ibrahim kasuga Profile Banner
ibrahim kasuga Profile
ibrahim kasuga

@ibrakasuga

81,252
Followers
174
Following
1,312
Media
1,519
Statuses

Analyst EASTAFRICARADIO 88.1 & EATV Kipenga Monday-Friday 20:00pm-21:00pm EATV Saa Moja Monday-Friday 19:00pm Namiliki Vitabu vya Mbinu na Ufundi ⚽️

Joined August 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Kocha wenu Nasreddine Mohamed Nabi leo nimemuuliza swali kuhusu Defence yake kuruhusu mabao kizembe dhidi ya Coastal Union na Vipers. Akapaniki akaanza kunitajia makombe aliyoshinda swali la msingi hakujibu 😂😂
Tweet media one
539
80
3K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Inawezekana Azam wamempa kiburi Feisal cha kuvunja mkataba na Yanga. Lakini Yanga hao hao ndio walimpa kiburi Salum Abubakar "Sureboy" akagoma kusaini mkataba mpya Azam, akalazimisha kuondoka na alisusa kabisa kucheza. ●Mmesahau Yanga walimsajili vipi "Sureboy".?
Tweet media one
164
67
2K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Mgunda Mkurugenzi mpya Simba SC Uongozi wa klabu ya Simba umemtangaza kocha Juma Mgunda kuwa mkurugenzi wa Ufundi wa soka la vijana huku wakisema ataingia katika timu zote za Simba SC kama mshauri wa Ufundi.
Tweet media one
27
60
2K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Kweli bwana mafunguo Aziz Ki ni specialist wa mipira iliyokufa lakini pia Ligi yetu ina magolikipa wengi wabovu. Goli alilofungwa kipa wa Mtibwa Sugar Razack Shekimweli sio goli la kufungwa Kipa wa daraja la Ligi Kuu.
Tweet media one
271
37
2K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Fundi Ramadhani Singano 'Messi', nae aliingia kwenye mgogoro wa kimkataba na Klabu ya Simba SC baadae aliondoka akajiunga na Azam FC mwisho wa siku thamani yake ilishuka na hakuna ambae ana habari nae kwa sasa. Good Morning FAM
Tweet media one
92
57
2K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Ukimsikia Mama mzazi wa Fei Toto anasema mwanae alikuwa anateseka kwa kulipwa Milioni 4 na @yangasc1935 , leo kulipwa Milioni 4 Tz 🇹🇿 ni mateso? ●Nadhani Changamoto za Familia yake Fei Toto ndio zilifanya yeye aishi kwa tabu, huwezi lipwa Milioni 4 hafu ukala Ugali na Sukari.
Tweet media one
202
57
2K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Tume enjoy saana kumuona Mayele akifunga mabao. ●Ila Jean Baleke kiboko saana He score goals with swagger
Tweet media one
46
60
2K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Huyo mwamba nyuma ya Messi ni bodyguard wa King Leo, Lionel Messi. Anaitwa Yassine Chueko ni Mwanajeshi wa zamani wa Marekani. Video ya Chueko imesambaa sana mtandaoni akionekana anamlinda Messi mpaka muda ambao anashangilia goli na wachezaji wenzake 😀
Tweet media one
22
34
2K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 months
Kwenye harakati za kupunguza aibu ndogo ndogo mjini ni Bora Simba SC wakatangaza Thank You ya Triple C ili kwao ijulikane imeisha mapema kwamba tumemalizana. Ila akitangulia kutangazwe na majirani timu ya Wananchi kabla ya Thank You ya unyamani balaa litakuwa kubwa.
Tweet media one
173
49
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Swali Chonganishi😎 Kwa nini kwenye mafanikio ya Simba SC kocha Robertinho apewi sifa na pongezi kama ilivyo kwa kocha wa Yanga Nasreddine Mohamed Nabi? Chambua
Tweet media one
138
24
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Why Ahmed Ally amekomaliwa aombe radhi. Amuombe nani na kwa nini? Kwani kamtusi nani? Good Morning FAM.
Tweet media one
104
49
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
11 months
Tajiri Mo amehaki mchongo kibabe mnoo leo. Ametambulishwa na Patrice Motsepe kama Mwenyekiti wa Simba SC, wakati yeye sio Mwenyekiti. Akaketi sambamba na Rais wa FIFA Infantino na Mwenyekiti wa Al Ahly kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Simba SC. Try Again na Mangungu walikwa wapi?
