Uncle Fafi Profile Banner
Uncle Fafi Profile
Uncle Fafi

@Tanganyikan

160,085
Followers
34,489
Following
9,570
Media
203,961
Statuses

| Bookworm | Photography | Content Producer | Tech Writer |Swahili Enthusiast | Jogger | Basketball | Manager for @05_kemmie

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
Daaah I’m so happy for this man 🙌🏿
Tweet media one
25
68
2K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 months
Msikilize Sam hadi pale mwishoni anapomuongelea Nape
76
182
2K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
1 month
Aise
52
318
2K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
Mheshimu mtu anaeishi Dodoma na ngozi yake inang’aa.
130
46
1K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
Sema vijana siku hizi wanajilipua mno, wakati dada ni Miss Temeke 1997 huyu dogo alikuwa tumboni mwa mama yake 😂
Tweet media one
217
41
1K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
Pumzika kwa amani Captain Lubaga 🙏🏿
33
175
1K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Bado najiuliza Jide aliwezaje kupiga show masaa matatu na live band masaa matatu mfululizo bila sauti kukauka au kuonyesha dalili ya kuchoka.
63
47
1K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
W UU ndo nani? Salute kwake hatusumbui na ving’ora au kuchomekea.
Tweet media one
111
34
1K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Nilimsikia Majani anamsifia huyu Dogo nikawa sijaelewa 🔥🔥🔥
92
196
1K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
Huyu mshua, wote waliomtenda naona bonde la uvuli limewahusu.
Tweet media one
43
64
1K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
Inaonekana shingo pingili ndo ugonjwa wake 😂 #TOTBonanza
Tweet media one
38
24
1K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Jide msanii pekee aliekataa ofa za kutumbuiza kwenye kampeni.
42
53
1K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
24 days
@CarynKhan7
Caryn Khan
24 days
Sijawahi kuwaelewa wanaume wanao Sikiliza taarab lol
90
10
158
113
330
1K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
Nimesikiliza Bonge wa PB anaongea na wale kina mama wanaofanya kilimo cha mchicha pembeni ya ubalozi wa Marekani kuwa walinyimwa maji ya Dawasco ikabidi waombe msaada ubalozini na benki ya dunia wakachimbiwa kisima. Nimehisi aibu aise..
62
99
1K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
23 days
Sister ❤️
Tweet media one
22
32
1K
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
Watu wanaichukia amapiano utafikiri rap ilianzia kinondoni
55
55
921
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Mr Kuku kuna watu waliambiwa mchongo utaisha vibaya wakabisha kama ambavyo hizi mambo za forex na bitcoin zinavyoshobokewa sasa hivi. Sema tusichoke kukumbushana kwamba hakuna shortcut kwenye kutafuta hela, na mtu anapokulisha maneno matamu kuhusu fursa jua wewe ndo fursa.
73
109
929
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
“Low level of Tanzanian Football, Football administration and football system”
Tweet media one
115
126
925
@Tanganyikan
Uncle Fafi
1 year
Safarini tunaangalia clip za bunge la awamu ya 5 😂
Tweet media one
43
48
918
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Mama kauza ramani ya vita kwamba tunapenda vipande vipande 😂😂
165
153
881
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
!!
65
163
887
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Mwanetu alikuwa anampausha huyu mtoto 🔥🔥
Tweet media one
87
35
849
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
UCHAGUZI DERBY: Gambo vs Lema Mdee vs Gwajima Dr Tulia vs Sugu Waitara vs Heche Kimei vs Mbatia
65
60
843
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Lipumba kasema Tanzania hatuna furaha hadi imefikia hatua mtu akitekenywa hacheki 😂😂
50
49
827
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Mlioenda kununua kwa fujo vyakula na sanitizers madukani na kusababisha vitu kuadimika hadi mfumuko wa bei mnaendeleaje huko kwenye safina ya Nuhu?
48
67
820
@Tanganyikan
Uncle Fafi
1 month
Sijawahi choka kumsikiliza Mama Tiba
23
108
832
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
Vijana wanahangaika sana kupata sehemu za kufanyia field aise
51
34
767
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
Mheshimiwa Spika, naomba nitumie fursa hii kuwapongeza wanaooga maji ya baridi alfajiri miezi hii.
