chizzo drama Profile Banner
chizzo drama Profile
chizzo drama

@Chizzodrama

21,520
Followers
7,804
Following
2,770
Media
67,409
Statuses

|| ๐—บ๐—ผ๐—ฑ๐—ฒ๐—ฟ๐—ป ๐—ฆ๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ๐˜€๐—ฝ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฟe || ๐— ๐—จ๐—ฆ๐—œ๐—–๐—ข๐—Ÿ๐—ข๐—š๐—œ๐—ฆ๐—ง ||๐—Ÿ๐—ฌ๐—ฅ๐—œ๐—–๐—”๐—Ÿ ๐—›๐—จ๐—Ÿ๐—ž|| ๐€๐๐€๐‹๐˜๐’๐ˆ๐’ & ๐‚๐‘๐ˆ๐“๐ˆ๐‚๐’

Tanzania
Joined May 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Chizzodrama
chizzo drama
20 hours
1๐Ÿ”น๏ธ๐’๐จ๐ง๐ : ๐€ ๐’๐“๐€๐‘ ๐ˆ๐’ ๐๐Ž๐‘๐ ๐€๐ซ๐ญ๐ข๐ฌ๐ญ๐ฌ : ๐‰๐€๐˜๐™ ๐Ÿ๐ญ ๐‰ ๐‚๐Ž๐‹๐„ ๐€๐ฅ๐›๐ฎ๐ฆ : ๐๐๐Ÿ ๐Ÿงต (JAYZ NDIYO RAMANI YA MUZIKI ) Nilipata kumuona na kukutana naye lakini haikuwa katika mazingira rasmi hapo kabla Nakumbuka siku moja nilipokuwa nafanya kazi๐Ÿ‘‡
Tweet media one
16
59
217
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
NYERERE Aliipambania AFRICA , MANDELA Aliipambania South Africa pekee Lakini Heshima Anayo pewa Mandela ulimwenguni Ni kubwa zaidi kuliko mzee wetu, kwanini?
Tweet media one
476
152
3K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
๐Ÿ‘‰Alizikwa Wapi? ๐Ÿ‘‰Nani aliye hudhuria mazishi? ๐Ÿ‘‰Nani aliye muua ? ๐Ÿ‘‰Unaamini yupo? ๐Ÿ‘‰Kwanini Picha zake hujitokeza kila Leo ๐Ÿ˜? Na hazijirudii ?
Tweet media one
337
174
3K
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
Kutana na DEOGRATIUS SHIJA , jamaa wa BONGO MOVIE ambaye kila filamu lazima asafiri kwenda ulaya na kurudi after 2 years ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡
Tweet media one
465
156
3K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Huwa mnaonyeshwaga mbele tu, hiyo ndiyo Hali halisi hapa mjini PARIS ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
234
151
3K
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
Dondosha dawa nyingine ya DENI unayo ifahamu na Matumizi yake ๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Tweet media one
415
843
2K
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿงต๐Ÿ“ŒWIMBO WA~ FOREVER YOUNGโ— โ— ( JAY Z AJITANGAZIA KUISHI MILELE ) โ˜† Naomba Niwakumbushe Tu , kuelewa kiingereza, na kuelewa JAYZ kaimba nini ni vitu viwili tofauti (kweli iliyo tupu) โ˜†Tungo za JAYZ huwa hazitatuliwi na (dictionary) tofauti kabisa na rappers wengine
Tweet media one
129
333
2K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Next time Kaka maulid usiingilie ugomvi , pengine yule msamalia , alitaka kutuondolea kero ya BANDO na TOZO ๐Ÿคฃ
Tweet media one
112
93
2K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Sizungumzii ukubwa nazungumzia ufundi hapo BOB MARLEY anakaa mchana kweupe kwa LUCKY DUBE ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tweet media one
Tweet media two
415
75
2K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Wasanii wa bongo hii ndiyo mnaita CREATIVITY ON THE STAGE ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
143
47
2K
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿ“Œ๐Ÿงต 50 CENT , ( TAFSIRI HALISI YA MPAMBANAJI) 1. James Curtis Jackson (50cent), Anaingia katika orodha Ya Mastaa wengi Ambao historia na Makuzi yao Yanatisha sana Na hii imekuwa ndiyo sababu kubwa inayo fanya waamini wao si wa kawaida, wamekusudiwa kufanya makubwa ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
109
322
2K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 months
๐Ÿงต ๐–๐ข๐ฆ๐›๐จ : ๐๐€๐Š๐€ & ๐๐€๐๐˜๐€ (derby) ๐Œ๐ฌ๐š๐ง๐ข๐ข : ๐‘๐Ž๐Œ๐€ ๐Œ๐Š๐€๐“๐Ž๐‹๐ˆ๐Š๐ˆ ๐€๐ฅ๐›๐ฎ๐ฆ : ๐๐ˆ๐๐„๐๐ˆ ๐Œ๐€๐”๐€ ๐˜๐€๐๐†๐” -๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ’ (SIASA,UCHUMI,USALAMA,KATIBA) 1.Hakuna anayefahamu nini aliwaza mwana masimulizi na mwandishi AESOP toka MESEMBRIA ,iliyokuwa๐Ÿ‘‡
Tweet media one
126
271
2K
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
Twende kazi ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Tweet media one
1K
107
2K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Kabla ya Akina KONDE BOY. hawa nao walitusumbua magazetini , Miaka Ile ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
31
26
2K
