K A G A Profile Banner
K A G A Profile
K A G A

@iamKaga

26,054
Followers
573
Following
280
Media
16,300
Statuses

For some unknown reasons, I'm only interested in profitable Apps and Fifa. Any physical meetings should be done over Fifa. Meet the LOVE of my life @BandoApps

Dar-Es-Salaam, Tanzania
Joined April 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@iamKaga
K A G A
3 years
FINALLY! A product MADE IN TANZANIA 🇹🇿 . Baada ya siku 10 ya kusubiri, app imefika playstore. Kama unatumia TTCL, App yenu hiyo hapo. TUMEMUMBWA KUTOBOA, na leo tunaanza safari yetu! God is GREAT! Playstore Link:
@iamKaga
K A G A
3 years
Day 30/30 - Final Day! App imekamilika. Tunachosubiri ni playstore waipitishe iwe hewani Lengo kuu ya App ilikuwa app ifanye mauzo ya Tsh 1,000,000+ kuanzia siku ya 1, ikiwezekana wiki ya kwanza tusikose hata Tsh 5M🤣 Nawashukuru wote kwa uvumulivu wenu, kazi imebaki kwenu💪🏾💯
Tweet media one
29
60
196
98
224
698
@iamKaga
K A G A
2 years
GLOBAL COMPANIES HEADQUARTERS IN AFRICA Microsoft - KENYA Google - KENYA Visa - KENYA Amazon AWS - KENYA Do you think kuna kampuni watavutiwa kuja kuwekeza ma Billion kwetu baada kuona Uber na Bolt wanavyolia mpaka kwenda mahakamani? We need to change as a country. NOW!
154
307
2K
@iamKaga
K A G A
1 year
Kazi inatangazwa. Social Media Content Creator anahitajika! Huna experience, huna connnections. Ila kwa vile we sio muoga, kwenye CV unajinadi kwamba uta create engaging content kwa kutumia AI tools tofauti. Kimasihara unaitwa kwenye interview, unaulizwa how? Let's see.... 🧵
Tweet media one
131
691
2K
@iamKaga
K A G A
1 year
Dr. Reginald Mengi (R.I.P) kwangu ni GODFATHER. Alikuwa mtu wa KWANZA kunipa Tsh 1M CASH. Ila baada ya kukutana nae, niliondoka Serena NIKISKITIKA! Nina 1M, ila kimoyomoyo nilijilaumu kwanini sikupewa Tsh 10M CASH kama mdada aliyenitangulia Nikaja kugundua, I WAS THE PROBLEM!
Tweet media one
58
180
1K
@iamKaga
K A G A
2 years
Siku kama ya leo, miezi mi 5 iliyopita (siku niliyopotea), niliibiwa Million 8.5 kati ya 10 kwa kudukuliwa akaunti ya Bando App. Kati ya Tsh 8.5M, Tsh 4.4M zilipatikana, ila nikaja kuambiwa na "wakubwa" siwezi kurejeshewa pesa iliopatikana Kuna vingi nimejifuza na nita share 🧵
Tweet media one
168
222
1K
@iamKaga
K A G A
2 years
Kuna zile traditional businesses ukiweza kutuliza akili yako vizuri, kufikisha Tsh 1B mfukoni ni swala la muda tu. 1. Kutoa Mikopo 2. Logistics 3. Kufuga (Large Scale) 4. Spare Parts 5. Chakula 6. Kuuza Bando 7. Betting Una cha kuongeza?
133
231
1K
@iamKaga
K A G A
2 years
Miaka ya nyuma, niliwahi kufanya biashara ya kufunga GPS devices ku TRACK magari/boda na ilikuwa inaniingizia Tsh 3M per month. Personally, nilikuwa happy. Tsh 3M kwa kijana na sina living expenses nikaona nimepatia maisha. Kuna siku nilikutanishwa na mzungu, sitaisahau! 🧵
Tweet media one
95
168
1K
@iamKaga
K A G A
1 year
Dunia inavyoenda kwa kasi na AI, watu watakaopiga hatua kubwa ni wale wanaojua a little bit of everything (Generalists) Ku survive kama mtalaamu pekee (Specialist) itakuwa ngumu kidogo. Anza kuji position kwa kupitia hizi AI Tools ili uanze kulipwa kurahisisha kazi za watu. 🧵
Tweet media one
81
566
1K
@iamKaga
K A G A
1 year
Kuna kitu ulikisoma na ukaona kuna GAP ambayo ukitumia uGENIUS wako unaweza kutusua mapema sana. Bila kupoteza muda Unaanza safari yako ya kwenda BRELA kusajili kampuni yako rasmi uingie sokoni. These are 10 things I wish ningejua mapema and maybe you should know them too: 🧵
Tweet media one
135
492
1K
@iamKaga
K A G A
2 years
Umewahi kuingia barabarani mapema, let's say saa 10/11 asubuhi, alafu ukichungulia daladala unakuta baadhi zishajaa? In most cases utagundua watu wengi are already working harder than most billionaires. We are just working harder on the wrong things that will never make us rich.
