Y U S U F Profile Banner
Y U S U F Profile
Y U S U F

@ItsYusufu

5,043
Followers
207
Following
506
Media
7,811
Statuses

Sharing insights on AI, No-Code tools, and online Monetization• I help You level up with AI & Digital Skills

Houston, TX
Joined May 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@ItsYusufu
Y U S U F
24 days
How I made 10M using telegram: 🧵
13
3
54
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Hapa nilipofikia kwa sasa, niko Full confident kusema kwamba… Kusoma(shule) ni Kupoteza MUDA. Kwenye hili sihitaji Ushauri! Ila jitahidi usome kwanza 😂
Tweet media one
Tweet media two
71
77
867
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Nauza hii Account yangu ya X • ID Verification ✅ • Bluetick ✅ • Haina Shadow Ban wala Deboost ✅ • Iko Monetized ✅ • Imetoa Mara moja Mpunga mrefu ✅ • Madini kama yote ✅ Bei Tsh 2.79M Nicheck DM
71
42
818
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
@upblissed Until it was too late
1
0
527
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Haya Maokoto Ni Yetu sote Muhimu kuwa na uvumulivu tuu.. Hata mbuyu ulianza kama mchicha! 🤲
Tweet media one
41
35
472
@ItsYusufu
Y U S U F
9 months
Unapozungumzia kuhusu AI hapa Tanzania Huwezi kuikwepa chatGPT Well, Wengi wetu tuanatumia Version 3.5 ambayo ni BURE wakati Version 4 ikiwa ya kulipia USD 20 kwa mwezi. Fuata hatua hizi chache kuweza kutumia Version 4 BURE - FULLTIME
23
127
462
@ItsYusufu
Y U S U F
3 months
Ukitaka kufaidi, Earn in USD kisha Spend in TZS (Motto wa Online Hustlers) Kulipwa kwa USD inakubidi uishi Ulaya au USA kama raia wa huko wakati wote ukiwa online. (kwa kutumia PROXY) Njia rahisi ya kupata Proxy na namna ya kuzitumia: 🧵
22
116
412
@ItsYusufu
Y U S U F
3 months
Sites 5 zitakazokupatia PESA online 2025 (kwa Kufanya Simple survey) Ukizitumia vizuri utaweza kusave zaidi ya Tsh 200,000/= kwa mwezi. (No. 4 unaweza kupiga hadi 50 USD kwa siku 🔥) 🧵
23
116
367
@ItsYusufu
Y U S U F
9 months
Kufikia 2025 kama hujui coding, Utakuwa kama mtu asiyejua kusoma na kuandika. Hizi hapa ni Youtube Channel 10 zitakazokusaidia kujifunza Coding fasta na Huenda Yanga wakakupatia gig kudesign website yao. (5 za mwisho ni 🔥) 🧵
16
117
296
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
Unaweza USIAMINI... 🤯 Kati ya watumiaji 528.3 million wa X, Mimi ni mtu wa #18 ,692 Hii ni list ya account bora X kwa Engagements Na inakuwa Updated kila siku. Wewe ni namba ngapi? Kama umenizidi
Tweet media one
38
22
275
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
@upblissed He didn’t realize she was live
7
0
267
@ItsYusufu
Y U S U F
3 months
Ukianza kupiga Michongo ya Pesa mtandaoni Paypal account ni muhimu sana. (Paypal ya UK/USA) Sites nyingi zinalipa kwa kutumia Paypal Account Hivyo inatakiwa uwe nayo unapoanza harakati hizi. (Hakikisha unayo) Njia rahisi ya kupata Paypal Account ya UK/USA 🧵
32
108
266
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