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿงต๐Ÿ“Œ wimbo : MIRROR Lil Wayne Ft Bruno Mars โ— ( LIL WAYNE AZUNGUMZA NA TASWIRA YAKE ) โ˜† Katika Maisha Upo wakati Ambao , hukaa peke yake Na kuangalia alipotoka alipo na nini Mustakabari wa maisha o โ˜†Utajiuliza Maswali mengi yaliyo na majibu ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
131
341
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
7 months
๐Ÿ“Œ Wakikushindwa PEN GAME , jiandae kwa MIND GAMES Alichokifanya Leo HARMONIZE kupisha Hii Ngoma , siyo uoga Lakini alikuwa anafahamu Nini anafanya Fikiria , Bajeti aliyotumia kufanya hiyo I MADE IT , na siyo bajeti tu tizama tention aliyoitengeneza for the past 3 months๐Ÿ‘‡
Tweet media one
83
75
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
5 months
๐—ž๐—”๐— ๐—” ๐— ๐—ก๐—”๐—”๐— ๐—œ๐—ก๐—œ: ๐Ÿงต ๐—•๐—”๐—ฆ๐—œ ๐—ง๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—˜๐—ก๐—œ ๐—›๐—”๐—ง๐—” ๐—™๐—ฅ๐—˜๐—˜๐— ๐—”๐—ฆ๐—ข๐—ก ๐—ฆ๐—œ๐—ฌ๐—ข ๐—ฅ๐—”๐—›๐—œ๐—ฆ๐—œ 1โ—พ" Inawezekanaje Kijana wa kimasikini Mwenye asili ya AFRICA toka kota za Marcy akawa na Mafanikio makubwa kiasi hiki ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
136
251
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
1 month
Wazee wa intelejensia, kwa kutizama hilo body unafikiri ni nani huyo kesho Anatambulishwa na kiba pale crown?
Tweet media one
117
42
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
4 months
๐Ÿงต .๐“๐‡๐„ ๐’๐–๐ˆ๐“๐‚๐‡๐‡= ๐…๐‹๐Ž๐ Miongoni Mwa vipindi vilivyotegemewa kuleta Mapinduzi makubwa katika Burudani ni THE SWITCH ya wasafi Fm Advantage (Faida) moja wapo waliokuwa nayo watangazaji wa wasafi (wote) , Ni kuwa ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
206
120
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
Nimeskiliza haya mahojiano, kiukweli katika hili serikali mnahusika kivyovyote lazima muwajibike, kama mnaweza kulipia MAGORI ya Mpira Nafikiri huyu mama na familia yake kwanza wapewe โ—BIMA ZA AFYA โ—MRADI WA FAMILIA , maana nguvu kazi ndiyo hivyo tena
Tweet media one
75
93
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
RAYVANNY sasa hivi ndiyo Atajua kwanini tunasema HARMONIZE ni msanii mkubwa ๐Ÿ˜
41
43
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Comment ziwee fupi fupi tafadhali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
143
43
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿงต๐Ÿ“Œ wimbo : ALL MY LIFE wasanii: LIL DURK Ft JCOLE โ—(MAPITO ,HAMASA ,MIFUMO) โ˜† Kama ilivyo kwa wasanii wengi wa HIPHOP historia zao zimegubikwa kashfa nyingi za uhalifu na hii ni kutokana na wengi wanamuziki hawa, kukulia katika mazingira magumu๐Ÿ‘‡
Tweet media one
86
212
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿ“Œ๐Ÿงต Wasanii : PDIDDY Ft SKYLAR GREY Wimbo : COMING HOME 1..โ˜† " Ni wanajeshi pekee Toka vitani ,au Watafutaji waliopotezana na Familia zao kwa muda mrefu, wanaweza kukuambia Uzito na Hisia Kali zilizobebwa na Msemo kama "COMING HOME" (Narudi Nyumbani) ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Tweet media one
105
201
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
Wanasema kilicho mkuta MAMBA mtoni na BOKO kitamkuta pia Niliwahi kuandika hapa HIPHOP kama utamaduni tunaangalia zaidi kile ambacho mtu anawasirisha, hizo mambo za FLOW ni urembo tu kuipamba sanaa Na ndiyo maana katika misingi kuna graphit haiitaji flow lakini ni hiphop
Tweet media one
88
52
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
FAMILIA YA TWITTER , Leo imekua ni siku ya huzuni tumeondokewa na mdogo wetu @reignsmwapili Tumuombee aendelee kupumzika kwa Amani ....
Tweet media one
218
84
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
ROMA alifanya genocide humo ndani ๐Ÿ”ฅ khaligraph hakuamini ๐Ÿคฃ
Tweet media one
42
28
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
7 months
โ—พ Diamond alishamalizana na Tz na Africa Toka (2016-17) Mtakataa mtatukana Ila ukweli ni kuwa AMEGANDA hasogei , Uongozi alionao ( Team yake nzima) aipige chini Anaweza hata akaachia watu Kama DON JAZZY au OLAMIDE wamsimamie they Got KEYs SALLAM SK ,akuna sehemu atampeleka๐Ÿ‘‡
Tweet media one
131
104
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Aloo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ umemuona Nani ?
