SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡ Profile Banner
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡ Profile
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡

@jinnyX66

4,340
Followers
2,905
Following
6,808
Media
61,946
Statuses

I just deserve success, itโ€™s my birthright.

Top of the world
Joined April 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 day
Donโ€™t let the noise of the world keep you from hearing the voice of God๐Ÿ™
4
16
25
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
9 months
kipindi shetta ana sema "yo baba qaylah" kumbe alikua anachanganya siasa na muziki sema huyu dogo ana confident moja Kali sana ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
35
38
1K
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
6 months
Usicho kijua nikwamba Kaka yake ayrastarr ameajiriwa pale mavins Recon kama co-writer na ndiye muandishi wa hit song zote za ayra unazozijua
Tweet media one
15
51
1K
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
9 months
Marioo ukimpa verse kipande Chake kina Beba nyimbo lakini alifanya makosa kumpa verse Konde boy nahisi hata sahau ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
81
45
1K
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
7 months
Hiki kipande kinajibu maswali 100 ya Kwanini matikiti,Nchumali wala kibaka hamna mwenye sifa yakuitwa international artist
48
79
478
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
23 days
Jina Gani gumu la ukoo ulishawahi kukuta mtu anaitwa??๐Ÿ˜‚
Tweet media one
186
38
475
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
5 months
Ila kusema ukweli yanga isingecheza na hii mamelodi tunge zidi kudanganywa kua mamelodi ni tishio lakini ni Timu ya kawaida sana .
18
48
446
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
2 months
mtoto mzuri nilitaka kuuliza unajisaidia kweli nikakumbuka ulivyo chafua nyumba na mavi๐Ÿ™Œ
@OmggItsBambi
Bambi
2 months
Donโ€™t mind me, Itโ€™s ovulation week.
61
30
372
147
41
432
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
4 months
halafu ukute na sketi kafupi ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
Tweet media two
66
36
401
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
7 months
๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿงตโœ๏ธ LIL FROSH ; MSANII WA DAVIDO ALIYE HARIBULIWA CAREER YAKE YA MUZIKI NA MWANAMKE kama ilivyo kwa samsoni na Delila , Adam na Eva katika maandiko matakatifu basi hakuna jipya katika maisha yetu ya sasa matukio kama haya yamekua sio mageni maskioni mwetu
Tweet media one
31
63
385
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
4 months
๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿงต UPDATE PLAYLIST YAKO NA NYIMBO (10) MPYA KALI KUTOKA AFROBEAT APRIL 26 1. Tems ~ love me jeje
Tweet media one
16
89
384
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
10 months
PLAYLIST YA NGOMA ZAKUSIKILIZA Kipindi hiki Cha baridi ukiwa umekumbatiwa๐Ÿซ‚ 1.Ric Hassan ~Angel
Tweet media one
29
127
372
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
8 months
Huu mfupa unaitwaje ??
Tweet media one
272
27
369
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
8 months
Tuko na Fisi hapa kijiweni tunapiganae story kama ni kweli yeye na sungura walikua marafiki au vip??๐Ÿ˜
Tweet media one
47
39
363
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
10 months
Nimechoka kujiuliza wakuu Hivi Kuna wachaga ambao ni waislamu ???
Tweet media one
54
16
359
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
3 months
maisha Yana badilika imagine watu wa Twitter ndio tunasoma vizuri habari za kimambi
Tweet media one
16
30
346
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
3 months
"Leo ni sabato sitaweza kuja kukusalimia"
Tweet media one
11
30
341
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
7 months
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚aaah watu niwachokozi kisengee eti Ms Bee amepata msukule biashara yake ya asali na viatu iende
Tweet media one
64
37
303
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
7 months
nimetoka kuangalia video ya gharama kutoka kwa msanii wa Bongofleva ๐Ÿ˜
Tweet media one
24
28
293
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
3 months
"Dk mbili chaliii" Baada ya kukutana na wasamaria wenye hasira Kali ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
9
23
288
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 year
MALKIA WA NGUVU ๐ŸŒน "Nilimchagua mama yangu kua meneja wangu kwasababu ni mtu pekee ninae muamini" ni maneno ya burna boy katika interview moja alipoulizwa Kwanini mama yake na sio mtu mwinginee kama meneja wake .
