Niliwahi kuhadithiwa: Baada ya kuundwa Chama cha CCM, na wakachagua rangi za kijani na njano, Mwl Nyerere aliomba Yanga wabadili rangi zao watumie nyingine. Wazee wa Yanga,wakamuulize “kati ya Yanga na CCM nani kamkuta mwenzake?
SISI NDIO WANANCHI!
No one appears to be in charge of anything, and even though my return flight to Addis has been rescheduled for tonight, I am still locked in this room, and I risk missing my flight.
They appear to have forgotten that they have people in detention here.
Mpaka awamu ya Tatu ya Mhe. Rais Mkapa inamaliza muda wake, mtandao wa barabara za lami ulikua 6500KM. Utawala wa awamu ya 4, Mhe. Jakaya Kikwete aliacha mtandao wa 17,762KM. Ongezeko la 11,262KM ndani ya miaka 10 tu.
Heri ya siku ya kuzaliwa Mzee wetu
@jmkikwete
Said Salim Bakheressa alipoanzia biashara. Mwaka 1975,akimiliki mgahawa maeneo ya kariakoo uliokua ukiuza vyakula vya Kiswahili. Leo hii Azam moja ya kampuni kubwa za wazawa barani Afrika. Usiogope kuanza na kidogo,muhimu kua na maono mapana. INAWEZEKANA!
DMX and Ruff Ryders proved that hardcore street rap can also be mainstream and be a commercial success. He made path for likes of Mystikal, Ja rule, 50cent and groups like G-Unit and Dipset. He saved
@defjam
from bankrupcty.
Rest easy legend🙏🏿
Mimi: Kaka habari, naomba tuonane tuendelee na yale mazungumzo yetu.
Ruge Mutahaba: Sawa Zahoro, tuonane jumanne saa tano usiku pale pale tulipokutana last time.
Nilikua nakasirika kuacha kitanda kwenda kumuona, lakini maono na mipango yake ilikua muhimu.
Nashukuru kwa uteuzi huu. Naahidi kuitumikia nafasi yangu ufanisi na jitihada. I have passion for learning and business. It will be of my interest to contribute on tranformation of CBE into a 3rd Generation University, driven by Innovation & tech.
@kitilam
Mafanikio yanahitaji bahati. Ziko bahati za aina 2.
1. Bahati ambazo ziko nje ya uwezo wako(uzuri,IQ kubwa,nchi uliyozaliwa,familia uliyozaliwa etc)
2. Bahati ambazo ziko ndani ya uwezo wako(kujifunza,kujaribu,jitihada etc)
Ukijua tofaut hizi. Utafanikiwa!
Nilikuepo Ikulu, leo kuhudhuria kikao cha Baraza la Biashara la Taifa(TNBC). Rais
@SuluhuSamia
ni Tunu ya Taifa. Amezidi kutujengea imani wafanyabiashara na wajasiriamali kua mazingira ya biashara yanaenda kua bora zaidi, kwa sekta kongwe pia Startups na ICT sectors.
It is 03:54AM here in Seoul, South Korea. Stayed up all night just to watch my
@yangasc1935
giving their best performance in years!
A proper die hard,
@salimosaid
will be very proud of me. Yanga daima mbele, nyuma mwiko💪🏿
Napenda kumshukuru Mhe Rais
@SuluhuSamia
kuridhia, Mhe Waziri
@kitilam
kuniteua kua mjumbe wa kamati ya kitaalam ya kuandika Dira Ya Taifa 2050.
Wameonyeosha imani kubwa kwangu na natambua nimepewa dhamana kubwa kuwakilisha vijana wenzangu. A Tanzanian Dream in a making🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mabachela tuliojichanganya tukaenda home kula Christmas na familia, tumekula pilau la masimango acheni tu. Yaani ukipiga tu tonge, utaoa lini? Mwenzio yuko wapi? Unachagua sana, watoto wako wanachelewa kuanza shule!
Sasa Pasaka hawanioni!
My boy
@KneeNjure
explaining to Deputy Governor of BOT, Dr.Bernard Kibesse and
@NMBTanzania
CEO, Ruth Zaipuna how
@tunzaaHQ
is making life easier for thousands of ordinary Tanzanians.