Tweet media one
143
47
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Ila Sadio Kanoute anachapa sana enhee 😂 yeye kucheza bila kupata kadi kwake ni mwiko. Na kwa mujibu wa Ahmed Ally Kanoute anaitwa Putin kwa sababu ya maamuzi yake magumu 😂
Tweet media one
22
27
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Wananchi wanamuomba Fiston Mayele kesho picha kama hii ipatikane pale kwa Mkapa 😂
Tweet media one
48
39
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
10 months
Nimemuona kocha wa @YoungAfricansSC Miguel Gamondi uwanjani akifuatilia game ya Simba Vs Ihefu. Sijajua kaondoka na kitu gani cha kimbinu maana hii Simba haieleweki leo inacheza hivi kesho inacheza vile yani tafrani. Timu flan ipo kimbinu mbinu sana. Au wewe umeona nini?
Tweet media one
124
46
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Huyu anayewapa simulizi vijana wa KMC hapo kati ni Mudathiri Yahya Abbas kiungo wa Yanga Afrika mtandao unasema ana miaka 27 mzaliwa wa Mei 6, 1996. ●Kimsingi bwana Mudathir ni Pure na the best Box to box Midfielder in the country kwa sasa 🔥 ○Good Morning FAM
Tweet media one
17
30
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
3 months
Mo Dewji amemteua Crescentius Magori kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC akitokea upande wa Mwekezaji. •CHUMA kimerudi
Tweet media one
14
26
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
》Usajili wa Kipre Junior na James Akaminko kujiunga na Yanga SC wakitokea Azam FC utajulikana ndani ya Siku 7 zijazo. 》Usajili wa Luis Miquissone kujiunga na Yanga kilichobaki ni makubaliano ya Mshahara baina ya mchezaji na klabu. ●Yanga wapo Serious na mchongo
Tweet media one
88
40
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Wanangu wa @SimbaSCTanzania hawa Wydad Casablanca inabidi wapigwe bao ngapi kwa Mkapa? Ili tukienda Morocco tuka relax tu. 😎
Tweet media one
69
23
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
10 months
Kocha mkuu wa Yanga SC Miguel Gamondi, amesema Fitness level ya timu yake ilikuwa juu sana na waliwazidi Simba SC kila kitu kipindi cha pili. Lakini amesisitiza mchezo huu hautoi taswira ya mbio za ubingwa. Na wataendelea kucheza vizuri na kushinda zaidi.
Tweet media one
21
38
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
10 months
Hiyo Nov 5 ikitokea Yanga SC anamfunga Simba SC haitakuwa stori kubwa, kwa sababu kiuhalisia Yanga ni timu bora kuliko Simba based on playing style na quality ya wachezaji. Lakini Simba akishinda dhidi ya Yanga hapo ndipo maswali yatakuwa mengi juu ya ubora wa Yanga.
Tweet media one
162
46
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
3 months
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr.Damas Daniel Ndumbaro amethibitisha kuwa wameiombea klabu ya Yanga ishiriki michuano ya African Football League AFL na CAF imekubali ombi Hilo. •Yanga ndani AFL 🔥🔥🔥
Tweet media one
48
22
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 month
Taarifa nilizopewa ni kwamba Kibu Denis yupo hapa nchini nyumbani kwao mkoani Kigoma anamuuguza Mama yake mzazi. Lakini pia Kibu anaweza kupigwa faini ya kukatwa mshahara kwa kuchelewa kuingia kambini.
Tweet media one
27
21
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
9 months
Mtaa unauliza wanetu wako wapi. Au Nabi aliondoka na uchawi wake? Habari za Mchana, hamjambo.
Tweet media one
33
22
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Dah hii speed ya Yusuph Bakhresa kubwa sanaa 😎 Jangwani yote Kimya. ●Azam walikuwa wanachukuliwa poa saana, sasa Boss ameamua kusimamia mchongo mwenyewe.