Tweet media one
23
83
288
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
8 months
SOUL SPEAKER โœ๏ธ๐Ÿงต Stanley Omah Didia jina la umaarufu Omahlay Aliyezaliwa 1997 May 19 Ni mwanamuziki na mwandishi wa nyimbo za Afrobeat kutokea maeneo ya River State nchini Nigeria ambae baada yakumaliza masomo yake ya sekondari alijiunga na University of port Harcourt
Tweet media one
28
81
287
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
10 months
PLAYLIST YA NGOMA ZAKUSIKILIZA UKIWA Umeachwa,Hutaki mapenzi au mapenzi yanakutesaโœ๏ธ 1. FIREBOY DML ~ God only knows
Tweet media one
30
116
289
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 month
Huu mtandao sio sehemu salama ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
31
31
289
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
8 months
Jina halisi la Tiwa savage ni TIWATOPE OMOLARA SAVAGE ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
24
30
276
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
8 months
AMEWEKA ALAMA KUBWA KWENYE INDUSTRY YA AFROBEAT๐Ÿงตโœ๏ธ Najua umekutana na story za Olamide kumsaidia Asake na fire boy Au Don jazzy kumsaidia Rema, ayrastarr,crayon na wasanii wakubwa pale nigeria kupitia labels zao Yani mavins na YBNL Basi...๐Ÿ‘‡
Tweet media one
22
47
278
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
7 months
๐Ÿงตโœ๏ธ ๐Ÿšจ๐ŸšจITS WEEKEND UPDATE YOUR PLAYLIST NA NYIMBO MPYA (10) ZA AFROBEAT ๐Ÿš€ 1. Usher ft Burnaboy ~coming home
Tweet media one
15
73
271
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 year
๐Ÿงต KIJANA WA MAMA ๐ŸŒน "Mr money " Ahmade ololade stage name Asake ambalo nijina la mama yake Wengi wakiwa wanaamini alibahatisha nakutoboa mwaka 2022 lakini za ndani na record silizopo nikwambaa Asake ameanza sanaa kitamboo sana
Tweet media one
15
68
262
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
7 months
mapishi ili kaa mahali yake wazee ๐Ÿ˜‚ #Cookwithshalipopo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
7 months
Mungu akibless Leo Nile chapati za kusukuma nipike mwenyewe ๐Ÿ’€
Tweet media one
2
9
32
154
38
252
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
5 months
Huu ujinga wakua na best friend wakike ni mtego tu bado atakuomba hela kama vile wewe ndo boyfriend wake ๐Ÿšฎ
31
43
250
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
7 months
Bado semi final za AFCON watu waumie vizur hii ishakua vita sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Tweet media one
Tweet media two
16
36
240
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
2 months
"East Africa nzima Kenya ndio Ina wanaume "
Tweet media one
Tweet media two
23
22
241
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
10 months
๐Ÿงตโœ๏ธ KING OF OUTLAW "VICTONY" Antony ebuka victor aliezaliwa January (5 2001) stage name yake akijulikana kwa jina "victony"...