97
135
1K
@iamKaga
K A G A
1 year
1. Tafuta mfanyabiashara ambaye biashara yake haipo kwenye Google Maps 2. Ingia 3. Mfungulie akaunti BURE 4. Pin Location ya hiyo biashara kwenye Google Maps 5. Google watakutumia verification kwa SMS au email 6. Mlipishe mteja 20k, Malipo baada ya kazi 🔂
Tweet media one
92
510
957
@iamKaga
K A G A
2 years
Do you think kibongo bongo unaweza ukawa Tsh Billionaire bila, -Kucheza na wanasiasa -Kuhonga kushinda tenders -Kusaka Free Grants -Kuwa mwizi Namaanisha, unafungua kampuni, unaingia sokoni, una customer service nzuri, wateja wanaelewa huduma na ukaweza kuweka Tsh 1B+ mfukoni?
188
100
956
@iamKaga
K A G A
1 year
Kuna wakina Mama ukimfanyia kitu kidogo kama kumlipia nauli kwenye daladala, atakushukuru sana na hapo hapo, atakuombea upate na gari lako binafsi Wanatambulika kama King Makers. Hawana uwezo kifedha, ila wana uwezo mkubwa ku manifest makubwa kwenye maisha yako Ishi nao vizuri.
27
109
943
@iamKaga
K A G A
1 year
Unaweza KUAMINI nili EDIT picha hizi ndani ya dakika 1 kwa kutumia AI tu? Tena FREE! Kama unauza perfume, nguo, INFACT biashara yoyote yenye bidhaa, hauna haja kumtafuta mpiga picha na kuingia gharama nyingine Zama za kutafuta location kali is OVER! It's as SIMPLE as 1 2 3 🧵
Tweet media one
Tweet media two
69
389
921
@iamKaga
K A G A
2 years
Sema tukiacha UNAFIKI, kujiajiri ni MSALA mazee! Dah! Tena kama unapata Faida au Mshahara, hata iwe ndogo vipi, mshukuru tu Mungu wako. Usi judge wengine. Kaa tu kimya.
48
77
896
@iamKaga
K A G A
2 years
As a young man, you need to learn: 1. How to get a girl to love you without using money. 2. How to make genuine friends without using money. 3. How to be broke but still work towards fulfilling your big and ambitious dreams.
35
187
899
@iamKaga
K A G A
1 year
Ukienda MLIMANI CITY, mlango wa kwanza. Kushoto utakutana na MarryBrown kulia KFC. You might think waliokuwa wanai design walifanya hivyo for convenience au kurahisisha floor plan. Ila this a really good marketing technique which hata INSTAGRAM wanakushauri uanze kuitumia. 🧵
Tweet media one
59
231
880
@iamKaga
K A G A
3 years
NILI APA SITOFANYA KAZI TENA NA MTU YOYOTE ANAEJIHUSISHA NA SIASA! MWAKA 2014, nilipata idea ya namna ya kurahisisha utoaji wa taarifa kwenye ma vyuo vyote! Huduma ikaitwa LINKUP! Kama kawaida yangu na ujinga wangu, nikaona lazima nitatoboa hapo! MUNGU WANGU, I WAS STUPID!
Tweet media one
131
147
827
@iamKaga
K A G A
1 year
2017 nilijiona natenda DHAMBI kubwa. It was my first time kununua kitu kwa Tsh 3,900 na kuiuza kwa Tsh 40,000. Profit margin 900%+ I was scared, reaction ya wateja itakuwaje? Nitaitwa Tapeli? Kama we ni MUOGA wa kupanga BEI, this might help you fight this psychological BATTLE.
Tweet media one
72
273
821
@iamKaga
K A G A
2 years
Imagine mtu ana 10M alafu akaamua atumie Mkeka wa Bakhressa. 1. Anaagiza baiskeli 100 kutoka China na kuzitega maeneo tofauti 2. Anatengenezea App ya ku request 3. Mteja aki request, anafuatwa alipo na 🚴‍♂️ 4. Anatoa mzigo (chakula, bahasha n.k) 5. Mzigo utaenda popote kwa buku tu
70
113
793
@iamKaga
K A G A
1 year
Ukiwa under pressure, jifunze kuwa na utulivu/calmness. Kubali kwamba maisha imekushika pabaya, ili uweze kuangalia namna ya kupiga counter attack. It's not easy. But it's doable. Bila utulivu, you will lose the battle. Weak soldiers lose under pressure. Don't be one of them.
