Hustler👣 Profile Banner
Hustler👣 Profile
Hustler👣

@mrkongajr

2,991
Followers
2,287
Following
244
Media
24,009
Statuses

Photographer | Marketing &Sales Manager | Web analytics ( Google analytics)| Google Business Profile Check on Me.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@mrkongajr
Hustler👣
1 month
PALM VILLAGE 🇹🇿
Tweet media one
14
51
1K
@mrkongajr
Hustler👣
4 months
Tweet media one
11
63
739
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Bongo 🇹🇿
Tweet media one
19
34
547
@mrkongajr
Hustler👣
4 months
Pixel 🔥
Tweet media one
19
25
140
@mrkongajr
Hustler👣
3 months
Tweet media one
Tweet media two
6
19
72
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Kuna watu sio ndugu zetu na wametusaidia. Tusivunje imani zao juu yetu.
12
24
63
@mrkongajr
Hustler👣
21 days
Watu wengi wanaogopa kujitoa 100% kwenye kile wanachokiamini Hii huwa moja sababu ya kufeli kwao na hakikisha unajitoa kwa moyo wote kwenye kile unachoamini. Good Morning Familia.
13
25
58
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Usiogope kutembea peke yako MAFANIKIO Ni safari ya upweke .
5
16
53
@mrkongajr
Hustler👣
4 months
Wanachuo wengi kwa sasa wapo kwenye kipindi cha kuwaza baada ya kumaliza chuo watafanya nini ili chochote kiingie mfukoni. Mshkaji kwanza mtangulize MUNGU kisha changamana na watu wenye mawazo chanya na sio kisa umetoka chuo ndo ujifanye una standard za kuchagua mishe. Gm.
5
20
51
@mrkongajr
Hustler👣
7 months
@prossoff Asubuhi na mapema tunapokea nondo Tuishi humo
0
3
52
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Maisha ni kama GAME . Wengine wakifa kwenye mission we unaendelea ila we ukifa game limeisha. Muombe MUNGU na Pambana mshkaji
10
17
48
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Vijana wengi tuna matatizo ya afya ya Akili ila ni ngumu kukubali hilo. Tunapitia msongo wa mawazo juu ya matarajio ya maisha yetu, Maumivu ya mapenzi ,Kudharauliwa na Hofu inayotafuna moyo na akili zetu.
11
18
47
@mrkongajr
Hustler👣
7 months
@FKihamu Nina bahati sana kwenye maisha yangu kuona mchezaji kama huyu He is my GOAT 🐐✅
1
2
45
@mrkongajr
Hustler👣
1 month
Ni muhimu kujali sana Afya Kwa sababu mwili wenye afya nzuri huunda akili yenye afya, na akili yenye afya huunda chochote unachotaka kufikia kwenye maisha. Good Morning Familia 🌞
16
18
44
@mrkongajr
Hustler👣
3 months
MINYOO ya hofu inatafuna mioyo yetu MUNGU atutie nguvu kuvuka shida na hizi harakati za upambaniaji.
11
13
41
@mrkongajr
Hustler👣
4 months
Wapo washkaji tulicheza nao ila kwa sasa tushawafukia kwenye mchanga. Ukiwaza hivyo utaona ni bahati kubwa kuamka ukiwa umzima na inamaana bado MUNGU ana jambo na wewe. Amka upambane mshkaji 💪
10
12
39
@mrkongajr
Hustler👣
4 months
Ni uongo kusema huna muda ikiwa unaweza kulala kwa masaa zaidi ya sita na kuchezea simu au kufanya mambo yasiyokujenga kwa masaa zaidi ya matano. Fanya time management kisha tafuta ujuzi fulani wa kuwa noma nao. Anza leo mshkaji 💪
7
17
37
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Siku moja ukiondoka dunia inapaswa uwe umeacha alama nzuri kwenye maisha ya watu Ishi kwa kuzingatia kugusa maisha ya watu kwa wema na sio ubaya.
11
20
38
@mrkongajr
Hustler👣
15 days
Muda ni aina ya usafiri usiosubiria abiria wake kituo chochote kile Hivyo kama mwanadamu unapaswa wewe ndo ukimbizane na usafiri huu ili usiachwe Panga ratiba zako ,elewa malengo yako na vitu hivyo basi siku zote utapata kiti cha mbele kwenye usafiri huo.
5
14
43
@mrkongajr
Hustler👣
1 month
Conboi kwenye moja ya interview yake ameeleza Wakati wa hustle zao njaa ilikua ikimshika yeye na Lunya wanaenda kwa kina GODZILLA kwa mguu na mwana alikua akiwaona wapo kinyonge anawasave msosi siku zinasonga Tuwe Wema Kama Zilla Kusaidia Watu Na Tuwe na Shukrani Kama Conboi.