Tweet media one
32
35
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Max Nzengeli amesema anawashukuru sana viongozi na mashabiki wa Yanga kwa kuifanya siku ya leo kuwa siku yake na hata sahau katika maisha yake. Lakini ameomba ifanyike na kwa wachezaji wengine ili kuongeza motisha. ● Max kafunga mabao 2 kwenye ushindi wa mabao 5-1 Vs ASAS
Tweet media one
17
31
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Wakazi wa Rutshuru karibu na mji wa Goma- Congo DR 🇨🇩, wameomba msaada kwa Rais wa klabu ya @yangasc1935 Eng @Caamil8 baada ya makazi yao kuharibika kutokana na machafuko ya vita. Baadhi ya mahitaji yao ni Chakula na Dawa.
Tweet media one
35
49
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Kwa Mujibu wa Abissay Stephen Jr. Anasema sababu za Moses Phiri kutopata nafasi ya kucheza pale @SimbaSCTanzania ni maelekezo ya viongozi na sio mpango wa kocha Robertinho, amesisitiza kilichotokea kwa Beno Kakolanya ndicho kinachotokea kwa Phiri.
Tweet media one
74
41
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Mkataba wa kwanza wa Feisal Salum Abdallah Fei Toto alipojiunga na Yanga 2018 Mshahara wake unaripotiwa ulikuwa Milioni 1.6. Mwaka 2020 alisaini mkataba mpya wa miaka 4 utakao malizika 2024 Mshahara ni Milioni 4 hivyo Mshahara ulipanda kutoka Milioni 1.6 hadi Milioni 4.
Tweet media one
34
24
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Akili ya Chama bado ipo active mnoo 🔥🔥, huyu atatusumbua tena.
Tweet media one
18
28
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Watu wa mpira wababaishaji mnoo, leo msemaji wa Yanga Ali Kamwe anaaminisha kuwa Ligi yetu imetajwa kuwa Ligi namba 5 bora Afrika kwa sababu Yanga iliifunga Club Africain kwenye playoff ya kombe la shirikisho 😂😂 ●Kimsingi tumechagua kuwa watu wa Hovyoo kwenye mambo ya Msingi
Tweet media one
190
40
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
11 months
Kinachofanywa na baadhi ya wadau na mashabiki, hususani wa Yanga SC kuhalalisha madhambi aliyochezewa Henock Inonga beki wa Simba jana kwenye game dhidi ya Coastal kwamba alistahili kwa sababu na yeye aliwahi kucheza faulo mbaya. Ni ujinga na ushamba kuhalalisha kosa kwa kosa.
Tweet media one
292
36
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Allan Saint-Maximin leo kawapa show majirani Man United 😄⚽️, alianza kukaba Dalot baadae wakamleta Aaron Wan-Bissaka bado show ilikuwa kali. ●Mei 6, 2022 Saint-Maximin alisema anaamini anauwezo wa kushinda Ballon d'or siku moja.
Tweet media one
108
28
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
So baada ya kuiona Simba SC leo dhidi ya Singida FG, tunakubaliana Yanga SC ndio timu iliyokuwa na Pre season ya uhakika kiasi kutokana na kiwango chao cha uchezaji ukilinganisha na Simba SC na Azam FC? Chambua
Tweet media one
135
34
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 month
Sema mashabiki wa Simba wana Spirit ya ajabu mnoo😎 yani timu haijafanya vizuri kwa misimu 3 mfululizo lakini angalia Vibe lao lipo juu vibaya mnoo. Simba wanafanya vurugu hapa mjini utasema wao ndio mabingwa wa nchi 😂 •Hongereni kwa kuipenda timu yenu
Tweet media one
67
45
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Mwanasheria Fatma Karume ambaye anamuwakilisha mchezaji Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto', amesema amelidhishwa namna mchakato wa usikilizwaji wa Shauri la Marejeo la kesi ya Fei Toto na Yanga mbele ya kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF.
Tweet media one
15
30
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Marufuku kumfananisha Chama na wachezaji wenuu. Kubafuuuu ●Composure ya Chama akiwa na Mpira na Vision yake kwenye kupiga Pasi Hakuna mchezaji yoyote Nchi hii anamfikia.
Tweet media one
75
43
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 months
Kwenye kila utambulisho wa wachezaji ndani ya Simba SC kuna hii Sentensi. “Mipango ya klabu ni kusajili wachezaji wenye uwezo mkubwa huku tukizingatia umri kwakuwa tunajenga timu imara ya muda mrefu.” •Elewa neno kujenga Timu ni mchakato inaweza kutiki mapema au ikachelewa.