Usipuuzie Nafasi ya Bahati(Lucky) katika Hustle zako Unapofanikiwa mara nyingi unajisifu na kuamini kuwa nguvu, juhudi na pengine pesa zako ndizo ziliyoyafanikisha yote. But hiyo sio point yangu. Wakati
Tweet media one
17
44
262
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
Umemaliza Degree yako Ya ICT pale UDSM Unaamua kuomba internship kwenye Private Company ili kupata Experience. Na wakati huo ukiandaa CV yako kimtindo Unatumia shauri mbalimbali kutoka kwa Seniors wa Kampuni kubuild Side Project. Muda
Tweet media one
27
63
256
@ItsYusufu
Y U S U F
3 months
Kufikia 2025 kama hujui coding, Utakuwa kama mtu asiyejua kusoma na kuandika. (Achana na no-code brah brah) Youtube Channel 10 zitakazokusaidia kujifunza Coding fasta na Ukaweza kudesign website kama ya Yanga ndani ya Mwezi 1 (5 za mwisho ni 🔥) 🧵
18
94
257
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Juzi, Brother @iamKaga alipost tweet kuhusu namna ya kupiga pesa. Njia hio ilielezea hasa namna ya kupata pesa kwa kuweka biashara Google Map. Nilipocomment kwenye hio tweet, watu kadhaa wameniDM wakihitaji kufahamu zaidi. Jinsi ya Kupata WATEJA Link tweet iko chini 👇 🧵
Tweet media one
21
97
202
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Siku kama ya leo mwezi uliopita Mida ya Saa 2 Asubuhi Simu yangu iliita nikiwa kwenye 🚌 Ile napokea tuu akasikika binti akisema: Wewe ni Web developer ? 🧵
Tweet media one
15
63
197
@ItsYusufu
Y U S U F
9 months
Hawa jamaa wanajua sana
Tweet media one
13
14
181
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Asilimia 80% Ya Bloggers ni Masikini Content nzuri, Traffic nzuri ila bado hawajui namna ya kulipwa kupitia blog zao. Anza kupiga PESA kama @millardayo Ndani ya sekunde 604,800 🧵
Tweet media one
19
93
172
@ItsYusufu
Y U S U F
3 months
Ukihitaji kupiga pesa mingi kwenye survey trick ni hii: HAKUNA TRICK Acha kujibu maswali kulingana na hali yako au imani zako. Mfano: Survey zinahitaji watu wanaokunywa Pombe au Sigara. Swali: Wewe ni mtumiaji wa Sigara? Jibu: Hapana Swali: Unatumia pombe/vilevi? Jibu:
9
22
164
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
🚨 X - Update @ItsYusufu ndio Tanzanian Tweep mwenye Account ndogo kuwahi kulipwa na @elonmusk Baada ya safari ya Mwezi mmoja, digging deep about algorithm and mystery behind it, He finally solved the puzzle. Account yake ilianza kukua huku post zake zikifikia watu 10x ya
Tweet media one
24
24
163
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Mwanzoni mwaka huu ndio nilianza kutumia Twitter japo sikuwa nimeifahamu vizuri. Mtu alienisaidia kufahamika mapema ni Kaga Ambaye nilivutiwa na aina yake ya Content Basi nilimFollow na kuwasha notifications ya post zake Na nilijitahidi kureply kila post kwa kuongezea Madini
Tweet media one
15
21
159
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Mabro punguzeni kelele 😂 Mnapambana sana hapa 𝕏 Mara mfiche Bluetick, Mara mseme Hamtaki Maokoto ya Elon, Mara tunaijua hio, Mara nataka engagements. Sawa, kila mtu anapambana kimtindo. Pambanieni kupushi Tags na Matangazo. Peace ✌️ WIN WIN!
