Michael Jr Assenga Profile Banner
Michael Jr Assenga Profile
Michael Jr Assenga

@assenga_online

3,653
Followers
2,201
Following
1,957
Media
10,731
Statuses

Profesional teacher, Passionate famer, Blogger & YouTuber East Africa: Citizen Jornalist

Kilimanjaro, Tanzania
Joined July 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@assenga_online
Michael Jr Assenga
17 hours
TUNAANZIA HAPA: Jinsi ya kuanzisha na kudesign website kwa kutumia Worpress Katika mfululizo wa Uzi huu tutaangazia namna ya kuanzisha website, na jinsi ya kuirun website yako, na then jinsi ya kuingiza kipato kupitia website yako. Kwa upande wa jinsi ya kuanzisha website,
Tweet media one
8
39
96
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Dah nimesikiliza Intervew ya MABEYO jinsi magufuli alivokufa Dah, nimeumia sana😭😭😭😭 R.I.P
Tweet media one
26
51
892
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Ila wanaume tunapitia mengi, imagine vichwa vyote ivi vimeweka kikao vinakusikiliza wewe😂😂
42
39
192
@assenga_online
Michael Jr Assenga
7 months
Duh, Macho yangu 🤔
55
16
192
@assenga_online
Michael Jr Assenga
4 years
Jinsi ya kuwa mtu mashuhuri kwenye mtandao wa tweeter, naomba mnijuze nataka niwe mtu mashuhuru humu kama kina @kigogo2014 , @mpambazi_ , @chapo255 @masoudkipanya na wengine wengiii, naomba elimu kidogo😊😊 #MtuMashuhuri 😋😋😋😋😋😋
17
3
135
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Uyu Mbunge ameingia kwenye 18 za Msukuma kakandwa kweli kweli😂
13
37
141
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Hivi ni sahii Mwanume Kulalia kitanda cha BED SOFA?
Tweet media one
32
7
118
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
@IAMartin_ @Elparton112 Ishu ni Kwamba wanaume Tunaoa wanawake tuliowazidi Umri, mfano wewe una miaka 35 unaoa Bint wa miaka 20 unategemea kwann sife umuache. Ko hakuna uchawi apo, hao waliolewa wakiwa na umri ambao sio sawa na waume zao.
43
2
116
@assenga_online
Michael Jr Assenga
4 months
Tuombe ajira za Polisi sasa Popote Kambi
Tweet media one
17
7
108
@assenga_online
Michael Jr Assenga
5 months
Mtu unajazwa Imani ya Kidini mpaka unakuwa mjinga. Usiruhusu Dini ikufanye kuwa mpumbavu
13
21
91
@assenga_online
Michael Jr Assenga
10 days
@netblocks @MariaSTsehai Tanzania is a "low key dictator nation"
7
7
76
@assenga_online
Michael Jr Assenga
21 days
@eastafricatv 😂😂 aka kalikokuwa kanapulizeee mpempee kametulia kama sio kenyewwww
10
0
69
@assenga_online
Michael Jr Assenga
7 months
Walioko mtaani bila ajira au wamejiajiri wana uwezo mkubwa kushinda ata walioko maofisini ni basi tu hawajapata nafasi. Gm
6
19
58
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Weka handle apa chini🌹Let's gain followers💘 Follow
29
28
46
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
We mwaga tembea mambo ya kudumu iachie ccm
10
8
59
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
@IAMartin_ @Elparton112 Nimechanganya mada mkuu, nilikuwa sijasoma hadi mwisho samahani mkuu, Ngoja nichangie upya nishaelewa
47
2
59
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Utafanyaje ushaamka asubuhi afu unarudi chumbani unajiona upo umelala kitandani
Tweet media one
9
9
53
@assenga_online
Michael Jr Assenga
15 days
@Sativa255 Uongozi ni Suti, viongozi watengeneze mazingira ya kunufaisha watu wote na sio koo na himaya zaoo, hii inatucost sana afrikaa, Tunaona Fahari kuishi kwenye mazingira ambayo asilimia 90 ya wanaokuzunguka kwako ni Maskini uku ukiona ni ifahaarii afu unategemea Vibaka waishee
1
1
52
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
KUFANYA KAZI NI IBADA, TUAMKE TUFANYE KAZI, Goodmorning..
