Lusajo L.M. | 1440 Profile Banner
Lusajo L.M. | 1440 Profile
Lusajo L.M. | 1440

@Sajjo

117,883
Followers
1,078
Following
4,314
Media
120,730
Statuses

| FARMER @MagoleFarm πŸƒ 🚜 | @NyavuTz | @LMadvisory | @VapperTech | #SYT | Coordinator: @FMFound | Banana Expert ask @Salim_Alkhasas | #MWF16 | 413 |

Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
9 years
Unifanye kusikia fadhili zako asubuhi, maana nimekutumaini wewe. Unijulishe njia ntakayoendea, kwa maana nakuinulia nafsi yangu. Zab 143:8
23
179
564
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
It is a blessing that you call me My SON and I call you My MOTHER. Your Love, Protection and Guidance saw me through all life’s hurdles, your PRAYERS led me to greener pastures. Today we celebrate you, Our Prayer Warrior, Our Sanity, Our Pillar of Strength. Happy Birthday Mama.
Tweet media one
Tweet media two
70
51
856
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Happy Birthday my Little Soldier. Daddy Loves You. #Mwaisakas #BlessingsOnBlessings
Tweet media one
34
39
758
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu, bali unyenyekevu huja na hekima. Mithali 11:2 πŸ™πŸΎ
7
73
761
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
To Roland and Jackline on your Big Day… God Bless You and Keep You Safe. πŸ™πŸ½β€οΈ #DengeWedsCoco
Tweet media one
7
46
711
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Usifurahi adui yako aangukapo, wala moyo wako usishangilie ajikwaapo; BWANA asije akaliona hilo, likamkasirisha; akageuzia mbali naye hasira zake. Mithali 24:17-18 πŸ™πŸΎ
33
98
707
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Ndugu zangu Waandishi wa Habari...mnaaibisha taaluma yenu.
175
126
645
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Sijui nani anahitaji kusikia haya but well... mwenye masikio na asikie.
37
103
652
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
To Life... 20.06.2020 πŸ™πŸΎ
Tweet media one
Tweet media two
61
25
596
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
TBC Tanzania is the saddest TV Station. Watching it can trigger depression among other things. #SaddestTVStationIndex
57
91
542
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Hivi ni kwa nini katika kila kitu tunapenda kukimbilia kusema MAADUI ZETU. Ina maana Watanzania hatupendwi na dunia nzima?
59
43
536
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Askari nao wakamuuliza, β€œJe, nasi inatupasa tufanye nini?” Akawaambia, β€œMsimdhulumu mtu wala msimshtaki mtu kwa uongo, bali mridhike na mishahara yenu.” Luka 3:14 πŸ™πŸΎ
11
76
490
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Mtu kuwa na Hobby ya kupiga machata kwenye mawe sio kitu cha kupuuzia. 🚷
27
41
464
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Uliza Kiatu…
Tweet media one
20
8
457
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Mh. Ni masaa 27 yamepita hatujasikia lolote kutoka kwako kuhusu #Covid19Tz , huoni kuna haja ya kuwa unatoa taarifa at leask kila baada ya masaa fulani. Au ni Twitter tu ndio hatuna taarifa?
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu MP
5 years
Leo, kikao na Wataalam kuweka mikakati zaidi ya kukabiliana na #COVID19 nchini. Mambo mawili ya kusititiza;-. 1. Hospitali binafsi na za serikali kuzingatia Miongozo ya Wizara kabla ya kupeleka wagonjwa Hospitali za Rufaa. 2. Elimu kwa Wananchi kuwa sio kila Homa/Mafua ni Corona
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
104
84
718
34
28
450
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Tabasamu huficha mengi. Muwe na ijumaa njema kutoka kwangu na jamaa yangu @salim_alkhasas
Tweet media one
15
19
446
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Saidia kusambaza ujumbe. πŸ™πŸ½
Tweet media one
5
378
405
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Join Us. Ungana Nasi.
Tweet media one
15
60
423
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
2 years
A year ago @YourFrenchFry aliweza kumfanya jamaa yangu @rollymsouth kuwa na furaha kiasi hiki. >Fast forward kesho yake saa saba usiku tukakutana na Bwana Rolland anasaka chipsi mishkaki zenye chachandu for Mrs na bado alikuwa anatabasamu namna hii. Mungu Azidi Wabariki. πŸ™πŸ€
Tweet media one
6
12
418
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Tweet media one
15
26
399
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
God Bless Our Hustles. Everyday we Hustling. πŸ™πŸΎ
Tweet media one
8
37
387
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Ina maana Bunge lijalo litakuwa na Mbunge mmoja tu wa CUF kwa upande wa Upinzani? Hii inauma. Sana.