Tweet media one
Tweet media two
20
62
238
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
3 months
Manka akitoka Moshi Manka akifika dar
Tweet media one
Tweet media two
24
37
231
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
6 months
kumekua na kaubishi kidogo Tukamalize Work of art Vs Mr money 1v1 Best 10 songs from each album piga kura๐Ÿ‘‡
Tweet media one
Tweet media two
30
45
232
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
6 months
TOP 5 YA NGOMA KUBWA ZA DAVIDO ALIZOANDIKIWAGA . Imekua ni tofauti sana kwa wasanii kutoa shoutout kwa waandishi halisi wangoma zao *Lakini kwa Davido hilo ni swala dogo na yeye ndiye sababu ya waandishi kupata Thamani yao pale Nigeria list ya ngoma na waandishi wake ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
26
43
224
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
3 months
Kuna wakati unataka kumkataa harmonize ila akitoa ngoma unasahau ๐Ÿ™Œ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
27
27
220
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
6 months
Zablon singers kumbe ni wa kenya ????!!!! na sio watanzania aseee
27
22
219
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
19 days
niffer wa Instagram na niffer wa Twitter anayepiga madili ya hashtag wakikutana watapigana sana ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
15
25
225
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
29 days
Leo Hadi wanao tumia dildo wanasema hamna haja ya kuomba ruhusa hatutaki maoni yenu ๐Ÿ˜‚
19
30
209
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
7 months
Kuna watu wanavipaji wallah๐Ÿ™Œ
13
50
195
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 month
akiwa kavaa nguo Akivua
Tweet media one
Tweet media two
29
45
192
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
6 months
Hii mnakubaliana nayo wakuu???๐Ÿค”
Tweet media one
48
21
187
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
8 months
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mbona kama marioo amerudia makosa tenaa kmkee au tuipe muda
Tweet media one
32
18
184
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
26 days
me and mine โค๏ธ
Tweet media one
67
18
183
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
7 months
Davido Devi huyo
Tweet media one
Tweet media two
22
21
178
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
8 months
Ufugaji kazi sana kuku unambadilishia chakula kila mwezi anataga yai la hivi ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
Tweet media two
38
34
168
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
11 months
HII HAPA LIST YA NGOMA BORA 10 ZA AFROBEAT 2023 MPAKA SEPTEMBER 29 KUTOKANA NA MAIN STREAMS NA MITANDAO YA KIJAMII 10. Blaqbonez - like Ice spice
Tweet media one
17
64
173
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
5 months
๐Ÿงตโœ๏ธ TYLA KUTOKEA SOUTH AFRICA MPAKA DUNIANI Bila shaka ndoto mbaya kwa wanigeria hivi sasa ni ukimwambia msanii wao atakua kipengele kimoja Cha tuzo na tyla jina halisi "Tyla laura Seethal" mtoto mdogo wa januari 30 ,2002 mzaliwa wa Johannesburg, Southafrica .......
Tweet media one
29
59
171
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
6 months
๐Ÿงตโœ๏ธ ANACHO KIFANYA KIDAYOO NI MARUDIO KILISHAFANYIKA ZAMANI !!! Imenichukua muda kidogo kutafakari kauli ya wizkid akisema kua "yeye sio mwanamuziki wa Afrobeat na kamwe msimuite hvyo " Kwanini wasiseme wengine kwa Nini aseme yeye tu au ni kiki tu majibu yake ni :
Tweet media one
14
42
165
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 month
Tumieni condom watoto wanasumbua sana kwenye nyumba zakupanga usiku wanalia tu ๐Ÿ˜‚
12
26
170
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
3 months
๐Ÿšจ๐Ÿงต ITS FRIDAYYY UPDATE PLAYLIST YAKO NA NYIMBO MPYA KALI KUTOKA AFROBEAT WIKI HII 20 JUNE๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ 1. Asake ft Central cee ~ Wave๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
14
55
163
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
5 months
mdada akishatanguliza Tako kwenye picha zake mtangulizie pesaa utaniambia ๐Ÿ“Œ
18
43
162
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
8 months
PLAYLIST YA AFROBEAT ITAKAYOBARIKI JANUARY YAKO๐Ÿงตโœ๏ธ 1. Asake~ only me
Tweet media one
18
41
149
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
29 days
๐Ÿšจ๐Ÿงต ITS FRIDAYYY UPDATE PLAYLIST YAKO NA NYIMBO MPYA KALI KUTOKA AFROBEAT WIKI HII AUGUST 9 ๐Ÿ™Œ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ 1. Asake's New Album ~ Lungu boy
Tweet media one
11
48
150
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
5 months
