Michael Baruti Profile Banner
Michael Baruti Profile
Michael Baruti

@MichaelBaruti

121,058
Followers
2,303
Following
2,901
Media
87,423
Statuses

Journalist | Creative | Ubongoer | Yanga | Manchester United | Mental Health | Host of #MenMenMenThePodcast | Mandela Washington Fellow | #DrexelDragon

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@MichaelBaruti
Michael Baruti
6 years
Been meaning to do a podcast on Depression and mental health for men.... To discuss about the struggles we go through, expectations, fatherhood, fears and what we think success is.... It has to happen in 2019
48
130
593
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Tusisahau, Kiingereza ni lugha tu na sio kipimo cha akili wala busara za mtu
60
178
1K
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Tumepitia mengi saaanaa kama taifa 😂😂 Hadi wabunge hawakua salama
120
121
887
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
CAG reports zinaonyesha namna gani corruption kwenye local goverment ilivyo juu, especially kwenye procurement processes… Hela kibao zinapotea huko, badala ya kuona namna gani tunaweza kupambana na hiyo mianya ili mambo yaonekane, wana wameamua kuongeza tozo zaidi… Hakyamama
38
191
897
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
Sala yetu kama taifa kwa sasa ni Konde Boy asipone kikohozi chake aisee….. 🔥🔥🔥🔥
28
41
873
@MichaelBaruti
Michael Baruti
6 years
So, Pierre got invited to Mlimani City, only for him to be torn apart by people who were there? Not fair, that’s bullying.....
38
146
824
@MichaelBaruti
Michael Baruti
5 years
Wana, unapopewa kazi ya mtu, ukalipwa halafu ukashindwa kudeliver na kuamua kupotea kimjini mjini jua unakwamisha vijana wenzako watakaoenda kupitch nyuma yako.... Tunalostishana wenyewe
36
164
798
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
Ushauri wa Pastor Tony Kapola kwa wanaume
24
204
681
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
Marioo did great, BUT Konde boy 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
49
28
636
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Nilichojifunza leo, ukiwa unatumia mtandao wa twitter, wewe sio mtanzania halisi na haujui hali halisi huko mitaani... Unaamka, unafanya kazi na kulala humu humu twitter, hauishi kabisaaaa katika Tanzania wanayoishi wengine....
48
63
629
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
Mwenyekiti wa CHADEMA ana busara na utashi saaaaanaaa
13
51
580
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Shout out to @IAMartin_ tunafuatilia kupitia wewe… Usichoke kutujuza mwana
5
41
534
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Msaada tutani aisee, hivi ubunge wa kuteuliwa hua unaweza kutenguliwa?
45
15
521
@MichaelBaruti
Michael Baruti
6 years
TL ya Lubasha noma sana... Asubuhi tweets za Mgahawa Cafe, mchana mwanaharakati halafu usiku anakua Dr Love....
35
48
500
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Bro @JMakamba sijaona zile tweets zako za vizungu vingiiii ukiipongeza Simba baada ya mechi… Yale mambo ya “tallest midget” nini nini… Sema neno kaka
52
31
513
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
“Hatusukumi saaanaaa watu kwenye kulea watoto wao, ila tunasukuma saaaanaaa watoto kwenye kusamehe wazazi wao ambao hawakuwalea”
26
70
475
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Ila Clouds.... Hapana aisee... kwa creativity hapa bongo... Tuwape heshima yao 🙌🏿🙌🏿 hii #PyjamaParty ni bonge moja ya idea
12
17
464
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Sasa, daaah... Hapa tunafanyaje jama?
89
47
449
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Ila, huu uchama kila sehemu matokeo yake ni kwamba watu hatuongei objectively kuhusu issue yeyote… Mambo ya msingi yanakua diluted kibwege bwege sana, sababu ya “uchama”
24
44
449
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Tuachane na kujaza watu uwanjani, let’s talk about issues.... kwa vyama vyote... Let’s question issues, ilani, maamuzi na ahadi zao zina reflect vipi maisha ya sasa ya mtanzania na vipi watamwezesha mtanzania kua na maisha bora zaidi.... Tusidondoke kwenye mtego wa kujaza uwanja
28
68
448
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Mtu aliyenyimwa aibu hana cha kupoteza….