Tweet media one
94
32
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
5 months
Ukiangalia hizi series๐Ÿ‘‡ 1. SEE 2. FROM 3. SILO Kuna namna unaanza kuitizama Dunia ,kwa jicho la Tofauti sana , zitakuongezea zile tunaita BIG QUESTIONS
91
147
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
7 months
๐—ฉ๐—œ๐—ฆ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—œ๐—ž๐—”๐—ฆ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐— ๐—จ๐—” ๐—•๐—”๐—œ๐—ก๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—˜๐— ๐—œ๐—ก๐—˜๐—  ๐—ก๐—” ๐— ๐—œ๐—–๐—›๐—”๐—˜๐—Ÿ ๐—๐—”๐—–๐—ž๐—ฆ๐—ข๐—ก๐Ÿงต "(WASANII WAKUBWA HUWA HAWAFANYI HIVYO EMINEM" Maneno Michael Jackson enzi za Uhai wake , alipokuwa akihojiwa na nguli GERALDO RIVELA JE NINI KILITOKEA??๐Ÿ‘‡
Tweet media one
93
247
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿงต๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ“Œ Wimbo wa : FREEMASON RICK ROSS Ft JAYZ โ—(MSIMAMO WA JAYZ KUHUSISHWA NA FREEMASON) โ˜†Album Ya 4 toka kwa Rick Ross iitwayo TEFLON DON ,Iliyo toka 2010 ilisheheni Ngoma kali sana ikiwemo I'm not a star, na hii FREEMASON ilisimama kama track 2
Tweet media one
112
186
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Siyo kwamba kaliiiii ila hayo ya humo ndiyo maisha Yako kabisa ,wenzio wanaigiza kukufariji ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tweet media one
50
43
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
5 months
"๐—ฆ๐—จ๐—ฅ๐—ฉ๐—œ๐—ฉ๐—”๐—Ÿ ๐—ข๐—™ ๐—ง๐—›๐—˜ ๐—Ÿ๐—œ๐—ง๐—ง๐—˜๐—ฆ๐—ง"๐Ÿ”ฅ (๐—ž๐—˜๐—ก๐——๐—ฅ๐—œ๐—–๐—ž ๐˜ƒ๐˜€ ๐—๐—–๐—ข๐—Ÿ๐—˜ ) 1โ—พ Mnamo tarehe 28 ,mwezi January mwaka wa 1985 huko ujerumani magharibi maeneo ya Frankfurt Mahala ilipokuwa kambi ya Jeshi la Marekani, alizaliwa mtoto ,mtoto ambaye alikuwa ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
73
183
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿ“Œ๐Ÿงต wimbo: UMBRELLA Waimbaji : Rihanna Ft Jayz ( WIMBO UNAO MTIA MATATANI RIHANNA โ˜† Manguli wawili , waliolibariki Game la muziki wa marekani kwa tungo nyingi kali zilizo sumbua Duniani, wanakutana na kuandika mkwaju uendao kwa jina la UMBRELLA ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
89
220
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
7 months
๐Ÿงต. Song : GOD DID Artist : DJ KHALID Ft ( FRIDAYY, RICK , WAYNE, JAYZ) 1โ—พ" Nilitumiwa kionjo na Ndugu yangu ,mdogo wangu Friday ikiwa ni kinanda kinapigwa na maneno machache yanasikika GOD DID , na THEY AIN'T BELIEVE IN US, wakati huo jina la album๐Ÿ‘‡
Tweet media one
89
242
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Kumbe BIRTHDAY GIRL ALIFELI form four ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
103
29
975
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
KING IS BACK Chama la wana XXL๐ŸŽง๐Ÿค˜
Tweet media one
51
17
977
@Chizzodrama
chizzo drama
4 months
"๐—œ๐—š๐—” ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ-๐—ฆ๐—ง๐—ข๐—ฃ ๐—จ๐—ข๐—ก๐—˜"๐Ÿงต Kwa yeyote aliyesikiliza ,wimbo wa MEDIOCRE (LIMBUKENI) wa Alikiba , Kuna mstari katika wimbo huo anasema "Iga na ku-stop uone , huchuruziki hata tone" Alikuwa anamwambia diamond kuwa Akae nje ya Game ,Kama alivyo kaa๐Ÿ‘‡
Tweet media one
92
77
964
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
Eti ?
