♥Isabella George 🥰 Profile Banner
♥Isabella George 🥰 Profile
♥Isabella George 🥰

@YellowCici

3,349
Followers
1,015
Following
3,484
Media
79,562
Statuses

God's Favourite Child.,Wife & Mum 🥰 Here to blow out steam 😮‍💨 Don’t slide kwa DM 🙏🏼

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 months
Make sure you VOTE. Serikali za mitaa 2024 Vote, Uchaguzi mkuu 2025 Vote. Huna kitambulisho anza kufuatilia.
1
14
41
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Kutongozwa ukiwa Supermarket is weird 🤦🏼‍♀️ wamama wanakupiga jicho la “mhhhhhhh 😏” na kila mtu anasubiri aone unavyotoa namba ya simu 😎! Mtusibiri parking jamani
65
31
986
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Wanaotaka Katiba mpya wako open why wanaitaka (putting aside their method of delivery) Wanaopinga Katiba mpya nao wangetuambia why tubaki na hii Katiba ama wanapendekeza tufanyeje together kwa facts na si kejeli.
35
77
529
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Linda kibarua chako ila linda zaidi utu wako, heshima yako, muda wako na afya yako hapo kibaruani.
9
45
447
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
5 years
Mashemeji ni watu hatari sana.. haijalishi ni mwanaume au mwanamke, as long as ni Shemeji yako ni hatari.🙃
41
14
421
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Bebi, kwanini unabishana na 2021 lumumba? @rollymsouth Lunch time nipite town? 🤣🤣
4
4
392
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Wavuvi our National Heroes 💐
10
74
380
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Kama waziri ameweza zunguka na chopper kwa kazi maalum, tunashindwa nini ku airlift wagonjwa mahututi from mkoani to muhimbili? Shame 😥🤧
30
39
354
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
If she isn’t appreciating Him…. Mpindue tu. 😂😂😂 that man needs to be loved 😤
24
27
335
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Ishi vizuri na ulimwengu You can get away with a lot ukiwa mtu wa watu.
5
22
330
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
8 months
After money, dyudyu is importanter 🥲. Utapunguza unnecessary kisirani mwaya.
49
46
332
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Tungekuwa ni nchi inayojielewa kwa matamko yote ya ufafanuzi hadi leo Mwigulu alitakiwa awe Mbunge tu.
16
20
278
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Since kuna hizi Tozo na bado mikopo wanapokea… tunaomba mabinti warudi shule baada ya kujifungua. We can afford to educate them.
5
24
274
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Kwa huu uchumi mnaojenga kwa kubadilisha gear hewani 🤣🤣. Mngetupa Katiba mpya mambo yaende kwa sheria na akili na sio kwa personal feelings za mtu mmoja 🤧
4
32
272
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Tukishalipa school fees tusichoke kuwaombea watoto wetu kila siku. Mungu awalinde huko mashuleni wanaposhinda siku nzima 🙏🏼
5
35
277
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
A man’s shoes say a lot about him 🙂
24
26
264
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Kama huombwi ruhusa ama kupewa taarifa za mizunguko yake, we jua tu hupendwi. When a woman loves hata humuulizi kitu, anakuwa reporter 🥲
29
29
261
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Maturity has nothing to do with age or body size….😿
4
25
232
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
5 years
We have our own God, a God of Tanzania. Hallelujah MATAGA🙌
4
14
231
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Kuna siku mtu aliniambia “friends” wake wana tembea na Mil20-50 kwenye buti la gari za starehe niliona ananidanganya…. Ila wale friends ni watoto wa waheshimiwa na kwa hii report ya kamba ndefu….. yawezekana nilikuwa sidanganywi 😢
9
17
223
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
Tafuteni hela hizi bill za kuku, mbuzi choma wala hazitoleta makasiriko .
5
1
217
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Tweet media one
@notpedr
Pedro
3 years
Tanzanian women facecard thread?🥴🤲🏾
8
12
65
26
17
215
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Hakuna Tozo ya kuwa Mtanzania? It is a privilege kuwa raia wa nchi nzuri kama hii. Yenye viongozi mahiri na wakakamavu, it is only fair tuwe na Tozo ya uraia.