Tweet media one
35
24
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Kwa hiyo wanangu wa Azam FC yule Youssouph Dabo ndo kocha wenu mnae amini atawapa ubingwa? Dabo ameonyesha Pre season ya Tunisia mlienda kupoteza pesa za Yusuph Bakhresa. ●Mmeni -disappoint 🤕
Tweet media one
63
35
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
#CAFChampionsLeague FT: Simba SC 7-0 Horoya AC ●Huu ndio Ushindi mkubwa zaidi kwenye michezo ya hatua ya makundi klabu Bingwa Afrika msimu huu 2022-23 🔥 ●Kwa mara ya 3 Simba wanafuzu robo fainali klabu Aingwa Afrika ndani ya misimu 5. ●Simba Imebeba Milioni 35 za Mama
Tweet media one
23
37
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
4 months
Ofa za usajili zilizokuja mezani za Kibu Denis kutoka nje ya Tanzania ni kutoka Misri, Sweden 🇸🇪 na Norway. Amethibitisha meneja wa mchezaji huyo. Carlos Mastermind
Tweet media one
33
21
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 months
Azam wameyakosea nini haya mashindano ya CAF Route yao ina Pyramids ndani 😂 •AZAM FC wamepangwa kucheza dhidi ya APR hatua ya awali wakishinda hatua hii watakutana na mshindi wa mchezo kati ya JKU na Pyramids hatua inayofuata.
Tweet media one
69
22
1K
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Wale wote ambao mlisema Feisal Salum Abdallah Fei Toto ana Haki ya kuvunja mkataba na Yanga kwa njia ile ambayo aliitumia, Mtaweka wapi Sura zenu😎. Mmemsikia Mbobevu Jasmine Razack kachambua kwamba ni TFF tu ndo wanaweza kuvunja mkataba sio Mchezaji wala klabu.
Tweet media one
52
23
980
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
"Mechi ya Azam na Yanga ni kama fainali ya Ngao, naamini kabisa mshindi wa hapa ndio anakuwa bingwa wa ngao ya Jamii msimu huu kwa sababu ubora wa Azam na Yanga upo juu ukilinganisha na hizi timu mbili nyingine (Simba SC na Singida Fountaine)" Ally Kamwe Afisa habari wa Yanga
Tweet media one
30
30
966
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 month
“Kwangu mimi Ngao ya Jamii sio shindano muhimu. Kwangu mimi hapa Tanzania shindano muhimu zaidi ni Ligi Kuu, kwenye Ligi lazima uonyeshe kuwa nyie timu bora kwa sababu unacheza michezo 30, kwenye haya mashindano mengine timu bora muda mwingine sio inayoshinda ubingwa.” Gamondi
Tweet media one
25
21
976
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Nyuma ya Aziz Ki yupo kiungo bora wa kati kwa sasa nchini (Central midfielder) anaitwa James Akaminko. Sifa zote za kiungo wa kati anazo tena ni top quality. Anajua Boli ⚽️
Tweet media one
24
23
957
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Ndugu zangu wananchi Yanga SC mnaangalia hii game ya Mamelodi na Wydad? Naamini mnaona tofauti ya Kombe la shirikisho na klabu bingwa ⚽️🙂. Tukutane msimu ujao huku kwa wakubwa
Tweet media one
136
30
943
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Fei Toto aliondoka Yanga SC kwa lengo la kujiongezea kipato (Maslai). Feisal hakwenda Azam FC kipaumbele chake kikiwa kushinda Mataji mengi ili akitende haki kipaji chake alitazama zaidi maokoto. Stori ya Fei ni kama ile ya Oscar wa Brazil aliamua kufata maoko ya China.
Tweet media one
47
29
934
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
9 months
Ibrahim Hamad Bacca amesaini mkataba mpya na @YoungAfricansSC utakao muweka klabu hapo mpaka 2027. Kwa mujibu wa Ally Kamwe ameandika kuwa mkataba wa Bacca ndio wenye thamani kubwa zaidi kwenye historia ya soka la Tanzania 🇹🇿
Tweet media one
10
22
927
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Sijajua huko Avic Town Yanga SC wanafanya mazoezi ya aina, maana wana gain energy kila dakika. Huyu Max Nzengeli akapimwe mkojo tuone anatumia nini 😂 Mwamba ame cover eneo kubwa sana work rate ni 🔥🔥 ●FT Yanga 5-0 JKT Tanzania Nzengeli ⚽️⚽️, Ki Aziz ⚽️, Musonda ⚽️, Yao ⚽️
Tweet media one
34
26
921
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Huko Simba naona vifaa vya Vunja Bei bado vinatumika, na brand yake inazidi kutangazwa. wakati kwa sasa Sunderland ndio mtengenezaji wa vifaa vya Mnyama Simba SC na kaweka mzigo wakutosha. ●Iko wapi haki ya Sunderland?
