Wachungaji/ maaskofu/ manabii 10 wenye mkwanja mrefu.
1. Josephat Mwingira
Utajiri wake unakadiriwa kufikia Tsh bilioni 20
Anamiliki
Mashamba zaidi ya hekari 20,000 huko Katavi
Kiwanda cha maji Kibaha
Mashule
Na bank
Nyumba yake inakadiriwa kuwa na thamani ya tsh 2.5bilion