17
22
157
@ItsYusufu
Y U S U F
3 months
Jinsi Ya Kutumia Proxy Kitaalamu: (Epuka makosa haya) 🧵
8
38
150
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Usidhalau mtu kisa followers Kuna wadau wana madini, sema wengi wetu tunawachukulia poa. Tunakimbilia kwa Mabro kusaidiwa kwa kulipia akati unaweza kujifunza bure. Kama unafahamu unashusha madini kwenye TL yako na unachukuliwa poa… Fanya
Tweet media one
56
17
145
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
🚨 𝕏 - Update Huwezi kukuza Account yako kwa kupost sana hapa 𝕏(Hasa kama una-Account ndogo) Tunafahamu fika ya Kwamba njia zilizotumika kukukuza Account wakati bado tuko Twitter zote hazifanyi kazi kwa sasa. + + Ndio maana influensa wengi waliouza account zao kwa tamaa ya
Tweet media one
Tweet media two
20
24
140
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
🚨 𝕏 - Update Kwa sasa unaweza kutazama kama Account ya mtu yeyote hapa 𝕏 iko verified kutumia ID. Ukitembelea kwenye TL yangu, Bonyeza kwenye Blue check mark utaona "This account is ID verified" Hii ni baada ya kuachia feature nyingine ambayo imeonekana kuwatia hasira
Tweet media one
Tweet media two
17
23
139
@ItsYusufu
Y U S U F
3 months
#Risiti Kuna site moja hivi nilijaribu kuichekecha Hawa wanalipa vizuri KINYAMA. Sema wamekaa kitalaam hivyo huwezi kuwaingia kindezi. Nikasoma sheria zao na swala zima la malipo Nikakuta unaweza kutoa kuanzia 5 USD So nikakaza mkono chapu nikafikisha 5.07 USD. Nikaamua
Tweet media one
Tweet media two
14
21
139
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Monetization ni MTEGO. Ukitimiza Vigezo vya kulipwa hapa 𝕏 Account yako inakuwa hatarini sana. Hii ni kwa sababu unakuwa hupewi nafasi ya kusahihisha Makosa. Ukikosea tuu wanakuadhibu bila kukutaarifu. Ukiengage na Accounts ambazo zina Sensitive Contents unasababisha kupigwa
Tweet media one
25
25
138
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Inaendelea…. Baada ya account yangu kuanza kufahamika walau nilianza kupata Engagements japo sio sana. At least watu walikuwa wanatazama post zangu ukilinganisha awali. Lakini shida ilitokea na nikapotea hewani kwa wiki kadhaa Ile kurudi mambo yamebadirika sana. Na muda huo
Tweet media one
14
20
132
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
Kwa Ground watu wanapiga Pesa kwa kutumia Hisia mbili kuu: Tamaa na Huruma Ukifahamu namna ya kutumia hizi hisia mbili katika harakati au Content zako, hutaishia kupata engagements katika post zako... Utaweza kuuza Bidhaa zako kama content zinatatua tatizo husika. Lakini...
Tweet media one
8
22
132
@ItsYusufu
Y U S U F
8 months
Mwanzoni nilijua kucheza Games Ni kupoteza muda. Damn! Nilikuwa nakosea sana. Kila kitu kina pesa, kila skill ulionayo inaweza kukupatia pesa. Period.
8
13
131
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Ukiachana na Kiburi na Ujinga Young Content Creators Tunasumbuliwa na: Followers Engagements Uchizi
27
25
128
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Ukiona Hakujibu Text zako, Shida ni wewe, sio text zako. Text anazotegemea kupata kutoka kwako, Sio hizo unazomtumia. Utaendelea kujilaumu ila ukweli ni kwamba Kuna Mdau anamtumia text kama zako... Na unajua nini....! Anakesha akichati naye kila siku. Inabidi ubadili gia
Tweet media one
21
25
123
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
🚨 𝕏- Update Hivi karibuni kumekuwa na issue ya ku-schedule post hapa 𝕏 ila ukifika muda wa kuruka hewani zinafail. Na kinachouma zaidi ni kwamba, zikifail unakuwa huna option nyingine zaidi ya kuzifuta(Delete) Hii imetokea kwa aina zote za posts nikimaanisha zenye text tuu
19
17
121
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
Jifunze kupika, sio kula. Jifunze kutafuta, sio kupata. Jifunze kufikiria, sio kuamua. Jifunze kuandika, sio kupost. Jifunze kuwa yanga, sio simba.