8
43
443
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
Dizastavina is a very bad man 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
34
32
448
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Sina tatizo na waandishi wa habari kutangaza nia, ni haki yao.... Tatizo ni wao kurudi kuendelea kutupa habari kwenye vyombo walivyotoka baada ya mchakato kuona kua hawatoshi kisiasa... Ni vipi tutaamini kua wanaweza kua “Impartial”?
21
55
429
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Samatta kabaki, United kwa UCL... Tuombe nini zaidi kwa Mungu?
12
17
428
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Ila Ali Kiba is a Rock Star aisee.... And he keeps getting better and better everyday....
19
26
433
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
People need to understand, Tunu za taifa la Tanzania hazikamiliki bila: 1. Wali Maharage 2. Zege
25
40
422
@MichaelBaruti
Michael Baruti
6 years
Taifa Stars, kama hamtafanya kwa ajili ya taifa, basi tafadhali fanyeni kwa ajili ya wanywa beer.... Tunaahidi kua hatutawasahau milele, na siku zoote tutawapa sifa zenu
19
57
412
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Uko sahihi kabisa... 100% BUT let me ask you this, na kipaji chako, na ukali wako mkubwa mnooo kwenye kuchana, unadhani uwepo wa Joh kwenye game kabla yako ulikusaidia kutoka kwa urahisi zaidi au haukusaidia?
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Maendeleo ya watu huletwa na watu wenyewe kwa mapambano yao kwa jasho lao, maarifa yao, tamaduni zao, na uwezo wao
298
57
1K
47
28
414
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Kuna maisha nje ya hii app…. Followers wengi, RTs na likes zisiondoe utu na ubinadamu wetu… Tuna shida kubwa saanaa ya kuonekana “savage” mpaka tunajitoa utu na ufahamu aisee
13
69
412
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
It’s okay kabisa kutokupenda au kutoamini kitu ambacho wenzako wana amini…. Ni sawa kabisa, na huo uhuru unao… Ila unapokua disrespectful kwa kitu kitu ambacho wenzako wana amini na wanaheshimu hapo ndiyo tatizo linapoanza… Let’s learn to co-exist respectfully
9
88
412
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tweet media one
17
12
407
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
On God, I Love what I do for a living…. Creating edutainment, that actually works…. #WISEsummit
Tweet media one
21
30
410
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Empathy guys, empathy... Don’t use experience ya matatizo yako na changamoto ulizopitia na namna ulivyoyashinda kama bench mark ya kila mtu kushinda changamoto zake... Usihukumu mtu ambae hujawahi vaa viatu vyake na kupita katika mapito yake.... Empathy
11
121
396
@MichaelBaruti
Michael Baruti
6 years
Post ya @masoudkipanya Instagram, nimekua humbled sana..... Tumshukuru Mungu kwa kila kitu, mamlaka ni ya kwake
19
10
390
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Ni mwanzo mzuri wa good governance and transparency in Tanzania au ni mapema sana kutumainia hilo?
19
23
382
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Tafiti hupingwa na tafiti... Inasemekana kua Yanga ndiyo team ya kwanza duniani kuchukua kombe kwa mwaka 2021....
15
30
381
@MichaelBaruti
Michael Baruti
5 years
Pamoja na yoooote haya, we are still not addressing the elephant in the room.... Na content ya ule waraka haiongelewi kabisa.... Focus imekwenda kwenye nani aliandika kuliko “nini kimeandikwa”
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
5 years
"Mimi ndio Katibu Mkuu CCM, chama chetu ni imara kimuundo, kimfumo, kiitikadi, kifalsafa na kiuongozi wapuuzeni hao wapumbavu hatuogopi kukosolewa lakini hatupo tayari kutukanwa na kubezwa na watu ambao hawana shukurani" -Dk. Bashiru Ally
Tweet media one
19
18
82
13
52
382
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Ila Yanga ni zawadi toka kwa Mungu kuja kwa watanzania... Ila kama kawaida, wenye imani haba hua hawakosekani
27
34
373
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Ila humu ndani…. The battle for relevance and kuonekana savage will be the end of us… Empathy guys, empathy….
