani we unatamani kuona akikichafua kimataifa,,,,?
Tweet media one
7
4
276
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
"Yani usajili wa safari hii ,wachezaji tunao kwenda kuwasajili,ukiwachukuwa ukawaweka katikati ya bahari,bahari inagawanyika mara 2,hii sio porojo nimewaona kwa macho yangu"-AHMED ALLY
Tweet media one
9
7
277
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
DICKSON JOB ANATEMBEA NA MIKATABA MIWILI. 1.Ada ya usajili mil 200, mshahara mil 10 kwa mwezi. 2.ada usajili mil 70,nyongeza mshahara kutoka mil 3-7 kwa mwezi N.B mkataba wake na Yanga unamalizika mwisho wa msimu huu.
Tweet media one
9
6
284
@kenedymosestz
Kenedymosestz
4 months
SEMA HUYU JAMAA ⁦ @Caamil8 ⁩ 🙌🏼🙌🏼 KABLA MSIMU HAUJAISHA KESHAINGIA MAWINDONI, HAPA YANGA WANA MTU WA MAANA SANA .
Tweet media one
Tweet media two
2
5
277
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Kikao cha uongozi na wachezaji wa Simba kikifuatiwa na technical meeting kimemalizika hapa casablanca na sasa kinacho subiriwa ni muda wa kwenda uwanjani.
Tweet media one
Tweet media two
1
12
277
@kenedymosestz
Kenedymosestz
11 months
Kuna uwezekano mkubwa wa Aishi Manula kukipiga dhidi ya Al Ahly,ni baada ya kurejea na kiwango bora kwenye mchezo wa kirafiki.
Tweet media one
5
3
275
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
CLATOUS CHAMA NDANI.
Tweet media one
7
6
272
@kenedymosestz
Kenedymosestz
10 months
Takwimu za Sven Vanderbroeck akiwa na Simba Sc. Mechi 69 Kashinda 53 Sare 10 Kupoteza 06
Tweet media one
1
6
267
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Bado tutaendelea kuwalaumu magolikipa wetu ,au ni kwa muda tulikosa mafundi wa kupiga mipira ya faulo,,,,,,,tutalaumu sana makipa wasipo badilika this guy is Exceptional kwenye deadballs🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Tweet media one
4
7
271
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
"Tumechukua alama 3 angola ,tumechukua alama 3 malawi,tumewahi kuchukua alama 3 Congo DR,hizi za uganda tunazitaka sana"-AHMED ALLY.
Tweet media one
10
6
272
@kenedymosestz
Kenedymosestz
11 months
Honestly speaking,kabla ya kuingia huyu mwamba ,pale kati palikuwa pazito .
Tweet media one
5
4
264
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Afisa habari wa Azam Fc Thabit Zakaria (Zakaza kazi) amemalza kifungo chake cha miezi 3
Tweet media one
2
5
264
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Myama kamlalua mtu leo Benjamin Mkapa, kesho ni zamu ya wananchi dhidi ya Rivers United.
Tweet media one
6
7
265
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
"Unaweza ukadhani mchezaji ni mzee kumbe alikotoka alikuwa hatunzwi,halipwi vizuri ,nyumbani wanaishi wanne wanne,kwenda mazoezini wanapeana lifti"AHMED ALLY.
Tweet media one
7
8
261
@kenedymosestz
Kenedymosestz
2 years
Kwani kuna habari gani huko ,,,?
Tweet media one
1
1
263
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
FISTON MAYELE SAIDO Magoli 16 Magoli 15 Assists 03 Assists 12 Top Scorer msimu huu tuseme bado au ,,?
Tweet media one
Tweet media two
11
8
258
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
KIBU DENIS AKIKOSEA ANAIMBWA AKIUWASHA HASEMWI: Dhidi ya Wydad ,kushambulia yupo,kuzuia yupo tena kwa wakati anatoa assists . Mchezaji mzur anapimwa kwa moment 2 timu inapokuwa na mpira na wakati haina Congole KIBU DENIS.
Tweet media one
2
10
253
@kenedymosestz
Kenedymosestz
10 months
Bodi ya ligi nchini,imemtangaza AHMED ARAJIGA kuwa Mwamuzi wa derby ya Simba vs Yanga jumapili hii.
Tweet media one
4
8
252
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
FOOTBALLL🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Sema hakuna siku mmatokeo ya Stars yameniuma kama leo 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼,,,,,, bt dats football ,,,,,haijaisha bado.
Tweet media one
16
11
251
@kenedymosestz
Kenedymosestz
1 year
Sema tuache utani hii jezi ya wananchi imesimamaa🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Tweet media one
8
5
249