19
16
111
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Nimekuwa nikiandika Content On the spot for past few weeks Nilipopata idea worth sharing Niliingia X mara moja na kuandika bila kupoteza muda. Na most of the time, zimekuwa zikifanya vizuri zaidi kuliko nilivyofikiria. But this time, something has to change. Nahitaji
Tweet media one
14
12
110
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
🚨 𝕏 - Update 𝕏 itaondoa Likes na Reposts Hivi karibuni Elon anatarajia kuondoa Likes na Reposts kutoka kwenye post UI kwenye Timeline. Amesema haya wakati akijibu hoja za Creator mmoja hapa 𝕏 siku chache zilizopita. Hatua hii itasaidia sana kuongeza engagements kwa sababu
Tweet media one
17
17
109
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
TABIA MBAYA 10 za kukupa Maokoto 1. Wizi • Acha kupiga ngeta, chagua account zako 10 zinazokimbiza. • Iba muundo wa post zao zilizotembea sana, kisha post kwa maneno yako. 2. Kujiuza(Umalaya) • Acha kung’atwa na mbu riverside, tengeneza content ambazo ziko uchi sana ili
Tweet media one
38
34
107
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Wewe ni Human au Robot? (Unaweza kushangaa) Kuna vitu vingi sana vinachangia katika kufanya content zako kuwafikia watu wengi. Ukiachana na X Premium, kuna kitu kimoja kinachoongeza thamani kwenye content zako Na kitu hicho ni "Hisia au Algorithm" Tukianza na Hisia, ukiona
Tweet media one
26
29
103
@ItsYusufu
Y U S U F
4 months
Ukiwa mfatiliaji mzuri wa Social media hasa Tiktok, account nyingi zimekula BAN ikiwepo Account ya Steven Mweusi. Hii ni baada ya Mtandao huo kuanzisha Creator reward Program inayolipa creators wake pesa ndefu sana. Kufatia hilo, 𝕏 nayo imeanza kudhibiti uhuni unaofanywa na
Tweet media one
14
22
99
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Ratiba za wanaopiga Maokoto hapa X 1. Kuamka 2. Kusali 3. X 4. Kusali 5. Kulala Utauliza, kwani hawana ratiba ya kula? Jibu ni
8
6
101
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
@Mkunga_Og Hapa stamina ndio kila kitu. Ushauri wa kumwandaa mwanamke ulilenga kufanya hata wanaume wasiokuwa na stamina kusurvive kwenye game. Hivyo kama mtu ako na stamina, muda wa kuandaa hata ukiwa mfupi fresh. Inshort sex ni kama vita, unatakiwa ufocus kusurvive mpaka vita
8
4
99
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
@HumansNoContext You deserve it
1
0
93
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
Baada ya kusoma COPYWRITING kidogo. . Nimegundua WAHUBIRI ni watu Hatari sana . NA zifuatazo ni... . Mbinu za SIRI anazotumia Mwamposa kuteka Mamilioni ya watu(Maskini na Matajiri) . Uko tayari? Twende pamoja 👇 .
Tweet media one
37
39
97
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Nitakuwa tofauti na WENGI Ila ngoja Nikusanue. Huitaji muda muhafaka wa kupost, Mfumo rasmi katika Uandishi wako, Kuchagua Niche au Kuandika madini. Na kitu kinachofurahisha zaidi, ALGORITHM haina muda na vitu hivyo na havijaainishwa kwenye Algorithm Source Code. Isipokua kitu
15
22
97
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Aliesema "Hutapata Followers" Amenifollow 😂🙌
14
7
92
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Ukiwa online Hustler Utakubaliana na mimi... Kuna advantage kubwa kuwahi kuingia kwenye Game. Hii haikusaidii kuwa bora zaidi, bali hukusaidia kukwepa Risk kwa sababu unausoma mchezo mapema. But hiyo sio point yangu. Mtandao wa X umeongeza feature mpya siku chache
Tweet media one
13
14
95
@ItsYusufu
Y U S U F
9 months
@prossoff Ni vile wengi watakataa ila Mapenzi ni bonge moja la kamari
14
5
93
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
X + Telegram 🙌 X • Post Movie Synopsis • Post Movie poster • poster trailers Telegram • Tengeneza premium channel • Weka subscription za wiki wiki • Tupia huko movie HD Hii inakuwa both team to score 😁 Unajua unakuwa umebakiza nini?
