Gabi Profile
Gabi

@Triple_G_12

1,896
Followers
2,561
Following
31
Media
1,235
Statuses

Joined May 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Triple_G_12
Gabi
5 months
@fumbokhanJr Mpe mifano hai, hata gari Lina tairi nne ila halikosi spea tairi, mwambie mpenzi mmoja huleamaza akili, mwambie vilevile hata chama tawala lazima kiwe na mpinzani wa kuchalenji, mwambie upo Tayari kumpokea muda Wowote asikunyime nafasi, basi ikishindakana kamroge tu.
13
4
49
@Triple_G_12
Gabi
21 days
Tweet media one
4
0
47
@Triple_G_12
Gabi
2 months
@Neypaul01 "unasikika kama mwanafunzi wa darasa la sita anayejaribu kuigiza Mzee" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
0
34
@Triple_G_12
Gabi
6 months
@NjiwaFLow Hii app nimeanza kuitumia 2019 Ina picha Kali na za Kila aina, picha nzuri na mbaya za Mtu maarufu, kule picha kama zote za kale na Sasa, video kama zote, hili Huwa naliita chimbo
1
0
30
@Triple_G_12
Gabi
2 months
@spana_Konki Ukijaribu kuuzungumza Ukweli wa mambo kidogo Watu wanapanic sana, lakini watu hao hao wanasahau ukwel haujawahi kuwa na wafuasi wengi na Dawa sio kujaa upepo ni kufanyia kazi, Ukiambiwa ukweli usiwe mkali....
2
1
27
@Triple_G_12
Gabi
4 months
@amprincess9 Ulivyokuwa umependeza ni Mwanaume mwenywe kasoro tu asingekutazama,Wakati nikihisi nimemaliza kuutazama urembo wako ukazisurubu hisia zangu kwa tabasamu jepesi na tamu lililofanya, nikamwambia "tricy you're beautiful girl, sikumbuki ulijibu Nini ila Nini mimi hapa ni follow ๐Ÿ˜Š
3
0
23
@Triple_G_12
Gabi
2 months
@datius_tz wanawake wengi wanashinda kila muda kwenye simu zao, kama unatma msg na hakujib sio kwmba hajaona, jbu ni kuwa kwenye akili yake huna sifa za kujibiwa kwa Wakati hupendwi, kitu cha kufanya hapo sio kuanza kulia na kumuuliza mbna hujib msg zangu. tafuta hela na fanya maisha yako.
3
0
20
@Triple_G_12
Gabi
3 months
@Neypaul01 ๐Ÿ‘
0
0
17
@Triple_G_12
Gabi
1 month
@mankadolly Huyu jamaa namkumbuka alikuwa mcheshi sana tumesoma Shule Moja O-level alikuwa ametutangulia vidato, nimeshtuka sana hii taarifa, Mungu amlaze mahala pema, mbele yake Nyuma yetu
2
1
14
@Triple_G_12
Gabi
1 month
@Chieflumanyika Walikuwa wanatoa tuzo za mambo ya usafiri
1
0
14
@Triple_G_12
Gabi
3 months
@Sirjeff_D Sharubati ni kiswahili ambayo kwa lugha ya kiingereza huitwa juice
2
0
14
@Triple_G_12
Gabi
5 months
@Neypaul01 Boda ya million kadhaa, viwalo Vya maana halafu anakuja kusema Hana smartphone ๐Ÿ˜‚
1
0
12
@Triple_G_12
Gabi
2 months
@Eng_Matarra Sidhani kama bado unaumizwa na mapenzi Kwa Sasa, maana moyo umeushona na Kila nyuzi kwa maumivu uliyopitia ๐Ÿ˜‚
1
0
14
@Triple_G_12
Gabi
1 month
@amprincess9 Gym ni madanguro siku hizi
1
0
13
@Triple_G_12
Gabi
6 months
@DullahTheking2 Huo wimbo ni kama idea nilimpa mimi maana ni uhalisia kabisa, saivi maadui noma ๐Ÿ˜‚
2
0
11
@Triple_G_12
Gabi
2 months
@fumbokhanJr Si Kila siku unamposti humu hujui kile anafanya
1
0
12
@Triple_G_12
Gabi
2 months
@Exquisite_255 Mzee wa chato yeye hakuwa na safari za nje ya nje, vipi walikuja kumtembelea?
2
0
12
@Triple_G_12
Gabi
2 months
@Chizzodrama Kuna wasanii Nuruel, Q jay na Mwenzake wa Wakali kwanza nimemsahau na Nemo Wangekuwa na muendelezo, Wangekuwa na legacy kubwa sana kwenye R&B ya Bongo
9
0
11
@Triple_G_12
Gabi
2 months
@fbuyobe Utata unakuja kwenye jina la mwisho la mke wa meja, akitajwa tu hali ya hewa itachafuka
0
0
11
@Triple_G_12
Gabi
2 months
@fumbokhanJr Mbona Kila muda unaisema yanga humu?
2
0
11
@Triple_G_12
Gabi
2 months
@amprincess9 Unataka kusema @Neypaul01 Kawa sugu, sema kashakubali hali kulingana na aina ya watu aliochagua kuishi nao humu
1
0
10
@Triple_G_12
Gabi
2 months
@Noedson_tz Demu akikuambia hivyo tu basi piga chini, Fanya mambo yako mengine
1
0
10
@Triple_G_12
Gabi
1 month
@wisdomjaykwa Uzi mkali mwanetu, muendelezo tuna usubiri
0
0
10
@Triple_G_12
Gabi
1 month
@spana_Konki Huyu jamaa hupita wiki bila kupikwa kweli ๐Ÿ˜‚
1
0
9
@Triple_G_12
Gabi
21 days
Tweet media one
0
0
9
@Triple_G_12
Gabi
2 months
@EsirEid Unyama tupu nimetupia mguuni ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
2
1
9