6
55
361
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Shout Out to this pretty fine lady that I’m doing this life thing with.... Thank you, thank you... For holding me down and for making sure that najua vizuri kabisa kua “YOU’VE GOT MY BACK”....... Till the casket drops, I LOVE YOU... Happy Anniversary baby girl.... @magambaz
Tweet media one
Tweet media two
37
23
360
@MichaelBaruti
Michael Baruti
5 years
Kuna baadhi ya wanasiasa swala la Bunge kukataa kufanya kazi na CAG walipiga kimya kabisaaaaa kama hawapo nchi hii, ila wanaweza jadili Brexit, Xenophobia na mapinduzi ya Sudan kiundaaani kabisa..... Tuendelee kuamini wanajali wananchi na mahitaji yao
13
81
355
@MichaelBaruti
Michael Baruti
10 months
Utani pembeni, this is not fair… Football haitoi guarantee ya team yeyote kushinda kila siku… wanachowafanyia hawa wachezaji siyo fair… watakua wanafanya hivi kila wakipigwa?
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
10 months
Ujumbe wa nahodha msaidizi @Hussein15Mo kwa Wanasimba. #WenyeNchi #NguvuMoja
260
89
1K
49
45
357
@MichaelBaruti
Michael Baruti
5 years
Waliokodishwa kushangilia Barcelona jana, leo wanarudi kwenye ladies free yao....
16
33
341
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
Ila mzee wangu, kuna chochote ambacho wewe kama wewe binafsi umeshawahi kupinga? Au kwa mtazamo wako, kiukweli kabisaa, kutoka moyoni, ukiwa kama mtumishi wa Mungu mweeemaaa kabisa, unaona kila kitu fresh, na tusifie tu mwanzo mwisho?
@mkandamizaji
Masanja
2 years
Uanaharakati wa kupinga kila kitu chema kwenye nchi ni kazi za baadhi ya watu. Kuna watu kama hakuna changamoto miamala haisomi ndo maana hata iweje lazima watafute cha kupigia kelele. Tuwaelewe na kuwaombea.
111
16
178
37
30
342
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Fid Q’s level of calmness during this whole saga ni ya kuheshimu aisee….
28
14
338
@MichaelBaruti
Michael Baruti
5 years
Wale wana waliosoma mlimani na kuaminu ndiyo sehemu pekee ambapo elimu ya juu inapatikana nchi hii, mmoja wa zao lenu bora kasema alikua jalalani... Mnataka toa tamko?
25
34
332
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
We are becoming everything that we used to hate..... Everything that we fought so hard to rescue others from.....
16
75
335
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Be kind to people, always…. Machozi ya watu hayaendagi bure
5
47
334
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Majungu na utani pembeni, Simba mmetisha
16
33
300
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
High time serikali na wananchi we start to prioritize mental health in Tanzania…. This thing is real
5
45
295
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Watu wamepoteza maisha na ndugu zao wengi saanaa kutokana tu na baadhi ya watu kugoma na kuamua kujitoa ufahamu juu ya issue ya COVID19... Report ya kamati lazima pia iendane na uwajibikaji aisee
8
38
285
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Wakati tulipodhani kua tumeona kila kitu mwaka huu wa 2020, siku mbili za jana na leo zimetuonyesha kua hatujui kitu.... #MamaTanzania
7
32
283
@MichaelBaruti
Michael Baruti
6 years
Young world, mkiingia kazini, jifunzeni umuhimu wa kutumia emails....