16
16
89
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
@HumansNoContext It’s just 1 😂
15
0
83
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
Umeamua kufanya Biashara yako ya matunda hapa DSM. Kwa muda wa miezi miwili umebaini na kutafuta wauzaji wazuri wa jumla, na ukaamua sasa kutafuta sehemu ya kufanyia biashara yako. Bila kujali ukaamua kufungua duka la Matunda mitaa ya Msasani karibu na Masaki. Ukiwa na ufahamu
Tweet media one
6
21
84
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Algorithm sio Monetization Tumechanganywa sana na post za watu mbalimbali hapa X kuhusu Algorithm. Imefikia hatua, ukiongelea Algorithm watu wanafanya hitimisho kuwa unatafuta Maokoto, NO. Hii sio sahihi kabisa... Nikifananisha na Maisha ya kawaida, Algorithm ni kama
Tweet media one
23
19
85
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Ukichunguza kwa Umakini hapa 𝕏 Nothing is easy. • Creating account • Writing contents • Getting Followers • Going Viral • Getting monetized But ukiachana na kufungua account, Vingine vyote vinategemea content zako. And well, hapo ndio sehemu ngumu Kwa watu wengi sana.
Tweet media one
11
12
79
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Hawa Followes wangu ni kama joto la Dar Mchana wanapanda afu usiku wanapotea 😂🙌
19
9
76
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
🚀 𝕏 - Growth Tip Ukiamua kupost Contents za kuelimisha kuwa Makini sana. Usipost contents ulizojifunza, Post ulichokielewa wakati unajifunza. Hii unaweza usielewe moja kwa moja ila ukweli ni kwamba upo utofauti. Ukipost ulichojifunza unakuwa unawambia watu nini cha kufanya
10
20
76
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Jinsi Ya kupata Client/Wateja wengi kwenye Freelancing Platform... Hata kama ni Beginner! Material: PDF Case study: Fiverr Pages: 27 Worth: $99 Unaipata BURE! Retweet 50 naachia link!
Tweet media one
5
51
74
@ItsYusufu
Y U S U F
9 months
Unapomaliza kujifunza skill yeyote Unategemea utapata kazi ndani ya muda mfupi. Na mara nyingi huwa matokeo yanakuwa tofauti na kile ulichokusudia na huenda CV yako ikawa ndio tatizo. Kuandaa CV kali au kuifanyia marekebisho CV ulionayo, Mwendo ni ule ule... 🧵
4
33
76
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
🚨 X - Update Hivi karibuni X itatoa update MPYA ambayo itasaidia kukufahamisha makosa unayofanya hapa X Na ukifanya kosa lolote, Account itapewa label(Sensitive content) Ili kusaidia watu wasiwe affected na account yako. Pia, wewe kama mmiliki wa Account utaarifiwa ni sababu
Tweet media one
18
20
75
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
Ukiona online hupati pesa, Usibishane na Wahenga. Mali utaipata shambani GM
Tweet media one
16
14
75
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Juzi ulifail. Jana ulifail tena. Lakini leo nakuhakikishia utawin. Just Hit post, Baaaaaaaang!🔥
9
21
77
@ItsYusufu
Y U S U F
20 days
Kitu nimejifunza recently… Ukipost thread inayoelezea vizuri namna ya kupiga issue flani ukapata PESA watu wataishia kusema: “Madini, Ngoja Nibookmark, Uzi wa kwenda”bla bla bla. Ukija kupost screenshot za matokeo ya Thread uliopost baada ya kupiga pesa watu ndio waanza
Tweet media one
20
8
76
@ItsYusufu
Y U S U F
9 months
Unafahamu kuna AI inaweza kukupatia Meal plan kwa makundi mbalimbali ya watu? Uwe ni Vegan au Non-Vegan utapata meal plan itakayohakikisha unapata virutubisho muhimu katika mwili... 🧵
5
12
74
@ItsYusufu
