Mmassy Jr (II) Profile Banner
Mmassy Jr (II) Profile
Mmassy Jr (II)

@LelloMmassy

43,698
Followers
820
Following
1,505
Media
66,361
Statuses

Creative Writer | Award Winner of the Safal-Cornell Kiswahili Prize for African Literature -2019 | Logistician | Economist| Evangalist| #CuraPersonalis

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
7 days
Mpango wa kumuua Rais wa Stanza unakamilika chini ya Kiongozi Mkuu wa Ulinzi wa Rais bwana Dogas Maclaurian kwa msukumo wa "Mabeberu" wanaotaka kuendelea kupusa rasilimali za Stanza. Bwana Dogas anaahidiwa donge nono kama akikamilisha mpango huu nyeti na wa hatari kupata kutokea
Tweet media one
6
38
79
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
7 years
These women twins are 120 yrs old and they are still alive.Guiness BWR will tell you the oldest alive twins are 98 yars old from Norway
Tweet media one
128
6K
5K
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Wale wenyeviti wa TYCS mlionyima wenzenu vyeti mnaendeleaje na utumishi hapo Vatican? Mapendooooo......
207
72
2K
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Dogo mmoja amegraduate kanichek jana "Bro degree secured asee" nikamwambia hongera dogo.Akaniambia "So bro tuangalizie angalizie basi sehemu ya kujishikiza hata kwa milioni 2 au 3 kwa mwezi fresh tu". Nimwambie ukweli au nimuache na ujinga wake kwa muda?🤣🤣🤣🤣🤣
335
93
2K
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Kwa upendo na unyenyekevu mkubwa naomba tuitazame hii video mpaka mwisho. Ni dakika 2 tu 🤔🤔🤔
238
596
2K
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Ila hawa wenzetu Mungu anawaona.Unarudi home una mawazo ya future ya watoto itakuaje yeye anakupokea na story jinsi amehangaika mjini kutafuta shuka alizonunua siku hiyo😂😂😂 Na inabidi umsikilize na kumpongeza tofauti na hapo unatafuta kununiwa.😂😂😂 Ila si ni life tu.
179
134
1K
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Ila Mzee alikuwaga straight forward kitambo😂😂😂😂😂
106
268
1K
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Binti yangu leo anatimiza miaka miwili.Wazazi wenzangu nisaidieni kumuombea Heri, Fanaka na Baraka katika maisha yake. Kizazi kijacho cha Twitter🤣 Happy Birthday daughter.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
167
82
1K
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 months
Kuanzia leo hatuhitaji kuambiwa kampuni gani ina internet ya uhakika.TUNAJUA. Kampuni za mitandao ya simu ibuni matangazo ya products zao nyingine hii ya Internet tumejionea wenyewe nani ni GOAT.😂😂
104
96
1K
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Nasemaje...wazungu wametuweza hakiwalah.
Tweet media one
249
55
1K
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 month
Nyie vijana wenzangu wa kiume mnaoendekeza tabia ya kuwatenganisha mama yako na baba yako kwa kumchukua mama na kuja kukaa nae mjini wakati baba umemwacha kijijini peke yake. Zamu yenu inakuja. Mtakuja kuonja wanachopitia wazee wenu sasa hv. It's the matter of time.
72
208
1K
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Niwachekeshe....🤣 Siku moja rafiki yangu akaniita mahali tupumzike na wine kidogo.Mimi sina hili wala lile kumbe kagombana na wife home sasa kamtoroka. Tumekaa kama nusu saa namuona shemeji na watoto hawa hapa.Walipofika nikasikia "Ulidhani unamkimbia nani?Haya tuue basi"🤣🤣
113
50
1K
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Narudia Tena Huyu Baba Tumtafutie Tuzo Ya CITIZEN OF THE YEAR.Period.