21
231
787
@iamKaga
K A G A
2 years
Nape angejua mimi peke yangu ni watu 15 angenipigia tu.
28
29
761
@iamKaga
K A G A
1 year
Katika kipindi ambayo nilijua Tanzania inakaribia kupata A NEW TECH BILLIONAIRE anaitwa Kaga ilikuwa 2017. Nilichokuwa nahitaji was SIMPO. Benki 1 au mtandao ya simu waniskilize. Hiyo tu. Sikuingiza hata laki na project ikafa after trying so hard ila hii ndo nilichojifunza. 🧵
Tweet media one
76
130
774
@iamKaga
K A G A
1 year
Ukianza kuvuta SHISHA unatabiriwa kupata Lung Cancer in 3 months. Na ukinywa Pombe kali bila kuchanganya na Soda wanatabiri Figo kufeli in 6 months. Kila nilicho andika hapo juu nimetunga ila umeona the Power of WORDS? Jitahidi ku Manifest GOOD things about yourself EVERYDAY.
41
92
759
@iamKaga
K A G A
2 years
Ukibahatika kupata a very supportive, loving, prayerful and understanding life partner nyakati hizi, just know wewe ni Last Born wa Mungu.
36
85
740
@iamKaga
K A G A
1 year
Kuna wale watu hata ikitokea kampuni wanapofanya kazi wanahitaji kupunguza wafanyakazi kutokana na hali ya uchumi, they are usually the last person in line kuachishwa kazi. Na hata ikitokea wanaachishwa kazi, huwa haiwachukui hata mwezi 1 kupata kazi nyingine tena inayolipa
53
190
733
@iamKaga
K A G A
1 year
Faida ya kuwa kijana, unaweza ukawa broke and by society standards, utaeleweka kwamba bado unajitafuta. But when you get older, being broke by society standards, ni ashiria kwamba uliitumia ujana wako vibaya hata kama unasababu konki ya kwanini hujajipata. That's life. Kwenye
52
246
742
@iamKaga
K A G A
2 years
Wasanii wakiwa na njaa, they make the best music. You are very lucky kama uliweza ku experience these guys music kwenye their Prime: 1. Drake 2. Eminem 3. Lil Wayne 4. 50 Cent 5. DMX 6. Kanye West 7. Jay Z 8. T.I. 9. The Game 10. 2 Pac Music is just not music anymore.
70
49
724
@iamKaga
K A G A
1 year
Imagine unapigiwa simu na kuambiwa umepata kazi ulio apply na unatakiwa ku report baada ya wiki 2. And guess what, it's your dream job. Ndani ya hizo wiki 2, it's obvious utakuwa mtu mwenye furaha kubwa sana, utakuwa na vibe na energy. Hujaanza kazi bado ila uko over the moon.
31
73
730
@iamKaga
K A G A
2 years
Business Model gani inakuvutia zaidi? 1. Business to Business (B2B) - wateja wako wakubwa ni wafanyabiashara wengine. Wateja ni wachache ila wanalipa pesa kubwa. 2. Business to Customer (B2C) - unauza moja kwa moja kwa mlaji wa mwisho. Wateja ni wengi, ila wanalipa pesa ndogo.
105
121
714
@iamKaga
K A G A
2 years
There was a time us MEN used to be MEN. Tukipita maeneo fulani wanawake wote walikuwa wanatuogopa maana wanajua popote tulipo, sisi ni viongozi. We were leaders, decision makers, providers, protecters etc. I feel kama tunapoteza our identity, we talk too much, tunasifia ma chawa,
51
117
725
@iamKaga
K A G A
1 year
Ukienda kwenye nchi yoyote, the 2 most famous words yanayofahamika duniani kote, Namba moja ni "Okay" na ya pili ni "Coca Cola". Simply put, wherever you go, ukitamka those 2 words, hata kama kuna language barrier, kila mtu ataelewa unamaanisha nini. Now imagine this, Coca Cola
53
175
703
@iamKaga
K A G A
1 year
What I am about to tell YOU, itabadilisha maisha yako. Nakupa my very own PROVEN and TESTED MBINU kuitekenya Algorithm ya Instagram kabla hujaanza kulipia Sponsored Ads. Sitaki upoteze pesa yako kizembe na usiwe MZITO ku share na rafiki. REMEMBER, EVERY SHILLING COUNTS! 🧵
Tweet media one
48
277
682
@iamKaga
K A G A
3 years
Kati ya vitu serikali walitisha sana ni GePG / Control numbers. GePG ni ka system ka dogo sana ila ina balaa.