Y U S U F
9 months
Unaacha kujifunza coding, Unaacha kujifunza Photography, Unaacha kujifunza designing, Unasema kwamba hivyo vyote vimekuwa replaced by AI Haya, ngoja tukubaliane na wewe kwa sasa… Wabongo wangapi wanafahamu kutumia AI vizuri? Hizi AI za free ambazo mnasumbua nazo hapa 𝕏
10
10
76
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
🚨 Sio - Update Chukua Muda kuappreciate vitu vidogo. Maisha sio Magumu kiasi hicho. NB: Nimeisoma sehemu😁
Tweet media one
6
11
70
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
@iamKaga Yule jamaa aliekwambia kuwa akipata akili zako anakuwa unstoppable, NAMUUNGA mkono. Kaka, naona instagram unaitumia kitaalamu. Juzi kati nilikutana na Ad yako ile kama Movie Trailer Damn! Message ya “Ndugu mteja….” ndio ilinitoa insta. 😂
1
4
71
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
Unapoamua kuwa serious na Malengo yako, Swala la Muda inabidi ulichukulie kwa umakini sana. Kupiga pesa kunategemea na jinsi unavyotumia Muda wako vizuri. Na njia pekee unaweza kufanikisha hilo, ni kupangilia ratiba yako ya siku katika mtiririko... Ukianzia na kazi inayohitaji
Tweet media one
12
29
66
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Mimi sio mtabiri ila nisikilize Kama wewe ni Creator Mdogo, najua utachukua hatua kuwacheki Creators wakubwa ili wakusaidie… Roadmap ili nawe ufikie chap vigezo uanze kuchukua mpunga. Wengi wao hawatakupatia response unayohitaji, na muda mwingine wasikujibu kabisa. Jitahidi
Tweet media one
4
10
68
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
Muda wa Easy Engagement is GONE. Tweet kwenda viral ilikuwa kawaida. Kufikisha 10k Followers kwa wiki ilikuwa ni kugusa tuu. Kuwa Influensa haikuwa tatizo kabisa. Hicho kipindi kimepita SASA, Totally Gone. No easy engagements No easy followers So what ? 👇
Tweet media one
13
14
68
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Ukiwa na Account ndogo ya 𝕏 Kufahamu Algorithm vizuri ni sawa na kususha Hendo. Ni lazima ushushe tuu.
11
11
68
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Jifunze kutokana na Makosa Sio mara ya kwanza kusikia Msemo huu Hii inamaanisha kuwa ikitokea umefanya kosa Jitahidi sio tuu kurudia kosa, bali kufahamu kwa nini umekosea. Ubaya wengi wetu tunasubiria kujifunza kutokana na Makosa ya watu wengine 😁 But hiyo sio point yangu.
Tweet media one
15
23
69
@ItsYusufu
Y U S U F
3 months
Utafutaji wa pesa online ni kama story ya wana wa ISRAEL 🇮🇱 Mwanzoni mnaanza wote vizuri kutoka katika nchi ya “BROKE AF” kwa vibe kama lote, ila kadiri safari invyooenda lawama zinaanza, mara mbona nanyimwa surveys, kila siku sipati Gigs. Mara mbona nakuwa screenout kila
11
17
67
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
@iluminatibot This is more demonic than it seems
0
1
61
@ItsYusufu
Y U S U F
9 months
Baada ya Kuona Maokoto ya Elon wengi wanayatafuta kwa mbinde. Nimekuwa nikijikita sana na Telegram Monetization. Ukiwa na community na unahitaji namna ya wao kukulipa kwa huduma unazotoa basi njia imepatikana. Huitaji kuwakumbusha watu kutoa Subscription Fee kila wiki au mwezi.
Tweet media one
13
14
65
@ItsYusufu
Y U S U F
21 days
Ukiamua kupiga pesa Mtandaoni, Content unazopost ndio KEY. Na aina ya Content unazopost inaweza kuwa unique ila hakikisha inakuwa na madhumuni haya: 1. Kuandaa watu kutumia Bidhaa/Huduma yako 2. Kuuzia watu Bidhaa/Huduma Yako Hii nimejifunza kwa walionitangulia kwenye Game.
