Je.niffer💚 Profile Banner
Je.niffer💚 Profile
Je.niffer💚

@NifferMainoo

6,786
Followers
1,955
Following
1,192
Media
33,823
Statuses

God's daughter 😍 Mzumbe Alumni, BBA-Marketing. I'm in love with Manchester United ❤️ & Young African FC💛💚 I love you G♥️

Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 months
Good morning wapenzi ❣️ Nauza hereni Pair moja ni 3,000 0754618108/ 0625856076 Delivery ipo ✅
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
17
38
63
@NifferMainoo
Je.niffer💚
14 days
Bwana harusi kanywea ghafla 😂😂😂
242
344
2K
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Eti jamani😂
Tweet media one
499
61
1K
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
😁
Tweet media one
@Sigi3Peter
Pierrestylish104
1 year
Quote this with a picture of you wearing jersey
Tweet media one
126
25
513
131
59
1K
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Nasoma comments 😄
Tweet media one
74
70
1K
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Mmesikia nyie wanaume?🤣
Tweet media one
274
37
1K
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Utaweza??
Tweet media one
249
38
903
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Wanaume mliopo humu na hamjawahi kujibishana Wala kutukanana na mtoto wa kike, Mwenyezi Mungu awabariki Sana🙏😍
138
52
787
@NifferMainoo
Je.niffer💚
3 months
Leo kwetu ni shereheeee 💚💛
Tweet media one
67
57
778
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Utakubali?
Tweet media one
239
37
754
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Nasoma comments 😆
Tweet media one
443
37
716
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Mtag hapa apokee mauwa yake❤️
Tweet media one
251
42
657
@NifferMainoo
Je.niffer💚
9 months
Dada olewa na makabila haya hutojutia Wasukuma Wachaga Wakinga Wamakonde Wahehe Wahaya Wameru Wanyakyusa Wanyiramba
191
63
640
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Mtag hapa😌
Tweet media one
215
52
574
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Haya maswali mengine bhn😂😂
Tweet media one
191
29
537
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Utakula na ugali au wali?😂
Tweet media one
160
18
527
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Nimeota Simba kafungwa 3 bila kwa Mkapa🙆
122
37
515
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Kila nilipokuwa nakula ugali na sukari, Mayele na Aziz ki walipita mbele yangu kunilingishia nyama
Tweet media one
38
13
514
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Utashushia na kinywaji gani?
Tweet media one
226
31
491
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Eti uko tayariii??
Tweet media one
227
27
471
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Utashushia na kinywaji gani?
Tweet media one
158
26
465
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Ukisema filter nakublock😏
Tweet media one
117
36
471
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Hakuna mchezaji handsome Kama huyu😍😍
Tweet media one
61
20
448
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Haya twende kazi
Tweet media one
341
40
445
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Eti utaendelea?😂
Tweet media one
188
32
399
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Naomben dawa ya kuondoa hivi vinyweleo😓
Tweet media one
149
19
379
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
@kalage_jr babe mambo? Nakuja kukupikia Leo🌚
Tweet media one
12
10
360
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
App gani nzuri kwa betting? 1) Sportpesa 2) Betway 3) Wasafi bet 4) 1xbet 5) M-bet
110
17
346
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Eti mtaingia kweli?😂😂
Tweet media one
73
31
344
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Tukoooo😂🏃
Tweet media one
@beri_grizou
Beri🌚
1 year
Dark skin girls🌚😍 you giving us a picture??
1
273
828
28
22
342
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Simu ziite jamani🌚🌚
Tweet media one
34
17
348
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Haya twende kaziiii
Tweet media one
137
16
345
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Ndoto ya kila mwanaume
Tweet media one
70
18
302
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
🌚
Tweet media one
@Afia_Dimple
AFiA DiMPLË
1 year
TBT pic in black and white 🖤🤍
Tweet media one
84
193
1K
52
29
313
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Utafiti unaonesha kuwa Man Utd inawachezaji handsome kuliko vilabu vyote duniani😊
Tweet media one
42
20
310
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Ila sisi wadada bhn😂sijui ni malezi ama ni nini! Nina rafiki yangu hawezi fanya chochote si kupika wala kufua, nguo zake anampa mtu anamfulia hadi nguo za ndani, hata kuchemsha chai hawezi😂yani yeye kazi yake ni kubandika kucha na kujiremba tu, sasa huwa namuuliza watoto wako
52
15
312
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Mambo zenu😭 Niffer wenu nmerudi jaman
72
51
299
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
"kumbe mtu mwenyewe ndio huyu, kweli filter ziheshimiwe" "Mbona kakomaa hivi" "Mmmh ata sio mzuri Kama kwenye picha" Leo hiyo bonanzaniii😂😂😂😂
39
26
293
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Eti umewahi?
Tweet media one
76
9
289
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Mmesikia nyie??
Tweet media one
68
15
280
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Utakula na wali au ugali?
Tweet media one
62
19
268
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Kuna mkaka namwelewa sana humu🌚🌚 jina linaanzia na herufi "I"🏃
41
14
272
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Sasa wewe endelea kujiona mtoto😆😆
Tweet media one
46
33
266
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Amwangaliaye mwanamke kwa kumtamani, ameshazini naye.
39
28
268
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Mwanaume anaoa amtakaye na sio aliyemzalia😁kumzalia mwanaume sio suluhisho la yeye kukuoa, unaweza ukamzalia na bado akakuacha😑
26
46
257
@NifferMainoo
Je.niffer💚
23 days
Hair thread anyone?😌 Ziwe nywele zako sio wig 🌚
Tweet media one
47
38
262
@NifferMainoo
Je.niffer💚
10 months
Utanunua wapi?
