Msambinungwa😍😂 Profile Banner
Msambinungwa😍😂 Profile
Msambinungwa😍😂

@AnthonyEme27082

262
Followers
159
Following
77
Media
634
Statuses

God’s daughter🫶 Nothing serious here✌️. ⚽️ #GGM & #Nguvumoja ❣️

Joined September 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
25 days
🤌🥹🥹
Tweet media one
1
2
8
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
12 days
B&W ✌️
Tweet media one
@Happykonina
Konina🍃
13 days
Black and white thread anyone?
42
15
87
35
28
270
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
9 days
Kwaiyo after church nini hufuata??
Tweet media one
13
2
30
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
1 month
Umekaa zako huna hili wala lile ghafla unaletewa notice ila haya maisha jamani 🥹
Tweet media one
8
4
24
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
11 days
Mtu anitajie silizi kali za kikorea zile zilizotafsiliwa na wakina dijei Mafi 😊
7
2
21
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
13 days
“Mnaposema mapenzi matamu mnamaanisha haya yangu mimi au??”
1
2
14
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
13 days
Ukweli humuweka mtu huru huna deni dada 🤝 Ila mchango wako ni muhimu kwa sasa🤌
@leahwency
Ms Lee
14 days
@Nkololotz Mkiambiwa tuungane kupambania huduma Bora na bure za afya mnapush # wapambanaji wote hawafanyi tu kwaajili yao hata wewe ungeweza kuwa mnufaika wa jumla zaidi kuliko msaada huu wa watu wachache tena wa kuomba, angalien zaid masilahi ya jamii na familia kuliko matumbo yenu.
81
140
791
0
1
12
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
16 days
“Napenda unavyoshika 🎤 na unavyocontrol show” Hrs 💀
3
3
11
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
27 days
Humu ndani mtakuja kuniuwaa mimi wallah 😂😂😂😂💔
Tweet media one
2
3
9
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
1 month
Ndo mlisema tunaokula hivi ni nini??😂😂😂
Tweet media one
2
1
7
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
8 days
Hii acc ilikuwaga ya Nemmy jamani 😂😂😂💔
3
0
7
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
10 days
Ongezea hii wakienda watu maarufu wanapokelewa na kuhudumiwa vizuri na kwa haraka zaidi Ila tukienda wakina sisi sasa unaweza kuondoka bila kupata ulichokifata pale yani huwa wanaona Kama umeenda kuomba na sio kutumia hela yako 💔💔 Wasenge sana wale 🚮🚮😂😂
@OriginoZee17
Zee La Nyeti 𝕏
11 days
Aslay Mihogo Wakienda Wasanii Au Watu Maarufu Mihogo Inawekwa Vitunguu Vikubwa,Nyanya,Hoho Ila Ukienda Wewe Sasa Nimeenda Mara Mbili Sijaona Hivyo. 🤣🤣🤣
65
59
1K
2
2
7
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
25 days
Tweet media one
@NifferMainoo
Je.niffer💚
25 days
Hair thread anyone?😌 Ziwe nywele zako sio wig 🌚
Tweet media one
47
38
262
2
0
7
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
8 days
Tito
Tweet media one
@TitoMagoti
Tito Magoti
8 days
Mwl Nyerere’s legacy is celebrated beyond words at Edinburgh. An idol home & abroad. #DearNyerere
Tweet media one
Tweet media two
83
195
2K
1
0
12
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
10 days
Hizo landilova ndo zimefanyaje jamani? 😤
1
2
5
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
25 days
8/10 👍
Tweet media one
@__KOLZ
Arthur_Grey
26 days
Kwa ambao mshawahi enda pale Zebra restaurant, how would you rate their meals?
7
0
12
2
2
6
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
29 days
Hivi kiafya chupi zinatakiwa kuanikwa nje au ndani?? Ask for a friend though 😤
1
2
6
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
18 days
Watu wa mbeya na viunga vyake naombeni mnipe sifa za wasafwa chapu tupo nje ya muda 😤
3
1
5
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
8 days
Kikukweli nilivyo busy na umaskini sitakutetea hata 🤌ngoja waje 😂😂😂
1
0
4
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
10 days
Mama yangu amepona.🙏
@its_1james
12.11
10 days
Maisha ni magum lakini angalau?!