67
26
780
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Huko duniani corona imechachamaa maambukizi na vifo juu, sijui sisi tumepatia wapi aise 😂
71
37
737
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Dah @ThatBoyKhalifax aliusoma mchezo mapema
43
133
734
@Tanganyikan
Uncle Fafi
1 year
Swali lilikuwa ni kitu gani kinafanya wapemba wanafanikiwa sana kwenye biashara Kariakoo jibu likawa uaminifu likifuatiwa na huu mfano
51
210
733
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
Sidhani kama kuna kampuni ina mfumo mzuri wa kufuatilia wateja kama DStv, kuna wakati nilisusa kulipia mtu wao akaniuliza kama kuna tatizo nikamwambia mpaka Solkjaer afukuzwe kazi, siku mbili baada ya Rangnick kuajiriwa yule dada akanipigia kukumbushia 😂
54
37
716
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
Mimba inaogopwa kuliko magonjwa ya zinaa na umeme 😂
Tweet media one
274
38
695
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Oyaaa Rungwe kaitwa interview kaenda na ma-hotpot yamejaa ubwabwa.. LÈGENDE! 😂😂😂😂😂
19
30
706
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Wasanii wanaopanda mlima wakifika sehemu network imekata hawapati instagram wanarudi zao chini.
52
47
678
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Ningekuwa Lissu kupisha upepo wa maombolezo ningeshukia KIA kuwashukuru wanachama Moshi na Arusha halafu Ijumaa narejea kwa kishindo jiji la lawama
41
17
681
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 months
Ila Zai 😂😂😂
45
64
711
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
Aise
Tweet media one
73
17
665
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Kama nimemuelewa Bashe anamaanisha huwezi lalamika kinyago kinakutisha wakati we mwenyewe ulishiriki kukichonga 😂😂
57
77
619
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Walinzi wa Suma JKT wanaletaga ubabe flani hivi uwaone kama makomando
79
28
611
@Tanganyikan
Uncle Fafi
8 months
Salute kwa AY kwa kutumia platform kama hizi kukumbusha vijana umuhimu wa kujifunza vitu vipya 👏🏿👏🏿
5
104
630
@Tanganyikan
Uncle Fafi
20 days
Chino kamrudisha Mavoko mjini, dude kaliii 🔥
3
49
613
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Mara Gambo kashinda ubunge halafu mzee baba anaamua kumsogeza Makonda Arusha kama RC.
58
14
579
@Tanganyikan
Uncle Fafi
7 months
Kwa kifupi, we are fcukd.
240
163
596
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
Hizi kazi za viingilio zingekuwa rahisi kila mtu angefanya
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
26
32
579
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
Masoud uvumilivu umemshinda akaamua kuuliza maswali magumu 😂
43
125
583
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
All Hail Faustine of House Ndugulile, first of his name, rightful leader of Kigamboni, Conqueror of Kura za Maoni, Destroyers of zeroes. A leader at heart. #Ndugulile5Tena
Tweet media one
19
65
590
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Zuhra Yunus yupo singo mazee
102
9
554
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Sema nini, Mwamba yuko sahihi 100% hata hapa TL wanaong'oa vyuma vikali ni wale "watata" 😂😂
45
97
570
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Ujugu amegundua nini kilisababisha bro akanyimwa toyo
Tweet media one
43
53
561
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
Huyu mwana hakosi toka Bonanza la kwanza, na akiwepo lazima ufeel energy 📸 - @BvjCarter #TOTBonanza
Tweet media one
24
26
568
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Umemaliza kula zako mtori na chapati mbili kijasho kinakutoka unasubiri mhudumu akuletee maji makubwa, mara askari polisi anaku-arrest kwa sababu unaonekana una dalili za kutaka kujinyonga 😂😂
52
48
564
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Bashe anapotoa facts unasikia miguno ya mshangao toka kwa waheshimiwa. Sitaki kuamini hayo anayoyasema ndio wanayasikia kwa mara ya kwanza.
38
175
559
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Hivi wanamuziki wanawezaje kuimba au kuchana masaa mawili mfululizo bila sauti kukauka wakati kina sie kushangilia dakika 15 tu ukikatiza kawe ukaongea gizani wanajua mbunge wao? 🤦🏿‍♂️🤷🏿‍♂️
58
56
566
@Tanganyikan
Uncle Fafi
6 years
Clouds wako kwenye mapito kama ya Ayubu, timu nzima inahitaji msaada wa kiimani maana ni rahisi kukufuru kipindi hiki.
