Try_Me😎 Profile Banner
Try_Me😎 Profile
Try_Me😎

@am_phares

1,099
Followers
969
Following
360
Media
15,938
Statuses

Absence of evidence is not the evidence of absence🦦 || Perfect example of introvent🤯

Kingdom of Saudi Arabia
Joined March 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@am_phares
Try_Me😎
1 day
Dating a slim girl is very risky. Anytime the wind may carry him to another man 😂😂
3
5
13
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Kwanini nikianza kuongea kiingereza sauti yangu inakua ndogo🥲
20
16
64
@am_phares
Try_Me😎
2 months
@TMnyama4_ Wanajeshi + maafande wa kike huwa ni humble sana bob maan wanajua kuwa watu wengi hawapendi kuwatongoza kuofia like penzi litakuwa kama war so ikitokea ukamuelewa, akakuelewa na mkaelewana then itakuwa perfect match just play🏋🏼‍♂️
4
2
42
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Wenye tunaona tutaonekana waongo, kama vipofu wakija kutambua blueband sio ya blue😞
6
9
37
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Kama unaamini hujaamka kwa ujanja wako bali ni MUNGU tu, type amen & Rt✨
7
14
34
@am_phares
Try_Me😎
12 days
@Strictlyirene Am live online✌️🤯
0
1
32
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Wanangu hapa pa kupa sababu ya kuishi nahsi kazingua sana🙌
Tweet media one
24
7
28
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Ni ngumu sana kumtuliza mwanamke anayeshindana na rafiki zake kununua vitu🥺
8
8
28
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Mungu bariki na wengine, kila siku sisi tu tutakufa kwa raha💚💛
Tweet media one
4
3
26
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Relationships are hard nowadays. We talk through apps and texts, then argue through phone calls. Only meet up for sex and selfies. Our feelings become statuses and posts. This generation has erased the whole meaning of relationship and true love. Sad! Lets enjoy nightmares🤯
5
10
26
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Hapa kuku mtamu🤤 na kifaranga ni wa moto🥵
Tweet media one
5
8
27
@am_phares
Try_Me😎
27 days
Siku hzii wanaume hatutongozi just tunatafuta chenye unataka Pesa? muda? Story? maneno? outing? nguo? mimba? Show off? Then tunakukula kisha wale twaruka🦅
3
8
28
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Uliye mwambia kuhusu mimi kanambia nisikuambie kama ameniambia😁
6
11
27
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Sijawahi kutana na mwalimu wa primary kaenda shule na V8, shida ni nini waalimu?
7
5
26
@am_phares
Try_Me😎
23 days
Naomba kuuliza hapa ndio VITANI😂
Tweet media one
1
8
26
@am_phares
Try_Me😎
27 days
Ukiwa umebeba ndoo yako ya maji basi utaijua thamani ya kila tone moja la maji🤯
3
11
25
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Kupata follower wa kutosha mpk useme basi 🚀Kwanza heshimu twiti za kuinuana 📌Ukiona twiti za kuinuana like, retweet 💥Mwisho unashusha handle yako 💣finale like zile handle walizo weka wenzako na kuzireply ifb(i Follow back) Start with @am_phares you won’t regrets
Tweet media one
5
12
25
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Ukishindwa kumbadilisha mwanamke basi badilisha mwanamke😍
5
9
25
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Kuna Umri ukifika Cycle ya marafiki na Mahusiano vinakuwa vitu viwili tofauti.. Marafiki zako hawajui Mahusiano yako na Mahusiano yako hayawajui Marafiki zako🦦
3
8
24
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Leo ni ijumaa kesho ni jumamosi na keshokutwa ni jumapili… tenga muda jipongeze maana ni wewe unatambua kiasi gani unapambana kuwa hapo ulipo na kuwa hvyo ulivyo🤝 ladies and gents its weekend again….