36
24
363
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
#JeWajua Mobutu Sese Seko, rais wa Zaire (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo) alipitisha sheria kwamba Televisheni ya Zaire hairuhusiwi kumtaja mtu yeyote kwa jina isipokuwa yeye. Aliagiza habari zote za jioni zianze na tukio la yeye kushuka kutoka mbinguni. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
22
57
345
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
6 months
Ila Mbeya πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½
Tweet media one
42
10
361
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
The Evening After… 😎
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
16
15
350
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 months
Mtu aliyepoteza lebo ya jezi yake gym, nimeiokota. Nadhani gundi iliisha nguvu. πŸ™‚β€β†”οΈ HMU.
Tweet media one
42
24
349
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Hii ni stock nzima au sample ndogo tu for publicity? The prescription tho. πŸ™ŒπŸΎ
75
25
331
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Ikiwa mtu atasema, β€œNampenda Mungu,” lakini anamchukia ndugu yake, yeye ni mwongo. Kwa maana kila mtu asiyempenda ndugu yake ambaye anamwona, atampendaje Mungu asiyemuona? 1 Yohana 4:20 πŸ™πŸΎ
11
45
318
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
To Life… 20.06.2021 πŸ™πŸ½
Tweet media one
53
11
333
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Mathayo 11:28 πŸ™πŸΎ
4
43
321
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Afadhali mtu maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama, kuliko mpumbavu ambaye midomo yake imepotoka. Mithali 19:1 πŸ™πŸΎ
1
47
322
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe; katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako. Mithali 3:5-6 πŸ™πŸ½
6
52
326
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Nimejifunza siri ya kuridhika katika kila hali, wakati wa kushiba na wakati wa kuona njaa, wakati wa kuwa na vingi na wakati wa kupungukiwa. Wafilipi 4:12 πŸ™πŸ½
4
47
318
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
2 months
Dear Songesha, Ni kweli mnanidai, lakini kuna masuala ya Kitaifa ambayo yamechukua β€˜presedence.’ Niwieni radhi, ntawarudia.
20
22
318
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
My Day One… Mwenyezi Mungu akubariki na kukulinda, siku zako zikawe nyingi hapa chini ya jua. Atuongoze tuweze furahi katika mafanikio kama ambayo tunafurahi katika changamoto zetu. You are a blessing @salim_alkhasas . Happy Birthday Blood. πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
25
19
286
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Waheshimiwa @umwalimu na @DocFaustine je hii ni kauli rasmi ya Tume ya kupambana na #Covid19 au? 😩
52
43
287
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba, kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi. Mithali 25:24 πŸ™πŸΎ
6
41
281
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Usiwape wanawake nguvu zako; wala moyo wako usiwape wale wanaowaharibu wafalme. Mithali 31:3 πŸ™πŸΎ
12
29
274
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Usizikumbuke dhambi za ujana wangu wala njia zangu za uasi, sawasawa na upendo wako unikumbuke, kwa maana wewe ni mwema, Ee Bwana. Zaburi 25:7 πŸ™πŸΎ
3
38
268
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Our Happy Place… #MagoleFarms
Tweet media one
4
12
272
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe; katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako. Mithali 3:5-6 πŸ™πŸΎ
7
40
272
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
9 months
Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi. Zab 121:1-2 πŸ™πŸ½
2
50
281
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
10 months
β€œYou must go to the Pyramids in Egypt… There you will find a treasure that will make you a rich man.” The Alchemist. #Read2024
Tweet media one
19
25
275
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango. Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango. Mathayo 7:7-8 πŸ™πŸΎ
6
38
263
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
MVP πŸ™ŒπŸΎ
28
39
268
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Quote this tweet with a picture of you and your child. ☺️
Tweet media one
22
18
266
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
"Hakuna silaha itakayofanyizwa dhidi yako itakayofanikiwa, nawe utauthibitisha kuwa mwongo kila ulimi utakaokushtaki. Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana na hii ndiyo haki yao itokayo kwangu,” asema Bwana. Isaya 54:17 πŸ™πŸΎ
7
45
256
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko kuzimu, unakokwenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima. Mhubiri 9:10 πŸ™πŸΎ
3
32
263
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Magole Agriculture Limited tuko mstari wa mbele kuhakikisha kwamba tunalisha Watanzania na kutoa ajira katika mnyororo wa thamani na katika kilimo kwa ujumla. Pia tutaendelea kuwajengea uwezo wakulima wadogo. Karibuni. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
9
68
256
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, kabla hazijaja siku zilizo mbaya, wala haijakaribia miaka utakaposema, mimi sina furaha katika hiyo. Mhubiri 12:1 πŸ™πŸΎ
5
31
258
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Bwana atakukinga na madhara yote, atayalinda maisha yako, Bwana atakulinda unapoingia na unapotoka, tangu sasa na hata milele. Zaburi 121:7-8 πŸ™πŸ½
5
29
251
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote. Kumbukumbu 6:5 πŸ™πŸ½
4
26
252
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Zaidi ya yote, linda moyo wako, kuliko yote uyalindayo, maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Mithali 4:23 πŸ™πŸ½
2
42
253
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
#JeWajua Wakati wa utawala wake Idi Amin alipiga marufuku wanawake kupaka manukato, kuvaa mawigi, suruali na vimini. Yote ilikuwa katika harakati za kulinda maadili ya nchi. #ElimikaWikiendi PS: Ya single ladies next time.