18
64
559
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Usikubali mtu akuuzie ebook ya kiingereza, download bure kupitia
51
189
556
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Mtanga vs Mkurya 😂
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
67
63
546
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
Mwezi uliopita nilinunua trei ya mayai kwa 9,000 leo nimeuziwa 6,000. Nini kinaendelea ndugu wafugaji?
52
13
538
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Nature na Majani Roma na J Murder Cpwaa na Lucci AY & FA na Hermy B Zilla na Marcho Chali Tutawasimulia watoto na wajukuu zetu.
84
61
539
@Tanganyikan
Uncle Fafi
6 years
JE WAJUA Shilingi milioni 45,817,013.81 ($20,000) hutumika kwa siku moja tu kumlinda muasisi wa Facebook Mark Zuckerberg. Inatajwa bajeti ya $7,326,640 (Sh 16,782,594,507) imetengwa kwa ajili ya ulinzi wa Zuckerberg na familia yake kwa mwaka #ElimikaWikiendi
Tweet media one
20
133
535
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Naomba niiache hapa kauli ya Bimkubwa
57
165
541
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
Mnabishana kikapu na raia TL kumbe mlinzi wa PM aise
Tweet media one
23
9
540
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Mussa of the House Assad, the First of His Name, Controller and Auditor General, and Protector of the Check and Balance #ForTheThrone
Tweet media one
16
130
532
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Utamsema Kiba kwenye kitu chochote ila sio utunzi. Jamaa ni fundi, hakuna kuunga unga maneno hadi kuchanganya majina ya vyakula ili wimbo wa mapenzi uvutie kuusikiliza.
20
72
511
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
Naumia nikiona coffee shop zinaanzishwa halafu hazitoboi. Mwaka huu 3 ninazozifahamu zimefungwa
73
14
522
@Tanganyikan
Uncle Fafi
9 days
Mama alivyopigwa na mshangao 😂😂
10
32
535
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Abdul Nondo anatema nondo Clouds360 hadi Sam Sasali kakaa kimya mazungumzo ni back and forth ya Babie na Abdul, kuna mwingine wa NCCR ndo kama vile anachukua notisi
21
29
515
@Tanganyikan
Uncle Fafi
6 months
Dodoma nimeita bolt bajaj kaja kunichukua mbele kakaa na mchizi wake, nikamuuliza mbona wapo wawili akanijibu ni sababu za kiusalama usiku kuna wakabaji wengi, nimeishia ku-cancel 😂
44
19
524
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Rostam mabingwa wa kuuma na kupuliza 😂😂
20
24
503
@Tanganyikan
Uncle Fafi
1 year
Power Breakfast leo walikuwa Kariakoo na wafanyabiashara watatu; Mkinga, Mchaga na Mpemba. Kuna muda wakawaambia kila mmoja ataje sifa moja anayoikubali na kujifunza kwa mwenzake, matokeo: Mpemba - Uaminifu Mchaga - Upambanaji (Aggressiveness) Mkinga - Nidhamu kali ya fedha
Tweet media one
28
53
513
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
The BBC really hates us.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
30
362
506
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Kipimo cha kujua kazama jumla DM ngapi
Tweet media one
43
26
479
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
Mbunge wa kwanza kusikia anaishauri serikali kuhusu blockchain na anaonekana yuko deep 👏🏿
41
129
494
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
Kwa kweli CEO tunae 😂😂
32
48
488
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
Kuna Ndembo, Denge na Capitano.. Matokeo yakibaki hivi Given atapata tabu sana hapo mbele ya Uto 😂 #TOTBonanza
Tweet media one
9
15
483
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
@mpambazi Mtu wangu wa nguvu nimekusogezea dondoo kadhaa za namna ya kupata mtaji maana hawa uliowaita “mahanisi” sidhani kama watakuwa na msaada kwakk
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
109
74
492
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
“Tulieni tumsifie, au tumponde?” Baba Levo nyoko 😂😂😂
41
55
479
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Punguza munkari, kumbuka: - Umezaliwa nchi ambayo mafua yapo kila aina, kuna ya vumbi, mvua/baridi hadi hewa chafu na hayajakuua. - Hakuna Mwafrika aliefariki, hata waliokuwa Wuhan wamewashangaza Wachina - Kirusi cha Corona kinaogopa joto, wagonjwa wote Afrika wanapona fasta
28
66
468
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Wasukuma wanataka hela
36
61
476
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Nimekuta mtu ka-park vibaya katublock karibu nusu saa nzima, nilikuwa nimeshajiandaa kumwaga nyongo mara kaja mwenyewe kumbe ni kiumbe mzuriiii ana unywele mkali. Nimeishia kuwa mlaini kama mkate wa bakhresa kwenye chai ya uvuguvugu. Nawaomba radhi mababu zetu Adam na Samson.