33
37
658
@iamKaga
K A G A
1 year
If you are an ambitious person and you want to work for yourself, employment is NOT a waste of time. It will help you fund your side hustle which will eventually become your business. Do your job diligently, build a network, love your job. Even if it's temporary.
27
162
643
@iamKaga
K A G A
1 year
Kama umewahi kupitia au unapitia a dark phase in your life whereby unaona kila siku iko the same. Mpaka huoni tofauti kati ya Morning, Afternoon au Evening. Hata likija Eid, au weekend, nothing feels different. Elewa kwamba, it's ok, the best years of your life are yet to come.
23
124
644
@iamKaga
K A G A
1 year
Kwenye stages za kujitafuta, stage ya mwanzo unaweza ukajiona unadhalilika. Watu wanaweza wakakukataa wewe au kukataa ideas zako. Elewa kwamba you are still a beginner na bado uko kwenye learning phase. Keep showing up & with time you will become a master, an expert, a gwiji.
30
145
642
@iamKaga
K A G A
1 year
Kuna kipindi unabaki huna option zaidi ya kuanza upya. Yani, you have to go back to the drawing back and say, "sina jinsi, I have to start all over again." Kiukweli it's hard, it's a scary, because you have to do it all alone. The only way forward is for you to pay the price
52
188
645
@iamKaga
K A G A
1 year
Ukifanya biashara kwa muda mrefu, utagundua kwamba, Karibia kila biashara utakaogusa inafuata sheria moja called "The Law Of Averages". Simply put, ukifanya kitu kile kile over a long period of time, kuna uwezekano ya wewe kujua kitakachotokea mbeleni (pattern) kutokana na
28
160
638
@iamKaga
K A G A
2 years
Kuna kipindi nilim date miss kinondoni wa mwaka fulani. Beautiful girl ila sasa mwamba nilikuwa too broke for her expensive lifestyle. Nilikuwa mtu wa ahadi kwamba one day ishu zangu zita tick ila baada ya mwaka mmoja uvumulivu ukamshinda. Aka fall in love na mbunge. The END🤣
56
38
631
@iamKaga
K A G A
1 year
Kuna Muhindi mmoja alikuwa anaishi vizuri na vijana wake (wabongo). Kutokana na wao kuwa waaminifu aliwaahidi atawapa mtaji siku za mbele ili na wao waingie kwenye uwekezaji wajitafute. Madogo wakawa so happy. Imagine after so many years, uaminifu wao finally UNALIPA! 🧵
Tweet media one
55
116
643
@iamKaga
K A G A
2 years
1. Sajili kampuni feki 2. Tengeneza App ya kizushi (Hakikisha inaweza kupokea pesa) 3. Fungua ofisi sehemu inaoaminika 4. Jitangaze ITV 5. Tafuta influencer mwenye engagement TikTok na Twitter asie na maswali mengi 6. Walipe wa mwanzo,zima mfumo, Kimbia 7. Rudi baada ya miezi 3🔁
42
51
641
@iamKaga
K A G A
2 years
Usiseme, "I'm broke", ❌️ Sema, "I'm overcoming a cashflow problem".✅️
27
64
615
@iamKaga
K A G A
2 years
Acha ujinga. Uwezo unao. Make your Dreams Happen. Shock Everyone.
15
65
611
@iamKaga
K A G A
1 year
Kuna CHEAT CODE unaweza kuitumia kwenye BEI ili uweze KUCHEKECHA UBONGO wa your next paying customer. The key is AJIONE unampa VALUE, kumbe wapi! What I must also mention, Usi FALL kwenye MTEGO ya ku ASSUME wateja wana uelewa mkubwa na the VALUE unaowapa. CHEKECHA! 🧵
Tweet media one
62
266
622
@iamKaga
K A G A
2 years
Kama hauko tayari kubadilisha your toxic environment, lifestyle or bad habits, ni ngumu sana kutoboa.
30
89
621
@iamKaga
K A G A
2 years
Kinachoniuma ni kwamba Deep down, This country is blessed. Watu wengi ni ma genius na talented. Kuna nchi kibao wanakuja kwetu kufanya reference kutokana na kuvutiwa na system ya GePG. Tukiacha kuchukulia kila kitu ni siasa, tutapiga hatua kubwa sana. Let's stop this nonsense.
