Cuzo yangu alienda na dame pale ocha ni Wale Madame huwa wanalike kusoma... amefika ivi ocha asha toa novel, shosho yangu hajawahi ona Ivo alikuwa anashinda akiuliza cuzo 'mutumia karรญ mwarimu?'
Meru people are very funny people in Nairobi they book matatu's then wanaingia nearest bar. Wewe unaenda kubuy ticket thinking matatu Iko na you plus two other ladies seated in, kidogo kidogo unaona walevi saba wameendewa bar gari inajaa ๐๐๐
Huko ruiru place nilikuwa naishi nishawahi pata msee akijaribu hivi. Wenye mnasema mnaweza kata iyo mkono hamjui shit nilipanda kwa kitanda nikaanza kupiga nduru hahaha
Ata kuna siku ingine tumeenda kunywa kwa den flani ndenderu tumechokozana na raiya za kupasua mbao, tukaona mmoja amegurumisha powersaw bana sijawahi piga nduru ivo
Ata sisi tukiwa highschool tulichochwa na some Nairobi cool kids twende on strike turns out walikuwa wanataka kwenda ku watch prison break. Jamaa za ocha tulirudi kuchuna tharaa na kukamia. Never spoke to those bagas again
Tukiwa highschool kuna some people waliunda muratina kwa dormitory. Principal alionja akasema in all his life hajawahi onja muratina fiti ivo, aka sema iwekwe kwa gari yake ataipeleka police station ๐๐๐
One of my biggest fear about marriage ni kurudi jioni unapata mashemeji kama one million walivisit bila notice wako hapo na wife watching vioja mahakamani... While all you wanted was a quiet night
Unafaa kuwa mwendawazimu while raising a family. Shosho nyangu na miaka yake 97yrs akiitana ocha utadhani ni shaolin monk ame summon watu, hadi wababa huacha pombe kwa meza
Yesterday the place I was having a drink the father of Romisto (that boy in red shorts) shared this video with me, he was a very happy father.. 'ona kijana wangu bro'
Haka Ka neighbour huwa hakana bulb ya nje na huwa hakaniongeleshi..... nimeskia kakianika nguo nikazima stima yangu ya nje....
Naskia kakisema Tu 'Nkt Nkt'....
Lakini ata kuna cuzo yangu ashawahi niambia hajatumia matatu for the past 10yrs tukichinja pale ocha, nilikasirika sana btw nikamwambia akapasue kuni za supรบ
HARAMBEE HOUSE, NAIROBI, KENYA
MONDAY, JUNE 24, 2024
The Government of the Republic of Kenya undertakes to all persons within our borders that it will respect, uphold, promote and fulfil the inalienable constitutional right of every person, peaceably and unarmed, to assemble,
Iyo CBC ni upus waliambia cuzo ati mtoto anatakikana Tyre... Saa hii ka mtu ni kadogo hakawezi fikisha Tyre shule na huna gari so unapelekea ka shule, 7:00 uko kwa barabara na suti pushing some worn out Tyre like a retard
Hello and Good Morning fam, cheki, pale IG ya
@njambifever
thereโs an ongoing Giveaway from yours truly, iPlace City. Be part of it, one out of many of our giveaways. Only at iPlace City!