Tweet media one
139
23
919
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Licha ya Kufungwa lakini kitu Positive kutoka kwa Simba SC ni reaction ya benchi la ufundi namna walivyobadilisha plan ya game kutoka mpango wa awali wa kujilinda na kuamua kushambulia. Sub zote zilikuwa Perfect 🔥 ila wachezaji waliwaangusha kwa kukosa utulivu mbela ya goli 😎
Tweet media one
36
19
913
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Simba inacheza Soka la kawaida sanaa, sio kiwango unachotegemea kuona kwa timu inayowania ubingwa. ●Kikubwa Mgunda aendelee kucheza Kimkakati zaidi kutafuta matokeo chanya, ila performance Wise timu inacheza kawaida sanaa.
Tweet media one
131
22
897
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
3 months
Nyiee baada ya jana kusikia Nyerere na Karume usiku walikuwa wanashinda pale klabuni Jangwani Usiku kufanya harakati za kuikomboa Tanzania. •Kuna vijana wanasema hii Yanga ni timu ya Taifa 😂.
Tweet media one
25
29
898
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Kama Dunia inavyotoa Heshima kwa wachezaji kama Iniesta, Xavi, Kelvin De Bruyne, David Silva, Fabregas. ●Basi Ulimwengu wa soka la Tanzania tunapaswa kutoa heshima ya Daraja la juu mnoo kwa Clatous Chama. Ni bahati kuwa na mchezaji wa Daraja lake kwenye Ligi yetu.
Tweet media one
40
31
866
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Kipindi kile Saido Ntibazonkiza anahusishwa kujiunga na Simba SC kwenye Kipenga Xtra shabiki wa Simba Mjata Mjata hakuwa na imani na Saido. Nakumbuka nilimwambia "Pale Simba na hata Yanga hakuna mchezaji kama Saido" ●Note: Hii Simba ya Saido na Chama zitafungwa bao nyingi mnoo
Tweet media one
21
22
857
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Eboo. Kijana wetu anataka kusema TFF wanashirikiana na Manara kuratibu safari ya Yanga SC kwenda Algeria 🇩🇿 😎. ●Manara si yupo kwenye kifungo cha TFF.
Tweet media one
49
25
857
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
11 months
Sema Mnyama Simba SC linapokuja swala la michuano ya kimataifa huwa wanakuwa wa tofauti sana. Leo kalimwaga sare la 2-2 katika mazingira ambayo wengi waliamini angekufa nyingi.
Tweet media one
33
29
868
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Picha ni Wachezaji na viongozi wa RS Berkane wakimvaa mwamuzi msaidizi namba 1 (Line1), baada ya kufunga bao na kukataliwa kuwa ni Offside. Hiyo ilikuwa March 13, 2022, mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika Simba SC 1-0 RS Berkane ●Berkane alifungwa kikatili mnoo kwa Mkapa
Tweet media one
Tweet media two
26
11
866
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Mwekezaji wa @SimbaSCTanzania Bilionea @moodewji amemteua Crescentius Magori kuwa mshauri wake kwenye mambo ya michezo na maendeleo ya klabu ya Simba SC kwa ujumla.
Tweet media one
8
16
848
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
7 months
Kucheza mpira ni Sanaa (art) na mchezaji mwenye Sanaa bora kabisa ya kucheza Boli hapa Bongo hakuna kama Chama. Hakika Mwenye timu amerudi.
Tweet media one
33
27
843
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
9 months
Ayoub Lakred Vs Wydad Casablanca ●Kacheza Dakika 90 ●Kafanya Saves 5 ●Kapata kadi ya njano 💳 ●Kaondoka na Cleansheet Mpaka January 2024 mjadala ni Ayoub na Diarra nani mkali 😂
Tweet media one
25
27
831
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
8 months
Rais wa kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBRC Chaurembo Palasa amese Twaha Kiduku na Hassan Mwakinyo wanapaswa kupigana. "Raha ya ngumi lazima tuwe na mbabe mmoja."