2
10
40
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Anko wangu alishawahi kunambia "Matajiri wakisimulia hadithi za namna ya kufanikiwa kwao basi kuna chapters huwa hawazifunui kuzisoma na wanazipita" Akili kichwani mwako.
5
12
39
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Ipi kali hapo? A. B.
Tweet media one
Tweet media two
21
14
36
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Katika ukuaji wangu mpka hapa nilipo nimesaidiwa na watu wengi sana . Wamenipa msaada wa fedha, ushauri na muongozo mbalimbali wa maisha. Siwezi walipa ila naweza kuwaombea wawe na maisha mema na MAFANIKIO .
8
19
39
@mrkongajr
Hustler👣
3 months
Hii itakua ni wiki ya kupokea Taarifa njema za kufururahisha mioyo yetu. MUNGU KWANZA 🙏
9
19
38
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Iwe wiki itakayo acha alama bora za kubadili maisha yetu katika safari ya MAFANIKIO. Good Morning Familia 🌞
15
17
38
@mrkongajr
Hustler👣
9 months
@prossoff Wanaume tunapaswa kuelewa kua mwanamke hacheat siku uliomfuma ...anakua ameanza kucheat toka siku anatoa namba yake kwa mshikaji ,maana wanachat kisirisiri plus date zao za kimnya kimnya Inakua ameshaamua kucheat sio jambo la bahati mbaya Hakuna msamaha
2
0
37
@mrkongajr
Hustler👣
4 months
We mwanachuo! Elewa mtaani hakuna kimbweta hivyo mapambano yanaanza asubuhi na mapema Hakuna Boom hivyo pesa utaitafuta na sio kuja tu kwenye account yako.
11
14
37
@mrkongajr
Hustler👣
19 days
Kuna wana wanamaliza chuo ila hawajawahi kula mali yoyote chuoni Yani wao always wanachezea za mbavu tu 😂
9
6
37
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Kumbuka vijana wangapi washakufa toka unakua mpka sasa!!! Maana yake ni kuwa Mungu bado anakusudi na wewe. Amka Muombe na Upambane 🙏💪
6
14
35
@mrkongajr
Hustler👣
22 days
Wenetu wamevaa majoho hapo mlimani ila kila wakikumbuka hali iliyokuwa mtaani na kwenye familia Mood inakata Wakikumbuka mtaa unavyowaita na jambo la ajira lilivyo la moto wanaishia kutoa tabasamu la uongo kwenye picha Wanetu msijali, Mungu kamuandikia kila mtu RIZKI yake.
2
12
35
@mrkongajr
Hustler👣
3 months
Usikate tamaa mpaka mkatisha tamaa akate TAMAA. MIKAZO 💪
6
15
36
@mrkongajr
Hustler👣
1 month
Usisahau kutoka jioni hii kwenda mahali kutizama warembo,jua na kujiwazia Vijana tuna maisha mafupi sana .
3
9
35
@mrkongajr
Hustler👣
3 months
Jitoe muhanga wa mafanikio ili uwe star kwenye movie hii ya uhalisia wa maisha. Uchukie UMASIKINI.
6
14
34
@mrkongajr
Hustler👣
18 days
Wanadamu Hakuna uchawa mzuri kama kuwa chawa pro max wa Mungu maana yeye ndo mwenye utajiri wa Afya na kila baraka iliyonjema Good Morning.
9
12
37
@mrkongajr
Hustler👣
5 months
1
0
31
@mrkongajr
Hustler👣
7 months
Maisha yanaweza kuwa magumu Ndio maana tunapanga mipango. Mungu hutupa tumaini na kile kilichomo ndani ya mioyo yetu. GM.
4
14
33
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Ukipata nafasi ya kukutana na watu wenye profile kubwa , maarufu na wenye uwezo wa kifedha jitahidi uwe msikilizaji kuliko kuwa muongeaji NB:Ukipata chance ya kushare kitu hakikisha huombi hela ila unaonesha plan bora unayoiaminia.
12
14
35
@mrkongajr
Hustler👣
5 months
Usikate tamaa ikiwa bado hujazikwa. Wapo waliokaa kitandani na bado wakarudi kuwa sawa kwa rehma za MUNGU basi hata kama mambo hayako sawa amini juu yake. GM.
13
17
33
@mrkongajr
Hustler👣
4 months
Tanzanite
Tweet media one
2
8
32
@mrkongajr
Hustler👣
27 days
Kabla ya kuzungumza-Sikiliza Kabla ya kuandika-Fikiria Kabla ya kuwekeza-Fanya Uchunguzi Kabla ya kukosoa-Subiri Kabla ya kuacha-Jaribu Kabla ya kufa-Toa Sadaka Una Nafasi Nyingi Bado Kwenye Maisha Yako Hakikisha Unatembea Kwenye Njia Hizo.