Tweet media one
643
56
926
@Chizzodrama
chizzo drama
3 months
Ni siku yangu ya kwanza ya maisha yangu yaliyobaki๐ŸŽ‚๐ŸŽ‚ +1
Tweet media one
171
99
938
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐ŸšจMh TULIA , wananchi wa MBEYA tumechoka kukimbia marathon, Tunahitaji barabara nzuri na MAGARI yawe yanakimbia Mwananchi wa jimbo lako hapa โœŒ
Tweet media one
97
88
906
@Chizzodrama
chizzo drama
4 months
.๐—ก๐—œ ๐—ฅ๐—จ๐—š๐—˜ ๐—ง๐—˜๐—ก๐—”!!!๐Ÿงต Miongoni mwa moves bora pia kuzifanya RUGE MUTAHABA enzi za Uhai wake , ni kukataa MARIOO kujiunga na THT Siyo katika Muziki tu , Bali katika maisha wakati Fulani "Kukataliwa ni hatua Muhimu Sana katika kukujenga / kukuokoa"๐Ÿ‘‡
Tweet media one
29
60
892
@Chizzodrama
chizzo drama
3 months
๐—ฆ๐—”๐—™๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—œ๐— ๐—”๐— ๐—œ๐—” ๐—ช๐—”๐—ฆ๐—”๐—ก๐—œ๐—œ, ๐— ๐—ฃ๐—”๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—–๐—›๐—˜๐—ญ๐—˜๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—ข๐—ก๐——๐—˜๐Ÿงต๐Ÿงต NI RUGE TENA 3.. 1๐Ÿ”น๏ธBaada ya kikao ,aliondoka na home work , na kama nilivyokwisha tangulia kuandika kuwa wakati huu kila eneo katika kiwanda cha burudani lina pwaya๐Ÿ‘‡
Tweet media one
29
164
896
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿงต๐Ÿ“Œ Wimbo : MY LIFE Wasanii: THE GAME ft LILWAYNE โ— ( MISUKOSUKO, CHUKI, BARAKA) โ˜† Asili ya Binadamu huwa ni kukumbuka magumu aliyoyapitia, akiwa katika unafuu kimaisha, na ukiona Binadamu anakumbuka nyakati nzuri basi jua yupo kipindi cha Majuto . Basi ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
40
181
868
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Tunataka kupigana hapa kijiweni eti CRISTIANO RONALDO na BOB MARLEY Nani ni maarufu zaidi Duniani?
162
30
851
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
WATU WAPO SERIOUS NA KAZI ZAO, Imagine mtu anakata wese hivyo kwaajiri Ya Movie Tu๐Ÿค”
Tweet media one
72
48
846
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐ŸŽฏMEDIA zinachanganya ,GOSSIP na ENTERTAINMENT NEWS Kwa afya ya muziki wetu, mileage/hatua kama hii ,369M ilipaswa kuzungumzwa zaidi na media, kuliko makalio ya So called mpenzi mpya wa HARMONIZE By the way Big congratulations kwa konde boy๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ , single again big tune
Tweet media one
35
53
860
@Chizzodrama
chizzo drama
3 months
๐’๐Ÿ๐Š๐ˆ๐™๐™๐˜ ๐๐ˆ ๐Œ๐“๐€๐˜๐€๐‘๐ˆ๐’๐‡๐€๐‰๐ˆ ๐๐Ž๐‘๐€ ๐–๐€ ๐Œ๐”๐ƒ๐€ ๐–๐Ž๐“๐„๐Ÿงต Nimesikiliza mahojiano ya MASTER JAY pale clouds ,anasema hawezi kujadiri Muziki na vijana wa 1995 Alafu ni huyuhuyu MASTER JAY alisema wasanii ambao wanaweza kutufikisha international ni ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
123
64
872
@Chizzodrama
chizzo drama
21 days
๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—” ๐——๐—”๐—ฌ & ๐—ฆ๐—œ๐— ๐—•๐—” ๐——๐—”๐—ฌ - ๐—•๐—”๐——๐—ข ๐—ช๐—”๐—ฆ๐—”๐—ก๐—œ๐—œ ๐—›๐—”๐—ช๐—”๐—๐—”๐—๐—จ๐—” ๐—ง๐—›๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—˜๐Ÿงต Niliwahi kuandika kabla na nitaandika tena sababu bado sijaona mabadiliko Ukiacha mikutano ya injili ya kina mwamposa sehemu pekee unaweza kuwakuta watanzania๐Ÿ‘‡
Tweet media one
41
74
857
@Chizzodrama
chizzo drama
6 months
๐Ÿงต๐—จ๐—•๐—œ๐—ก๐—”๐—™๐—ฆ๐—œ ๐—ก๐——๐—œ๐—ฌ๐—ข ๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—œ ๐—ฆ๐—”๐—›๐—œ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—œ๐—ž๐—œ๐—ข โ—พ(DIAMOND PLATNUMZ NI MFANO) huo ni ukweli unaopingwa na wengi lakini Pengine hata Wewe unayesoma makala hii ungejitizama Wewe kwanza kuliko familia yako usingekuwa hapo( ukweli mchungu๐Ÿ˜‚)๐Ÿ‘‡
Tweet media one
79
122
856
@Chizzodrama
chizzo drama
6 months
๐Ÿ“ #GET2KNOW โ—พMtoto wa Kwanza Wa Jayz anaitwa BLUE IVY kiimani IVY linaashiria โ—พ Eternal commitment,Loyalty Faith , Foreverness Ukiwa Ni ujumbe tosha baina yake na BEYONCE kuwa Kuheshimiana, Uaminifu, na kujitoa kwa kila mmoja kwa mwenzake, na pia watabakia pamoja milele๐Ÿ‘‡
Tweet media one
39
69
844
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿ“Œ๐Ÿงต Wimbo : NATURAL MYSTIC ( HATMA YA ULIMWENGU. ) BOB Alitumia dakika zipatazo 3 na segundo thelathini kuteta na ulimwengu juu ya tulipotoka na hatma ya ulimwengu kupitia sanaa yake, akituachia Fumbo lililo dumu kwa miaka 46 , Mpaka sasa.