10
47
274
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
The pic and the backdrop is 🔥🔥🔥🔥🔥
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
3 years
Kikosi kamili cha msimu 2021/22. #SimbaDay2021 #OneTeamOneDream #NguvuMoja
Tweet media one
30
211
2K
7
15
275
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
Sasa leo kaulize swali la msingi kwa “kocha wako” Zoran kuhudu timu yenu ya Simba
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Kocha wenu Nasreddine Mohamed Nabi leo nimemuuliza swali kuhusu Defence yake kuruhusu mabao kizembe dhidi ya Coastal Union na Vipers. Akapaniki akaanza kunitajia makombe aliyoshinda swali la msingi hakujibu 😂😂
Tweet media one
536
80
3K
28
20
272
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
Millard ame report hii as if ni issue ya kishirikina kinamna fulani, BUT hii ni issue ya mental health kabisaaa…. Use your platform to amplify mambo ya mental health hapa Tanzania as well mzee wangu…
@millardayo
millardayo
2 years
Emmanuel Kasapa (60) wa Legezamwendo Urambo Tabora amejiua kwa kujinyonga baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na sauti za Watu wasiojulikana alizokua akizisikia zikimuamuru ajiue, Watoto wake wamesema mara kadhaa alikua akilalamika kusumbuliwa na sauti hizo. #MillardAyoUPDATES
Tweet media one
88
31
634
36
52
268
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
It’s one thing kua mjinga, privately. It’s a whole nother thing kuonyesha dunia nzima ujinga wako
5
64
273
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
Mshazoea kucheza na wale wehu wa Ethiopia 😂😂😂😂😂 Toka lini Ethiopia wakawa na mpira wa maana 😂😂😂😂😂
9
14
267
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
So, Mourinho and Klopp wote wanaongelea penalties za United? 😂😂🤣🤣 The team that you love to hate is almost back... Bado vitu vichache tu, but we are almost back
16
15
259
@MichaelBaruti
Michael Baruti
5 years
Concept nzima ya "uhuru wa maoni" is very confusing.. Ni kua ukitoa maoni yako, watu hawatakiwi kuyachallenge, na kuyahoji maoni yako kwa wao kutoa maoni yao na kujadili kwa hoja? Au wanatakiwa wakubaliane na kila oni ambalo unatoa?
18
31
255
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 months
Asanteni sana…….
Tweet media one
30
38
262
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Unapojua ume-master kweli kweli a certain aspect of your life na hauna wasi wasi na hilo hata kidogo and then paaaaap, unapata experience moja matata saana that humbles you to the core.... Never stop learning
6
30
251
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
Ila Clouds 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Wako vizuri saaaaana
15
5
248
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Kwenye story tellers bora kabisa wa HipHop kwa sasa, hakuna anaemgusa @rapcha_tz
81
14
242
@MichaelBaruti
Michael Baruti
5 years
“Kuna mwanaume yupo Kisarawe, anamiliki minazi yake sita tu, na ana wake wanne, na wote wanamheshimu, huyo swala la “mwanaume ni pesa” wala halimhusu” 😂😂😂😂 Adam alinichekesha sana na huu mfano kwenye @MenThePodcast episode ya leo 😂😂😂😂
6
35
244
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
My full time job
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
12
251
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Giroud ana World Cup na UCL... Kitu ambacho hata De Lima hakuwahi kuachieve
19
9
236
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Chidi did Dar es Salaam proud when he made Dar es Salaam Stand up
5
16
234
@MichaelBaruti
Michael Baruti
6 years
Again, when will people learn? English is just a language, sio kipimo cha busara, akili au utashi wa mtu.....
13
32
236
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Tweet media one
11
21
238
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Kukubaliana kutokukubaliana respectfully is a foreign concept kabisaaa humu ndani
4
22
231
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Ukiniambia “nipe kura yako, nitakujengea shule 10... Ukijenga 8, unakua umefeli... Ukijenga 10, unakua umetimiza ahadi na wajibu wako, sistahili kukupa pongezi kwa hilo, ilitegemewa ufanye hivyo.. Ukijenga 11 na kuendelea nitakupa pongezi.. ume exceed expectations
11
54
237
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Mwana kachomolewa simu hapa darajani baada ya clouds, kashuka kuanza kumkimbiza mwizi kumbe gari bado ipo kwenye D, imegonga ya mbele yake.....
13
5
222
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Attended a mass today, na Padre akaamua tu kutisha na mahubiri yake
Tweet media one
12
58
230
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Ila Sugu is too real aisee… Too damn real…. He’s been soo consistent with his realness that as a man all I can do is admire him… #RespectTheOGs
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Zama za Task Force na rogue units za kina Sabaya
35
185
1K
12
31
229
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Mad respect kwa @Wakazi angeweza kuchukua the easy way out, ila kaamua kusimamia anachokiamini, akaendelea kukaza.... Kila la heri bro
2
20
226
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Quick question, what do you gain by shaming another person in here? What’s the reward?