13
19
50
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
@IAMartin_ Hii nchi inaendeshwa kwa UNAFKI na sio uwazi, kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia ila wakija kwenye kadamnasi wanaongea kinafki, Inshort Zanzibar ni Nchi inayojitegmea na ni nchi ya Kiislam, ila KINAFKI zanzibar ni Tanzania visiwani
10
2
48
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Aliesema Wanaume hatujui kupika ni nani?? Ndizi za moshi na Nyama (machalari)😋
Tweet media one
Tweet media two
22
7
48
@assenga_online
Michael Jr Assenga
5 months
Ukitaka Siku yako iwe productive na yenye nguvu amka mapema.
9
11
48
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Hii ni aina gan ya mixture tuliosoma chemia 😂
Tweet media one
10
4
43
@assenga_online
Michael Jr Assenga
7 months
Kujiajiri sio kazi rahisi ka inavosemwa, inahitaji DISPLINE na MIUNDO MBINU YA HALI YA JUU ndo maana ata wanaokuambia UJIAJIRI wao wameajiriwa
6
15
45
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Let's gain now, follow for a quick follow back, shusha handle 🔔👇
24
20
39
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 month
Kiki zote kumbe Bugati karudi
Tweet media one
2
2
40
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Leo Twitter si ikajiupdate, bhana bhana nimeitafuta hii app kwenye simu siion mpaka nakuja kuiona hIi X niko hoi 😂😂
Tweet media one
11
3
39
@assenga_online
Michael Jr Assenga
2 months
Unaweza Kucreate Website kwa kutumia ChatGPT bila kufahamu coding wala Wordpress.
Tweet media one
Tweet media two
6
5
38
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
@babalao__ Izi Tweet tunazotweet umu Bure, umakuta mtu amashuka uzi una madimi kama wote amaishi kuoata Rettwet na egangement tu, tukizifanyia ziwe Subscription tunapiga sana ela 😂😂
1
0
37
@assenga_online
Michael Jr Assenga
11 months
Twitter (X) maokoto mtabisha, ila YouTube inalipa sana, itamchukua muda mrefu sana elon Musk miaka 20 kuweza kuwalipa creator wa X kama YouTube inavolipa creator wake. YouTube ikikukalia vizur, kutengeneza milion 10 kwa mwez ni kugusa tu, (japo sio rahisi)
Tweet media one
7
4
38
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Msaada twitani, ivi namba ya wasap ikipigwa Ban na WhatsApp, iyo namba mnairudishaje ili ufungue whatsApp ingine
Tweet media one
16
9
35
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Ule msemo wa kwamba mshika mawili au msika mengi moja huponyoka umepitwa na wakati, saiv Mshika mengi ndo mjanja, Chek Mo anazalisha kila kitu
4
5
35
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Weka handles 🌹Let's gain followers💘
24
15
29
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Kienyeji Never disappoint, Mwewe kayakanyaga mwenyewe
3
6
34
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Wananchi: Sukari Changamoto,maji changamoto, Umeme shida, Garama za maisha juu CCM: 👇👇😂😂
Tweet media one
5
3
32
@assenga_online
Michael Jr Assenga
2 years
Retweet and Drop handles chap chapu, followers ni wengi
17
9
31
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
@Sirajitz1 @manywele_ze Angalia masikioni karibu na shingo kwenye koo kushuka chini kuelekea kifuanj kuna alama lazima uwe nayo ambayo mtoto wako lazima awe nayoo.
1
2
31
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Lets gain leo, shushen handles zenu tupate followers
17
9
30
@assenga_online
Michael Jr Assenga
5 months
KUMEKUCHA mapambano yaendelee. Godmorning...