@swahilitimes
Swahili Times
5 years
“Soma Katiba ya #Tanzania Ibara ya 143 ina mpangilio wa hatua za nidhamu, kujieleza haimo.”- Profesa Mussa Assad kuhusu ushauri uliotolewa na Spika Job Ndugai kumtaka kwenda kujieleza kwa Rais Dkt @MagufuliJP
Tweet media one
131
183
1K
32
102
1K
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Jumapili hii nikakumbuka kisa kimoja kati yangu na maza. I wish kingekuwa ni kati ya sister angu na maza. Nadhan tulio kwenye ndoa na wale tunaotarajia chaweza kutusaidia.Hasa watoto wa kike🤣🤣.Ma feminists story ikiwakera kunyweni juice ya limau🤣🤣 "SHIKA ADABU YAKO"👇👇👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
132
328
1K
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Namshukuru Mungu kwa ajili yako mke wangu. A perfect woman to cover my weaknesses and to uncover my potentials.👌 I love you.😘 Happy Anniversary.😉
Tweet media one
64
66
972
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
2 years
Today I was born.🙏🏿
Tweet media one
110
32
942
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Ila leo binti yangu kajua kunikomesha. Muda fulani hivi alifanya ujinga nikamchapa vibao akalia sana.Mimi nikatoka kidg.Vile narudi tu kanikimbilia kunikumbatia na kusema "Baba nakupenda" Nimejisikiaje hovyo.
81
42
949
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Leo kuna mshkaji amenishtaki kwa Director kuwa mimi ni mchelewaji kazini.Director aliponiuliza kama ni kweli nikamjibu kuwa Kwanza namshukuru mshkaji kwa kunishtakia kwa sababu AMENIINUA kwa namna moja ama nyingine. Kuna nilichokosea hapo?Maana naona nadraftiwa barua hapa
89
51
880
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Mimi sitaki kuombwa msamaha.Shobo sipendi.
52
39
805
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Nimemkuta binti yangu (Lynn) kakaa na mamake nikamwambia aondoke ni zamu yangu sasa kukaa na mke wangu,akaanza kulia nimwache na mamake mimi nikamwambia na yeye aniache na mke wangu.Ka ugomvi kameibuka. Namuuliza kwani kati yangu na yeye nani alianza kumjua huyo tunaemgombania?🤣
60
31
817
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
TUMETIMIZA MWAKA MMOJA WA NDOA Interesting Story Of How I Met My Wife.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
161
100
787
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
2 years
How big boys chill.
Tweet media one
18
33
781
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Sema Amina weweeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
101
204
752
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Wakati namaliza darasa la 7 mzee na mama walikuwa kwenye economic crisis ya kufa kiumbe.Bro wetu akiwa mwaka wa kwanza Mzumbe akaamua kuanza kuitegemeza familia kwa kutumia boom na vibarua vigumu. Ndiye ametusomesha mpaka chuo tena bila mkopo. Hii itabaki kuuponda moyo wangu.
Tweet media one
54
61
759
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
If you think you're working under pressure,hujawahi fikia hii level🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
34
53
741
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
6 years
Vijana Wenzangu Mzazi Wako Akikupigia Simu Pokea Na Usiseme Anakusumbua.Kuna Siku Hutaisikia Tena.Mimi Nina Mwaka Wa 4 Sasa Natamani Iingie Simu Niliyoisevu "MAMA" Laikini Wapi.Hayupo Tena.Nimezimiss Simu Zake Sana. Nashukuru Sikuwa Mmoja Wa Wale Wanao Ignore Simu Ya Mzazi.
45
138
727
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Ukisikia Maneno "Straight Forward" Basi Hawa Ndio Definition Yake. Askofu Fredrick O. Shoo (PhD) Askofu Benson Bagonza (PhD) CAG Musa J. Assad (PhD) Unaweza Kuongeza Wako Mmoja.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
91
116
723
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Wale wazee ukiingia ofisi za serikali unawakuta wamevaa kile kidani chenye ramani ya Tanzania hujionaga wazalendooooo.Yan wanajihisi walipigania uhuru🤣🤣🤣
59
48
705
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Mh.Kishimba kagonga tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
55
131
697
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
INTELIJENSIA YA WAZEE WETU. Ilikuwa wanapenda kula na watoto na hata kama ametengewa chakula chake lazima awaonjeshe na watoto au mtoto wake ndo aanze kula kisha ale yeye. Kama umeelewa sababu comment hapo chini. Vijana wa siku hizi hatuna mbinu zozote pumbav.😂😂😂😂
108
80
712
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Binti yangu kanipa home work nimsaidie mi nimempa majibu akayachek kisha akanambia "Dad, I don't think so" Nimehisi kuangukiwa na kitu kizito kichwani.😂😂😂😂
69
28
709
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Nani alipopewa mkataba wake wa kwanza wa ajira kweli alienda nao home kuusoma kwa makini kabla ya kuusaini?🤣🤣🤣🤣 Ukweli mimi sikuchukua zaidi ya sekunde 7 nikaurudisha already signed🤣🤣🤣
87
34
700
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Kitu nitawafanya huko sokoni hakuna rangi mtaacha ona😀😀
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
70
41
688
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
The shirt. 19 years. All weather. Symbol of Love,Affection and Intimacy.