21
41
226
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
1.2K kwa Club House… Aisee
2
11
222
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
#MshuaMasta mzee Malaba kwenye moja na mbili.. PS: Kasema akiwa ametupia suti na tai, basi aitwe Rolland…..
1
24
219
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Remember, you can’t pour from an empty cup…. Do you first… Be selfish a little bit… Peotect your mental health
1
40
216
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
Efm Asubuhi ya leo, conversation kuhusu wanaume and mental health…. My two cents on how to improve men’s mental health
15
57
216
@MichaelBaruti
Michael Baruti
5 years
Ni saa kumi na mbili na nusu siku ya jumapili huku nilipo... Game ya Manchester United na Chelsea ndio kwanza inaanza... Nani anaweza tabiri matokeo?
8
4
210
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Stop worrying about things you can't control
3
36
212
@MichaelBaruti
Michael Baruti
6 years
Rebeca Gyumi yuko busy, anaacha kazi yake iongee kuliko yeye mwenyewe... Tanzania inajivunia...
3
22
210
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Ila mwanangu @Roma_Mkatoliki hatukudai.... Ushaimba kiiila kitu.... Heshima yako ipo
4
4
217
@MichaelBaruti
Michael Baruti
7 years
Nashangaa sana watu wanaoshangazwa na siasa na wanasiasa.. Hivi mnadhani priority yao ya kwanza ni nyinyi au ni wao?
22
53
212
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Teaching my daughter how to ride a bike, and everytime akianguka she goes like “It’s okay, as long as I keep on trying” I pray aendelee na hii mentality maisha yake yote
6
14
216
@MichaelBaruti
Michael Baruti
6 years
I think Vanessa Mdee is the number 1 artist in East Africa at the moment..... WE DO NOT DESERVE "That's For me"...... A Banger and a half
12
27
211
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Ona sasa, umepigwa kanzu, unarudisha kwa kupiga mtu vibao…. Ona sasa?
5
16
209
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Ndugu watangazaji, ugonjwa unaitwa Covid-19 na unaletwa na virusi aina ya Corona.... Corona sio jina la ugonjwa....
20
16
207
@MichaelBaruti
Michael Baruti
5 years
The amount of bullying inayoendelea TL kwa excuse ya “freedom of speech”, “just for fun”, “umepanic”, “it’s not that serious”, “it’s just twitter” is very alarming aisee.... Usihangaike sana kua “savage” ukaishia kudharaulika na kushusha utu wako....
9
67
206
@MichaelBaruti
Michael Baruti
6 months
Daah, nikikumbuka kuwa Salim aliendaga kumsubiri mtu ile beach pale opposite na Aga Khan ili wapigane mapanga, sina hamu 😂😂😂 Kweli tumetoka mbali humu
28
22
206
@MichaelBaruti
Michael Baruti
5 years
Naomba nieleweshwe, kwani Zitto ana uwezo wa kuwaambia WB wasitoe hela na wao wakagoma kutoa kweli?
36
12
200
@MichaelBaruti
Michael Baruti
2 years
Abdallah Khamis Ambua… my maaan…..
15
2
199
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Back to pre 1992
8
21
200
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Nakaya gave us Mr Politician… Forever relevant
10
12
202
@MichaelBaruti
Michael Baruti
5 years
Almost there..... It is happening
Tweet media one
18
75
198
@MichaelBaruti
Michael Baruti
4 years
Kwakua leo hamna simu iliyoibiwa wala tangazo lililotoka kuomba simu irudishwe, siku ya wananchi ianze tu kuitwa siku ya matajiri.... Kiroho safi tu jamani
13
17
200
@MichaelBaruti
Michael Baruti
3 years
Forever 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
14
19
199
@MichaelBaruti
Michael Baruti
7 years
Unaweza kua chochote unachotaka kua Lil Miss G... I’ve got your back #sikuyamtotowakike
Tweet media one
6
26
194