Tweet media one
5
21
822
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Kocha wa Simba SC Robertinho, amesema kwa sasa anatumia washambuliaji wawili kwa sababu mpango kazi wake ni kushambulia kwa kupiga Kross nyingi na ameweka wazi kuwa anawatumia Shomari Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala kupiga hizo kross kwa kuwaruhusuni ku-overlap
Tweet media one
18
19
828
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Naona Khalid Aucho anaimbwa mnoo, lakini tunasahau kumuimba na kumpa heshima yake Mudathir Yahya. Kiungo yoyote nchi hii akicheza pembeni ya Mudathir kazi yake itakuwa nyepesi tu Muda ana-cover mabox ya mawili (chini na juu) kwa ufanisi mkubwa. ●Kazi ya Muda aulizwe Fei Toto 😎
Tweet media one
30
24
822
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 months
Kwa viungo ambao wapo Active kwenye Ligi yetu, Mudathiri Yahya ndio best Center Midfielder. Uwezo wa kucheza kwenye ma-box yote 2 juu na chini anaipa timu balance mnoo. Ukipanga kikosi bora cha Yanga ukamuacha Muda Hujui boli 😂 •Hapo Yanga tu hakuna CM mwingine kama Muda 😎
Tweet media one
27
26
823
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
"Kuwa serious unataka hela hutaki hela?". 😂😂 Enhee Meck weee, kauli yako ni tata 😎⚽️
Tweet media one
14
12
810
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Acheni Djuma Shaaban aendi tu huyu Kouassi Attohoula Yao ni Beki la Mtumba. HT: Yanga SC 0-0 Simba SC
Tweet media one
17
10
815
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo Simba SC walipaswa kuboresha kikosi kwa kusajili wachezaji wa daraja la Juu ili kuongeza ubora wa timu. Safari ya Dubai haitakuwa na mchango kama huna wachezaji bora. ●Hata ukiweka Kambi Mwezini kama huna wachezaji bora huwezi kufanikiwa.
Tweet media one
151
31
803
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 months
Kocha wa Yanga SC Miguel Gamondi amese moja ya sababu iliyomfanya abaki Yanga ni Michuano ya ligi ya Mabingwa Afrika. •kwa picha kubwa Yanga inaonekana imejipanga sana kushinda kimataifa 2024-25.
Tweet media one
9
24
820
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Rashford alikuwa Offside. Kitendo cha kuukimbiza ule mpira maana yake aliingilia mchezo licha ya kwamba hakuugusa mpira.Ile ni Offside Asubuhi tu ●VAR nayo Hovyoo kabisaa
Tweet media one
222
23
807
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
4 months
Nikimtazama Aziz Ki na hii performance, nikimkumbuka kuna Pacome, Ibrahim Bacca na Yao Kwasi. •Nawaza nani atakuwa mchezaji bora wa msimu ndani ya timu ya Wananchi?
Tweet media one
21
14
806
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 months
So kina Fabrizio wa Bongo mnatuaminisha kuwa Rais wa Yanga Eng. Hersi Saidi ni Muongo kaiongopea familia nzima ya Football ya Afrika😎. Kuhusu mkataba wa Aziz Ki? Good Morning FAM
Tweet media one
32
15
812
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
30 days
Hizi tuzo zinatolewa kama ugomvi ni moja baada ya nyingine 😂. Washindi hawapewi hata nafasi ya kueleza hisia zao. •Aziz Ki ajatuangusha wahuni yupo na mtoto Mobetto 😎
Tweet media one
27
11
814
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
kuanzia Msimu 2023-24 ni mawakala pekee watahusika kwenye kusaini mikataba kati ya klabu na wachezaji na sio Mameneja au Wasimamizi. Sputanza wanaamini kipengele hiki kitaondoa migogoro ya kimkataba baina ya Wachezaji na klabu.
Tweet media one
Tweet media two
16
18
793
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
5 months
Mzee wangu Mwina Kaduguda aliwachambulia kuhusu ubora wa wachezaji wa Simba SC. Mkamuona wa Hovyo leo wote mnazungumza kuhusu viwango duni vya wachezaji wa Unyamani.