Tweet media one
70
194
828
@Chizzodrama
chizzo drama
3 months
๐€๐ซ๐ญ๐ข๐ฌ๐ญ : ๐๐‘๐Ž๐…๐„๐’๐’๐Ž๐‘ ๐‰๐€๐˜ ๐Ÿ๐ญ ๐ƒ๐ˆ๐€๐Œ๐Ž๐๐ƒ ๐ฌ๐จ๐ง๐  : ๐Š๐ˆ๐๐ˆ ๐’๐ˆ๐‰๐€๐’๐Š๐ˆ๐€ ๐˜๐ž๐š๐ซ : ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ’๐Ÿงต ๐Ÿ”น๏ธ" Niliacha kazi nifanye muziki ,wakatabiri nita-Lost ,Wengine wakanishawishi niroge kuondoa mikosi" Mistari hiyo ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
59
121
828
@Chizzodrama
chizzo drama
4 months
๐—œ๐—๐—จ๐—˜ ๐—ง๐—ข๐—™๐—”๐—จ๐—ง๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐—ž๐—œ๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐—–๐—›๐—ข๐—ž๐—ช๐—”๐Ÿงต ( LIL WAYNE vs JAYZ) 1โ—พHakuna msanii ,amewahi kusimama na akakiri kuwa jayz siyo msanii mkali, Hakuna Msanii aliyewahi kusimama ,na akasema havutiwi na akili ya biashara aliyonayo jayz๐Ÿ‘‡
Tweet media one
63
142
792
@Chizzodrama
chizzo drama
7 months
๐Ÿงต (๐—ง๐—ข๐—ž๐—” ๐—จ๐—›๐—”๐—ฆ๐—œ๐— ๐—จ ๐— ๐—ฃ๐—”๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐—ช๐—” ๐— ๐—ง๐—จ ๐—ก๐—” ๐—•๐—ข๐—ฆ๐—ฆ ๐—ช๐—”๐—ž๐—˜) ๐—ก๐—”๐—ฆ. ๐˜ƒ๐˜€ ๐—๐—”๐—ฌ๐—ญ "Ilikuwa Majira ya Saa mbili Asubuhi NAS akanipigia simu, kuwa niibuke studio , Na Akaniambia kuwa ,hiyo siku ndiyo album ilikuwa inafanyiwa mastering ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
53
186
771
@Chizzodrama
chizzo drama
3 months
Siku BELLE 9 akatangulia mbele za haki (siombei) , na BASATA Mkajichanganya kumpa TUZO Kama nitabarikiwa uhai wakati huo , nitachoma OFISI Zenu moto Seriously๐Ÿชก
61
56
765
@Chizzodrama
chizzo drama
11 days
Promoter: mzee nipe bei yako solo Artist: sifanyi show chini ya 5M Promoter : kuna 3M mzee ,miezi hii si unaelewa Artist: next time chief Promoter: Poa poa ofsa ๐Ÿ‘‰ Baada ya Lisaa kupita Artist : Hiyo 3M isije kuwa zesheni baadae Promoter : Nitakurudia chief ๐Ÿ‘‡
62
43
766
@Chizzodrama
chizzo drama
4 months
๐Œ๐ฌ๐š๐ง๐ข๐ข: ๐ƒ๐ˆ๐™๐€๐’๐“๐€ ๐•๐ˆ๐๐€ ๐–๐ข๐ฆ๐›๐จ : ๐Œ๐๐”๐™๐ˆ ๐€๐ฅ๐›๐ฎ๐ฆ : ๐€ ๐…๐€๐“๐‡๐„๐‘ ๐…๐ˆ๐†๐”๐‘๐„ Niliwahi kuandika hapa ,moja ya kauli ya JAM MASTER JAY,kwa 50 CENT kipindi anamnoa kiuandishi,kauli ambayo 50 CENT anasema ndiyo muongozo wake mpaka Kesho ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
72
171
746
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Ana muziki mkubwa kuliko DIAMOND na ALIKIBA...Ila kwakuwa juu si pa kila Mtu , basi hakikisha yupo top 4.. JUX anaimba bwana aha ๐Ÿ‘‘๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
62
25
740
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿงต๐Ÿ“Œ wimbo: NO CHURCH IN THE WILD Wasanii : KANYE WEST & JAYZ โ˜†Kwa Wale Ndugu Zangu Wa Masuala Ya Kilimo Najua Mnafahamu Vyema Juu Ya Kitu Kinaitwa Mnyororo Wa Thamani โ˜†Hata Kwa Wewe usiye mkulima basi ushawahi kuskia kuwa kila mtu ana nafasi yake ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
86
209
715
@Chizzodrama
chizzo drama
4 months
๐—›๐—”๐—ฌ๐—” ๐—ก๐——๐—œ๐—ฌ๐—ข ๐— ๐—”๐—”๐—๐—”๐—•๐—จ ๐—ฌ๐—” "๐—”๐—๐—˜ " ๐—ฌ๐—” ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—œ๐—•๐—” (๐— ๐—˜๐—š๐—” ๐—›๐—œ๐—ง)๐Ÿงต Inashangaza kuona Leo hii,watu wanapima ukubwa wa nyimbo Eti kwasababu tu,Kuna watu Fulani maarufu wmeonekana wakiziimba/ kuzicheza Zipo namna hasa za kutambua Ukubwa na ubora wa kazi๐Ÿ‘‡
Tweet media one
67
113
728
@Chizzodrama
chizzo drama
4 months
๐Ÿ“Œ Umeajiri mpaka PHOTOGRAPHERs , Lakini kwa mwaka picha zako official kufika 4 ni mtihani Ukiingia GOOGLE , au maduka ya kuuza picha Kama , GETTY IMAGE Bado changamoto Hilo halijakaa sawa ,kwa msanii wa hadhi yako, Suala hili halihusiani na kuwa LOW KEY Unafeli ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
96
46
719