Hivi mnaweza kuamini Hit kubwa kama "Calm down" haikupata hata nomination moja kwenye Grammy ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
17
28
148
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
8 months
Hizi moments za kulala ndugu mnapo kutana zimeishaga kwasababu ndugu wanaongoza kulana sana๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ
Tweet media one
16
16
145
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
4 months
mwambieno asenalo ameyakanyago
Tweet media one
10
20
141
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
10 months
๐Ÿงต #TBT ya NYIMBO 10 ZILIZO WAHI KUSUMBUA AFRICA 1. Davido ~aye
Tweet media one
30
29
134
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 month
Kuna mwanangu Yuko huko UK ananiambia ukiwa kule ukajitambulisha unatokea Nigeria basi maisha yako yanakua marahisi hata Milo mitatu ya chakula Cha kiafrika haitakupiga chenga kosea useme unatokea Tanzania ๐Ÿ˜‚
10
21
139
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
2 months
kwamfano ukipelekwa mirembe kimakosa utawadhibitishia vipi madaktari kua ww sio kichaa ๐Ÿ˜‚
18
29
137
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
5 months
๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐ŸงตUPDATE PLAYLIST YAKO NA NYIMBO MPYA ZA WIKI HII(10) APRIL KUTOKA AFROBEAT IT'S FRIDAYYY 1. SIMI FT TIWASAVAGE~ Men are crazy
Tweet media one
10
44
139
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
9 months
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ naruka na ya Konde boy
Tweet media one
20
19
134
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 month
kiporo Cha wali Harage ni ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
Tweet media two
15
23
137
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
2 months
๐Ÿงต๐Ÿšจ๐ŸšจIT'S FRIDAY UPDATE PLAYLIST YAKO NA NYIMBO MPYA KUTOKA AFROBEAT ZILIZOTOKA WIKI HII JULY 2024 1. Dj SPINALL, OMAHLAY & TYLA~ONE CALL
Tweet media one
17
51
135
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 month
kumbe pesa zikianza kuingia unatakiwa uanze kurudisha fadhila kwa demu wako aliye kuvumilia kipindi ukiwa huna ๐Ÿ˜„
11
23
137
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
11 months
๐Ÿงตโœ๏ธ BIFU ZITO LA KIMUZIKI NIGERIA 2016. Kila linapokuja swala la Tuzo linanikumbusha Tukio maarufu na zito lililo tokea katika ugawaji wa Tuzo za muziki Nigeria "The headies" za mwaka 2015 lakini ziligaiwa januari 1 , 2016 ukiwa ni msimu wake wa kumi.
Tweet media one
Tweet media two
10
39
132
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
7 months
" Nilikua na wanangu kina chinno tunakula maandazi eeh" sasa hivi Ina sound kinafki sana ๐Ÿฅฒ
Tweet media one
16
23
134
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
3 months
unaruka na ipi kati ya hizi
18
36
132
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
11 months
Boris low budget nimetoa kitu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
27
19
129
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
5 months
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ miwili yetu Binadamu itachoka kabla hatujafa Supu ya pweza haitoshi ??
Tweet media one
24
7
129
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
9 months
mambo hayo
79
24
125
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
10 months
PLAYLIST YA NGOMA ZAKUSIKILIZA KWA wapambanaji,wasio kata tamaa na kuamini kesho ipo. 1. Davido~Stand strong
Tweet media one
14
61
127
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
12 days
Nimeamka nakutana na video ya GOAT wa east Africa kama nchi we are so blessed ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
13
22
129
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
4 months
Kuna demu kitaa hapa alikua wa moto halafu ni wakishua amepata mimba mwanangu Leo ndo ananipanga yule demu alitakaga namba zangu jamaa akamnyima kwasababu "demu alikua hajatulia" sasa nimesha mjua mchawi wangu ni nani na kwann mambo yangu hayaendi ๐Ÿ˜‚
7
25
130
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
8 months
Nimekutana na hizi moments hasa kwenye daladala unakuta mzee au mama wawatu kakaa kwenye siti anaangalia video au picha alizo wapiga watoto wake huku anatabasamu huwaga nafurahi sana kuona hichi kitu ๐Ÿซ‚
5
26
125
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
10 months
Msigwa tukifungwa ng' oeni hizo Tv zangu wekeni mabango yenu ya uzazi wa mpango.
Tweet media one
19
22
122
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
7 months
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ chopper ni comedian sema ndo hvyo hii uno iliimbiwa kwenye mabati "mnaonaje chopper akapata subscribers 100K "??
28
23
124
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
6 months
Asake Achawe !!
