Hamisi Mandi Profile Banner
Hamisi Mandi Profile
Hamisi Mandi

@BDozen

389,442
Followers
577
Following
2,171
Media
16,152
Statuses

RADIO & TV Personality| Founder BORN TO SHINE clothing Line | Dozen Selection

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@BDozen
Hamisi Mandi
4 years
Kutoka Arusha, Kitega Uchumi hadi Mjengoni Mikocheni, CLOUDS has always been home. Shukrani sana kwa Management yote, Chama la Wana #XXL na wafanyakazi wote wa Clouds, na wadau wengine wote wa Clouds. Undugu wangu na ninyi hauwezi kuisha wala Kusahaulika.
322
285
5K
@BDozen
Hamisi Mandi
4 years
Because its My Birthday!!
Tweet media one
233
74
4K
@BDozen
Hamisi Mandi
4 years
.....I wish you all the best, mzidi kufungua Dunia. 💙💙🙏🏼 Cc. @CloudsMediaLive
141
109
2K
@BDozen
Hamisi Mandi
26 days
Ulikuwa wakati mzuri Mr President @Caamil8 #YoungAfricans ⚽️ @YoungAfricansSC
Tweet media one
18
43
2K
@BDozen
Hamisi Mandi
2 years
Tweet media one
41
54
2K
@BDozen
Hamisi Mandi
4 years
How it started How Its Going
Tweet media one
Tweet media two
57
51
2K
@BDozen
Hamisi Mandi
4 years
It is time, nahitaji changamoto mpya mahali pengine. Mwisho ninamnukuu #RugeMutahaba , aliwahi kusema "Kubadilisha mfumo wa mazingira ya utafutaji na kukua kitasnia nadhani halitakiwi kuwa jambo baya isipokuwa ni kupongezana na kutakiana kila la kheri" ......
96
126
2K
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Please Vote For Me on AEAUSA as the ‘Host of the Year’ Link ipo kwenye bio yangu, Thank You 📌📌
Tweet media one
190
258
2K
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
Tabasamu la EID! 😁😁 May You Have A Blessed One!
Tweet media one
Tweet media two
44
34
2K
@BDozen
Hamisi Mandi
4 years
“Ukiomba Mafanikio Fahamu yanakuja na Wivu, havitengani havikaimbali kidevu na ndevu” #Gwiji by @MwanaFA
40
69
1K
@BDozen
Hamisi Mandi
2 years
CHOOSE DAY 🟤⚪
Tweet media one
36
22
1K
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
Tweet media one
Tweet media two
71
63
1K
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
"Rule Number One: Never Be Number Two"
Tweet media one
Tweet media two
31
43
1K
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
Usiishi kama refa, kutafuta kasoro za watu, ishi kama mchezaji kutafuta mafanikio yako.
Tweet media one
Tweet media two
39
64
1K
@BDozen
Hamisi Mandi
5 years
TANZIA: Rapa maarufu nchini, Godzilla, amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo jumatano Feb. 13, 2019 akiwa nyumbani kwao maeneno ya Salasala, Dar es salaam. Mwili umepelekwa kuhifadhiwa katika hospitali ya Lugalo, Mwenge. #RIPZilla
Tweet media one
218
124
967
@BDozen
Hamisi Mandi
2 years
This Chapter About My Life Is Called MY TURN. And I am Unapologetic AF about it.
Tweet media one
16
13
885
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Wahenga waliwahi kusema “Mitihani Mingi Ndio Chanzo Cha Ufaulu” wote tupo salama! Na Tunamshukuru Mungu!!