Tweet media one
5
10
23
@am_phares
Try_Me😎
26 days
Kwa hapa tulipofikia ata akisema niweke shingo kibra anichinje basi sipingi😎
Tweet media one
4
6
24
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Traffic hana muda wa kuangalia kama pesa ni fake au original! Sitokufunza kila kitu😂
6
6
22
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Unajitahido usichepuko kumbe wewe ndio mchepuko😁
5
9
22
@am_phares
Try_Me😎
2 months
📌Una nusu ya moyo wangu na Nusu niliyobakia nayo bado nakuwaza wew Sina shaka na hatua zako kwasababu nakuamini. 📌 Wengi wanasema kuwa Mapenzi ni mabaya ila binafsi najisikia amani sana kila ninapolala na kuamka pembeni ya ubavu wako🫂 📌 Nakupenda ❤️ G-night Babelicious✨
4
9
21
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Wazungu wakiona ROBOTI wetu yuko na muonekano wa kibinadamu alafu miguuni ana vitairi watakuwa wanacheka sanaa😂
5
11
22
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Utawezana😫🙌
Tweet media one
@Neypaul01
Neypaul🤎
2 months
Siku najifungua mwanaume wangu lazima awepo kuanzia mwanzo wa shughuli mpaka mwisho.
173
57
799
5
2
22
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Ikitokea dunia yote ikasimama dk 10 kukusikiliza wewe utawaambia nini walimwengu✨
Tweet media one
4
3
22
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Ulivyotulia hapo, mtu hawez kudhani kama ulisha icheki connection ya aslay😁
Tweet media one
6
7
21
@am_phares
Try_Me😎
27 days
Sisi Wengine huwa ni watu wa Just okay, then I smile and move on we're just okay with whatever comes.
Tweet media one
6
8
21
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Kupata follower wa kutosha mpk useme basi 🚀Kwanza heshimu twiti za kuinuana 📌Ukiona twiti za kuinuana like, retweet 💥Mwisho unashusha handle yako 💣finale like zile handle walizo weka wenzako na kuzireply ifb(i Follow back) Pamoja tunaweza, weka handle, like, Rt kisha fb
9
8
20
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Wapeni hela mademu zenu🙌 vinginevyo tunatafutiana lawama🤧
Tweet media one
4
3
20
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Hakikisha haumalizi siku bila kuambiwa neno AHSANTE.
1
2
20
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Sponsor hawezi kukuoa, ishi vizuri na wanaume wa rika yako, ni wew nakuambia😂
2
6
19
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Hii biashara ya simu ngumu sana😂 Majaribu ni HUMU TU🥳🥳
Tweet media one
7
6
19
@am_phares
Try_Me😎
12 days
@Strictlyirene Try me🥺
0
1
19
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Kunywa maji ukate kiu alafu utuambie… “Ni nini kingine ulimwambia mwanamke pale Edeni”
Tweet media one
4
4
18
@am_phares
Try_Me😎
21 days
Who said happiness is free It’s not😭
3
11
19
@am_phares
Try_Me😎
2 months
📌Kuna wale wanatimiza malengo ya wazazi wao kisha ndo wanaanza kutimiza yao. 📌Kuna wale wanaanza kutimiza malengo yao tu, wazazi walitimiza ya kwao. 📌Kuna wale wazazi wao walitimiza yao kisha wakatimiza ya watato wao kwahiyo wao hawana cha kutimiza kazi yao ni kula bata tu.
5
10
19
@am_phares
Try_Me😎
28 days
Mimi naye siwezi omba “follow back” kama naomba uzima wa milele
1
4
19
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Ukimwambia “I miss you” akakujibu “mimi mbona nipo” achana naye futa namba na ujiheshimu📌
3
5
19
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Kuna mwanangu huyoo yani nikiwa nataka story kuhusu wanawake naanza tu “…ila wanawake…😀” hapo atasema kila aina ya confession
3
4
19
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Kuna umri ukifika kila kitu unachukulia poa tu, fresh tu yani, normal kabsa, kila kitu barida Tu.