Kwenye maisha hauwezi kua ana akili ya kujua kila kitu wala kifua cha kubeba kila kitu. Elekeza jitihada ya kua na watu ambao utaweza kuazima akili zao na busara zao pale zako zitakapokua hazitoshi. Waliofanikiwa sana maishani ni mabingwa wa kuazima hivi vitu
Mtego wa furaha ya maisha, uko kwenye kuridhika. Maishani kutakuepo tu watu waliokuzidi pesa, elimu, cheo, mafanikio, mali etc. Ukitaka mashindano na walimwengu, kamwe hautokua na furaha sababu waliokuzidi hawataisha. Ridhika na ulichonacho na maisha yatakua rahisi.
I am coming from witnessing the signing of MoU between
@TCRA_Tz
and
@costechTANZANIA
from now on; USSD code will be provided free for startups and innovators to live test their products and services.
You will need
@costechTANZANIA
and
@TanzaniaSA
reference 4 TCRA waiver.
I grew up Uswahilini! Those Panya road kids, it could have been me. Proper school of Hardknock life. I am just grateful to be alive, not in jail, drug addict or a petty thief🙏🏿.
Entrepreneurship is hard! After 6 months of intensive researching, meeting people, talking to experts, read hundreds of research papers, travelling on study tours at huge financial cost, i come to realize the business idea is not viable. I have to drop it!
Tafiti zinaonyesha 70% ya nafasi za ajira na kazi, hazitangazwi.
40% ya watu wanaopata ajira na kazi, wanazipata kwa kupendekezwa na mtu mwingine kwa muajiri(referral)
Kijana mwenzangu unaweza kuangalia namna unavyozungumza, kuhusiana, kujuana na watu na taasisi.
Wapo wengi tu wanaamka alfajr na bado wako kwenye kitanzi cha umaskini.kikubwa haijalishi unaamka saa ngapi,unalala saa ngapi,just be efficient at what you do.some people come alive at night time,some are early birds.know yourself,stay on your lane.
Mkurugenzi mtendaji wa Apple Tim Cook anaamka saa kumi kasorobo asubuhi, kila siku. Michelle Obama anaamka saa kumi na nusua asubuhi kila siku. Mkurugenzi mtendaji wa Twitter Jack Dorsey anaamka saa kumi na mjoa asubuhi, kila siku. Mimi nani niamke muda umeenda?
#ElimikaWikiendi
Mimi kama mjasiriamali, kila mwezi lazima kuna siku naamka na maswali na mawazo kuhusu maisha yangu. Napata hofu kama nitafanikiwa kweli, kama ninachofanya napatia, au napoteza muda na maisha yangu etc. Hii inatutokea wengi wetu, na its okay, part of process!
Usipunguze matumizi yako ya mitandao ya kijamii. Itumie kwa manufaa zaidi. Wafuate watu wanaokupa hamasa, watu wanaokupa faraja. Jihusishe na wataalamu ambao unaweza jifunza kitu kutoka kwao. Tengeneza marafiki. Acha mijadala ya chuki,matusi na isiyojenga.
Kampuni ya kutoa huduma za Utalii,Thomas Cook ya nchini Uingereza,imefilisika rasmi. Biashara ambayo imedumu kwa miaka 178,jana usiku imefikia tamati.
Note: Usijisikie hatia biashara yako changa ikianguka,hata wakongwe pia wanaanguka. Amka jipange upya.
Mimi sijaoa, sichangii harusi. Na sina mpango wa kuchangisha watu kwa harusi yangu. Harusi nitafanya ninayomudu kugharamia, kama siwezi ndoa msikitini tunarudi home kulala. Sisumbui mtu!
Kuna kale ka uoga ya ku left whatsapp groups za mchango wa harusi, kisa we bado hujaoa.
Ni mwendo wa kutuma text 1 ya kinafiki, "Tuko pamoja mkuu", na ku mute group milele, usije ukakosa wachangiaji.
Last night at
@CEOrtTZ
Dinner Gala, i was awarded with a Rising Leader Award for my work contributing to the positive growth of Startup Ecosystem in Tanzania.
I dedicate this award to every young leader out there trying his/her best to make a positive difference in his field.🙏🏿
Kufanikisha mambo makubwa, sio tu tunahitajika kutenda, bali kua na ndoto; sio tu kupanga mikakati, lakini pia kua na imani, kua tunayoyatamani yanawezekana. Usiache kuota ndoto na kuzifikiria ndoto zako. Wiki njema kwa kila mmoja wetu.