Tweet media one
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Jumapili hii Mungu akijalia nitavaa shati aliloninunulia Mke wangu mwaka 2004 nikiwa form 2 yeye akiwa form 1. Alipewa hela na aunt yake aishie USA alikua amekuja bongo kwa holiday. Shati lina miaka 19 sasa,ajabu bado linanienea japo limepauka kidogo. Nalihifadhi kama Uganga😂
39
16
294
40
37
685
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Ok, kama Mapadre walikuwa hawaruhusiwi kuoa na sisi waumini tukaruhusiwa mke mmoja tu.Baada ya mapadre kuruhusiwa kuoa sasa kwanini na sisi waumini tusiruhusiwe hata wawili?Hatuwezi kufanana na watumishi wa Mungu jamani.Kuwe na utofauti kidogo.
117
64
658
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Nasikia mpaka kutetemeka kama ni kweli hii kitu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
82
41
645
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Huyu mtu aliaga huku kwamba anakwenda kusimamia maslahi ya taifa lakini the best answer he managed to provide ni "I did not wake up well today"....pathetic. Ndo maana mi katika hili sakata la sasa nimechukua upande wa wanaokataa.Bora nikatae kwanza nijifunze polepole.
89
159
661
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Tulizaliwa watatu.Namshukuru Mungu bado wote tu hai na wazima wa Afya. Kaka yangu na mdogo wetu wa mwisho.
Tweet media one
78
42
629
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Hivi nikiwaza kuwa ile siku ya 7 tunayoambiwa Sir God alikuwa mapumzikoni ni kuwa alikuwa akifanya kazi exceptional kama hizi nitakuwa nakosea? Embu tusaidiane kuimba tenzi namba 114 "Bwana Mungu Nashangaa kabisa" Mh @jokateM hakika umependeza.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
74
24
612
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Appreciation tweet. Wacha niseme... Mke wangu amekuwa sehemu muhimu katika safari yangu ya uandishi.Yeye ndiye aliyegharamia uchapaji wa nakala za mwanzo za @MimiNaRais kwa fedha zake. Hakika apataye mke amechagua fungu jema🙏🏿 Kulia: Siku ya Uzinduzi Kushoto: Siku ya Ushindi
Tweet media one
Tweet media two
65
115
614
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Ukweli MAREHEMU alikuwa na mapungufu yake ila angalau yeye maamuzi yake aliwawazia VIZAZI na si KIZAZI. Waliosoma Cuba wanyooshe vidole.
42
51
629
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Mzee Ben alianzisha ka utaratibu ka kuongea na wananchi mwisho wa mwezi.Mzee Kikwete akakarithi.Sijui kalipotea kwenye mazingira yapi wakati ule,ila kakapotea. Nikiri,ule utaratibu nilikuwa naupenda sana.Pale Rais anazungumzia MASUALA. #RIPMzeeMkapa
Tweet media one
63
45
619
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 month
Kijana anaambiwa na mama yake "Hizi hela unamtumiaga baba yako anaishia kulewea tu" ....na hapo kijana anakata kabisa kumtumia mzee wake pesa kwa madai kuwa anaywea pombe na kumtumia mama tu. OLE! SIKU YAKO INAKUJA.
44
78
628
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Hivi Hakuna Tuzo Ya CITIZEN OF THE YEAR Tukamkabidhi CAG Assad?
27
69
591
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Huyu sister yupo on fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣 Nimempenda kwa kweli.🤣🤣🤣
55
82
585
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Kuna homework anakuja nayo mtoto home unajua kabisa hapa Mwalimu alini target mimi. Si bure🤣🤣🤣
40
23
589
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Nilijua ni mimi tu nakumbana na haya hakiyawalai😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
90
129
590
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Wabongo wanapenda vyeo jamani.Yan kuna mtu anajiita Mkulungwa Mfawidhi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
46
14
567
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Wale mnaokaaga Bar na Laptop huwa mnajionaga mna "Degree 4" eti.