5
12
34
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Nchi yangu🇹🇿 Askari Centre 🔔
Tweet media one
4
11
34
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Wanasema "Mungu ni mkubwa kuliko matatizo yetu" Amka Muombe Mungu na Upambane.🙏
8
12
32
@mrkongajr
Hustler👣
17 days
AJALI 🚨 Dogo kagongwa na gari maeneo ya barabara ya Vetenary Magorofani njia ya kuelekea Mchicha ila Mungu mwema natumai mpka wafike hospital atakuwa salama na Afya yake itarudi sawa. NB:Ukiona Mtoto , Mwanafunzi,Mzee Na Mtu Anayehitaji Msaada Wa Kuvushwa Barabarani MSAIDIE.
4
10
31
@mrkongajr
Hustler👣
1 year
Muda ulikwenda Nikapata mwanamwali Nikamuomba awe mwenza wa maisha ,akakubal Nikamvisha pete Nikamlipia mahari Sikumpenda lakini nilijifunza kujali Dizasta Vina @SwahiliKid22 @dizastavina
5
5
31
@mrkongajr
Hustler👣
1 month
Jioni Toka Kwenda Beach,Mlimani Au Sehemu Yoyote Tulivu Kisha Jiwazie Maisha Yako Hakikisha Hukumbatii Stress Na Maumivu Yaliomo Ndani Yako.
9
7
32
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Dar Es Salaam 🇹🇿
Tweet media one
4
10
32
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Tunaondoka na A. B.
Tweet media one
Tweet media two
3
13
33
@mrkongajr
Hustler👣
17 days
Kila Asubuhi Binadamu Anakua Na Machaguo Mawili Ambayo Ni; -Kuzidi Kulala Na Kuziota Ndoto Ukiwa Kitandani -Kuamka Na Kuzifata Ndoto Kwenye Maisha Ya Uhalisia Wewe Mwenyewe Ndo Umeshika Kisu Cha Maamuzi Katika Maisha Yako.
5
11
31
@mrkongajr
Hustler👣
1 month
Sunset 🌇 Nyerere Bridge 🌉🇹🇿
Tweet media one
5
8
32
@mrkongajr
Hustler👣
18 days
Uko mtaani na hauna kazi ? Usihangaike ..Badala ya kuangalia Chudai leo ingia YouTube kisha jifunze Google Business Profile na ndani ya nusu saa unakua Master Then nenda kwenye biashara zilizopo kitaa waambie unaweza kufanya biashara zao kuwa Google &Map. Kula 15k zao.
2
8
31
@mrkongajr
Hustler👣
1 month
Mwana anakuliza mwanangu una mchongo gani wa kuishi town? Unamjibu "Kaka ,ujanja kusoma skills online na kuanza kuimonitize ,Jifunz Skills ndogo tu hata ya Google Business Profile kisha itoe kwa wafanyabiashara kwa bei chee Anajibu "Kusoma Jau Now Nataka Ajira" Unamjibu SAWA.
4
10
31
@mrkongajr
Hustler👣
1 month
Thamini huu muda kabla haujageuka History Good Morning Familia.🌞
8
12
30
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Usifuate kila kitu unachokiona mtandaoni kwasababu hebu waza mtu anasema ajira sio inshu...It's okay!!! Lakisi sio kuacha kazi kisa ushauri wa kuona humu ni heri uache kazi wakati ambao unajua plans zako zitakua zinaenda vipi. Tunatofautia familia,hatua za maisha nk.
8
10
28
@mrkongajr
Hustler👣
1 month
Wauza Juice & Wenye Restaurant 📢 Baada ya Kulocate Vizuri Eneo Lako Weka Ubao Mzuri Na Kalamu Kisha Weka Nafasi ya Wateja Kuandika "Ujumbe Wa Siku " Akikubali Mpige Picha Kisha Kuwe Na Page Ya Mtandao Kupost Content Hio..Iwe Ni Content Endelevu Na Nzuri Kuvutia Wateja Wapya.
4
11
30
@mrkongajr
Hustler👣
6 months
Wakati unapohisi kama unapaswa kuthibitisha thamani yako kwa mtu ni wakati unahitaji kuondoka kwa mtu huyo husika.
2
8
28
@mrkongajr
Hustler👣
2 months
Juice up your life....
Tweet media one
4
10
31
@mrkongajr
Hustler👣
22 days
FREE GOOGLE BUSINESS PROFILE COURSE 📢 Leo Natoa Pfd Mbili Za Bure Kwa Kila Atakayetaka Kujifunza,Kuiweka Biashara Yake Kuwa Google Search na Google Map. Kuipata: Nifollow Like & Retweet kwa msaada wa wengine Comment neno "TANZANIA"
12
12
29
@mrkongajr
Hustler👣
3 months
Mjini KATI🇹🇿
Tweet media one
3
8
29
@mrkongajr
Hustler👣
6 months
Kuna jamaa anasema "Akili ya mwanamke ipo sehemu iliyozidi mwilini mwake" Kashawaka huyu😂
3
3
29