30
91
622
@iamKaga
K A G A
2 years
Sometimes unatamani uache kila kitu na kuhamia Kenya. Bora kuanza 0. Those guys appreciate innovation and technology. Ni akili yako tu. Huku kwetu it feels kama tunacheza tu. Siasa nyingi. Watu wanahubiri kuhusu startups kwenye events kujifurahisha. Gate keepers wengi. Wivu.
66
102
614
@iamKaga
K A G A
1 year
Kuna watu ukiangalia picha zao kipindi wako kwenye transition period ya maisha yao na jinsi sura zao zilivyo fubaa kwa kipidi hicho. Lazima ujiulize maswali mengi. Behind the scenes watu wameingia kwenye years of pain and training. Wakawa wanapigwa na tukio after tukio,
49
181
619
@iamKaga
K A G A
1 year
Usipokuwa MTULIVU, watu watakuvua UCHI kisa kuwa MROPOKAJI. Kama unafanyaga NETWORKING Kuna mbinu watu hutumia uropoke SIRI zako zote za kwenye biashara yako bila hata we kushtuka. Unaweza kuhisi we ni mtoto wa mjini na haiwezi kukutokea BUT let me show you how its done: 🧵
Tweet media one
62
206
611
@iamKaga
K A G A
1 year
Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea kutokea Kijitonyama. Binafsi ni miezi 6 tangu nifike Tabata, route zangu zilikuwa hazinipeleki kule. Ila kila tukikunja kona, ninashangaa jinsi mji ilivyobadilika. It’s just not the same. Maduka mengi yamevunjwa na
Tweet media one
54
165
610
@iamKaga
K A G A
2 years
Sometimes you are the problem. Badilika.
19
52
585
@iamKaga
K A G A
1 year
Kuna kale ka chimbo opposite na Ubungo Plaza, wadada wanajaa pale kununua very good vyombo kwa bei ya Jumla, wanapimiwa kwa kilo. 1 thing about women, wakipata confidence in a business they feel they can do, wao ku show up kila siku ni rahisi sana. They just need opportunities.
32
86
600
@iamKaga
K A G A
2 years
Kuna mwanamke unaona kabisa katumwa na Mungu kukuletea furaha na baraka. Utatembea kote but you will never find this type of woman again in your life. Mtunze na nguvu zako zote au kubali kujuta milele.
45
83
578
@iamKaga
K A G A
1 year
Kama unajua huna financial power, komaa kuwekeza kwa watu (social capital). One day utakutana na "Destiny Helper" wako, ki muonekano, anaonekana kama ka chalii hawezi kuwa na msaada kwako. Kumbe anaweza kupiga simu 1 alafu ukawa director sehemu fulani. No interview, no nothing.
26
124
560
@iamKaga
K A G A
2 years
Our country is broken, mamlaka inaotakiwa kuongoza makampuni, wanatumia ubabe badala ya kuwa partners. Issue ya bundles ni propaganda. December bei zishapangwa kuongezeka zaidi. Mitandao ya simu wamekuwa waoga kuongea, maana wakipaza sauti tu, watapigwa faini za ma billion.
34
81
549
@iamKaga
K A G A
1 year
As a young man, jifunze: 1. Psychological attraction: Make a girl to truly love you without using alot of Money. 2. Social skills: Make genuine friends and business partners. 3. Internal motivation: Be broke but still work towards fulfilling your big and ambitious dreams.
11
172
549
@iamKaga
K A G A
1 year
Kuna ishu ulikuwa unaiskilizia tangu Mwaka JUZI, kimasihara IMETIKI. Tsh 10M huu hapa. Hutaki kulaza damu. Unaona biashara utakaoweza kukifanya ili pesa zizunguke ni kutoa MKOPO. Ili usipigwe kizembe, unakaa chini na kutengeneza system yako bila kuwa na experience ya IT. How?
Tweet media one
36
173
538
@iamKaga
K A G A
1 year
Ukipanda ndege, kabla ya kutua, kuna scenarios 2 utazi experience indirectly. 1. The Point Of No Return and 2. The Maximum Allowed Margin for Error. The point of no return inatokea rubani akianza kuchekecha ndege ikae kwenye mstari ili aanze kushuka taratibu akiutafuta lami
38
122
549
@iamKaga
K A G A
2 years
The best way kupata very good and long lasting connections ni ku build au kuwa na kitu ya kukutambulisha. Usihudhurie networking events kama huna value ya kumpa mtu mwingine. You are wasting your time.