@Chizzodrama
chizzo drama
8 months
๐Œ๐‰๐€๐ƒ๐€๐‹๐€ ๐Œ๐๐€๐Ž๐”๐Š๐–๐„๐๐€ ๐Œ๐๐€๐Ž ๐‰๐ˆ๐ˆ๐“๐€ ๐Œ๐€๐’๐‡๐€๐๐ˆ๐Š๐ˆ ๐–๐€ ๐‡๐ˆ๐๐‡๐Ž๐๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿงต Ukitembea Leo hii makanisani , unaweza kudhania kuwa Tajiri ni kosa kubwa ,yote hayo wachungaji wanafanya ili kufariji maskini ๐Ÿ˜‚ Ukitembea Vilingeni , Miongoni ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
100
123
707
@Chizzodrama
chizzo drama
6 months
Huyu jamaa Redio moja MBEYA kanipigia simu Oya Chizzo , nitakupigia Simu Umzungumzie JAYZ kwa kipindi Nikamuuliza muda unao , kaniambia dakika 5 Sasa JAYZ ni kusah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚?
75
59
711
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Umevaa Nini Leo mguuni ,mwana wa Adam ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
142
21
682
@Chizzodrama
chizzo drama
19 days
๐—ž๐—ช๐—”๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ ๐—›๐—”๐—ฅ๐— ๐—ข๐—ก๐—œ๐—ญ๐—˜ ๐—”๐—ก๐—”๐—ข๐—ก๐—˜๐—ž๐—”๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—˜๐—Ÿ๐—ข๐——๐—œ๐—˜๐—ฆ ๐—ก๐—ฌ๐—œ๐—ก๐—š๐—œ ??๐Ÿงต Hili ni miongoni mwa swali huwa naulizwa na wengi ingawa nilishalijibia kwenye moja ya nyuzi zangu Ila nimeona kunao umuhimu wa kulizungumzia kama mada kamili๐Ÿ‘‡
Tweet media one
67
84
702
@Chizzodrama
chizzo drama
6 months
๐Ÿงต ๐—ช๐—”๐—ฆ๐—”๐—ก๐—œ๐—œ ๐—จ๐—ข๐—š๐—” ๐— ๐—ก๐—”๐—จ๐—™๐—œ๐—–๐—›๐—” ๐—ž๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—ž๐—œ๐—ฉ๐—จ๐—Ÿ๐—œ ๐—–๐—›๐—” ๐—›๐—˜๐—ฆ๐—›๐—œ๐— ๐—” ๐—ก๐—” ๐—จ๐—ง๐—จ BOB MARLEY,Aliwahi kunukuliwa akisema "One Good thing about music ,is that when it hits you ,you feel no pain" Tafsiri Ni kuwa ,Muziki mzuri haujawahi kuwa na madhara ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
48
52
680
@Chizzodrama
chizzo drama
4 months
๐— ๐—ก๐—”๐—ช๐—˜๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—ฃ๐—ข๐—ก๐—š๐—˜๐—ญ๐—” ๐—๐—”๐—ฌ ๐— ๐—˜๐—Ÿ๐—ข๐——๐—ฌ ,๐—ฃ๐—”๐—ฆ๐—œ ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—ฆ๐—›๐—จ๐—ฆ๐—›๐—œ๐—” ๐—›๐—˜๐—ฆ๐—›๐—œ๐— ๐—” ๐— ๐—”๐—ฅ๐—œ๐—ข๐—ข๐Ÿงต โ—พ Lilikuwa ni suala la muda tu , kwa mjadala wa ulinganifu baina ya Vipaji hivi kupamba Moto Sababu wanavaa kofia mbili zinazofanana ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
33
62
675
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Kinacho tangazwa Ni asilimia 0.8 % ya picha yote ๐Ÿคฃ Anyway safi
Tweet media one
76
22
654
@Chizzodrama
chizzo drama
7 months
๐—ž๐—”๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—ช๐—˜๐—ฆ๐—ง ๐—ž๐—œ๐—จ๐—ก๐—š๐—ข ๐— ๐—จ๐—›๐—œ๐— ๐—จ ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฌ๐—˜๐—ง๐—จ๐— ๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—ฃ๐—ข๐—ง๐—˜๐—ญ๐—” ๐Ÿฑ๐Ÿฌ ๐—–๐—˜๐—ก๐—ง ,๐—ž๐—œ๐— ๐—จ๐—ญ๐—œ๐—ž๐—œ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฒ๐ŸŒŽ๐Ÿงต 1โ—พMiaka Ya 2000 , Ni kipindi Ambacho Tasnia ya Burudani hasa upande wa Muziki , ilikumbwa na dhoruba kubwa kibiashara Na hii ilitokana na ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
65
173
649
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
Nipige picha kwa nyuma , hakikisha Chriss brown anaonekana Andika diamond na chriss wala bata pamoja SA ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tweet media one
51
26
638
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Hii Ni Heshima Sana kwa Sisi shabiki zako umetuheshimisha Sana KONDE BOY. X. CHRISS , Ijumaa next week , subscribe kabisa channel yake ๐Ÿšจ๐Ÿšจ Thank me later
Tweet media one
50
21
641
@Chizzodrama
chizzo drama
5 months
