SimbaScot Profile Banner
SimbaScot Profile
SimbaScot

@Simbascot

2,691
Followers
2,318
Following
7,355
Media
24,664
Statuses

☞ MUSLIM. simba 🇹🇿& man united 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 & Real Madrid 🇪🇸 ☞  (If you stand for the truth, you will always stand alone.) 𝕏

Zanzibar South and Central
Joined March 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Simbascot
SimbaScot
2 months
@fbuyobe Kama Dunia ingekuwa ni yenye kudumu na wakazi wake, Basi angekuwa hai Mtume (s.a.w) wa Mwenyezi Mungu, Na mwenye kubakia (milele). Lakini hii (Dunia) itafikia mwisho, pamoja na starehe zake. Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
4
9
140
@Simbascot
SimbaScot
21 days
@Rydx_017 @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @JayleenRickie @MissChelsea1221 Siku akifa atakuja kukumbuka. Wazaz wanapitia mengi sana. Akikua ataelewa kwann mama yake alifanya vile. Nilikuwa katika same situation na mzee wangu ila nilielewa nn sababu. Nikaishi nae Fresh mpaka anarudi kwa Muumba wake. Msiwachukie wazaz kuna mengi sana. Alitakiwa Asamehe
30
4
169
@Simbascot
SimbaScot
4 months
@ComradeKawaida @Sativa255 Ila hausikitishwagi na wale wa kwa CAG wanaoibia nchi. Your muslim but you deserve surat 63 of Quran
15
5
138
@Simbascot
SimbaScot
3 months
@privaldinho Umemfollow Fabrizio Romano na hajawah kupost Usajili wa miroshi Wala samata
24
5
125
@Simbascot
SimbaScot
2 years
@UtdFaithfuls Dalot is average bisaka better than him
9
0
93
@Simbascot
SimbaScot
2 months
@ExMayorUbungo Huyu mzee leo ndo nimemfaham sijawah kusikia Akifanya Vurugu kwann Auwawe na Nan amemuwaa na kwa sababu gani. Maswali ni mengi sana but don’t trust any body. Kabla ya kuhukumu jiulize maswali matatu. Why, who, and for what
12
2
88
@Simbascot
SimbaScot
2 years
@PresenterNoah Hao ndo kwenye Cv wanaandika hobby swimming
1
3
77
@Simbascot
SimbaScot
2 years
@chevi_masta Na hawatoridhika nawe Mayahudi wala Manaswara mpaka ufuate mila zao. Sema: “Hakika mwongozo wa Allaah ndio mwongozo (pekee).” Na ukifuata hawaa zao baada ya yale ambayo yaliyokujia katika elimu, basi hutopata kutoka kwa Allaah mlinzi yeyote wala mwenye kunusuru.
5
3
78
@Simbascot
SimbaScot
8 months
@OfficialAliKiba Kuelekea miaka 20 ya King @OfficialAliKiba hii ndo ngoma zangu 20 za muda wote. Mnyama Mapenzi yana run dunia Huku Mac muga So hot Mwana My everything Dodo Bwanamdogo Jealous Cindelela On fire Mshumaa Utu Mahaba sumu Jah Salute Kufosi mapenzi Bonus track Nakshi
2
4
77
@Simbascot
SimbaScot
2 years
@SimbaSCTanzania @moodewji Saido ntibanzokiza tokea ameenda yanga hajawah kukutana na boss wa timu anakutana na madalali. Tokea kaja simba Hattrick Verified insta account Kambi dubai Kakutana na bosi wa team.
11
1
74
@Simbascot
SimbaScot
3 months
@privaldinho Simba haiokoti wachezaji ambao hawana matumizi na Club zao. Simba inafanya sajili kwa kuangalia mkataba wa mchezaji. Kama simba ingekuwa na utapeli ungeona ina kesi nying Fifa kuwa shinda nyie. Simba ina wanasheria wanao jielewa sio wakwenue anashindwa kutaja mwaka vizur
7
1
73