Tweet media one
10
31
237
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Unipe kusikia furaha na shangwe, mifupa uliyoiponda na ifurahi. Ufiche uso wako usizitazame dhambi zangu, na uufute uovu wangu wote. Zaburi 51:8-9 πŸ™πŸ½
3
32
257
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
#JeWajua Hayati Muammar Gaddafi amewahi kutoa hotuba Umoja wa Mataifa kwa masaa mawili. Aliongelea kuunga mkono maharamia wa Somalia, alidai Israeli wanahusika na kifo cha J.F. Kennedy na akamtaja Barack Obama kama "Mwanangu." Alikuwa amepewa dakika 10 tu. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
45
239
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Nimelificha neno lako moyoni mwangu ili nisikutende dhambi. Ninakutafuta kwa moyo wangu wote, usiniache niende mbali na amri zako. Zaburi 119:10-11 πŸ™πŸΎ
3
41
242
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Bwana atakukinga na madhara yote, atayalinda maisha yako, Bwana atakulinda unapoingia na unapotoka, tangu sasa na hata milele. Zaburi 121:7-8 πŸ™πŸΎ
7
19
250
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
11 months
Well anaitwa KD!!! L.O.V.E. #KamalaWedsNajma
15
24
252
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
6 months
OSHA wanakuja kufanya ukaguzi wa sehemu ya biashara, ofisi ni chumba kimoja na wanaleta gharama za ukaguzi TZS 1.2M, sawa na kodi ya chumba cha biashara kwa mwaka mzima. Tunaambiwa tucomply. Bado wengine hapo.
18
37
253
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
1 year
Run your race my G. We do not have the same finish line. Run your Race.
@Gery_Gerrald
Gery
1 year
Ukifika age fulani ukaanza kuona masela wengine wameoa, wana maisha na kazi nzuri sometimes mtu unajiona kama upo behind.
26
36
361
17
56
247
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
8 months
Hivyo, tusichoke katika kutenda mema, kwa kuwa tutavuna kwa wakati wake tusipokata tamaa. Wagalatia 6:9 πŸ™πŸ½
2
33
244
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Zaidi ya yote, linda moyo wako, kuliko yote uyalindayo, maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Mithali 4:23 πŸ™πŸΎ
4
39
234
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Tunasema tunataka kujenga UCHUMI na hapa Morogoro kuna gari zaidi ya 300 zimezuiwa zisiendelee na safari, zikomngoja kiongozi mmoja apite, dakika 40 sasa. Uchumi gani huu? Wa Misafara? SMH.
29
41
238
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Nimemtuma mtu akanunue majembe. Karudi kasema tayari, nikamuelekeza wapi kwa kuyapeleka. Half an hour later anarudi na kuniambia, β€œwanauliza mbona hayana mipini?” πŸ₯Ί
33
6
238
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Mini Taita, Blessing My G. Today and always. πŸ™πŸ½
Tweet media one
5
2
230
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Kanisamehe. #RafikiYangu #WatuWema 😊
Tweet media one
14
9
227
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
8 months
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
17
11
232
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
7 months
I see TANESCO are taking the April Fool’s Day extremely serious this year. ☹️
18
31
235
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Sisi wenye allergies mbalimbali (harufu, vumbi) kipindi hiki tunapata taabu sana. 😟
22
13
224
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu, ategemeaye mwenye mwili kwa ajili ya nguvu zake, ambaye moyo wake umemwacha Bwana. Yeremia 17:5 πŸ™πŸΎ
3
34
221
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana, naye atamtuza kwa aliyotenda. Mithali 19:17 πŸ™πŸΎ
3
23
226
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Magole Farms - Banana Plantation (October 2021). 🍌
17
52
215
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
6 years
Kuna haja ya kutengeneza kamera for vibonge. Kamera kashika kama kitumbua 😒 #TOTBOBANZA #TOT5ASIDE
Tweet media one
Tweet media two
40
45
203
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
2 years
Mungu wetu mwenye nguvu Baba wa Milele. Ebenezer..!πŸ™πŸ½
1
15
218
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Awamu ya kwanza ya ujenzi wa nyumba za walimu shuleni Msinune imekamilika ambapo nyumba mbili za kuishi zimekabidhiwa kwa Walimu. Mpaka mradi utakapokamilika @FMFound tunatarajia kujenga jumla ya nyumba nane kwa ajili ya walimu shuleni hapo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
38
219
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
1 year
Nazidi kuamini kwamba Bongo kuwa na stress ni maamuzi binafsi.