Tweet media one
24
32
805
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 month
Tajiri alimuuliza Kibu Denis “unataka kuchezea timu yangu?” Kibu akajibu ndio Boss akamwambia mpe simu Salim kwa maana ya ('Try Again'). Baada ya hapo Kibu D akalipwa pesa yake yote ya usajili ya miaka 2 Simba na mshahara mpya anaanza kulipwa Tarehe 1-8-2024.
Tweet media one
18
12
802
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Hii ni Simba ya utatoa hutoi, what a day kwa Simba SC na mashabiki wake. ●Huu ni ushindi wa karibu Msimbazi Saido Ntibazonkiza.
Tweet media one
8
24
791
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Target Man Jean Baleke 🔥🔥 Hii Finishi ya Jean Baleke kwenye hili bao la pili ni ya darajaa Dunia (World Class) nimetamani Peter Drury angetangaza hili goli 😂 ●⏰️Game On Simba 2-0 Ihefu Jean Baleke ⚽️⚽️
Tweet media one
8
21
786
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
10 months
Captain Samata leo game imemkubali. Anaitaka game anajituma 100%. Dynamic movements kutoka kwake kushoto kulia katika kote unamuona. ●Ila Kocha wetu Adel Amrouche ni Pure Jose Mourinho kujilinda ndio kipaumbele chake.
Tweet media one
16
16
783
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Hii turn up ya mashabiki wa Yanga SC kuifuata timu yao kwenda nchini Rwanda ni kiboko (rekodi na Historia) kwa Tz 🇹🇿. Kwa vibe hili Yanga wanaweza kuishi bila hamasa ya Haji Manara. ●Kazini kwa Manara kuna kazi
Tweet media one
22
24
777
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Mdau @1TraVeLA kutoka Italia amenijuza kuwa klabu ya @yangasc1935 imefikia katika Hotel ya Sheraton huko Lagos Nigeria chumba hapo kwa siku minimum (bei ya chini) ni Euro €233 sawa na ( + 550,000/=). Kwa pesa ya Tz🇹🇿 ●Mkisikia mashabiki wanaimba Gsm gsm msinune 😁😁
Tweet media one
Tweet media two
45
27
777
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
10 months
Baada ya @YoungAfricansSC kupigwa faini ya Tsh milioni 5 na bodi ya Ligi TPLB kwa kosa la kupita mlango usiokuwa rasmi kwenye game Vs Simba SC. ●Shabiki wa klabu hiyo Jimmy Kindoki ameanza mchakato wa kuchangisha pesa hiyo ili walipe faini. Mpaka sasa amefikisha Tsh Laki 3.
Tweet media one
21
22
769
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Tunapaka sana mafuta na tunawachezaji wetu pendwa tunakesha kuwasifia kwa kuaminishana kuwa ni bora. Ila Football ni mchezo wa wazi, mpaka sasa ktk orodha ya wachezaji wapya wa Yanga SC huyu Yao Kouassi ndio usajili bora wa Yanga hao wengine nao watuonyeshe. ●Good Morning FAM
Tweet media one
25
15
730
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Hii picha niliiotea wakati wa mapumziko (Half time) game ya fainali ya #ASFC Azam FC Vs Yanga SC. Kocha mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi aliitisha kikao kifupi na bench lake la ufundi kabla ya kuongea na wachezaji. ●Makocha wanakazi saana 😂
Tweet media one
9
12
734
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 months
Kuna watu wamesha thibitisha Chama kujiunga Yanga SC zaidi ya mara 10 ndani ya wiki 3. •Shida haturipoti kwa hatua namna mchakato unavyokwenda. Watu wanakuja na taari za jumla jumla hatuulizi mchakato upo kwenye hatua gani nini kinafuata. Ndio maana kila siku ni I can Confirm 😀
Tweet media one
44
13
728
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Ok Simba wanatajwa sana kama timu ya Tz 🇹🇿 iliyofanikiwa zaidi kucheza michuano ya vilabu barani Afrika. Na kipimo cha Yanga kwenye michuano hii ni Simba. ●Simba wamefanikiwa zaidi eneo gani kwenye michuano ya CAF ukilinganisha na vilabu vingine nchini?
Tweet media one
61
19
709
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
9 months
Rais wa Yanga Hersi Said amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Shirikisho la Vilabu vya soka Afrika (ACA) ●Mkutano wa kuanzishwa chombo hicho umefanyika jijini Cauro nchini Misri na Hersi anakuwa Rais wa kwanza kwenye historia ya Shirikisho hilo.