8
13
67
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
Ukiamua kukata Tamaa, Hakikisha unakata tamaa vizuri..! GM
Tweet media one
7
6
65
@ItsYusufu
Y U S U F
3 months
Ukianza kufanya survey online hakikisha unachunguza vizuri survey site. Hasa kwenye jinsi wanavyolipa na wanatumia njia zipi kupokea malipo. Kwa sababu kuna site zinataka account ya Paypal iwe na email kama uliofungulia account kwenye survey site. Hivyo kama ulifungua tofauti,
14
16
62
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
It's Time to say GoodBye! Ukianza safari ya content creation, ukuaji ni kitu kinachokuja kadili unavyozidi kutengeneza contents nyingi. Haimaanisha Content zote zitakuwa zinaperfom vizuri, ila ni kwa sababu unaongeza ufanisi katika kazi zako.. Unapunguza makosa na kuongeza
Tweet media one
7
12
63
@ItsYusufu
Y U S U F
9 months
Ilikuwa jioni flani hivi Mitaa ya Africa Sana Nimechill na wadau tuu. Story zilikuwa zinapigwa kimtindo Huku tukimuungisha jamaa Muuza kahawa. Sasa wadau walikuwa wanalaumu sana kuwa USD inazidi kupanda tuu, borabwangekuwa zao Mambele. Kwamba wangekuwa USA au Uk huko ingekuwa
Tweet media one
5
8
63
@ItsYusufu
Y U S U F
8 months
Miezi miwili inatosha kujifunza kitu Na kupata uelewa unaoweza kukusaidia Kuingia kwenye Game Ukiona imepita miezi 2-3 hujajifunza kitu kipya, that’s the real meaning ya kupoteza muda. Nobody atakwambia hiki kitu, inakupasa ufahamu hili wakati bado unauwezo wa kubadirisha
6
20
60
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Dah! Makilayanti wengi Miyeyusho. Nimetoka kupiga picha za basidei za mtoto wa kilayanti… Afu kanipatia TZS 50000 tuu kwa picha 4, hanipigi kweli huyu? Au nyie huwa mnapiga kwa shingapi? 😢
Tweet media one
8
5
60
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Bado hujaanza kupata MAOKOTO? Naomba nikusaidie kitu...👇
Tweet media one
20
7
56
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Hapa nilipofikia kwa sasa, niko Full confident kusema kwamba… Nisingekuwa hapa bila X Najua utapingana na mimi Na uko sahihi. Ila miezi minne ya kutumia hii App Imekuwa ni wakati mzuri sana katika maisha yangu. Na ngoja nikwambie hili ✍️
Tweet media one
Tweet media two
19
23
55
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
@iluminatibot They can’t be trusted
1
0
50
@ItsYusufu
Y U S U F
11 days
Hii sio kwa ajili YAKO. Most of the time umekuwa ukishindwa kufikia malengo yako kwa sababu unadhani unafanya kwa ajili yako. Wakati mwingine umepuuzia feedback za watu na kuamua kutumia akili zako, ukidhania ni kwa ajili yako. Ukaamua kuwa Content Creator, ukaanda post zako
14
12
55
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Yamebaki Masaa machache tu Tuanze kujifunza Graphics Designing • Infographics • Animations • Logo • Posters Na vitu vingine zaidi ya 10. Ukihitaji kutengeneza Graphics kali kama mimi, Basi hii sio ya kukosa kabisa. Kwa maelezo zaidi DM @psiteshio1
3
6
52
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Unakumbuka ulipokuwa O-Level? Shule hizi za ST. Kayumba.., Wanafunzi tulitengwa kulingana na uwezi wetu katika masomo Hivyo kupelekea baadhi ya madarasa mfano A, B na C kuwa na wanafunzi bora zaidi Na Waliobakia D, E na F n.k kuwa na wanafunzi wenye uwezo wa kawaida na
Tweet media one
2
8
50
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