14
26
209
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
Walahi Mama ni mrembo 👏
Tweet media one
16
4
198
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Jangwani inawezekana…. Kazi iendelee 😉
Tweet media one
11
22
198
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Some parents are Toxic, but we are not ready for this conversation under maadili clause.
11
23
196
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Bunge la jamuhuri lakwao na la space mnalitaka? Ahhh wena 🙆‍♀️
8
16
194
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
I can do all things through Christ who strengtheneth me. Philippians 4:13
1
27
190
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
1 year
Tweet media one
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
1 year
Tomorrow they are bringing the cows 🙏🏼 but my dress is not dressing 😓😪
9
0
40
27
11
190
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
1 year
Gagos 🫡
Tweet media one
@r0timi_Snr
Holuwarotimi
1 year
18. Post a random picture of yourself from your gallery.
15
10
46
28
11
191
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
5 months
Wanaosomea uPadre na uSister…,huwa wameamuamu kabisa wenyewe as wao ni dream yao na sio mazingira kama kufeli form4 unaenda somea uPolisi.?
36
8
188
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Today is my Mum’s Birthday and I’m wearing her fav dress to church 🥳 Continue to Rest In Peace mylove 💐
8
5
180
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Hakuna mashabiki wana kauka makoo kutetea club yao kama hawa waliotapeliwa 20B 😂😂🤦🏼‍♀️
17
17
181
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
At 23 you want to get married. Baby girl travel and see the world. Your husband could be in Kyoto and you might be settling for Sele wa kitunda bureee 🤧
16
19
179
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
Watakusumbua DM with I wanna take you out, I luv u, nyingiiii but you meet them at events and they ghost you 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mnaogopaga nini? Confidence iko kwa keyboard ehhh 🗑 🤡🤧
19
2
171
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
That guy never loved that woman. When a man loves you he will trust you with his things, he will protect you from such embarrassments.
166
13
172
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
Breakfast imeishia kwa foleni 😰
Tweet media one
36
3
169
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Nimeitwa “Mama order yako tayari” I don’t know what to feel….🥹🥹 kisa dera au ndio jua lishazama 🤧
17
2
168
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Hakuna mtu mwenye akili asiyekunywa pombe 😉
20
8
167
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
For whatever reason, usipende kuwa midomoni mwa watu unless wanakubariki. Happy Sunday 😊
5
19
160
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Nigerian or not. This is a case of assault, almost rape and theft. Her nationality shouldn’t matter but justice and way forward for the safety of other tourists
12
33
161
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
Kuna watu wanahela/uwezo ila hawana taste ya vitu vizuri. Sio kula, si kuvaa si pakulala 😌
14
9
160
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Ile meza ya Diamond ndio ya Mil5… I see sirikali inawatu wazito 😎
2
2
156
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Wives pray for your husbands. Pray for his business, work and mental health. It is hard out there…🤲
4
33
160
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Next year tutakuwa na DearMagu hashtag…. Tcra wajikaze 🤣🤣🤣
11
3
160
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
7 months
Mdogo wangu in her late 20s katongozwa na mkaka mid 40s anavyolalamika sasa 😅😅😅. “Mbaba mtu mzima kanitongoza, ana mvi kabisa haoni aibu” 🤣🤣🤣🤣. Mid 40s muone aibu nyie sio children 🤦🏼‍♀️
26
7
164
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
My granny was a swala5 and she went to church for our baptisms, her kids weddings, my sisters and brothers weddings and her husband’s funeral. She woke us up to go to church and made sure we attended communion and confirmation classes ❤️🥰
6
16
154
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Marriage is a relationship between two Forgivers. 🙏🏼
4
17
150
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
5 years
2020 savings tips: Open a dollar account which will not have an ATM card. Make a habit to deposit even $50 a month and let that be your “dry 2021 January” bliss! #MyTestimony
15
33
144
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Ila sniper hajawahi zingua, itakuwa tu huyo Kizz kaleta uswahili.
5
8
150
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Ummy for PM…..
23
2
141
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
An Engagement ring should be worth his 2-4months salary. (Argue per your tax bracket)
19
2
143
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Alafu kesho ni Grammy awards…. Basata muangalie mjifunze 🙄
3
6
144
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
5 years
Wale mnaosema tuwe wazalendo kwenye hili la ndege naomba same energy muwe wazalendo kwa kina Azeroy, kabendera, Ben, wakulima wa Korosho, etc!!! Mchana mwema
5
20
135
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
5 years
Usipokuwa na hela nchi hii.. hospitali utakufa, mahakamani jela utaenda, shule bure ila madarasa hakuna au mkae chini, Chuo mikopo hakuna, Eehh Mungu.
