Uhamiaji Tanzania Profile Banner
Uhamiaji Tanzania Profile
Uhamiaji Tanzania

@UhamiajiTz

58,133
Followers
88
Following
2,121
Media
2,535
Statuses

Tanzania Immigration Services Department Official Twitter Account

Dodoma, Tanzania
Joined April 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@UhamiajiTz
Uhamiaji Tanzania
25 minutes
0
1
2
@UhamiajiTz
Uhamiaji Tanzania
27 minutes
Tweet media one
0
2
5
@UhamiajiTz
Uhamiaji Tanzania
1 day
Tweet media one
0
5
41
@UhamiajiTz
Uhamiaji Tanzania
1 day
Tweet media one
2
3
33
@UhamiajiTz
Uhamiaji Tanzania
13 days
🇹🇿 #UhamiajiUpDates CGI Dkt. Anna Makakala jana tarehe 10/07/2024 amehitimisha ziara yake za kikazi katika Mkoa wa Tabora ambapo aliongea na Maafisa, Askari na Watumishi raia pamoja na kukagua mradi wa ukarabati wa nyumba za makazi ya watumishi zilizopo katika Manispaa ya Tabora.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
5
65
@UhamiajiTz
Uhamiaji Tanzania
16 days
🇹🇿 #UhamiajiUpDates Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania CGI Dkt. Anna Makakala leo tarehe 08 Julai 2024 amefanya ziara ya kikazi Mkoani Mara kwa lengo la kukagua, utendaji kazi na Miradi ya Maendeleo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
38
@UhamiajiTz
Uhamiaji Tanzania
17 days
🇹🇿 #UhamiajiUpDates #77UpDates2024 Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Kikwajuni Zanzibar leo tarehe 07 Julai 2024 watembelea Banda la Uhamiaji na kupata elimu juu ya masuala mbalimbali ya Ki-uhamiaji ikiwemo namna ya kujaza fomu ya Pasipoti kwa njia ya Mtandao.
Tweet media one
2
0
7
@UhamiajiTz
Uhamiaji Tanzania
17 days
🌍 Hongera kwetu, Nchi yetu na Wapenda Soka wote! Timu yetu ya Uhamiaji FC itashiriki mashindano makubwa Afrika Kombe la CAF Confederation msimu wa 2024/25 🏆⚽ Tutawakilisha vema nchi yetu! 💪 Tunatarajia mafanikio makubwa! #UhamiajiFC #CAFConfederationCup 🇹🇿🔥
Tweet media one
4
3
33
@UhamiajiTz
Uhamiaji Tanzania
17 days
#Sabasaba2024 njema! Karibu katika Banda letu ndani ya Maonesho ya Sabasaba upate Elimu na huduma za kiuhamiaji! Karibu tukuhudumie!
1
0
3
@UhamiajiTz
Uhamiaji Tanzania
18 days
🎉 Tunawatakia siku njema ya Sabasaba 2024! 🎉 #Sabasaba2024 #UhamiajiUsalamaNaMaendeleo
Tweet media one
0
2
18
@UhamiajiTz
Uhamiaji Tanzania
18 days
#NAIBU WAZIRI SILLO AFUNGUA KIKAO KAZI CHA CGI NA MAAFISA UHAMIAJI WAAND... via @YouTube
0
1
6