55
39
568
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Wale mliotunyima vyeti vya TYCS,UKWATA na CASFETA ninyi hivyo vyeti vimewafikisha wapi?Vimewafikisha wapi nawauliza?
101
24
573
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Mimi kama mkristo mkatoliki nasemaje Akili za kuambiwa nimechanganya na zangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
Tweet media two
22
55
569
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Yani ni hivi I don't care🤣🤣🤣🤣🤣 Dada @JideJaydee upo hapo?🤣🤣🤣
Tweet media one
11
56
542
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Jioni hii nimeona niwape hiki kisa. Soma tu kwa utulivu🤣
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
68
96
543
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Alitofautiana na Rais Costa.Rais akamfukuza serikalini na kumuwekea vizuizi lukuki lakini baadae Rais Costa akamuhitaji tena aje kumsaidia masuala fulani ya ki diplomasia na huo ndio ukawa mwisho wa Rais Costa Ni Joseph Kaduma almaarufu kama Joe ndani ya simulizi ya @MimiNaRais
22
54
537
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Asante Meja Jenerali (rtd) Samwel Kitundu kwa kunipa imani yako nikuandike. Hakika nitakuandika hasa. Visa na mikasa,misheni za wazi na za siri nitazinyoosha barabara.Historia itakukumbuka. Upele umepata mkunaji🤣 #HiiHaijapataKutokea
Tweet media one
21
47
540
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Kaka Maulid Kitenge a.k.a @mshambuliaji 🙌🙌🙌🙌
Tweet media one
Tweet media two
57
28
543
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
"Mama Tanzania" kule vunjo akaage kabisaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
49
13
523
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
6 years
Asanteni sana ndugu zangu familia ya Twitter.Hakika ilikuwa siku ya furaha kubwa katika maisha yangu.Asanteni kwa salamu zenu za kunitakia mema.
Tweet media one
35
47
521
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Nyie Injili iliimbwa bwana. Wale tunaijua hii album tuanze kuandaa mirathi sasa.Umri ushatutupa mkono🤣🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
54
53
526
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Moyo wangu unalemewa na bubujiko la furaha na shukrani kubwa kwa riwaya yangu ya @MimiNaRais kuingia kwenye orodha ya kuwania tuzo za fasihi ya kiswahili Afrika.Kati ya miswada 96 imepenya🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Tweet media one
64
102
522
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
MAISHA HUBADILIKA,KUWA MPOLE. Funzo kutoka familia ya rafiki yangu Frank. Tusome👇👇👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
34
153
516
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Nimepokea Nakala Ya Kwanza Usiku Huu.Sikuweza Kulala. It's Such An Incredible Feeling.Siwezi Kuelezea.Finally, What Was Initially Seen As Impossible Become Possible. It's Now The Reality.Comeon! #MimiNaRaisBookLaunch #JamhuriYaWatuWaStanza
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
49
90
504
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Nimetazama show ya @diamondplatnumz ile ya Kahama amesimama jukwaani kwa masaa 5 with the same energy mwanzo mwisho, performance na mpangilio ulio sawia. He didn't take anything for granted. Twende mbele turudi nyuma Diamond ni msanii asiesogeleka wala kulinganishwa.
44
54
490
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Kuna jamaa kaniuliza hapa eti kama anaweza pata Vanguard kwa sh 4.7m?yan ananikazania kabisa kama nina connection yoyote. Nisaidieni jibu mujarabu la kumjibu huyu mbwa.Upuuzi si intertain siku hizi🤣🤣🤣
91
10
489
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
WADAU KAMA KUNA ANAYEHITAJI GROUP LA MICHANGO YA HARUSI ASEME NIMUUNGANISHE
49
20
478
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 months
After 10 years of working in the Logistics discipline, trusted to head the operations of one of the top transport companies in the country, and managing over 600 fleets. Today in Dubai, I was honored with an MBA in Supply Chain and Logistics Management. The ball keeps rolling🙏
120
92
511
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Hilda si huku tunapambana na DP kumbe wewe unaendelea na mambo yako huko. Hii nchi hakuna wa kumwamini asee.😂😂😂
@HildaNewton21
Hilda Newton
1 year
Tunamshukuru Mungu wa mbinguni kwa kutujalia mtoto wa kike.🙏❤️
Tweet media one
777
207
4K
51
9
505
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Mkitaka Mke alipwe kila mwisho wa mwaka wanauke tutatoa tuzo za mfanyakazi bora kati ya huyo mke na dada wa kazi.Tusilaumiane. Salary increase pia ina base on perfomance na hatutataka kuona mmoja anakua juu ya mwingine sisi "waajiri" tutaamua. Twende sawa.