9
4
32
3
0
5
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
25 days
Sasa sisi wabongo kosa letu nini big?? 🚮😂😂😂😂
@Big_Nicky01
Big_Nicky✊️
25 days
Mtu inaleta agenda humu ndani unaulizwa maswali unajibu usenge Sasa kama ulikua hutaki mjadala siunge Baki nao mwenyewe, Sasa jiulize kama Mtanzania anajibu vile unategemea kwenye hizo international opportunities tutakua wengi Sasa , Wabongo tuna roho mbaya sana kumamake 🙌
5
7
22
1
0
4
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
12 days
🤌🥹
Tweet media one
@boris_the_name
boris👨🏽‍🍳
12 days
Tweet media one
18
20
249
1
0
4
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
26 days
Kwaiyo ile challenge ya kugalagala bado mimi tu kuifanya si ndio?? 😂😂😂
0
3
4
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
14 days
Wewe ndo Yule jirani wa Msaki anaempikiaga zile vyakula za jela?? 😂😂😂😂
@unfatplease
Jega❤
15 days
Just found out mimi na big nicky tunatoka mkoa mmoja,na msaki ni jirani yangu.What an honor guys😫🔥❤😂.
39
37
242
1
1
4
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
16 days
Hrs 💀
Tweet media one
0
0
4
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
8 days
Ilaaaah humu 😂😂😂😂😂😂😂🙌
2
1
5
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
1 month
Good morning 🥰
Tweet media one
2
2
3
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
27 days
Anapitia kila tweet me mtaniuwaa jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌💔
Tweet media one
1
0
4
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
23 days
Ikishafikaga usiku ndo madeni yanauma zaidi sijui kwa nini yani 😂😂😂💔
1
1
4
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
11 days
@Lizzie36021 We hujui mahi?
1
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
20 days
😂😂😂😂😂💔💔
Tweet media one
0
0
3
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
8 days
Kwaiyo Boni tokea unyoe mwezi wa 6 ndo umenyoa tena leo??😂😂
@bonifacejoseph_
Bony 📚
9 days
Daah, leo Kidogo kajitahidi Angle imeonekana 😁
Tweet media one
36
3
97
1
0
3
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
8 days
Kaka chukua wote nibakishie Big tuu atanitosha 🤌🥹
@claramogul
CLARA 🖤
8 days
🖤!!!
51
23
377
1
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
8 days
Tweet media one
@Gery_Gerrald
Gery
8 days
✌🏿
Tweet media one
6
8
48
1
0
3
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
10 days
Juli wewe ndo mwanaume pekee unatuvutia humu ndani 😍
@julip202
Julip20
10 days
Nawatakia heri ya sabato kwa wote. Tuendelee kumtukuza mungu askari zangu🙏🏽🙏🏽.
Tweet media one
77
26
570
2
0
3
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
1 month
@Lizzie36021 Kaka nimekumiss sana aisee 🥹
1
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
16 days
Huyo Magogoni daile ananikwaza sana kila nikiscroll nakutana na lipicha lake 🚮🚮
0
0
3
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
14 days
Inategemea unaishi wapi Chazi huku kwetu umeme upo 😂😂
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
14 days
Huu umeme ni Tanzania nzima???
5
2
50
1
0
3
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
26 days
Ugali + kachumbari + mlenda + dagaa mchele >>>>>>😤
0
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
16 days
My hands,your waist,my heart away.. Unanikuna kuna nikuna kuna.. My lips,your lips,they touch we kiss.. Unanikuna kuna nikuna kuna… Nipe nikupe come to the dance floor beib..🔥🔥😍🥰❤️❤️
@abumburu
ابو
17 days
Tweet media one
284
491
8K
1
0
3
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
12 days
Ilaaa humu 🙌😂😂😂💔
@Kingston_Kappa
Broski_
13 days
Kama alikuwa anakandia bima ya afya while his pops is struggling on bed mpaka anafariki(Rip), that means now ataikandia kwa nguvu za ziada??? Cz hana mgonjwa tena anaihitaji hiyo bima. Ama?
Tweet media one
4
3
9
1
0
3
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
8 days
Kwa sababu cm ninayotumia kupiga pc ni yangu,bando ni langu, huu ukurasa ni wangu, maa Mizo ya muda gani nijipost ni yangu, lakini kubwa kuliko wenye hizo platform ninazotumia kujipost hawakuweka ukomo na masharti na ya kujipost. 😂😂😂😂🔥
@bdozen_
𝐁𝐚𝐛𝐚𝐈𝐯𝐚𝐧!🕊
8 days
Kwanini unajipost kila siku?
2
0
17
1
0
4
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
8 days
Kaza buti Mopao unaweza hurumiwa 😂😂
Tweet media one
@chafosasimba
Chafosa Simba
8 days
Cherries nasalaki monso,mpo na yo obonga mwasi mobimba na mibali ebele oyo oh.... ❤️‍🔥
1
0
1
1
0
4
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
8 days
#DearNyerere huwezi amini ni siku yako Leo lakini hadi muda huu sijatia na wala sina uhakika wa kutia chochote mdomoni leo 🥹
2
0
3
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
16 days
Ndo shida ya kuhoji watu wakiwa kwenye majonzi na uchungu mwingi 🙌🙌💔
@spana_Konki
Spana & V.A.R Movement
16 days
Kaka mtu kamwaga kuku wengi kwenye mchele watu wamefungua code
104
107
1K
0
0
3
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
26 days
@jinnyX66
SHALIPOPO 🦇
26 days
Fine Girls where are you !??
