Babbie Kabae aka SistaDread👊🏽
2 years
Update: Tumerudishwa hapa kivukoni, sababu tunaelezwa ni kwamba MV Magogoni ninkama imepata engine knock, na MV Kigamboni inapepesuka kwa upepo, inapoteza njia, haipo. Na MV Kazi, kutokana na wingi wa Abiria huko magogoni, haiweze kubeba na magari. So, tumeombwa radhi.