77
82
852
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
⚠️ T-shirt mpya za BornToShine zinapatikana, zipo rangi tatu tofauti. Karibuni sana!! ⚠️
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
142
94
795
@BDozen
Hamisi Mandi
5 years
#XXLCloudsFm "Mkataba wangu ulikuwa unanitaka nilipe shilingi za Kitanzania milioni 500 kama nikiondoka ili niweze kupata hakimiliki ya jina langu pamoja na nyimbo zangu. Hivyo sikuwa na hela kabisa. Nimeuza nyumba zangu 3 na baadhi ya mali, deni limebaki kidogo." @harmonize_tz
96
33
773
@BDozen
Hamisi Mandi
4 years
“Sisi wenye imani tunaamini kuwa kila jambo linatokea sababu Yeye Mwenyezi Mungu ametaka” @MwanaFA #HomaYaBinamu @EfmTanzania
28
44
776
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
"People Die But Legends Live Forever" Rest In Heaven My Brother Dj Skillz 🕊️🕊️ 🙏🙏
Tweet media one
28
33
787
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
🗣️🗣️ yooh yoooh
Tweet media one
28
30
756
@BDozen
Hamisi Mandi
2 years
HAPPY SIMBA & NANE NANE DAY 💥💥
Tweet media one
19
25
739
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Diamond ameshoot video ya collabo yake na Rick Ross, Miami USA
62
67
681
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Please Vote For Me on AEAUSA as the ‘Host of the Year’ Link ipo kwenye bio yangu, Thank You #AEAUSA #AEAwards 📌📌
Tweet media one
33
75
645
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#XXL255 Fiesta imetimiza ndoto yangu ya kupiga picha na Alikiba, ila staa wa show alikua Aslay hadi mimi alinichanganya - Janjaro
30
24
637
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Tweet media one
191
338
6K
10
24
643
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Nitakua naota eti....... Ngoja nilale tena then niamke! Maana hii si mara ya kwanza kukutana na ndoto mbaya ya kutisha!!
57
104
599
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
"What did you think? I would not comeback? See I am back." ~ Invajy
Tweet media one
Tweet media two
25
15
563
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Asante Dar Es Salaam! Huu ni zaidi uzalendo!! Tumetengeneza Historia Pamoja! Tubarikiwe Wote! Amen!🙏🏽
35
21
554
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#PrayForTunduLissu 🙏🏿🇹🇿
23
63
547
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
Tweet media one
Tweet media two
15
8
542
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
It’s another year of existence. l'm grateful for all the blessings that have come my way!
Tweet media one
Tweet media two
41
30
547
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#XXLCloudsFM Video ya 'Seduce Me' ilifikisha views Million 10 tu Youtube naachia ngoma mpya, hii ilikuwa starter tu - Alikiba
26
37
528
@BDozen
Hamisi Mandi
8 months
You Were Born To Shine! 😀 @FKihamu
@FKihamu
Farhan Kihamu Jr
8 months
Kimavazi bado sana😀
Tweet media one
47
30
2K
11
11
515
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
🤔🤔🤔
Tweet media one
128
30
475
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Usajili wa Fiesta - Alikiba 📌 #TigoFiesta2017
50
33
466
@BDozen
Hamisi Mandi
5 years
TANZIA: Kutoka @CloudsMediaLive Tukiwa bado na majeraha mabichi ya msiba wa Mkurugenzi wetu wa Vipindi na Uzalishaji #RugeMutahaba , kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha Mtangazaji wetu #EphraimKibonde kilichotokea alfajiri ya leo (Machi 7 2019)
Tweet media one
52
44
462
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Cassper Nyovest ameweka historia nyingine, amejaza uwanja wa soccer city kwenye show aliyoandaa mwenyewe #FillUpFBNStadium huku akiwa ameuza ticket zaidi ya 68,000
35
50
465
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow P Diddy amempa dili la $ Million 1 model mweusi aliyetumika kwenye tangazo la H&M ambalo limekosolewa kuwa la kibaguzi, Diddy amempa ofa model huyo mtoto kufanya kazi na kampuni yake ya nguo ya Sean John
Tweet media one
15
55
450
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Ujumbe wenye hisia kali kutoka kwa #Mr .Blue baada ya kufiwa na Mama yake Mkubwa 😔 “Ndugu Zangu nimefiwa na mama yangu mkubwa na ndo alikuwa kabakia wengine wote washatangulia” Pole Sana Babylon!!