26
79
532
@iamKaga
K A G A
1 year
Unamaliza zako chuo, finally unajiona umepata freedom yako. Na hamna anayeweza kukulaumu kwasababu your whole life, tangu uzaliwe was just preparing you kumaliza chuo. So by the time unaweka kalamu chini, unaingia zako mtaani thinking you are finally done. Kwa bahati mbaya
28
90
537
@iamKaga
K A G A
1 year
Ukiwa mjasiriamali anayeanza kuna namna Dar inaweza ikakushinda. Tatizo kubwa ya Dar, ni ngumu sana kujua namna watu wanavyopata pesa, kwasababu zinapigwa danadana ndani ya ma ofisi. Tofauti na mkoani, unaweza ku observe chain nzima tangu mtu anaanza kulima/ kufuga mpaka kuuza.
Tweet media one
30
113
542
@iamKaga
K A G A
1 year
Wanaomiliki mbwa wanajua jinsi mbwa alivyo na unconditional love na loyalty. Ukirudi kutoka kwenye mishe zako, muda wote wako happy kukuona. Ukichomoka hata one time kwenda kwa mangi na kurudi, hana baya. Huenda ni kwasababu wanajua life expectancy yao haizidi miaka 13.
23
47
532
@iamKaga
K A G A
2 years
Kuna hii FREE tool inaitwa Lumen5 () Imagine unahitaji kufanya presentation na deadline imekaa ki impossible na huna hela kumlipia professional video editor. Kwenye Lumen5, ukiandika maelezo ya presentation, watakutengenezea video mwanzo mwisho CHAP! 🧵
44
236
528
@iamKaga
K A G A
2 years
Vijana tukishakutana na kukubaliana kufungua kampuni. Mtihani wa kwanza tunaopata ni nani awe CEO?
85
30
520
@iamKaga
K A G A
2 years
Kuna Apps karibia Million 6 kwenye Apple App Store na Google Playstore. Ukiachana na social media apps, ni apps gani nyingine huwa unatumia mara kwa mara?
103
32
504
@iamKaga
K A G A
1 year
Wekeza sana kwenye "Goodwill". Goodwill simply ni kujenga long term relationships na msingi wake usually ni uaminifu na loyalty. Mfano, - Jinsi unavyoenda kwa kinyozi yule yule ni Goodwill. - Ukienda kununua kwa Mangi yule yule ni Goodwill. - Kuwa na marafiki wa karibu
36
123
513
@iamKaga
K A G A
1 year
Ukipata Maturity unaanza kutambua kwamba huku nje watu wako busy sana. Ukiona mtu anaacha shughuli zake na ku zoom attention kwako ili maisha yako yasogee from point A to B, appreciate efforts pamoja na ku reciprocate ili umnyanyuke wote Utakuwa na bahati ukipata huyu mtu twice
8
91
507
@iamKaga
K A G A
2 years
Njia nyepesi kujua what is your purpose in life is by putting yourself in places you feel you don't belong. -Sign up for that Marathon -Speak on stage -Meet new people -Start that company with your little experience You will find your purpose by always moving and taking action.
21
116
503
@iamKaga
K A G A
1 year
Weekends ni mda mzuri ya wewe kutambua kwamba watu wana hela & wako tayari to spend it on you Kuna ile mindset wakati wakufungua biashara unataka kuwa the cheapest, ukihisi utasepa na kijiji, kumbe ina backfire Usi assume watu hawana hela. Price accordingly, price upate faida.
18
68
498
@iamKaga
K A G A
1 year
Hakuna stage ngumu kama kuanza, ya pili kwa ugumu ni kujifunza, ya tatu ni kuwa na subira kwa ulichokianzisha kiweze kusimama.
13
121
490
@iamKaga
K A G A
3 years
Kama bado haujaelewa UMUHIMU wa kile kitu NMB walichozindua leo pale mlimani city i.e. Kuzindua SANDBOX ENVIRONMENT. Ngoja nijaribu kukuelewesha umuhimu wake, kwa lugha nyepesi sana.
Tweet media one
30
128
498
@iamKaga
K A G A
2 years
As you grow older, you quickly realize that life will only start to favor you when you decide to stay focused, organized and disciplined. You can't afford to continuously make silly and irresponsible decisions forever.
13
86
491
@iamKaga
K A G A
1 year
Kila mtu ana IDEAS kalii. Na kama hujawahi kugombana na ndugu zako kwenye mirathi, hii inamaana lazima utakuwa na limited resources mfukoni. Huwezi kufanya kosa katika kuchagua idea gani uanze nao. Consider these 5 tips zikusaidie kabla hujaanza safari yako ya kuingia mjini:
Tweet media one
41
200
494
@iamKaga
K A G A
1 year
Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao. Wengi walipata "bahati" sio ya kuwa matajiri, ila bahati ya kushika pesa nzuri kwenye ujana wao. Ila baada ya muda, pesa zikawakimbia.