Honoured to be appointed as member of
@tpsftz
Board Committee.
Iam here to advocate & lobby for Youth led businesses & Startups. But also to make sure more Youths get involved in leadership and shaping dialogues within private sector.
Miaka 3 imekwenda haraka. Nimemaliza muda wangu wa kuhudumu kama mjumbe wa Bodi wa Chuo cha CBE. Vitu vinne najivunia kuchangia uanzishwaji wake:
1. Public Lectures
2. Adjunct Lecturers
3. CBE Business Incubation program.
4. New on demand Short courses.
It was a pleasure🙏🏿
Ruge: “Zahoro mdogo wangu, mafanikio ni bahati. Kadri unavyojituma kwenye ubunifu, kutafuta maarifa, uthubutu na uvumilivu ndio bahati yako inaongezeka.
It doesnt matter what stage your company is, please consider to have a Non Executive Board of Directors. GUIDANCE and BEST GOVERNANCE which comes with it, are crucial for growth, scaling and suistanability of any business.
I want to see our Startups starting having boards.
Imani imenivusha kwenye mitihani na vikwazo vingi kuliko akili. Na imani inajaribiwa na kupimwa zaidi kuliko akili. Tutanue akili zetu huku tukilinda imani zetu.
Toka enzi na enzi, wanadamu wana kawaida sana ya kuoneana wivu na husda, pia kuringishiana na kujilinganisha. Mitandao ya jamii na internet imeongeza mafuta kwenye moto huu. Usipoteze amani kwa kujilinganisha wengine, na usiwapotezee watu faraja zao kwa kuwaringishia.
Asanteni ndugu,jamaa na marafiki kwa kunipa pole,kushiriki kwenye msiba na mazishi ya Dada yangu Asha Muhaji. Sina cha kuwalipa, Mungu atawalipa. Asanteni sana 🙏🏿
Karibuni kwenye
#ElimikaWikiendi
na leo nitakielezea kwa ufupi kitabu cha A knight in Africa, ambacho kimeandikwa na Sir Andy Chande akielezea historia ya maisha yake kutokea kuzaliwa mpaka uzee wake. Kitabu hiki kina chapters 13 na utangulizi wake, uliandikwa na Rais Mkapa.
Tukumbushane tu. Kwenye Ujasiriamali, malengo makuu ni mawili tu:
1. Kutengeneza faida na pesa.
2. Kutengeneza faida kwa jamii(positive social impact)
Note: Kushinda Tuzo haimo.
I am officially back to work at
@TanzaniaSA
these 3 things will be my priorities for 2022.
1. Strengthening capacity and positioning TSA as number one Private sector organization which represent interests of Startups and Youth led businesses.
2. Startup Policy.
3. SME policy.
Mbwembwe za usajili, kuibiana wachezaji, kugombea wachezaji, wachezaji kusajili timu 2 tofauti, watu wa mpira etc. Ndio vitu unavisikia miaka nenda rudi. Lakini kwenye rank za FIFA sisi wa 134! Unajiuliza hivi vitu vyote vimesaidia nini soka letu? Ujinga tu!
Mimi ni mhanga wa ajali za kuungua mwilini.nimepatwa nazo mara 2 maishani mwangu,zimenieleza hospitali miezi,zimeniingiza ICU mara moja!.athari za kisaikolojia naishi nazo mpaka leo.
Kuona picha za wahanga wa ajali ya moro,hii wiki imekua ngumu sana kwangu.
Shomari Kapombe leo kanifurahisha na kunisikitisha sana! Kwa kipaji kile na uwezo ule! Anachezaje Simba na mtu mpuuzi kama Serge Aurier anacheza Spurs! Laiti kama angevumilia na kubakia Ufaransa, tungekua tunamuona EPL. To me, Shomari is best RB ever in Tz.
I love Afcon for one reason: Its pure African football! No tactics, no inverted full backs, funny formation or playing from the back stuff. Its just lets play and best team or whoever is lucky wins.
Ilikua faraja sana kushinda siku nzima na birthday boy kaka yangu
@tonytogolani
. A lot of lessons, stories, vicheko na mipango. Hongera kaka kwa kufikisha umri ambao unaweza kukabidhiwa Msikiti. Thanks
@MikieMushi
for big ideas and Breakfast.