4
7
19
@am_phares
Try_Me😎
28 days
Ningekuwa jela muda huu nigekuwa nishapata LUNCH safiii!
Tweet media one
4
6
19
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Kuwa handsome ni kazi sana, bora nyie😣
6
2
18
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Wadada wenye uwezo wa kuvumilia umasikini wa mwanaume ni wachache sana🙌🥺
8
7
18
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Pombi tunakunywa na bumi halifutwo
Tweet media one
3
5
17
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Funguo za kuzimu zimepatikana😀
Tweet media one
5
5
17
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Kuna muda unachukua namba ya msichana muwe marafiki tu ila “washikaji” wanataka mrejesho
1
5
17
@am_phares
Try_Me😎
28 days
Rombo hakuna mnyonge, kila kiumbe kinaijua pombe😁
Tweet media one
4
4
18
@am_phares
Try_Me😎
13 days
Wadau hapo vipi😁
Tweet media one
2
5
18
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Whoooops hii dunia ngumu sana yani leo vitani napo wamepika ugali na dagaa🥺
4
5
18
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Ukiambiwa uyape mahusiano yako jina la wimbo, utayapachika jina gani😌
3
6
18
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Kumuita mwanaume KAKA na unajua anakupenda napo ni ushirikina😂
4
4
18
@am_phares
Try_Me😎
12 days
Unakuja getto na gauni lako la afu8 unavua unavaa jersey ya 35k ili ukapike, fuck you🥺
2
5
18
@am_phares
Try_Me😎
27 days
Kwahyo mlikuwa mnafanyia debate kweny DH na mnaweka na spika😂
1
5
17
@am_phares
Try_Me😎
2 months
@TMnyama4_ Kindly am @ @am_phares 🥂
2
0
17
@am_phares
Try_Me😎
23 days
Faida wanayopata hawa wamama ni ndogo sana, ukipata nafasi ya kuwaungisha basi usilazimishe kupunguziwa bei au kulazimisha nyongeza, hakika utabarikiwa🙏
Tweet media one
2
7
17
@am_phares
Try_Me😎
30 days
Nyie hamuogopi? mbona mim napost huku natetemeka😀🙌
Tweet media one
1
2
17
@am_phares
Try_Me😎
2 months
kuna mtu anadhani ukiingia choo lazima uface mlango🥲
4
4
17
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Hakuna mtu ananukia vizuri kama mpenzi wako ila mkiachana tu sijui harufu ya ubeberu anaitoa wapi🤧
5
5
17
@am_phares
Try_Me😎
2 months
2014 nikiwa form two rafiki yangu aliwahi nambia "Najua hujui kutongoza, una hofu ya kukataliwa. Nakushauri tongoza wanawake wengi unaohisi wanakuzidi hadhi"..."najua watakukataa, hiyo ukiizoea mbeleni itakusaidia sana" ni kweli nilifanya ivo na nilitolewa nje mno….
4
4
17
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Ila tutoto twa afu2 kwa kuwaza pumba hatujambo😂😂
Tweet media one
Tweet media two
3
6
16
@am_phares
Try_Me😎
28 days
Sura huna? Na pesa huna? Una nini wewe? …jitahidi utafute chenye unakimudu bhn usiwe kama lijinga😀
6
6
17
@am_phares
Try_Me😎
27 days
Kiberiti ni kiswahili vipi kwa kingereza wanaitaje😣🙌
Tweet media one
4
2
16
@am_phares
Try_Me😎
2 months
@prossoff Asa ukisema unashindwa kufanya maamuzi ni hapo unafanya mambo yakuwe magumu! Ukiona anafosi fosi kusepa ujue kuna boya ashaanza kumrubunii! Ushauri: kama uliweza kumtongoza ukamshawishi mpk ukamuoa na kisha mkawa familia then hilo haliwezi kukushinda VAA VIATU VYA UANAMME SASA.