Tweet media one
Tweet media two
6
13
125
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
6 months
"pale Umezaliwa halafu ukute baba yako anawahi kuamka asichelewe kipindi chuoni"
Tweet media one
12
21
121
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
5 months
๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿงต NI IJUMAA LAKINI NI IJUMAA KUU UPDATE YOUR PLAYLIST NA NYIMBO 10 MPYA ZA WIKI HII KUTOKA AFROBEAT ๐ŸŽง 1.MAGIXX~4DAYZ
Tweet media one
15
31
118
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 month
Yanga๐Ÿ’› 3 Simba 1 ๐Ÿ”ด Baleke โšฝ Balua โšฝ Dube โšฝ Aziz ki (p) โšฝ
17
28
120
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
5 months
Hii version ya Harmonize Sijui kama itakuja kutokea tena ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
20
27
119
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 month
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Amini katika miujiza
Tweet media one
25
17
121
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
5 months
Njia pekee ya ku survive mjini ni kumchumbia mama ntilie upate uhakika wa chakula ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
12
23
116
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
2 months
Dogo ashatuuza ๐Ÿฅฒ
Tweet media one
Tweet media two
13
26
119
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
6 months
kama unajua muvi yeyote ya huyu mwamba nitajie Nina shida nazo ๐Ÿ™
Tweet media one
23
17
111
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 month
Unakaaje kizembe hapa mjini Tafta mnyonge wako muibe mpenzi wake na yeye akeshe akilia na nyimbo za mbosso๐Ÿ˜„
12
36
116
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
4 months
Kuna screenshot zilikua za utani humu ila zinaenda kua vita ๐Ÿ˜‚
7
24
110
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
4 months
Wanawake wakichaga wanajua kunusa mafanikio ukiona anakuvumilia ujue kabisa sio muda mambo yako yatakaa poa
3
18
113
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
4 months
Kitu kimoja mnatakiwa muogope ni lile tabasamu analokupa adui yako kwasababu Lina maanisha Kuna sehemu umeshapoteza
4
24
114
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
11 months
"Geto kwako siji mpaka ukanitolee mahari kwetu wakujue tuoane"
Tweet media one
22
25
114
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
24 days
Nahisi sasa hivi mumeelewa kwa Nini Fabrizio hawezi kutoa taarifa za Usajili Africa mchezaji anasajiliwa pre-season tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
6
25
113
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 month
niende kwa manka hapa na jezi yangu nikale na kula halafu niangalie hicho kikosi Cha yanga
Tweet media one
10
21
114
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
7 months
Hawa wadada wa 30+ wameanza kua warembo machoni mwangu nishalogwa nn??
21
23
110
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
11 months
Ukiwa mizunguko halafu ujisachi ukute hauna simu ๐Ÿ˜„
Tweet media one
14
20
107
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
6 months
๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿงต NI IJUMAA !! UPDATE YOUR PLAYLIST ๐ŸŽงNA NGOMA MPYA( 10) ZA AFROBEAT ZA MWEZI MARCH 2024 1. Bella Shmurda ~ Loner
Tweet media one
13
43
108
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
15 days
๐Ÿšจ๐Ÿงต ITS FRIDAYYY UPDATE PLAYLIST YAKO NA NYIMBO MPYA KALI KUTOKA AFROBEAT WIKI HII AUGUST 16 ๐Ÿ™Œ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ 1. OMAHLAY ~ Moving
Tweet media one
12
48
115
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
11 months
๐ŸงตVERSUS BATTLE REMA ๐Ÿ†š FIREBOY DML Rema Yuko ndani ya label ya Don jazzy ( mavins) kihistoria Rema harakati za kimuziki alizianza 2015 . Na fireboy Dml Yuko ndani ya label ya Olamide (YBNL) kihistoria alianza harakati za muziki 2012
Tweet media one
Tweet media two
32
39
108
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
1 month
Nitashangaa sana kama mtu ataniambia anapenda mziki lakini hamsikilizi burnaboy au hamkubali ๐Ÿ™Œ๐Ÿ’”
15
27
108
@jinnyX66
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡
4 months
Ukitaka mpenzi wako awe na Gari kama wapenzi wa rafiki zako nunua mawili mpe moja๐Ÿ“Œ
11
26
109