Kijana anafanya kitu kimoja kizuli sana,anachopata anajalibu kujali wapambanaji wenzie na sio kuanza kuwabagua na kuona s lolote,tuna kitu cha kujifunza kwa mwenzetu
@kiichefuchefu
kwa kujali na kuonesha upendo kwa wanafamilia wa โ..
Yanga wanatakiwa kucheza kama sherehe leo ili kuiyacha ile imani ya ushindi kwa simba tarehe 8 tofauti na apo mpaka saa 3 usiku zile kauli za atupeleki timu zilizofifia jana zinaweza kulud tena...
Mpira una matokeo yakikatili sana Empoli anamshusha frosinone daraja dakika za jioni kabsa baada ya kumtandika roma,uku frosinone akipoteza nyumban kwa goli moja dhidi ya udinese....
Bayer 04 leverkusen wametwaa kombe la DFB pokal huu ni msimu mzuli sana kwao watabaki kuukumbuka katika historia yao kutwaa ubingwa wa Bundasiliga, DFB pokal na kufika fainal ya europa league so far wanastaili pongezi kubwa chin ya mwalimu Xabi Aronso๐๐
Asec mimosas wameshindwa kufuzu klabu bingwa msimu ujao baada ya kumaliza nafas ya 4 kunako ligi kuu nchi ivory coast..
Nchi itawakilishwa na San Pedro ambao ni mabingwa msimu huu๐จ๐ฎ
Raja Casablanca vs wydad Casablanca ๐ฅ๐ฅ
Derby ya leo ndio naona Raja wananafas kubwa ya kuebuka na ushindi kutokana na mazingira ya msimamo wa ligi kuu nchin Morocco,: BOTORA PRO๐ฒ๐ฆ
Trabzornspor vs Besiktas fainali ya Turkish Cup, msimu mgumu kwa timu zote mbili bado wakaendelea kuonesha ukomavu na ukubwa wao ad kufika fainal,mechi yeny mvutano na upinzani mkubwa...
Nan kuondoka na kombe la msimu leo๐๐
Atalanta vs Bayer 04 leverkusen ni jumatano ya may 22 fainal iliyozikutanisha timu zenye mwendelezo mzuli msimu huu, leverkusen akisifika kwa unbeaten yake msimu huu, uku Atalanta wakiziondosha Liverpool & OL Marseille, Zilizokuwa kwenye ubola msimu huu...
Nani kuwa bingwa..?
Timu ya pamba jiji fc imeachana na wachezaj pamoja na bench lake la ufundi lote Kwakua mikatakaba yao imemalizika, iv apa pamekaaje ata mchezaj mmoja wameshindwa kumuongezea mkataba..
Wachezaj wakiipandisha timu na thaman yao inaisha apo apo โบ