Tweet media one
111
26
251
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Et, yupi bora?😄
Tweet media one
45
15
244
@NifferMainoo
Je.niffer💚
11 months
A girl The flag
Tweet media one
Tweet media two
8
27
247
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
2005 ulikuwa darasa la ngapi?
83
16
240
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Niiteni popote ndani ya Dar niwaletee cheni😍😍
Tweet media one
41
48
235
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Nakuombea watoto wako waje warithi tabia zako zoteee😊😊
64
39
228
@NifferMainoo
Je.niffer💚
8 months
❤️
Tweet media one
23
24
232
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Naombeni jina zuri la mtoto wa kike😍
94
12
220
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Nyimbo gani unaikubali kutoka kwake?
Tweet media one
50
13
221
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Unapenda mpenzi wako awe wa rangi gani 1) Mweusi tiiiii 2) mweupe peeee 3) mweusi kiasi 4) mweupe kiasi 5) chocolate
81
18
218
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Nasoma comments 😄
Tweet media one
53
9
214
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Uzuri wa mwanamke sio sura...... Ni tabia😊
35
16
206
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Haupo top 3 na bado unashangilia, unashangilia Nini Sasa??😂😂😂
Tweet media one
48
16
192
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Usitupe chakula ulichobakisha, wapo wanaotafuta japo tonge moja la kula na wanakosa Goodmorning fam😍
35
38
198
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Haya mkoa wako Ni upi hapo?😂 Mim Mara😂
Tweet media one
82
25
189
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Ukipata mke anakupikia Kama hivi usimuache😊
Tweet media one
51
18
203
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Tunaitwa vibungo lakin kwa ground tunanyemelewa😁😁😁vibungo wote peponiiiii
34
15
204
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Msikilize huyu binti Kisha weka comment yako hapa😂
114
28
200
@NifferMainoo
Je.niffer💚
11 months
Maisha ni mafupi Sana, kijana tume graduate nae juzi tu hapa leo anazikwa🥺🥺🕊️ Ajali hizi💔
Tweet media one
31
5
198
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Toa kimoja hapo
Tweet media one
92
12
192
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 months
Ila wanaYanga hatuna jambo dogo 😂😂😂💚
20
61
199
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Nmebadilisha Avi jaman😂au nirudishe ileile?
38
16
188
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Nmeimiss hii account jaman🌚😭
Tweet media one
42
21
181
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Girls humu tunatukanwa Sana aisee So sad
36
8
186
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Matatizo na shida zako usipende kumtangazia kila mtu... Goodmorning wapenzi 😍
33
30
176
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Heshimu kila mtu, maisha ni fumbo Goodmorning fam❤️
47
53
176
@NifferMainoo
Je.niffer💚
8 months
Muuza asali mwenye upendo ❤️
Tweet media one
31
35
182
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Huyu mwanaume atakuwa anatokea mkoa gani?😂😂😂
Tweet media one
63
18
177
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Kiukweli account ya spana konki huwa inaniongezea siku za kuishi😂😂
Tweet media one
15
8
168
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Kitu pekee nilicho jaaliwa ni nywele😊
Tweet media one
66
15
175
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Wazaliwa wa kwanza wote Mwenyezi Mungu awafungulie milango ya mafanikio🙏🏽 Goodmorning fam❤️
32
42
172
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Rafiki wa mpenzi wako akikutongoza, je utamwambia mpenzi wako au utakausha?😂
34
18
169
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Ukiona huchukiwi, husemwi vibaya, hufatiliwi wala husengenywi basi ujue hakuna kitu cha maana ambacho unacho😆 Goodmorning 🥰
24
29
178
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Kuna hili parody moja humu linawapelekesha sana baadhi ya wanaume humu😂😂acha mliwe hela tu dadeeqqq
29
23
169
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Tusipende kuweka vinyongo mioyonj mwetu... Vinyongo vinatesa mnooo Goodmorning my friends ❤️😍
42
52
168
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Ukinywa Savannah hakikisha uko karibu na mpanzi wako😂
42
7
168
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Anthony kafanyaje mbona anatrend Sana 😂♥️
Tweet media one
19
10
160
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Kabla hujaoa au kuolewa ni vyema ukamwambia mwenza wako kuwa unawatoto nje ya ndoa.....
Tweet media one
64
5
165
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Kiukweli sipendi mashabiki wa Simba wakiwa na furaha😏
20
12
159
@NifferMainoo
Je.niffer💚
16 days
Kuna watu bora uwauwe 😂😂
Tweet media one
72
9
165
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Wewe na mpenzi wako mmepishana miaka mingapi?
48
11
161
@NifferMainoo
Je.niffer💚
3 months
Kuna muda inabidi uwe na roho mbaya ili mambo yako yaende. Good morning familia ❣️
49
59
165
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Hata Wanaume pia mnatakiwa muwapikie, muwafulie na kuwaogesha wanawake zenu🚴
46
19
156
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Goodmorning my pipoo😍
60
32
157
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Misemo ya mashemeji "Ndugu yangu hajawahi kupenda kama anavyokupenda wewe" Ongezea wako😂
22
17
161
@NifferMainoo
Je.niffer💚
9 months
Mwanaume ni kichwa cha familia hata kama hana kitu atabaki kuwa kichwa cha familia, usimdharau, muheshimu na umuombee.
16
44
162
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Namshangaa Sana mwanaume ambae hapendi ugali
20
11
159
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
As a girl epuka kujirahisisha rahisisha kwa wanaume, wanakuona hauna akili😂
23
19
155
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Saa nne usiku
16
6
153
@NifferMainoo
Je.niffer💚
2 years
Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya mwanaume na mvulana
27
14
157
@NifferMainoo
Je.niffer💚
1 year
Define handsome 😍
45
11
153