0
1
16
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Waliofanikiwa ni ushahidi tosha kabisa kuwa mafanikio ni kitu cha kweli na kufanikiwa kupo📌
5
10
17
@am_phares
Try_Me😎
2 months
@TMnyama4_ Sikia mamie! Mim nitkupa nauli na hela ya kubadilishia keyboard ya simu🤝😎bless mimi iyo kitu niipalaze kwa kuipiga “swish”
0
0
15
@am_phares
Try_Me😎
27 days
Kama bado tegemezi Kwa wazazi/ walezi/ndugu, Endelea kuishi nao kwa adabu mno maan mtaani jua ni kali, na msituone wabahilii njooni na nyie muone kama mtatoa toa hela kirahisi!.
2
7
16
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Wanaume wenzio tunawaza mitaji, ajira, na pesa wew unatuzunguka unaenda kulilia mwanamke🥺
3
4
16
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Ukianza kujiona cake ndio unaliwa hvyo.
1
4
15
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Sasa kama huyu ni miss IFM, sijui miss SUA na miss UDOM watakuaje😭
Tweet media one
1
6
15
@am_phares
Try_Me😎
23 days
Matatizo ambayo pesa haiwezi kutatuta😂
Tweet media one
1
6
16
@am_phares
Try_Me😎
28 days
Picha ya panya ipo kwenye kopo la sumu, asa mwanetu umewekwa profile picture.. unatuona sisi hatupendwi haya😁
2
7
16
@am_phares
Try_Me😎
21 days
I believe in GOD, and i trust in prayers🤚 Morning familia✨
5
5
15
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Yani mnapenda sana pesa kuliko tendo, lakin sasa mnapata sana mimba kuliko utajiri😂😂🙌
5
5
15
@am_phares
Try_Me😎
25 days
Wakishua watajua naimba😂
Tweet media one
2
4
16
@am_phares
Try_Me😎
18 days
Yale maua ambayo vijana huwapelekeaga wasichana mnanunuaga wapi..???
0
5
16
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Aliyefanya hvi akamatwe😀
Tweet media one
3
4
15
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Mwanaume kujua kusuka na kufuma vitambaa🙌
Tweet media one
1
3
16
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Sio kila ndoto ni shambulio la kiroho acha janja janja fua hizo shuka mtumishi😂
2
8
15
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Nikiwa offline watu wanahisi niko bize kumbe mwamba natafakari kati ya lunch na bundle wapi niweke hela😂
Tweet media one
1
4
15
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Mpenzi sauti yako ya upole hunipa kuamini u mzuri wa Moyo🫀, Unavyosema nami kwa adabu na upole maneno yako upenya kwenye kuta za Moyo wangu🥰 Hizi picha zako ulizonitumia, nimezoom sijamaliza, I can't wait to see you nikufanyie tuvitu vitu venye you LIKE. G-night my Licious🌹
3
6
14
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Unachoka mpaka ile hali ya kuchoka inakuchosha yani unachoka kuchoka🥺
2
6
13
@am_phares
Try_Me😎
28 days
Kuona nyoka kwa nyumba si issue kabisa, issues inakuja nyoka ni ikipotea😀
7
6
15
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Watu mna siri kumbe TBC wanaonyesha fainali ya UEFA😩
1
5
15
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Kama Story yako haina deal la PESA basi jitahidi iwe fupi mno! Itaniboa🥺🙏
1
4
15
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Hii ndio sababu mliosoma(asa wana chuo) mnateswa sana na mapenzi! Yani mnajua tu mkishaambia NAKUPENDA ndio forever🗑️🚮
Tweet media one
3
5
15
@am_phares
Try_Me😎
2 months
Marko 5:36 (b) USIOGOPE, AMINI TU. Habari ya asubuhi wapwa👋
1
4
15
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Kwahyo mdada asiye na NYASHI ndio huwa anaonekana ana mambo ya kitoto😀
5
6
15
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Pesa ipo ila unapewa kama nani😣
4
4
15
@am_phares
Try_Me😎
1 month
Unamficha boyfriend wako na emoji wengine wanampost bila shati, ni wewe unaonekana lijinga😆
2
2
15