Tweet media one
9
18
719
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Niliwaambia mashabiki wa Yanga mnamkosea kumshindanisha Aziz Ki na Chama, niliwakumbusha kuwa mwisho wa msimu watu wataangalia namba zao na Ki hataweza kufika level ya Chama. Hatmaye muda umeongea. ●mpaka sasa Chama kahusika kwenye mabao 17 kwenye Ligi na Aziz Ki mabao 6.
Tweet media one
Tweet media two
109
32
724
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
11 months
Picha linaanza, inabidi kipigwa game ya Simba SC Vs Yanga SC . Mechi itakayohusisha wachezaji wazawa tu. Unadhani timu gani itakuwa na kikosi bora cha wazawa na itashinda game? Chambua
Tweet media one
27
9
719
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
●Kwa mara ya Kwanza Tp Mazembe anafungwa kwenye ardhi ya Tanzania ✅️ ●Yanga wamechukua Mil 15 za Mama ✅️
Tweet media one
12
23
716
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 months
Wananchi wanaamini Chama na Dube watavaa jezi yao ya Kijani na njano msimu ujao. Na matumaini yao yote yapo kwa President Hersi @Caamil8hizi deal zote 2 kwa pamoja ya Chama na Dube sio chini ya Bilion 1. Azam wanataka Mil 700 kwa Dube Chama sio chini ya Mil 300. •Oya sio poa
Tweet media one
32
15
713
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Stori za Simba na Yanga rahaa sana, asubuhi hii mzee mmoja kutoka tawi la Yanga Mbagala Chamazi amenidokeza eti ilikuwa wapigwe 5😎. Ila kuna mzee kutoka Kilwa akapambana kuzifuta mpaka zikabaki 2 😂😂. ●Zile nafasi za Baleke ndo zilifutwa nini?
Tweet media one
40
26
708
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 months
Mwanetu Mukwala Steven Dese ana umri wa miaka 24 kazaliwa Julai 15,1999. Lakini takwimu zinaonyesha kaanza kucheza soka la ushindani Senior Level mwaka 2014. Ukicheza na hesabu kaanza kucheza soka la ushindani Akiwa na miaka 14. Anyway kikubwa Afunge mabao umri ni namba tu.
Tweet media one
54
19
717
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Huyu Professor Nabi ana akili nyingi kama Pep Guardiola. 1st half katutia presha. 2nd half Nabi kawafurahisha wananchi 🔥. #CAFConfederationCup FT: Yanga SC 2-0 Marumo Gallants Aziz Ki ⚽️, Morrison ⚽️
Tweet media one
14
29
712
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Hivi Yanga SC wanakikosi chenye uwezo wa kutwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho barani Afrika au Furaha imewazidi wanaamini kila kitu kinawezekana? Chambua
Tweet media one
120
15
714
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Sheria na Utawala wa (TFF), Eliud Mvella. Amesema mshambuliaji kinda wa Yanga Clement Mzize ndiye atakaye tatua tatizo la ufungaji kwenye timu ya taifa Taifa Stars na anamuona ndiye Mrithi wa John Bocco. Ukiwa kama mdau una unga mkono hoja?
Tweet media one
39
12
696
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 years
Tunalazimisha sanaa Yanga kuwa sawa na Simba. Tunasahau ndani ya miaka 4 iliyopita Simba wametengeneza daraja kubwa sana linalowatofautisha na Yanga. Na Yanga wanakazi yakupunguza hilo gap kama walivyoanza msimu uliopita.
Tweet media one
29
35
690
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
1 year
Kocha wa Simba SC Robertinho amesema mchezo wa kesho dhidi ya Power Dynamos ni mchezo muhimu kwa sababu wataenda kujua kila kitu kuhusu timu yao kama ipo sawa au haipo sawa. ●Je unaamini mchezo dhidi ya Power Dynamos ni kipimo cha ubora wa Simba SC kuelekea 2023-24?
Tweet media one
16
19
712
@ibrakasuga
ibrahim kasuga
2 months
Ile hoja dhaifu ya wachezaji wa Kigeni wapunguzwe President Karia kaipiga chini. Hivyo idadi itasalia kuwa wachezaji 12 wa Kigeni kwa kila timu na kwa mujibu wa takwimu wachezaji wa Kigeni hawafiki 80 Ligi Kuu.
Tweet media one
12
10
714