31
91
498
@iamKaga
K A G A
1 year
The hard truth is, jitahidi kutokuwa kero kwa watu. Ikiwezekana, 1. Nunua vitu vyako mwenyewe 2. Mind your own business 3. Omba msaada ONLY when necessary Ukiona bado uko kwenye transition period na huwezi ku afford kitu unachokitamani in the short run, learn to live without it
17
140
487
@iamKaga
K A G A
2 years
Wazazi wako, dead or alive, invested their time and resources in educating and supporting you. Please try your best to make the most of your time to find new opportunities. If you don't, you are telling them that you do not value their investment in you. Very disrespectful.
18
97
476
@iamKaga
K A G A
2 years
Imagine unaingia chuo First year na mwezi wa kwanza, bila kujali kozi unayosoma, unapigwa pindi kuhusu: 1. Coding 2. Freelancing/Gig 3. Financial Discipline 4. Social Media Ads/Digital Marketing 5. Photoshop/Canva 6. Team Building 7. Microsoft Excel Unahisi ita solve chochote?
48
78
474
@iamKaga
K A G A
1 year
The way life inakuwaga na changamoto za hapa na pale, the older you get, the more unazidi kuelewa kwanini dingi alikuwa anapendelea kukaa kimya muda mwingi. There is alot of power in remaining calm and silent, even when your house is on fire.
17
104
483
@iamKaga
K A G A
3 years
Oiiiiii🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Wazungu kutoka California WAMEIACHIA app yetu!!!! Iko live playstore! TUNATOBOA!!!!! 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Tweet media one
53
101
464
@iamKaga
K A G A
1 year
No one is going to teach how to make alot of money. Ila kama utabahatika kufundishwa, usually: 1. Utafundishwa kupata Pesa ya kawaida or 2. Wewe ndo fursa to their money making model so lazima ulipe kwanza ili ufundishwe basics, which is ok. Once you understand this, utaelewa
51
130
477
@iamKaga
K A G A
1 year
Juzi kuna mtu aliniomba nimfanyie development. Hakufikia bei ila nikampa option simpo ili aweze kuingia sokoni mapema. Nikaamua nimfanyie free maana nilitumia tools tofauti na ikanichukua dk 30 kufanya integration na nikamkabidhi. Jamaa akabaki ananishangaa maana alihangaika
26
43
478
@iamKaga
K A G A
1 year
Unaweza kuamini these are NOT real people? Niliandika sentensi 1 tu, AI kafanya yake. Nina njaa na ni mida ya lunch, nilipata wazo, ningekuwa namiliki ka mgahawa kangu ningechukua hatua zipi ili biashara ijiendeshe upande wa mteja kuweka oda online? This is what I would do. 🧵
Tweet media one
49
134
475
@iamKaga
K A G A
2 years
One thing mzee wangu alikuwa anapenda kusitiza ni usipende shortcuts. Tengeneza foundation nzuri. No matter how long it will take. Ukiamua kupita kwenye shortcuts, tambua hauna foundation nzuri, and at any time, hiyo nyumba itaporomoka na kwa bahati mbaya, utakuwa ndani umelala.
18
79
462
@iamKaga
K A G A
1 year
Umewahi kushtuka usingizini, let's say mida ya saa 8/9 usiku Na ghafla unakuwa na a sudden rush of motivation hata ya kufungua biashara MPYA mida hiyo? Hiyo feeling haitokei mara kwa mara, but believe it or not, hiyo ni reminder ya wewe kufanya something positive with your life
22
50
474
@iamKaga
K A G A
2 years
Ni ngumu kuwa productive wakati kila ukiamka unawaza kama kuna maji au umeme. Mawazo yako yanakuwa poverty driven na sio ya kibunifu.
18
46
463
@iamKaga
K A G A
3 years
Mange Kimambi App imekuwa hacked, watu washaanza na kumcheka tayari. Inanikumbusha sana wakati natengeneza Bando App, kuna rafiki yangu moja aliniambia yeye anasubiri zile siku 30 tu zitimie ili aone App ikifeli. Binafsi, nampongeza sana Mange kwa uthubutu wake. Atatoboa Tu!