5
11
30
1
2
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
1 month
Iringa.
@Lizzie36021
chuga girl❣️
1 month
Ni mkoa gani hata upewe nn huwezi ishi??🤣👇
21
3
74
1
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
20 days
😂😂😂😂😂💔💔
@boris_the_name
boris👨🏽‍🍳
20 days
Every time we have a wedding at home, my uncle is on my neck. This time he even did the work😁
Tweet media one
111
30
346
0
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
26 days
Tweet media one
@RahmaMwita
Rahuuuum
26 days
Mambo kama haya ndo mana nakwambia Fatma njoo ACt nikupe Kadi uwazindue watu wa kahama kua serikali ya sisiemu hata ipewe miaka 50 haiwezi kuwaletea maendeleo. Njoo ndugu yangu unaweza hata kugombea na kura watakupa 👏🏿👏🏿💯
2
0
6
1
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
21 days
Hii ndo tabu ya wanasheria kuwa wengi mtaani bila Ajira 😂😂😂😂💔
@spana_Konki
Spana & V.A.R Movement
21 days
Kanuni na ibara zake zizingatiwe 😂😂😂 #TuesdayVAR
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
85
78
798
0
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
8 days
Tweet media one
@blazadadee2
Shababi wa-Shamba
8 days
Mficha maradhi kifo humuumbua!! Jamani wadada wa humu naombeni penzi. Nina mwezi mzima sijafanya....🥹
6
5
14
0
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
11 days
Nimwambie nani??
@Lizzie36021
chuga girl❣️
11 days
Mwambie akutumie chat zenu za jumatatu ya week hii 😁😁
17
5
77
1
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
18 days
@Torati_Kami Have it all kaka binamu ❤️
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
26 days
Nilishakwambia utakuja kufaa kwa kukosa pumnzi 🚮😤
1
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
29 days
Tweet media one
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
29 days
Kwa kutumia picha elezea wikiendi yako ilikuwaje???
8
2
101
0
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
14 days
@MarekaMalili 😂😂😂
0
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
19 days
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
11 days
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
25 days
Hip hop ni maisha mrembo 😂😂
@NICE_JONAS4
MS. VERSATILE ☘️
25 days
Ndugu yenu anahukumu sanaa kama vile yey ni Yesu anaitwa watu Makahaba na kupangia watu namna ya kuishi Mungu kama nitakuja mbinguni naomba nimkute 😎🙏 Maana yeye kakamilika kuliko watu wote humu
7
18
76
1
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
12 days
Kama uko single linatoboa Chazi
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
12 days
Hili ukiwa nalo ghetto likatoboa mwezi wewe mwamba
16
5
92
1
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
12 days
@fezoomaster @250_chacha Mwenyewe ulikuwa umetulia zako tu mai wangu 😂😂😂
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
14 days
@Big_Nicky01 We mzee 😂😂
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
25 days
@rastaclaaaat 😂😂😂
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
25 days
Big zile acc za watoto wazuri anart sijui huwa anazikuta wapi😂😂😂😂
Tweet media one
0
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
14 days
@Big_Nicky01 Hi babe 👋
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
19 days
Shem kama shem 😂😂😂
@samz__23
Samz•
19 days
"You're not my boyfriend you're my husband 🥹"
17
6
99
0
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
12 days
@INFLUENCERjr Unatembea sana usiku huu kalale Chazi 🚮😂😂
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
11 days
0
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
27 days
Bado kupigiwa cm 😂😂😂😂😂💔
Tweet media one
@NifferMainoo
Je.niffer💚
27 days
“Kaa mbali na mwanaume wangu” kakuoa huyo mbona hata kwao hutambuliki shost ?😂 Af siku nyingine usitumie parody njoo live tusemezane
12
6
25
2
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
1 month
@Big_Nicky01 @spana_Konki Hapana hii sio kawaida yako 😂😂
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
27 days
Usisahau me ndo nitakuwa co-host sawa😂😂😂
Tweet media one
@NifferMainoo
Je.niffer💚
27 days
Leo nina jambo langu pale mjini space 🌚 Ngoja game ya Yanga iishe
Tweet media one
2
1
23
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
8 days
Nimekusogezea mama anunuliwe saa 🙏😂😂
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
1 month
@INFLUENCERjr Chazi 😂😂💔
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
29 days
😂😂😂😂
@capitanpapilon
Venga
29 days
Wanawake wenye sura za baba zao wanajua sana mapenzi ya kitandani
25
25
203
0
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
1 month
@miss___queen15 Mekumiss pia mom 🥹
0
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
24 days
😂😂😂😂
Tweet media one
@rastaclaaaat
LONEWOLF🐺
24 days
Kama una mpenzi na anakutreat vizuri, anakupea pesa, mnapendana wenyewe na unaona kabisa huwezi toboa bila yeye unataka kuspend life yako yote na yeye…MBWA nyinyi!!
