Rahim Pingu Profile Banner
Rahim Pingu Profile
Rahim Pingu

@PinguRahim

735
Followers
1,847
Following
134
Media
335
Statuses

Alexandria, VA
Joined November 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@PinguRahim
Rahim Pingu
3 months
@BroqLee @Incmpltemission Vietnam war experience!
0
1
95
@PinguRahim
Rahim Pingu
8 days
@Daktariwawatoto The Land Rover Defender has a side-mounted gear carrier or storage box that provides easy access to items you don't want to carry inside the vehicle.
2
1
44
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@Evans04april @rollymsouth ENTERTAINMENT is a form of activity that holds the attention and interest of an audience or gives pleasure and delight. It can be an idea or a task. Ndicho anachofanya mandonga na waliomchukua hawakukosea kabisa.
2
0
32
@PinguRahim
Rahim Pingu
24 days
@ayubu_madenge iPhone 14 , 15 na kwenda mbele , zipo tofauti za US na Canada hazima sehemu ya kuweka SIM card kabisa za China 14 na 15 zina sim card . Lakini US simu tanapewa na mtangao husika hivyo raisi kuisha, kama voda wanunue na kuwapa wateja wao kwa malipo ya miezi 36z
1
0
25
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@MarekaMalili Boxers agree to a specific purse. Itโ€™s generally decided before the event. If they win, there could be a win bonus. Malipo yanafanyika kabla menging ni ziada tu.
1
2
21
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@Labella_Mafia95 Ni kocha wa viungo, alianza kucheza mpira 1995 club ya Sportif xfaxien ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ , iliwahi kushinda shirikisho.Kazi iyo amesomea miaka 4 ana leseni ya CAF B.amewahi pia kufanya kazi esparance surpotive. Na sehemu nyingine na sasa yupo yanga.
2
0
22
@PinguRahim
Rahim Pingu
9 months
@Profesa__ Ina sababishwa na piston ring kuharibika au kukatika, hivyo oil inavuja kwenye combustion chamber na kutokea kwenye exhaust , kuharibika kwa head gasket, etc.
0
0
22
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@MudiMabiriani Kuna mtu anaitwa swaleh, Yupo Arusha ana design gari za tours iyo kama upepo anakutolea na stand ya maana Sio hizo jack za kashata.
2
1
15
@PinguRahim
Rahim Pingu
9 months
@Sirjeff_D @JerryBasaya Kwa kutumia kitambulisho ambacho kinaonekana vizuri kama hivyo kwa nje , unaweza kufanya vitu vingi sana, sijui kwa bongo, huwezi kuweka green card wazi, leseni, work permit au SSN card hapa US kama hivyo.
2
0
15
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@xaxaxaxaxaxaxz @Wakazi Tanzania haijawahi kuwa zaidi ya zaire kimuziki, nyimbo zote zilotungwa na wasaanii wa zamani kama Mbaraka, Marijani, Juma Kilaza, Salum Abdala,kutoka Band nyingi (Kilwa jazz/Cuban marimba/Moro jazz zilikua ni copy ya nyimbo za zaire miaka ya 70.
2
0
11
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@john__himself Typically, the accepted rule is that you should wear your watch on your non-dominant wrist. This means that for most people being right-handed, you'll wear your watch on the left arm.
0
1
10
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@AbdandeAN @rollymsouth Unafahamu kuwa Muhammad was a monogamous for 25 years? Do you know why? Unajua kwamba Sio lazima kufanya kila alichofaya yeye ili uonekane muislam bora? Watu wengi wanajificha chini ya mwamvuli wa dini only to justify their indecency.
8
1
10
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@TBoundBuses Miaka ya 2008 au 09 stand ya bukoba nikiwa natoka shule kampala, nilikuwa na ticket ya MOHAMED TRANS ya dar , nikakesha bar moja ivi sijui kama ipo sasa bukoka mjini Q BAR karibu na stand ya SUMRY alafajiri nikaingia bus la mwanza nikalala naamka chuma inapita biharamulo.