๐Ÿ“ŒJana nimekaa na Ex-manager wa msanii Fulani (wengi husema msanii Huyo ni mnyamwezi kuliko wote bongo) Jamaa Akaniambia, toka ameanza kumsimamia wamezunguka kila mkoa ,kiasi kikubwa walichowahi kuingiza ni 4M , hapo baada ya Gharama zote wakarudi dar na 2M Akaniambia ๐Ÿ‘‡
37
29
652
@Chizzodrama
chizzo drama
9 days
ALL TIME GREATEST R&B SINGERS ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 1. BELLE 9 2. STEVE RNB 3. JUMA JUX 4. BEN POL 5. RAMA DEE
111
56
647
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
1.๐Ÿ“Œ๐Ÿงต Wimbo: JUICY Wasanii : B.I.G. Ft P.diddy โ— ( MAPITO, MAISHA) โ˜† Ni kama Tunafungua Kurasa Za Kitabu kile cha DEADLY HEARTS , cha Mwandishi MICHAEL BURGAN, kinachoelezea Maisha ya Binadamu Hatari zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu huu๐Ÿ‘‡
Tweet media one
55
158
631
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Hilo sofa , kuna mwanangu analigonga kwa 700k Kitambaa OG , anakuwekea na socket za umeme ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ..na free delivery
Tweet media one
85
21
620
@Chizzodrama
chizzo drama
8 days
๐Ÿ“Œ Basi bwana AUGUST 25 ,2017 ile siku ilikuwa na usiku mrefu sana kwa sisi wapenda muziki Mapema Alikiba akaachia SEDUCE ME , waah mtaa ukaitika , mwamba akawa anakichafua youtube vibaya Na kipindi hicho mambo ya TREND na 1M views kwa masaa 24 ndiyo yameingia ingia๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
31
40
648
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
Za ndaaaani ๐ŸŽฏ
Tweet media one
33
12
623
@Chizzodrama
chizzo drama
20 days
Jana nimekutana na msanii mmoja ni ONE HIT WONDER na siyo wa kitambo juzi juzi tu hapa Nimekaa kwenye meza yake namrusha kanivungia na vipuli maskioni Baadae wanakuja wakubwa zake wanamwambia bila huyu hakuna kitu chako kitaenda Nashangaa kaka,kaka zikawa nyingi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
38
47
629
@Chizzodrama
chizzo drama
6 days
๐—ž๐—ช๐—”๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ช๐—”๐—ข ๐—ง๐—จ ๐—ก๐—” ๐—ฆ๐—œ ๐—ช๐—˜๐—ก๐—š๐—œ๐—ก๐—˜๐—ข?? ๐Ÿงต๐Ÿ‘‘๐Ÿ‘‘๐Ÿ‘‘๐Ÿ“– Siku zote huwa nasema nipo hapa ,kama sehemu ya mabadiliko katika tasnia ya burudani Huwa siandiki hadithi bali ,mafunzo mengi yenye tija kwa tasnia endapo wahusika wakaamua kujifunza ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
38
108
635
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿšจ๐Ÿงต Siyo kwa Ubaya wala Dharau kwa mashabiki wa Eneo fulani, point ya msingi hapa ni kuwa ,kuna Ukubwa fulani msanii akifikia (VENUE/ mahala anapo fanyia show) kuwa na standards fulani) Kama Ambavyo Msanii huwa Anachagua Aina ya wasanii wa kufanya nao COLLABO why not ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
103
32
599
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ TOP 5 CHORUS KILLERS OF ALL TIME 1. Ferooz 2.Dully sykes 3.Juma Nature 4.Belle 9 5.G Nako
151
34
596
@Chizzodrama
chizzo drama
2 months
COY MZUNGU anapingana na wito alioitwa kila akisimama achekeshe ,anajikuta tayari kaanza kutoa nasaha,elimu na hamasa Kiufupi siyo mchekeshaji,ni mwalimu mzuri wa stadi za maisha muhamasishaji na muelimishaji rika Ifike muda,akubaliane na hilo Kwenye comedy abaki kama mratibu
Tweet media one
24
32
609
@Chizzodrama
chizzo drama
2 months
๐—ง๐—จ๐—ก๐—”๐—๐—œ๐—™๐—จ๐—ก๐—ญ๐—” ๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ช๐—”๐—ฆ๐—”๐—ก๐—œ๐—œ NA ๐— ๐—”๐—ก๐—”๐—š๐—˜๐— ๐—˜๐—ก๐—งs ๐—ญ๐—”๐—ข??๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿงต Haijatokea kwa bahati mbaya , bali hizi screenshot tunazoziona leo Ni katika muendelezo ,wa nyingi Zilizokosa majibu,Za fedhea, n.k Ni wakati ambao ,Mashabiki ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