54
15
427
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Nimesikia sehemu "Iwapo wanawake watakataa kufanya mapenzi mpaka dawa ya HIV ipatikane, Wanaume wataigundua dawa ndani ya siku 30 tu" 😂😂😂
48
58
424
@BDozen
Hamisi Mandi
6 years
#GetToKnow Kati ya vitu ambavyo Meghan Markle haruhusiwi tena kufanya baada ya kufunga ndoa na Prince Harry, ni pamoja na Kupiga selfie au kusaini autographs za mashabiki, kutumia mitandao ya kijamii, kuvaa sketi fupi, kula kabla au baada ya Malkia wa Uingereza #DozenSelection
Tweet media one
33
40
423
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Tweet media one
25
14
413
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Diamond ameandikwa kwenye site maarufu ya jarida la Forbes, Wameandika kuhusiana na mahojiano aliyofanya na CEO wa vinywaji cha Luc Belaire, Brett Berish kwenye mfululizo wa vipindi vya ‘Self-Made Taste Better’ ambavyo pia Brett amefanya na Dj Khaled na Rick Ross
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
34
66
403
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
Rock City Mwanza, ilikuwa poa sana. THANK YOU!! #LookAtUsNow
Tweet media one
Tweet media two
12
10
399
@BDozen
Hamisi Mandi
2 years
Tweet media one
17
3
382
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow RayVanny ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Best New International Act Viewers Choice Award, MTZ wa Kwanza kushinda tuzo ya BET
Tweet media one
24
59
385
@BDozen
Hamisi Mandi
5 years
"Mama yangu hayupo sawa mpaka sasa hivi, hajapendezewa na maneno yaliyosemwa kuhusu Ndoa yangu. Hakuna ukweli kwa lolote lililosemwa." @OfficialAliKiba Kwenye #AlaZaRoho Clouds FM na @Divathebawse
9
25
383
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Nimeamka na kumbe sio ndoto! @Nnauye_Nape you are #MyHero ! And you will always be!!!
20
67
380
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#XXLCloudsFM Live kutoka Mbagala 📻⚡️
Tweet media one
30
16
380
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Jay Z amepiga chini ofa ya kuperform kwenye halftime ya Super Bowl 2018, Huwa ndio event inayoangaliwa zaidi kwenye TV
Tweet media one
11
21
375
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#XXL255 Sikutegema kabisa kilichotokea Fiesta Arusha, nilikua natamani Mama angekuepo aone nilichokifanya, show ilikua nzuri sana - Aslay
10
15
369
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Huu ndio mjengo mpya wa Jay Z na Beyonce, una thamani ya $ 135M, una swimming pool 4, vyumba 8, Gym na madirisha ya bullet-proof
Tweet media one
30
30
369
@BDozen
Hamisi Mandi
5 years
#XXLCloudsFM Mzee Kikwete na Familia yake nawashukuru sana, walikuwa wananipigia sana kunijulia hali, hata Video ya wimbo alivyousikia alikuwa anatoa hadi idea za video - Ommy Dimpoz
Tweet media one
11
8
353
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
Vile Bado Naendelea Kuusoma Mchezo!! Suit By the One And Only @mtani_bespoke
Tweet media one
7
6
367
@BDozen
Hamisi Mandi
6 years
Been a while!! Ila nimerudi tena kwa kasi!! Mko poa?
41
5
342
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Jay Z akishuka Uwanja wa ndege wa JNIA, Dar es salaam 4 Oct 2006, Hii siku alitumbuiza Diamond Jubilee Hall, Kesho yake alienda Mwananyamala kuzindua mabomba ya maji safi aliyoyachangia kwenye kampeni yake ya ‘Water For Life’ akishirikiana na UN na MTV, aliongozana na Beyoncé
Tweet media one
Tweet media two
14
26
347
@BDozen
Hamisi Mandi
6 years
#GetToKnow Kanye West na familia yake wapo nchini Uganda, wameongozana na rapper Big Sean kwenye ujio wao barani Afrika. Wametengeneza studio ya muda tayari kuanza kurekodi baadhi ya nyimbo kwa ajili ya album yake ijayo, YANDHI.
