Hii issue ya Racism ni ngumu sana, leo kwenye daladala kuna jamaa mwenye asili ya Somali alikwaruzana na baadhi ya Abiria na kilichofuata wale Abiria walianza kumshambulia Kwa kumwambia "Rudi kwenu wewe mkimbizi Kwanza sio Mtanzania"
This Is Terrible ๐ข๐ข๐ข
#ChangeTanzania