63
67
497
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Ilianzaje? Fuatilia uzi huu wenye slides 10 nilizojaribu kueleza haya yote yalipoanzia.Kimsingi hata haya tuyaonayo sasa ni maandalizi mahsusi ya yajayo. Siku nyingine nitakueleza tunaandaliwa kwa lipi. Fuatilia👇👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
112
284
487
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Leo nimeandika barua ya kujivua ukuu wa nyumba wife KAICHANACHANA. So nakomaa na majukumu yangu ya ukuu wa kaya sina namna🤣🤣🤣🤣
36
32
475
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Ninaandika kwa panic kubwa @NBCTanzania naomba mrudishe hiyo hela yangu mmekata bila utaratibu wowote with immediate effect. Tutafikishana mbali msinitanie.Tuheshimiane. My case number ni 20604817.
53
25
473
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Huyu jamaa amemaster self control.Walah tena.
49
65
481
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
"Nini hujaelewa sasa?Nini yani?Si kama mlivyoona. Sa unataka nini?"🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
16
27
472
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Bro @zittokabwe I respect your Humbleness,Resilience and Perseverance in so many ways👏👏
14
30
469
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Nina ka ujumbe kenu hapa kutoka kwa Dr. Eli VD Waminian.Mwenzao na waleeeee wenye "Degree 4" sema huyu anazo 6.Haya twende kazi👇👇👇
38
63
467
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Iran imeniangusha sana.Bado sijaona ikifanya jambo nililotarajia asee.Salamu zangu ziwafikie.🤣🤣🤣
51
24
455
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
6 years
Mshkaji ulibanana nae gheto kwake ulipokuja mjini wakati ukitafuta cha kufanya,yule alikuwa anakusaidia nauli za kuhudhuria intereview.Sometimes hata nguo zake ukavaa. Leo umetusua ajira ama biashara zako zipo poa lakini ukiona simu yake una i mute kuwa anakusumbua.Mungu anakuona
18
95
458
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Ukipata nafasi ya kuzungumza na maafisa wa ngazi za juu wa Jeshi utagundua jeshi ni kazi ya weledi sana na wana uzalendo wa kweli. They know things In and Out and 're very inteligent.Wakiwa kimya they do it purposely.Wana limit yao ya kuvumilia "ujinga".Ukiivuka wanaruka na wewe.
34
65
476
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 months
First frame taken 28th April 2018. Second taken today 28th April 2024 Notice the similarity....The smile is intact.😀 Happy 6th Anniversary.
Tweet media one
Tweet media two
71
46
473
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Nilipata wasaa wa kuzungumza mawili matatu na Ayo TV @ayotv_ juu ya uandishi wa kitabu cha @MimiNaRais na swali kubwa likawa Ni wapi nilikuwa nikiyatoa mawazo ya matukio niliyoandika. Nawaalika tuyasikilize mahojiano hayo hapa》》
16
69
434
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Capt.yupo na Kina Bishop Begere.🔥🔥🔥🔥🔥 #MimiNaRais if you know you know.
Tweet media one
23
44
455
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Ukiwa huna hela hata ukisema ujichemshie zako maharage yanaungua.Dah 🤣🤣🤣🤣
32
17
440
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Hivi nyie wenyeviti wa Jumuiya na ma Katekista mnaozuia wenzenu kuzikwa na Padre kwa sababu hawakuwa wanakuja Jumuiya,hivi mkiwakuta hao ndo walinzi wa geti la kuingilia Mbinguni mtawaambia nini?Nyie jidaini ndo wenye haki tu.Tutanyooshana nawaambia🤣🤣🤣🤣🤣
66
42
447
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Leo nimebarikiwa kupata wasaa wa kukutana na kaka @JMakamba .Pamoja na nia yake ya kutaka kujua yaliyomo kwenye riwaya zangu nimetambua karama zake nyingine mbili.Unyenyekevu hata kwa wasiostahili kunyenyekewa na Utunzi. Inshalah siku zijazo lipo jambo letu.
Tweet media one
29
32
440
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Mzee Ndugai alijisemea mwenyewe.