21
19
468
@iamKaga
K A G A
1 year
Nothing worse than kuwa kijana alafu hujaweza kutambua "Purpose" yako ni nini. Utasoma course sio. Utagusa biashara, na kugundua huna mkono, utaacha. Uta apply kwenye ajira na ku ambiwa uko over qualified. Mwisho utaonekana mzigo. You'll be called a lazy person without ambition
22
89
466
@iamKaga
K A G A
2 years
Kesho, ingawa maumivu bado ni makali sana. Ila kitu cha muhimu ningependa tujifunze wote kupitia hii ni kwamba, Kutoboa bongo inawezekana ila itatuchukua mda sana, tusikatishwe tamaa na tuendelee ku enjoy safari yetu. Let's keep pushing. #TutoboeWote 👊🏾
10
37
470
@iamKaga
K A G A
2 years
From time to time, jitahidi ku review performance yako, jaribu kuangalia kama kuna haja ya wewe kubadilisha mwelekeo wako. Kama kwa muda mrefu, unachofanya hakikuletei faida, sio lazima uendelee kukomaa hapo hapo. Network, learn new skills/ideas and change your direction.
15
104
462
@iamKaga
K A G A
2 years
Ninacho amini, ukiweza kumpa Mzungu depression, we jua tunapo elekea sio. Case Study: Bolt Tanzania & Uber Tanzania
37
34
456
@iamKaga
K A G A
1 year
Growing up, nilitamani nimpate mtu wa kunishika mkono na kunionyesha NJIA. Kukosekana kwao, matokeo yake nili struggle na projects zingine kufeli maana nilikuwa napita njia SIO. Hiyo haimaanishi na WEWE unatakiwa ustruggle na kufeli kwa kupita njia sio. 2 wrongs are NOT right.
19
66
459
@iamKaga
K A G A
1 year
Umewahi kukutana na wale watu wanao endesha magari (Auto) kwa kutumia miguu yote miwili kwa wakati mmoja? Yani, mguu wa kushoto inaning'inia kwenye BRAKE, kulia ACCELERATOR. Most times utawacheka, bila hata kutambua kwamba kumbe wewe mwenyewe unafanya EXACTLY the same thing.
Tweet media one
43
29
463
@iamKaga
K A G A
2 years
INTERNET BILA KIKOMO?? Watu wengi huwa mnajiuliza kama mtaweza kupata UNLIMITED INTERNET ya ukweli (sio ya mchongo) kwa ajili ya matumizi ya nyumbani au ofisini, ili uteleze mwezi mzima bila kuwaza GB au Spidi. Jana nilijisogeza SABASABA ili nikushauri vitu vya kuzingatia. 🧵
Tweet media one
29
119
450
@iamKaga
K A G A
1 year
Kama una apply kazi kila siku bila mafanikio kutokana na CV yako kuonekana ina udhaifu (huna experience) Tafuta makampuni yaliyofilisika kama, "Game" au "Nakumatt", alafu andika ulikuwa Manager kwa miaka mi 5 HR wa zamani akipigiwa simu kuthibitisha, hawezi kumbuka wafanyakazi.
28
53
453
@iamKaga
K A G A
2 years
Tanzanian Twitter: Unaweza kupata very good friends, very good business partners, na ukizunguka machimbo vizuri, you can even find the love of your life humu ndani, ila hapo hapo, utapata maadui , kwa sababu mtu hapendi unavyo tweet au hapendi ukim tweet mtu fulani. Dictators
24
52
449
@iamKaga
K A G A
1 year
Unashuhudia baadhi ya watumishi wakifanya kazi kwa zaidi ya miaka 30 mpaka kustaafu, ila hali zao za kiuchumi bado sio kivilee. These are not coincidences. Haimaanishi hawakuwa na financial discipline. Ila there must be a better way tukwepe hii cycle tusiwe a common statistic.
26
73
450
@iamKaga
K A G A
2 years
Siku 1 tufungue space alafu mada yetu iwe kuhusu kutoboa toboa tu. Alafu tusilete mambo mengi ya nani ashike mic, sijui nani ni moderator. Kila mtu apewe dk 3 aongee facts as long as inahusu life and business experiences. Kila mtu acheke, ajifunze, afunguke. Yes or No?
69
37
443
@iamKaga
K A G A
1 year
Unaamka siku moja, na kujisemea, basi inatosha. ENOUGH IS ENOUGH! Unavuta pumzi na kuamua utest bahati yako uwe Tech Founder hapa TZ. These are my 10 pieces of advice which would save you from making a lot of mistakes. 🧵
Tweet media one
27
136
447
@iamKaga
K A G A
2 years
Siku zote amini kuwa kuna kitu kizuri kiko karibu kutokea katika maisha yako.
7
28
441