43
38
467
@Tanganyikan
Uncle Fafi
2 years
Kumbe ubalozi wao wamemuambia mpopo aombe radhi akubali na kulipia hasara ila jamaa kakomaa
18
7
474
@Tanganyikan
Uncle Fafi
9 months
Aise inaonekana @babbiekabae kamfanya Chid aongee ya moyoni 😳 #ShajaraCloudsTV
33
92
480
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Aliemdanganya Sophia Mjema kuwa anaweza kumng’oa yule Gwiji pale Ilala Mungu anamuona
31
17
473
@Tanganyikan
Uncle Fafi
6 years
Hivi TBC1 tofauti na ubongo kids wana kipindi gani kizuri?
92
31
460
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Na kamaliza kwa kuwapa ushauri mzuri tu
31
124
457
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Joh Makini alitamani kumnasa vibao ila akaona fresh tu ngoja yaishe 😂😂
110
55
451
@Tanganyikan
Uncle Fafi
6 years
Ukiangalia HARDtalk ya Lissu unagundua umuhimu wa waendesha vipindi kuwa na timu ya kufanya research kabla ya kumhoji mtu. Utasema mtangazaji anafuatilia siasa za Tanzania au kawahi kuishi bongo.
35
72
451
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Kwa masela, video ya dada au mdogo wako wa kike ikivuja mtandaoni hatua gani unamchukulia boya alieivujisha?
69
12
451
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Heshima sana kwa Mbowe, hivi ndivyo unafikisha ujumbe kwa mkuu na wanachi
32
70
449
@Tanganyikan
Uncle Fafi
7 years
"Hauwezi kuondoa umaskini wa nchi hii & kuleta mapinduzi ya viwanda bila kuwekeza kwenye kilimo" "Hauwezi kukamua maziwa ng'ombe usiemlisha" - @HusseinBashe
34
130
442
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Simbachawene kama Zlatan. Unadhani kipaji kimeishia EPL anaenda kuibukia MLS.
20
31
433
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
Inawezekana Makalla hajui kuwa kuna maeneo ya Dar abiria analazimika kulipa gharama ya bajaji au boda inayokaribiana na nauli ya kwenda mkoani ili awahi bus la kwanza alfajiri, wenye mabasi wanafanya kutusaidia kushusha na kupakia maeneo kama G/mboto, Kigamboni na Mbagala.
61
49
437
@Tanganyikan
Uncle Fafi
6 years
Kama moja ya malengo yako 2019 ni kujitahidi kusafiri kwa kutembelea vivutio vya ndani lakini huna kampani au gharama zinakukatisha tamaa, tafadhali tuwasiliane tuone namna gani tunakuwa na group la wanaosafiri pamoja kwa gharama nafuu. DM iko wazi.
50
111
424
@Tanganyikan
Uncle Fafi
6 months
Heche kaeleza namna uchawa ulivyozaliwa
21
106
449
@Tanganyikan
Uncle Fafi
5 years
Mliozaliwa tanga, mtwara, mbeya, ruvuma, rukwa, katavi, kilimanjaro, arusha na mara huwa mnapata kash kash za uraia kama wa kigoma na kagera?
55
31
420
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 years
Tanzanite bridge, Kigongo-Busisi bridge.. asante Chuma.
20
33
417
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 months
Huyu jamaa akaamua kuingia na risiti kabisa 😂😂
38
64
435
@Tanganyikan
Uncle Fafi
4 years
Miezi mitatu au minne hii iliyopita social media imefanya nigundue kuna uchafu mwingi sana unaendelea kwenye hizi shule za mtaala wa nje, na inaonekana wazazi wengi hawajui au wanashtuka tu kuona confession kwenye social media.
25
33
418