26
121
447
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
8 months
Is Roman Catholic Church now officially confused? Unawezaje kusema ndoa ya mke zaidi ya mmoja hairuhusiwi ila Kuwabariki wapenzi wa jinsia moja imeruhusiwa? What is the rationale here?
98
44
451
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Mwaka 2010 niligombania u Rais wa Serikali ya wanafunzi chuoni."Niliporwa" ushindi kwa sababu ya itikadi ya vyama🤣🤣🤣 nikaelekea Ujerumani. My next short story loading......👋
Tweet media one
Tweet media two
54
16
435
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Uharibifu ulianzia tulipoanza kuhubiri kuwa mwanaume na mwanamke ni sawa. Tulianza kupigwa chenga pale. Nipo nimekaa pale kwa yeyote mwenye neno na mimi juu ya hili.
75
67
444
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Leo nimekumbuka sehemu ndogo sana ya maisha ya mama yangu na rafiki yake. Ninaendelea kujifunza kwa maisha yao yale. Embu jiulize wewe umezungukwa na Marafiki au "Washkaji"? Tusome👇👇👇👇👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
61
158
435
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Kuna wimbo wa Ambassadors of Christ unaitwa Twapaswa Kushukuru.Moja ya mistari mule inasema.... "Usiku unapofika twalala kama wafu.Asubuhi kunapokucha twajikuta wazima. Ni ratiba zake mwenyewe, yatupasa kumsifu......." ✍✍🙏🏿🙏🏿🙏🏿
14
53
429
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
One of the TV Series inayonipa ufikirisho mwaka huu na kunifanya nijifunze zaidi kuhusu Israel vs Palestina. Ni genre ya ujasusi, my number one and favorite genre. I can recomend.🔥🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
44
62
436
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 months
Sitasahau. It was right infront of my naked eyes😭😭
Tweet media one
34
68
436
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
4 years
Ila hakuna watu walikuwa wanaonekana ni waenda motoni direct kama TYCS. Maana unakuta wanaanda Joint Mass then ikiisha tu wanajigeuza kuwa Disco hapo hapo na kuanza kubambiana🤣🤣🤣🤣 Ila bado tupo na mbinguni tutaingia. YCS Mapendoooooo👋👋
107
15
422
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Hivi nani anakumbuka ile topic shule ya msingi tulifundishwa kuwa dunia hapo mwanzo ilikuwa ni pande moja linaitwa "Pangea"🤣🤣🤣🤣🤣
47
22
401
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Kama taifa tulipitia makubwa. Lisu alitaka kupimwa uchochezi kwa kutumia mkojo wake🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ikawa ni battle ya: "toa mkojo" "sitoi" "toa tunasema" "nimesema sitoi" Nyie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
62
48
405
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Asian People Fuatilia slides hizi chache labda zitatusaidia sisi kizazi cha mtu mweusi "tunaojitafuta"😂😂😂😂 Nini nimejifunza kutoka kwa watu wa asili ya Asia?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
72
172
420
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
3 years
Wakati fulani wife aliona nguo za watoto zipo on sale mtandaoni UK nadhani.Akaniomba hela nikampa akanunua,zikatumwa. Zilipofika akazifata kuchukua.Siku narudi job jioni Lynn akanipokea kwa bashasha ndani akaniletea lile furushi akaniambia "Ona mama kaninunulia" Dah🤣🤣
Tweet media one
62
54
407
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Ukiomba Mungu akakubariki basi usikimbie watu.Baraka huvuta watu,yani kuna watu tutatakiwa kula kupitia wewe sasa usitukimbie ulitaka mwenyewe. Wiki njema.
11
47
395
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
5 years
Ndugu Zangu Na Jamaa Zangu Wa Jamii Hii Ya Twitter.Nakosa Maneno Mazuri Ya Kueleza Jinsi Gani Nimeelemewa Na Salamu Za Shukrani Kwenu Kwa Kuniunga Mkono Katika Uzinduzi Wa Kitabu Changu Cha @MimiNaRais Mwanasiasa Mmoja Hupenda Kusema "Haya Si Mapenzi... Ni Mahaba" Thread👇👇👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
25
82
398
@LelloMmassy
Mmassy Jr (II)
1 year
Yeyote alievujisha lile kabrasha kutusanua wana STANZA chukua maua yako.
15
36
411