Uncle Bernard Membe amekemea na kulaani vitendo vya utekaji wiki iliyopita, guess what, msaidizi wake ametekwa.
Naomba nichukue fursa hii kusema, "Watekaji mimi sina tatizo na nyie, endeleeni kuchapa kazi. Hapa Kazi Tu. Akileta mtu shobo, TEKA tu, kwanza inaruhusiwa KIKATIBA" 🌚
Wishing Dr Salim Ahmed Salim, former OAU Secretary General and Prime Minister of Tanzania, a very happy 80th birthday. You have been an unwavering champion of African unity and independence and a true friend of the South African people.
#DearDrSalim
+1. Grateful to arrive at this age in Good Health, Free man, Meaningful Relationships with family and friends, A path to prosperity and many good possibilities.
Average age of a millionaire in the US is 63 yrs old and 61 yrs old globally. Dont feel the pressure to be rich, you are still young and got time. Keep moving.
"Airports have seen sincere kisses than weddings.hospitals heard more sincere prayers than churches.Girlfriends have heard more sweet words than wives.....!
Ningependa kuwashukuru wote mlionipa pole, salamu za rambirambi, kujitolea hali na mali, na dua zenu kwenye msiba wa Baba yangu mzazi, Mohamedi Muhaji.
Tumemaliza mazishi salama siku ya jana pale Kisutu. Kilichobakia ni kumuombea Dua mzee wetu imfae huko aliko.🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mike Mushi, akiwa na umri wa miaka 16, ikulu jijini Dar Es Salaam, mwaka 2005 akiwa na Rais Jakaya Kikwete. Mike, ndio alitengeneza website ya kampeni ya Urais ya Mhe. Kikwete mwaka 2005. Nadhani utanielewa nikikuambia naweza kuongea na Mike siku nzima!
Meet Gerard and John, together they are founders of Mates Technologies, A startup from Mbeya. They came all the way frm Mbeya to come attend a speed mentorship event, TSA organized last friday. This level of commitment 👏🏿👏🏿. They are building cool product, & got investor frm 🇺🇸
Moja kati ya jambo linalonipa amani maishani: Ni kukubali uhalisia kua hakuna siku nitaamka hapa duniani bila ya kua na tatizo lolote. Ni kuongeza tu maarifa na uwezo wa kuyatatua au kuishi nayo. Matatizo hayaishi.
Kaka
@DocFaustine
asante sana kwa utumishi wako. Muda mchache uliokaa nasi kwenye sekta ya TEHAMA, tumefaidika kwa mengi. Natumai utaendelea kushirikiana nasi🙏🏿
Riziki kama jua. Lipo jua la kumtosha kila mtu endapo ataweza kutoka nje. Tusibaniane kufunguliana milango tukidhani kuna uwezekano wa mtu au watu kumaliza mwanga wa jua wakitoka nje. Na riziki ndio hivyo hivyo. Ipo ya kila mtu. Njoo nje tupigwe na jua!
Matajiri wa kizazi kilichopita, walitajirika kwa kua na fursa ya kupata taarifa katika ulimwengu ambao upatikanaji wa taarifa ulikua mgumu. Kizazi chetu kinapata taarifa nyingi kupitiliza. Matajiri wa kizazi chetu ni wale wenye uwezo wa kuchuja taarifa hizo!
I just passed by RC's office to say hello, and he quickly assembled his team of business development staffs and what followed is 4 hours meeting around Startups, SME, Seed funding etc.
Me and my work start to become inseparable.
Yesterday, with my good friend, Ambassador Ami Mpungwe. A complete package of wealth. Wisdom, healthy, experience, humanity and money.
We had a deal yesterday. He will write a book about his life. Cant wait!
Watanzania na vijana wenzangu,tuelewe ni bora kua na 10% kwenye biashara yenye thamani ya billioni moja,kuliko kua na 100% kwenye biashara yenye thamani ya 80millioni.more collaborations than competitions,is what we need hey!
#sikilizaTogolani
Yaani ukimaliza kuongea na kaka
@tonytogolani
unatamani uende tu kulala straight, madini yasitoke kichwani.always a pleasure to spend time nae.
Expect to see more and more Business leaders and Entrepreneurs coming to CBE to talk to our students and staff. And soon this content will be available to anyone.
But also we are signing up industry experts and doers as lecturers. Watch this space…