6
14
133
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
11 months
Wewe ni wa Dar by birth or bus? 😅
62
14
140
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
It’s a girl 🍾🎉 Thank you Lord 🙏🏼
25
0
139
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
8 months
Kuna nyama choma moja nilitapeliwa kuku 😅😅😅😅😅 . Alikuja mkaka kavaa sare za banda moja pale akachukua order ila kwa sharti “tumpe hela aje na msosi” tulisubiri hiyo kuku kama ndio inachinjwa isafishwe na ichomwe 🤧🤧. Kwenda kwa banda kuuliza wanasema hawana utaratibu huo 😩
35
9
141
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
Twitter has a way of exposing who is dumber than the other.
1
15
136
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
@Oloni Came with hot segz and Ended in premium tears 😭
2
5
137
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
As we celebrate first female appointments, may we never forget to raise our voices for the young pregnant school girls to go back to school. They are the future female appointees 🙏🏼
3
24
134
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
In public discussions, avoid religious point of views. Unless you are in a church public discussion 💗
6
11
132
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
Ameongea kwa uchungu 😓.
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Re; Korosho…
107
323
1K
10
19
132
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
5 years
So I hear Safari lager has a marketing budget of 2M a year hence they don’t do any promos...! They depend on customer loyalty to post and talk about them 🙆‍♀️
17
15
130
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Watu wa jogging waliona mbali wakaanza mazoezi ya kukimbia na kutembea 😢. Mtuambie kama bei za nyumba zitapanda tununue maTent mapema 🤦🏼‍♀️
12
1
124
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
It is sad when people are discussing crucial national interests/matters kuna watu wanaleta kubeza kwa interest za political standings. Sometimes take a step back and listen then take feedback to your political giants on how to improve their interests based on discussions here.
5
23
127
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Nipo kkoo naona viatu kama vya Justfit ila when you look closely ni Justvaa 😂😂😂
7
6
125
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
Venye nimefika 😍
Tweet media one
12
4
122
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Was on the phone 3hrs with my stepmom 😊😊😊. I am blessed to have her in my life. I call her Mummy and my biological mother I call her Mama .🤣🤣 we have had a special bond from day one and now with Mama not around she is really spreading them hugs wider and tighter .🙏🏼
9
5
125
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
Mpole mwenyewe ☺️
6
1
120
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
Lunch za kina @rollymsouth 🤣🤣🤣
3
1
123
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Heri yao wataoga kwa raha 🥹
@swahilitimes
Swahili Times
2 years
Rais Samia Suluhu anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa nchini China kuanzia Novemba 2 hadi 4 mwaka huu kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping, Ubalozi wa Tanzania nchini China umeeleza.
Tweet media one
56
22
541
26
9
120
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
5 years
🤣🤣🤣 ukoje lakini
@rollymsouth
Madenge
5 years
Sema maisha haya, sahivi Kuna mtu Yuko bafuni ananyoa kwa ajili ya Valentine.
126
63
1K
4
3
112
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
From “wanyonge” to “wananchi wa kawaida”
16
3
118
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
5 years
TZ ni nchi ya Amani ila imejaa uchungu 😢
6
4
107
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
11 months
Gagoz😎
@LeyAllyie
Leyla Mohamed🇹🇿
1 year
Snapchat video sefies? Let's have itttt pls 🥺❤
6
11
41
19
8
120
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
🤣🤣🤣🤣 singeli oyeee
@rollymsouth
Madenge
4 years
Yani siasa hizi katika kutafuta kura unaweza ukajikuta umepita maskani ukakuta wana wanavuta bhangi ukagongea😂😂ili kuonesha mko pa1
138
100
2K
1
4
114
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Ila some women in top positions in this cooperate world….. watakuwa kuni motoni. 😡
5
6
110
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
5 years
Lord, that prayer this lady prayed.... I say Amen 🙏
14
20
118
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
5 years
Unga wa ngano siku hizi ni tofauti na zamani eehh?? Zamani unakanda unga hadi dhambi zinakuisha ila sikuhizi bila nguvu unakandika vizuri tu! #ChapatiDay
5
7
106
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
Hiki kizazi cha simu na shosho media si rahisi kukiburuza. Busara na weledi unahitajika na si nguvu na mabavu. Hata ile card ya mila na desturi hawaelewi, ni facts na sheria tu kwao.