@iluminatibot What a mess, truly we have to pray guys
5
1
46
@ItsYusufu
Y U S U F
11 months
TAARIFA KWA WAPWA Mkuu wa Wapwa @nyuki_malkia kateuliwa rasmi na @elonmusk Michango yote itapitia kwake kuanzia sasa. Wako, Mhasibu. 🙌😂 #BrandedFeatures
Tweet media one
10
10
48
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
🚨 𝕏 - Update Sijui kama ni MPYA, ila unaweza kuficha Notifications kwa Followers wako kuwa uko space. Kuna muda unahitaji kuwa space tuu kupiga story za hapa na pale na huenda hizo story zikawa zinahusisha vitu ambavyo followers wako hawatavipenda.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
14
48
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Ukihitaji kujifunza haraka, acha kujifunza kwanza. • Fikiria project • Anza hio project • Jifunze kila siku Usipoteze muda kuangalia tutorial ambazo hazitakusaidia. Anza project > Kumbana na tatizo > Tafuta ufumbuzi wake. Boooom 💥
Tweet media one
1
21
49
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
🚨X - Update Ukianza kuwa serious na X Utaenjoy sana. Kwa sasa wameachia Feature Mpya “Only Subscribers can DM” Hii feature itakuwa nzuri sana kwa waliopata Subscribe option Kama @nyuki_malkia Na kama wewe ni Creator, Unaetoa huduma hapa X Itakusaidia kupunguza Jam Na
Tweet media one
8
7
50
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Ukiamka, sali. Ukimaliza kunywa chai, post. Ukiwa njiani, post. Ukiwa ofisini, post. Ukiwa umepumzika, post. Umechoka, post. Hutaki kupost, post. Hutaki kureply, post.
14
12
49
@ItsYusufu
Y U S U F
18 days
Unatumia mtandao kutoa Malalamiko yako kuhusu kukosa AJIRA wakati wenzako wanatumia Mtandao huo huo kupiga Pesa. NUSU ya maisha yako umeishi ukiaminishwa kuwa AJIRA ndio kitu pekee unachoweza kupata baada ya Masomo yako. (Sio kosa lako kuwa hivo). But hiyo sio point
4
11
46
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Unapoteza MUDA! Watu wameanza kupiga pesa kabla ya kuzaliwa kwako. Unahitaji kuwa Content Creator? Jifunze Haya: 1. COPYWRITTING - Ongeza ushawishi 2. HOW TO WRITE - Tumia pattern zinazoteka akili 3. SPEED - Tumia 1 + 2 kutengeneza Content Machine SIRI inabakia kwenye 👇
Tweet media one
17
25
47
@ItsYusufu
Y U S U F
13 days
#sikiahii Ukisikiliza stori za watu waliofanikiwa, utangundua kuna vitu waliamua kuviacha kama Marafiki, Kazi, Wenza wao ili wafanikiwe. Cha ajabu, wewe unataka kufanikiwa ili kitu umeacha ni KULA MCHANA tuu 😂
8
9
49
@ItsYusufu
Y U S U F
10 months
Juzi kati nilikutana na post moja hapa 𝕏 Ilikuwa na Screenshot ya What***ap! Ile screenshot ilikuwa na namba iliokuwa saved "UMEKULA"(Kama unayo niwekee kwenye reply) Sikumbuki vizuri sababu ilikuwa nini ila nilicheka sana siku hiyo. But hiyo sio point yangu. Ninachofikiria
13
15
46
@ItsYusufu
Y U S U F
1 year
Jinsi ya Kufikisha 15M Impressions Kitu pekee kinachokuzuia usipate X Monetization ni Impressions. Na namna pekee ya kuzipata ni kutengeneza contents kali zitakazokuwa engaging. Engagement hii itasaidia post kupata impressions kwa wingi. Lakini watu kwa kuhofia kuchelewe
Tweet media one
7
7
46
@ItsYusufu
Y U S U F
8 months
Ukiongea na vijana wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye mitindo yao ya maisha. Wengi walipata "kazi" sio ya mshahara mkubwa sana, ila kazi ya kukuwasaidia kupata pesa ya kuishi town. Ila baada ya muda, kazi
3
14
46