85
81
600
@Chizzodrama
chizzo drama
2 months
Ukiacha kunywa chai , kitu kingine watanzania wana-skip ni album ya konde boy "MUZIKI WA SAMIA"๐Ÿ˜
87
53
599
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
Tweet media one
344
34
588
@Chizzodrama
chizzo drama
5 months
RAYVANNY - Kapoteza mvuto kisanaa , Hakuna Mwenye shauku juu ya jambo lake lolote Hashtui Tena , anafanya vitu hovyohovyo, Hizi wanaita "TEAM YANGU NYUMA " zimejaa vijana wanaocheza nao PS Na wakuwaitia Mademu club, Bora angebaki alipotoka angejua NO VASELINE โœŒ๏ธโœ๏ธ
Tweet media one
86
56
593
@Chizzodrama
chizzo drama
2 years
Ooh mY , tajiri abasi , pet man wakuache , big sheshe , Young LUNYA kasema hata akitoa diss track atatumia hayo hayo maneno ๐Ÿคฃ kwahiyo hakuna haja
Tweet media one
58
25
585
@Chizzodrama
chizzo drama
2 months
๐Ÿชก Nawajua wabongo ,tupo vizuri ku create awareness, ila tumechagua wasanii Harmonize kufanya na Bob, wasn't a big issue MEDIA kama haziioni nyimbo Harmonize kum-DM meek Mill, mnamcheka, ila mond kwa kwa JASON ni habari Hatuamini kupndisha wasanii ,wetu ila mond ,๐Ÿ‘‡
Tweet media one
61
42
580
@Chizzodrama
chizzo drama
13 days
๐‡๐€๐‘๐Œ๐Ž๐๐ˆ๐™๐„ ๐’๐‡๐“๐”๐Š๐€ ๐”๐’๐ˆ๐๐Ž๐“๐„๐‹๐„๐„ ๐Œ๐–๐ˆ๐’๐‡๐Ž ... ๐Ÿงต Miaka ya nyuma kidogo hapa kwetu , hapakuwapo na managers badala yake tulikua na washika dau Hawa walikuwa watu wenye kipato , ila hawakuwa na maono hasa katika muziki Wengi walikuwa๐Ÿ‘‡
Tweet media one
35
81
593
@Chizzodrama
chizzo drama
7 months
๐Ÿ‘‘ ๐—ž๐—œ๐—ก๐—š๐—ฆ ๐—ข๐—™ ๐—ฅ๐—ข๐— ๐—”๐—ก๐—ง๐—œ๐—– ๐—›๐—œ๐—ฃ-๐—›๐—ข๐—ฃ โ—พJuzi Kati FA aliibua Mjadala juu ya Wimbo Bora wa Mapenzi wa muda wote upande wa Rap afrika mashariki Akiorodhesha nyimbo zake , YALAITI na KIBOKO YANGU, wengi walikubali na wengi walikataa๐Ÿ‘‡
Tweet media one
69
76
567
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
Mnaosema YOUNG LUNYA ana Brag (Majigambo sana Kwenye Tungo zake), mmewahi kumpa sikio STEREO SINGASINGA ๐Ÿ˜
Tweet media one
59
39
562
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿšจ๐Ÿงต "JESUS CAN'T SAVE YOU, LIFE STARTS WHEN THE CHURCH END " โ—Moja ya Mstari tata toka kwa JAYZ unao patikana katika wimbo uitwao EMPIRE STATE OF MIND alio mshirikisha ALICIA KEYS Ambapo kimsingi wimbo mzima umebeba tafsiri halisi ya kuanzia muonekano mpaka mtindo wa ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
54
100
555
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿ“Œ ADVANTAGE nyingine walionayo wasanii wa sasa Nigeria ni kuwa, wamefuata misingi ya wachonga barabara wao kama FELA KUTI leo WIZKID ,DAVIDO , BURNABOY wanaendeleza wazee walipo ishia, Sababu akina fela kuti, walifanya Afrobeat na walipata kutambuliwa mapema sana
Tweet media one
20
39
540
@Chizzodrama
chizzo drama
4 months
Mbona RADIO STATIONS zinafunguliwa nyingi , ilhali wasikilizaji wa Redio wanapungua kwa kasi kubwa , miaka ya hivi karibuni??? Au ndiyo zimekuwa sehemu rahisi kupitishia FEDHA chafu za maboss๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Naskia harufu ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
36
27
562
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
๐Ÿงต๐Ÿ“Œ Msanii: BUSTA RHYMES Tuzo โ—: BET , LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD โ˜†Historia imeandikwa usiku wa kuamkia leo pale katika ukumbi wa ( Microsoft Theater), Los Angels CA, Ambapo Kijana Toka Mitaa ya FLATBUSH, kitongoji cha Brooklyn Huko NewYork ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
20
38
546
@Chizzodrama
chizzo drama
1 year
Pumzika pema Kaka NOEL ๐Ÿ•Š๐Ÿ•Š ๐Ÿ˜ญ
Tweet media one
36
20
538