8
7
31
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Nimekunywa Safari mbili nishawaka 😆😆
11
7
32
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
@420Cousin @RogersMasahi @Getrude_mollel @kwamekivaisi @RashdaZunde @kapeto98 @raphyrodrick2 @shijamalembeka @NamalaKasori @CharlieBihemo Umeamua kuichafua bank badala ya Mbowe, kwan Mbowe hana haki ya kuwa na icho kias cha ela?. Apo unaichafua bank na sio mbowe maana Bank inaonekana kuvujisha taarifa za wateja wake kitu ambacho sio kweli
3
0
31
@assenga_online
Michael Jr Assenga
5 months
Nijifunze Skill gan ya Tech ambayo itaniingizia pesa. Naombeni mawazo
8
4
30
@assenga_online
Michael Jr Assenga
2 years
@ibhuhigwe @swahilitimes Kuoa sio Suluhu, Tabia ya Mtu ni tabia tu, Ili ni janga kwa jamii, na mapadre ni miongoni mwa jamii nao watu sio malaika. Ko ata wakioa kama ni mtu ana tabia chafu atafanya tu, Uliza Waalimu wa Madrasa wanafanya nn na wameoa
2
0
28
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Saiv yupo kitambaa cheupe anavuta shisha 😂😂
Tweet media one
1
1
30
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Watu wa YouTube tunavoonza kubadili Gia 😂😂
Tweet media one
4
2
29
@assenga_online
Michael Jr Assenga
4 months
Mliojoin twitter kuanzia 2018 muwe mnanisalimia tafadhali no matter umenizidi umri au lah ila unipe heshima yangu mimi uku ni mkongwe haswa, account ya kwanza nilifungua 2012 wakati naanza form one wengi ata smart hamna😎
12
4
30
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
@CRDBBankPlc @athanas_pius Admin wa CRDB hujui ata kutag mtu ni @IAMartin_ acha ujanja ndugu adimin 😂
2
0
30
@assenga_online
Michael Jr Assenga
7 months
Presdaaa wetu kama ataongoza hadi 2030 atakuwa ametembelea nchi zote Duniani. Anatufungulia dunia 😁😁
7
3
27
@assenga_online
Michael Jr Assenga
5 months
Dunia ya Leo Mwandishi wa Habari huna haja ya Kuzurura mtaan na Camera kusaka habari, Wananchi wenyewe ni Waandishi. We zunguka tu uku Online utapata Habari za kushanta 😂😂
4
3
29
@assenga_online
Michael Jr Assenga
4 months
Mitandao ya Simu inafidiaje garama zetu za Vifurushi pale mtandao unaporudi, au hakuna mkataba unaomlinda mteja na mtoa huduma wa mtandao (kufilisiana tu uku). Niunge Gb 5 za siku, iyo siku iishe bila internet na hujatumia afu uje unambie kifurushi chako kimeisha muda wake 🤔
7
4
28
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Follow 4 fb together, drop your handle
18
12
25
@assenga_online
Michael Jr Assenga
2 months
@julip202 Makuburi misa ya tatu kwaya ya kizito hutakaa usinzie kanisani
2
1
28
@assenga_online
Michael Jr Assenga
7 months
Pesa haitafutwi Bali inategwaaa, unaitafutana nani kaipotezaa. Weka goli lako sehemu utege pesa. Gm
7
10
27
@assenga_online
Michael Jr Assenga
8 months
Ivi hii nyuma ni ya Mwijaku kweli au kuna Project inakuja.