Tweet media one
2
19
339
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Hii ndio tracklist ya ngoma 18 zitakazokuwepo kwenye album mpya ya Diamond Platnumz ‘A Boy From Tandale’ itakayotoka tarehe 12 Jan. 2018, Kuna collabo nyingine na Omarion, Vanessa Mdee, Miri Ben-Ari, Jah Prayzah,RayVanny na Young Killer
Tweet media one
Tweet media two
14
56
348
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Usher Raymond amethibitisha yupo Tanzania, Yeye na familia yake wapo mapumzikoni mbuga za Serengeti
13
55
347
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Hii ndio cover na Tracklist ya album mpya ya Vanessa Mdee ‘Money Mondays’ Kuna collabo ya Cassper Nyovest & Joh Makini, Tahpha, Radio & Weasel, G Nako, Mohombi na wengine
Tweet media one
Tweet media two
17
29
335
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Ninayo Furaha Kujitambulisha kwenu kama #Maxcom Ambassador kupitia Brand yao mpya ya #MaxBurudani
24
11
337
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
Suit: @mtani_bespoke 🥂
Tweet media one
Tweet media two
11
7
346
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#XXL255 Weusi tunauwezo wa kufungua studio, hatujapata sehemu nzuri tu. Napenda kurekodi sehemu ambayo nitakua huru - Joh Makini
17
16
332
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Jumapili njema!! 😀
24
20
331
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Picha inayo'Trend mtandaoni, Wizkid akiwa na Nicki Minaj
Tweet media one
12
23
334
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Poleni sana Familia Walimu & Wanafunzi wa Lucky Vincent kwa Msiba huu,Mungu Awape Faraja ktk Kipindi hiki kigumu, May their Souls RIP! 🙏🏾
15
66
330
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Diamond amefunguka kuwa ngoma yake na Rick Ross itatoka Tarehe 1 December, Pia album yake ‘A Boy From Tandale’ itakuwa available kwa pre-order tarehe hiyo hiyo, Amesema album ina nyimbo 18 na kuna collabo ya Davido, Omarion, Rick Ross na wengine
30
30
325
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Hivi ndio viatu vya Jay Z alivyoshirikiana na Puma ' Puma Clyde 4:44' ni special edition ya album yake mpya, zipo pair 44 tu
Tweet media one
Tweet media two
32
21
330
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
📻📻📻
Tweet media one
21
6
326
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#XXL255 Aslay amesema kuwa hawezi kusainiwa Wasafi wala RockStar4000 kwa kuwa anaamini ana uwezo wa kufika hapa walipo Diamond na Kiba
27
16
318
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#XXLCloudsFM Kusema ukweli huu wimbo wangu mpya nimeuandika kwasababu ya Vanessa, ila inaweza kumgusa mtu yoyote - Jux
19
14
325
@BDozen
Hamisi Mandi
6 years
#XXLCloudsFM Sijaenda shule kwasababu baba hana pesa ya ada - Ivan, mtoto wa ROMA
32
17
320
@BDozen
Hamisi Mandi
6 years
#XXLCloudsFM - "Kucheza mpira wa kulipwa na hapo hapo ukawa Mwanamuziki wa kulipwa, sijawahi kuona hivi vitu viwili vikienda pamoja. Ikitokea, basi Ali Kiba anaweza kuingia kwenye rekodi ya Guinness"- Edo Kumwembe
19
21
317
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Mshindi wa Grammy, Miri Ben-Ari ameshare video akirekodi ngoma ya Diamond ‘Baila’ kutoka kwenye album yake mpya. Miri ni mpiga Violin maarufu USA, amewahi kufanya kazi na mastaa kama Kanye West, Alicia Keys, JAY Z , Janet Jackson, T-pain na wengine wengi
27
42
315
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
🔋🔋
Tweet media one
Tweet media two
10
13
318
@BDozen
Hamisi Mandi
6 years
#GetToKnow Mwal. J.K Nyerere ametolewa mfano kama ‘Black Panther’ wa Kweli, Wamesema sera zake za Ujamaa na Kujitegemea ndio zilizotumika kwenye filamu ya ‘Black Panther’ #BroughtToYouByDozenSelection
10
58
310
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Rapper wa Marekani, Rick Ross amempost Diamond kwenye page yake ya Instagram, ni promo ya vinywaji vya Luc Belaire
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
24
32
311
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Apple wamezindua simu mpya za iPhone X ila zinatamkwa kama 'iPhone 10' ni wireless charging, facial recognition &bei yake ni $999
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
36
29
316
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Rapper Joe budden amewakomalia wasanii wa Marekani kwa kuiba style za Wizkid na kumpotezea alivyotoa album yake japo ni kali
13
33
311
@BDozen
Hamisi Mandi
5 years
Welcome to my WORLD @Wakazi !!