3
25
109
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
1 year
While you are at home leo, lazy day and all. Don’t forget kupaka wanja na kabody spray. That man is not your brother 🤝
9
12
110
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
😂😂😂😂 atuache. bado tunamaumivu ya kupiga deki
@rollymsouth
Madenge
4 years
Membe ni Lowasa aliyechangamka
214
83
2K
6
3
111
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 years
It is Saturday, ladies go cook for him😊
9
10
102
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
3 months
Tweet media one
@HabariLeo
HabariLeo
3 months
DAR ES SALAAM - Wasanii waomba kupatiwa bima ya afya ili kuwa na uhakika wa kufanya kazi zao bila wasiwasi na hivyo kuendelea kuchangia katika pato la taifa, Steve Nyerere amesema katika kikao na wanahabari jijini Dar es Salaam. #HabarileoUPDATES
323
11
161
30
16
109
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
10 months
Raised by a swala 5 woman who made sure I never missed a Sunday service nor mafundisho. She attended my sisters church weddings and her husband’s church funeral mass. Hawa wafia dini wajiongeleshe tu 😏 dini should enhance love.
8
25
110
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Fred, kwa wadada na wamama sio kila tumbo ni kitambi (assuming this is caused na msosi) some women wana matumbo caused na uzazi, hormonal imbalances, ama fibroids. A little empathy on this issue 🙏🏼
@fredkavishe
Fred Kavishe
2 years
@Tanganyikan Watu wanamatumbo utafikiri mimba last week kuna dada kidogo nimpishe mwendokasi kumbe kitambi
20
4
14
16
25
107
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
1 year
Nimekuwa added kwenye group la harusi, kuna mtu amepledge 10M keshatoa 5M😿. Sasa Mie wameniweka ili iweje 🤧
29
5
107
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
May you find a partner matured na mwenye kifua cha kukutunzia your bedroom kinky secrets. Mmekuwa walking talkies 😏
9
13
99
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
I honestly don’t understand when a guy has money and he doesn’t smell good. Not even deodorant? 🤧
9
4
101
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
Hii miradi mikubwa tuliambiwa inafanyika kwa Kodi zetu wenyewe. Sasa inakuwaje deni la Taifa kupanda kisa mikopo ya miradi hii hii tunayofanya kwa kodi zetu.??? 7.6% seriously?
9
5
101
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Learn to leave the Man you Love for the Man You Deserve
12
11
100
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
7 months
@TMnyama4_
T
7 months
14. Quote this with a video or picture of yourself
7
6
61
20
12
99
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
10 months
@rollymsouth Tumeona wale walifanya kazi za EL na CDM kunyanyasika na task force za mkuu wa malaika. So yhh athari ni kubwa, hatuna hiyo freedom bongo.
2
4
101
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
Kama umemchoka mwenza wako, kindly pack up and leave them be. Kutangaziana ubaya na Aibu ni dhambi. Kaeni mezani aganeni vizuri kila mtu aishi maisha yake. We only have one life to live jamani....🤧
6
6
96
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
4 years
UsiForce mazoea . Kila mbuyu na shetani wake. Asanteee
4
5
92
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Mungu hashtushwi na matatizo yako, machozi au sala yako… Mungu hushtushwa na Neno lake. Sali na usemezane nae kwa Neno lake. Have a good day 🙏🏼
4
12
90
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
6 months
Eight years ago nilipatwa na PhD ya character development, yale maumivu nikatoka job nikaenda kwa kinyozi kukata nywele. 😪 leo hii anatuma watu waje kunisalimia 🤧 mxiuuu
24
3
95
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
There is a thin line between spana/banter and disrespect 🤝
1
7
85
@YellowCici
♥Isabella George 🥰
2 years
Tz unaweza ukawa na idea na ukafungua biashara nzuri ila wafanyakazi ndio wakakulet down na customer service yao. Hawavitii wateja kurudi 😪. Ukiweza simamia 💯 % mwenyewe
7
14
93