1
0
10
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@HildaNewton21 Mafundisho yetu ya dini ya kiislam yamejawa na chuki na roho mbaya na hii inatoka na kukosa ufahamu kuhusu dini yenyewe.Waislam wa kwanza kutoka Mecca walikwenda Abyssinia kwa Amri ya Muhammad (PBUH) wakiongozwa na Saad bin Abuwakas.
1
0
9
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 months
@kalage_jr @Sirjeff_D Unaeza kwenda na mtu njombe , makambako, tunduma mpaka Africa kusini Ila hapa kuja na mtu kuna utaratibu, unaeweza kuchukua mwaka mpaka miaka miwili.
1
0
9
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@AmanaMbise @UhamiajiTz Hilo hitaji si kikwazo! Unatakiwa kujaza tu unapokwenda ila si lazima uoneshe Ticket wala visa ndio upate. Kamilisha documents muhimu hakuna usumbufu hata kidogo.
4
0
9
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@MudiMabiriani Kabisa bro, Mungu ni Mwema. Nakuona mbali kaka. Hiyo logo tusibadili.
1
1
7
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@hancymachemba @TetySteven @VitusNkuna If a plane slows to a near stop or *loses altitude* the door will unlock, the over wing-exit doors in planes are equipped with electronic locks that engage only when the plane is in flight . Yoyote anaweza kuwa ndio aliyefungua lock inatoka yenyewe.
1
0
8
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@Elpatrona2019 @abuufire @DrChalier @HildaNewton21 Mimi ni muislam ukweli ni kwamba waislam wengi hawajui chochote kuhusu uislam wenyewe walikaririshwa chuki na roho mbaya toka kwenye mafunzo ya awali, and it is against the teachings, traditions and norms of the real Islamic practices.
4
0
8
@PinguRahim
Rahim Pingu
18 days
@tazamaMbali @Sirjeff_D Huyo general mwenyewe kazaliwa dar es salaam. Ocean road hospital, wazazi wake wakiwa wanaishi mikocheni.
2
0
7
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@Erickgotagota @TBoundBuses @samatimemagari Kwenye hizo picha wewe unaona ni jivu au? Metals such as aluminium,copper and steel do not form ashes. Hiyo ni deformation na si majivu .
1
1
6
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@idrickisodo @PresenterAnuari @ALugandu @Bukayoshafi02 @Jeba_OG @Jumaallymwiguru @kapeto98 @MJOMBAAAAAAA @mozu245 @mswahilimemes @ZPlanmaster @babalao__ The Isuzu TX series truck was built from 1934 until the end of World War 2, then resumed production starting in 1946 until 1979 and was powered by a diesel engine. It was the company's first successful heavy duty truck used in various roles .
0
0
5
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@SaidAbdallh8 @drbombaytz @HildaNewton21 Anauza magari toka UK na si scraper kama unavyosema boss. Pamoja na bidhaa nyingine kama generators.
0
0
5
@PinguRahim
Rahim Pingu
14 days
@Sirjeff_D Hijjah sio ลŸuna ni wajib/fard kwa wenye uwezo.
0
0
5
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@MudiMabiriani Kazi kazi mkubwa!!! Nakumbuka kikao cha kwanza nje pale shabiby.
1
1
4
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@Unju_Bin_Unuk @HopeQuotes__ Mafundisho yetu yamejawa na vitisho, hofu na chuki toka ngazi ya chini na yote hii sababu tumezuiwa kuhoji.haya maneno kasema Umar, ni mtu, Ameslimu 615/6, baba mkwe wa Muhammad na Swahaba, maneno ya watu wake tunayebeba ya kufanya sheria,
4
0
5
@PinguRahim
Rahim Pingu
2 years
@Hamadbakari2 @IAMartin_ @JMakamba When a wise man point at the moon the imbecile examines the finger. Sasa hapo una umakini gani ni makosa ya kibinadamu hatumii mafuta huyu ni mtu , badala ya kusema 486-356= 130 kasema 586.tu base kwenye mambo ya msingi sio hilo.
1
0
4