22
10
312
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#LeoTena Fiesta nilifanya ya Rwanda, sasa hatuwezi kufanya wote kila mkoa, tunapokezana, nitatangaza mkoa nitakaofanya - Diamond
16
11
310
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#XXL255 Nilikutana na Beyonce na Jay Z kwenye event flan ya kuonesha magari,Sio mara ya kwanza sema tu huwa hatupigi picha - Flaviana Matata
7
9
304
@BDozen
Hamisi Mandi
4 years
Malkia Wa Nguvu Kwako Ni Nani? Au Kwa lugha nyingine unafikiri mwanamke awe amefanya nini na nini ili akabidhiwe crown ya Malkia Wa Nguvu!!?
39
6
304
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Rapper wa Nigeria M.I amemshitaki Nas, alimlipa $ 50K kwa ajili ya collabo lkn alitumiwa verse tofauti na subject ya hyo ngoma 1/
Tweet media one
19
18
298
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Suge Knight amedai kuwa Tupc anaweza kuwa hai, anasema siku aliyodaiwa kufariki alikua mzima kabisa na walikua wanataniana
30
25
306
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#GetToKnow Boss wa Cash Money, Birdman ametangaza kufanya ziara kwenye nchi za Afrika ikiwemo Tz mwezi Feb 2018 lakini hajasema itahusu nini
Tweet media one
13
21
300
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#XXLCloudsFM Soko letu la Album tunalijua kwahiyo hii Album mimi naiachia ku'shear tu safari yangu ya muziki na mashabiki wangu - Ben Pol
10
14
305
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
Kama unasikiliza #XXLCloudsFM 📻umefanya maamuzi sahihi 😅
Tweet media one
27
26
304
@BDozen
Hamisi Mandi
1 year
MWANZA, it’s been a while. I’m in Town, tukutane leo pale ELEVATE Live na @darassa_cmg
Tweet media one
Tweet media two
3
15
305
@BDozen
Hamisi Mandi
24 days
Kuuliza Bei, ila kununua aaah 😄😄
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
11
308
@BDozen
Hamisi Mandi
6 years
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Tweet media one
53
11
287
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#XXLCloudsFM Nilifail kwenda form 5 alafu muziki na wenyewe ulikua haujakubali, ulikuwa muda mgumu sana kwenye maisha yangu - Rayvanny
6
13
293
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#XXL255 Harmonize ni muimbaji ambaye anaweza kupanga vina kuliko wasanii wengi tu wa HipHop wa Bongo - Young Killer
22
17
299
@BDozen
Hamisi Mandi
6 years
#XXL255 Sitofanya muziki maisha yangu yote kwahiyo siwezi kutoboa masikio au kuchora tattoo, sio lazima ukiwa msanii ufanye hivyo hata T.I hana tatoo wala hajatoboa masikio - Janjaro
16
19
293
@BDozen
Hamisi Mandi
6 years
#XXLCloudsFM "Mimi niliingia labour (chumba cha uzazi) Marekani wanaruhusu hiyo ili kuona namna gani mwenza wako amejitolea maisha juu yako, naomba na Tanzania tuanzishe tu hii kitu." - @AyTanzania
16
14
293
@BDozen
Hamisi Mandi
7 years
#XXL255 Linah amesema jina la mtoto wao limetoka kwa Baba wa mtoto ana asili ya uzungu, Pia amesema mtoto wao ni kama Asahd huwa halii
Tweet media one
Tweet media two
16
5
291