29
41
216
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 months
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; mshike, maana yeye ni uzima wako. Mithali 4:13 πŸ™πŸ½
2
29
218
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Nikumbushe WEMA wako nisije laumu Nikumbushe WEMA wako wakati wa magumu… πŸ™πŸ½
2
28
214
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
7 months
Basi, lolote mfanyalo, kama ni kula au kunywa, fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu. 1 Wakorintho 10:31 πŸ™πŸ½
3
34
218
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe; katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako. Mithali 3:5-6 πŸ™πŸΎ
5
27
218
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Nataka hamia RwandaπŸ‡·πŸ‡Ό jamani. Naombeni connections.
16
4
207
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Linda maisha yangu, kwa maana nimejiweka kwako, wewe ni Mungu wangu, mwokoe mtumishi wako anayekutumaini. Zaburi 86:2
2
26
210
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Blocked on WhatsApp, Instagram, Twitter, Telegram, Signal, Facebook, iMessage, Snapchat... plus normal calls and texts. Nimefanya nini mimi. 😰
42
9
205
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
6 years
Mwaka 2016 @FlavianaMatata alifadhili mafunzo ya uokoaji kwa wakazi 50 wa mikoa ya Kanda ya Ziwa katika maadhimisho ya miaka 20 ya ajali ya #MvBukoba . Katika maadhimisho hayo ilitolewa rai kwa serikali kuongeza vifaa vya kisasa katika kukabiliana na ajali za majini. #MvNyerere
Tweet media one
Tweet media two
5
55
206
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
9 months
Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Wafilipi 4:6 πŸ™πŸ½
3
33
215
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Happy Birthday Son... #BlessingsOnBlessings #Mwaisakas πŸ’™β€οΈπŸ™πŸΎ
Tweet media one
Tweet media two
18
15
211
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
9 months
Naweza kuyafanya mambo yote katika yeye anitiaye nguvu. Wafilipi 4:13 πŸ™πŸ½
3
31
214
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
11 months
Hivyo usiogope, kwa maana niko pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako. Nitakutia nguvu na kukusaidia; nitakutegemeza kwa mkono wa kuume wa haki yangu. Isaya 41:10 πŸ™πŸ½
6
31
212
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
β€œNjooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha." Mathayo 11:28 πŸ™πŸΎ
4
21
208
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
11 months
Mwenyezi Mungu awabariki na kuwalinda katika safari yenu mnayoianza leo @ItsKamala na @najma_paul . Neno lake daima likawe mwangaza katika mapito yenu. Congratulations on your Wedding Day. #KamalaWedsNajma πŸ™πŸ½
Tweet media one
1
16
212
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
5 years
Yeyote aliye mwaminifu katika mambo madogo, pia ni mwaminifu hata katika mambo makubwa, naye mtu ambaye si mwaminifu katika mambo madogo pia si mwaminifu katika mambo makubwa. Luka 16:10 πŸ™πŸΎ
2
40
205
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
2 months
Mnapoomba hampati kwa sababu mnaomba kwa nia mbaya, ili mpate kuvitumia hivyo mtakavyopata kwa tamaa zenu. Yakobo 4:3 πŸ™πŸ½
1
44
213
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
2 years
Malaria inaanza weee, inapungua inaanza weeh… #NewProfilePic
Tweet media one
9
9
200
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Do we have a MUSEUM OF PERFORMING ARTS & STUPIDITY?
Tweet media one
20
17
207
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Ninaongea na Mama (72) kuhusu chanjo, itoshe tu kusema madhara anayosababisha Gwajima na wapinga chanjo wenzake… akitokea hapa SIJUI. πŸ˜•
23
11
205
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
3 years
Utufurahishe kulingana na siku ulizotuadhibu, kulingana na miaka tuliyotaabika. Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako, utukufu wako kwa watoto wao. Zaburi 90:15-16 πŸ™πŸ½
9
34
207
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
4 years
Naweza kuyafanya mambo yote katika yeye anitiaye nguvu. Wafilipi 4:13 πŸ™πŸΎ
0
25
199
@Sajjo
Lusajo L.M. | 1440
8 months
Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe; katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako. Mithali 3:5-6 πŸ™πŸ½
4
39
205