38
10
110
0
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
27 days
@BinLaaden__ 😂😂😂😂💔
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
18 days
Nisaidie namba ake 💀
@Ninja_Damour
N I N J A
18 days
Huyo anaitwa Paula, ukimpigia simu ukajitambulisha vizuri anakuuliza ukwapi akuibukie 😄
17
0
26
0
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
20 days
Kuna dada wa kazi namsukaga alipewa infinix ikaja samsung now kaletewa iphone 13 aise dada ana upendo na watoto wa boss yani upendo wa hali ya juu boss wake anampenda anamlipiaga kusuka,nguo ukimuona hadi uambiwe ni jeshi la vyombo(joke)😂 ndo utaelewa coz anapendeza mno mno🥰
@RahmaMwita
Rahuuuum
20 days
Nimemnunulia Dada yetu wa nyumbani simu kwa sababu anakaa vizuri sana na Mtoto wangu Alhamdulillah. Sasa namfanyia Setting alitaka whatsapp ndo naona alichat na Dada ake hivyo. Mwenyezi Mungu atujaalie majumbani kwetu pawe sehemu nzuri za kazi kwa tunaowaajiri.🙏🏾💯
Tweet media one
Tweet media two
378
69
1K
1
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
1 month
Tweet media one
@fezoomaster
fezoo
1 month
Ww ni mwanamke mzuri kushinda wanawake wote humu ndani hakika umeumbika my
10
0
21
0
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
1 month
Mimi sikuwepo humu jamani mnipe summary 😩😂😂😂
@spana_Konki
Spana & V.A.R Movement
1 month
Mahusiano yale yana hekaheka, mara kama yuko kwenye mahusiano, mara kama yuko single, kuna muda ni kavishwa Pete, kuna muda ni kama anatafuta mtu, kuna wakati ni kama ana ndoa. Mchanganyo Bwana Yesu alikataa
Tweet media one
51
57
619
2
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
16 days
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
25 days
Ameeen tajiri 😍
@BinLaaden__
White Dove 🕊️
25 days
I'm so haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaappy☺️🙃 huyu Mungu wangu ninae mwabudu na kumuomba ananijibu, ananipenda na kunipendelea zaidi kiasi nashindwa kuelezea akatende na kwako wewe mwenye uhitaji wa kitu chochote kuanzia Leo. Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah 🙏
51
78
555
1
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
12 days
@???
@hisnamefreddie
Jamaa Mmoja
12 days
Kwahiyo hadi kitengo cha Twitter Fraud Intelligence Unit ilishindwa kujua kuwa jamaa ni scammer? Hahaa kmmk mnapenda kujipa umuhimu sana humu
7
4
30
1
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
8 days
@Lizzie36021 😂😂😂😂😂
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
9 days
@rastaclaaaat Ngoja waje hapa 😂😂
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
10 days
@crownstanley Wapuuzi sana wale 😂😂
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
1 month
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
14 days
Unpopular opinion 🤝😂😂
@DullahTheking2
Dullah_theKing🎶
15 days
ROSA REE angetakiwa ndio awe namba moja kwa upande wa wadada kiwandani bila kujali aina ya Muziki..... 🚶🏾‍♂️
17
29
231
0
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
20 days
@BinLaaden__ @INFLUENCERjr Chazi Miyeyusho huyo 😂😂
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
20 days
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
12 days
@miss___queen15 We unaenda kufanya nini huko?? 🚮😂😂
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
25 days
Kuna kitu bado sijaona kwenye hii challenge 🤌
@TemmyCakesss
Fine_Girl Temmy✨
26 days
Guys on lowcut, please bless us with a picture🤭🤲🏼🥰
530
250
2K
0
0
2
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
1 month
@miss___queen15 😂😂😂
1
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
13 days
@DabaNdaki HAPANA 😆
2
0
1
@AnthonyEme27082
Msambinungwa😍😂
24 days
Haya mdada ambae hajawahi kunywa p2 atuongozee sala tulale tafadhari 😊
Tweet media one
0
1
2