Tweet media one
1
3
26
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Ushaambiwa mapnz ya chuo ni kama vigari vya supermakrt havitoki nje🤣😂🤣
5
5
26
@assenga_online
Michael Jr Assenga
7 months
Hawa majaa wawili apa nyuma kwa miaka 5 ya Uncle hatukuwaona kabisa kwenye medani za siasa, saiv ndo kama marais vivuli 😊
Tweet media one
6
2
26
@assenga_online
Michael Jr Assenga
3 years
@sumathug @Maichagange Ili lina ukweli flan ivi 😂
1
0
25
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Ata mkikosona na ndugu yenu vipi, msimtenge. Mkitenga Jamii itawahukumu siku moja Upendo..Gm
7
9
25
@assenga_online
Michael Jr Assenga
4 months
Malkia Nyuki kamkaanga mtu kwenye space space ikaangushwa fasta kmmk😂😂😂
3
4
26
@assenga_online
Michael Jr Assenga
7 months
Sisi Tunaitambua kama jumatano ya majivu, Kwaresma imeanza 🙏 Gm
Tweet media one
0
1
26
@assenga_online
Michael Jr Assenga
2 months
Mtu ana Degree lakin hajui kuomba ata ajira zilizotangazwa, afu utamkuta Kijiweni analalamika serikali haitoi ajira, akati ata kutumia ajira portal hajui. Unalalamika nin sasa
2
4
25
@assenga_online
Michael Jr Assenga
4 months
Kama Bado unatumia Kibiriti kuwashia jiko, TAFUTA SANA PESA 😎
9
6
24
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Sema Google waliona mbali sana, kuanzisha ishu ya kuwalipa creators, saiv ndo kampuni zingine zinaanza tena kwa mwendo wa kobe kuwalipa creators, ila creator wa google wao wanapeta tu na maokoto bila kuwa na blue tiki😂
Tweet media one
5
3
25
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
@ItsYusufu Watu mmesoma mmeondoa tongo tongo afu aaiv mnaona shule haina maana, au ndo ile ya kwamba shukurani ya punda ni mateke. 🤣🤣
1
0
23
@assenga_online
Michael Jr Assenga
5 months
WhatsApp ni kwangu tu haifanyi kazi au kwa wote
5
2
22
@assenga_online
Michael Jr Assenga
12 days
X kuna ela, X kuna ela, Nunua blue Tik. Space mkatuhamasisha, mbona sioni ela wakuu😃
7
1
25
@assenga_online
Michael Jr Assenga
7 months
Kila siku ni fursa ya kugundua kitu kipya au kufanya maamuzi yatakayobadili maisha yako.Don't miss it, Fanya ufanyalo kuhakikisha maisha yako yanakuwa bora zaidi kuliko jana. Goodmorning X family
8
14
24
@assenga_online
Michael Jr Assenga
3 months
@anon_codex Ata kupost post magari, viwanja vya bata zote ni process tu uwa nawaona ni ushamba tu wa magari, mkizoea ayo magari mtaacha, wengi hatujawai kupost chochote sio kwmaba hatuna ni kwamba hatuna kweli 😂😂
3
1
23
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
UFADHILI WA MASOMO KWA WANAFUNZI KWENDA KUSOMA VETA KOZI MBALI MBALI KCB BANK ikishirikiana na KB FOUNDATION imejitolea kulipa ada 100% wanafunzi ili kujifunza fundi stadi kupitia Vyuo vya VETA vilivy osajiliwa kisheria Fani zitakazohusika ni nyingi zikiwemo:- • UDEREVA
3
6
23
@assenga_online
Michael Jr Assenga
5 months
Kuleni BATA kisirisiri usione watu wanakuchekea tu ukafikiri wanafurahia bata zako 😂😂😂
1
3
23
@assenga_online
Michael Jr Assenga
7 months
Tafuta pesa uache kuwalaumu TANESCO, makampuni kibao tu ya umeme yapo 😂
6
1
23
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Na nimeamka salama salmin, No hangover 😂😂
Tweet media one
6
5
21
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Vigezo Gani Vinatumika Mtu kuwa Waziri wa Sekta fulan, uyu waziri wa michezo na Waziri wa Elimu siwaelewagi
Tweet media one
6
1
22
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Sema Tanzania Ni Nchi maskini sana, Mnaosema Tanznaia ni Nchi jajiri mnapata wapi uo ujasiri. Cheki izo nyumba ilo ni Jiji la Kibiashara la Dar es Salaam😂😂
Tweet media one
3
3
22
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Ni mtu mmoja tu alieamua kusema Dunia ni Duara na wote tukaamini ivo, lakin izo ni nadharia tu, iko wapi Picha inayoonesha Dunia ni Duara na inazuguka na inazunvukaje tusisikie, ukihoji unaambiwa ni gravitation force. TULIPIGWA TU 😎
3
5
23
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Ivi FORM FIVE na FORM SIX zina umuhimu gani kwenye mfumo wetu wa elimu Kama mtu wa Diploma yuko best kuliko mtu wa Degree. Tena Diploma inamuandaa mtu kuingia kazini uku advance ikiendelea kumng'ang'aniza mtu kujikita na mfumo wa shule sawa na Olevel.
5
4
22
@assenga_online
Michael Jr Assenga
7 months
Tuamke sasa Tukafanye kazi ambazo hatukusomea Gm
Tweet media one
3
6
20
@assenga_online
Michael Jr Assenga
2 years
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara 2022/2023 NBC Premier League
Tweet media one
0
4
22
@assenga_online
Michael Jr Assenga
2 years
@joshuamoshi__ Apart from it
1
0
22
@assenga_online
Michael Jr Assenga
5 months
Mtu ana mtaji wa Milion 10 na anajiita mmachinga na hatoi risiti kwenye mauzo yake, Ni uamue Uwe mmachinga uonekane huna ela, au Ufungue Duka uonekane una ela utoe risiti ulipe kodi ya serikali.
4
5
22
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
@prossoff We Umeoa au unatupigia tu kelele tu umu, kama umeoa Tulia na mkeo acha kutupigia kelele, na kama hujaoa tuliza mshono
7
0
22
@assenga_online
Michael Jr Assenga
4 months
Mimi wa kusajili TTCL kwa elfu 7 kweli tena kwa kuitafuta kwa mbindeee mnoo. Dah😁
Tweet media one
5
0
21
@assenga_online
Michael Jr Assenga
5 months
"Kujikuna" kwa kingereza tunasemaje
1
5
20
@assenga_online
Michael Jr Assenga
2 years
Tafuta ela, nan alisema maharage hachemshwi kwenye Gas😂
Tweet media one
3
2
21
@assenga_online
Michael Jr Assenga
2 months
Kumbe Salim kikeke ni BBC ilikuwa inambeba tu ila ni Kawaida sana kwenye tasnia 😎
6
3
21
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Shangazi kavimind vitoto vya 2000. 😂
3
0
20
@assenga_online
Michael Jr Assenga
5 months
Ukishaona wewe ili uamke mapema ni mpaka useti alarm we ni mzembe automatic. 😂
2
6
21
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Dkt Komba, Afisa mtendaji mkuu wakala wa taifa wa hifadhi ya chakula (NFRA - Nation Food Reserve Agency). Janabi akiona hii picha atalia sana 😭
Tweet media one
6
2
19
@assenga_online
Michael Jr Assenga
1 year
Siend tena gym kumbe wanapenda vitambi
3
4
19
@assenga_online
Michael Jr Assenga
4 months
Ivi IT wa wafrika wana kazi gan uko maofisini 😂
6
2
19
@assenga_online
Michael Jr Assenga
8 months
Kama wew ni mkulima Ili ni zao gan.
Tweet media one
11
3
20
@assenga_online
Michael Jr Assenga
7 months
Tatizo sio KUANZA je kuna muendelezooo, wengi wanaanza lakin hawawezi kuendeleza walichoanzisha.
2
3
20
@assenga_online
Michael Jr Assenga
4 months
Ifike mahali ili Shirika la TANESCO lifutwe tu litafutwe shirika lingine mbadala kuliko kukumbatia takatata hii😰😰
3
5
19
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Leo anatimiza Miaka 3 ya Urais, Ukikutana na Rais utamwambia nini😎
Tweet media one
9
2
17
@assenga_online
Michael Jr Assenga
10 days
Kama umepanga sehemu, wapangaji mna kundi la WhatsApp, Tafuta sana ela
5
2
22
@assenga_online
Michael Jr Assenga
7 months
Uku watu wanataka eti ili maandamano yanoge lazima mabomu ya machozi au nyomi, maandamano ata ya watu watano wanaodai haki ya maelfu ya wengi ni maandamo na wanahitaji heshima kubwa.
3
6
19
@assenga_online
Michael Jr Assenga
6 months
Vijana wengi wenye followers kuanzia 20k apa X ni MAJOBLESS na wengi wamekuwa Machawa afu kwa ground wana maisha magumu sana, ila ukiwaona apa Jukwaani utafikir watu waziiito😎.
6
4
19