Tai Kuni Profile Banner
Tai Kuni Profile
Tai Kuni

@Trustoneparcel

1,073
Followers
782
Following
209
Media
7,289
Statuses

Bird and Wildlife fan|Boxer🥊|Gen Z🇰🇪🇹🇿:| Hip Hop & 2pac Fan| Yanga & Bayern Munich fan|

Kenya
Joined November 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Trustoneparcel
Tai Kuni
5 days
UZI UZI Mfahamu Tai(Eagle 🦅🦅) Tai🦅 ni ndege kama walivyo ndege wengine, ingawaje wao wana sifa za pekee hasa kutokana na ufundi wao wa kuwinda, kupaa na uwezo wao mkubwa wa kuona mbali. Kuna aina mbalimbali, ya Tai🦅 na hata maumbile yao yanatofautiana.
Tweet media one
1
1
4
@Trustoneparcel
Tai Kuni
6 months
@YoungAfricansSC Mimi ni shabiki wa simba damu damu ila Pacome ni Bora kuliko Simba na Tajiri yetu Mudi.
Tweet media one
3
2
50
@Trustoneparcel
Tai Kuni
5 months
@MarekaMalili Niliingiza demu sisimizi wakajaa kitandani😂
9
0
42
@Trustoneparcel
Tai Kuni
2 months
2
0
29
@Trustoneparcel
Tai Kuni
15 days
@spana_Konki Muuza Nyau ni Mtamu na Mzuri akiwa atoki Familia yenu
2
2
29
@Trustoneparcel
Tai Kuni
2 months
Tweet media one
0
6
27
@Trustoneparcel
Tai Kuni
13 days
@iam_JacksonJ 😂😂😂kuna kuna Rasta nilikutana nazo Yombo mwisho wa Lami sio poa anko.
12
1
27
@Trustoneparcel
Tai Kuni
4 months
@ExMayorUbungo Bonyai nakusubiri kampeni zako Ubungo, unipe nafasi ya kupanda jukwaani kusanua vijana ubongo lala.
1
0
25
@Trustoneparcel
Tai Kuni
5 months
@ExMayorUbungo Hii timu walikosea kumpa Muhindi, mudi ye anachozingatia ni maokoto tu. Bora mumuombe GSM mwakani awanusuru.
Tweet media one
1
1
26
@Trustoneparcel
Tai Kuni
29 days
@PMadeleka Hahaha mtu ambaye hana Lessen bora akae nyumbani acheze na watoto wake. Hatutaki lawama.
2
0
23
@Trustoneparcel
Tai Kuni
8 months
@rollymsouth Marekani wakiona hii watasema haki za binadamu azijazingatiwa...
1
0
22
@Trustoneparcel
Tai Kuni
2 months
@iam_JacksonJ Kwa mtu anaetaka kuenjoy X mtu moja wapo muhimu ni hapana konki🔥
1
0
22
@Trustoneparcel
Tai Kuni
4 months
@YoungAfricansSC Mimi simba damudamu ila ilo Kabineti la uongozi wa Yanga natamani hata liongoze timu yetu na tiefuefu..
0
0
21
@Trustoneparcel
Tai Kuni
25 days
@ayubu_madenge Kwanini asipewe Kigoma au Tabora kwenye maeneo makubwa ikiwezekana alime kabisa na mwakani agombee ubunge.
8
0
20
@Trustoneparcel
Tai Kuni
8 days
@Sativa255 Kwa sasa police wameshatupa picha kwenye Report yao 1. Ukahaba ruksa 2. Bangi Ruksaa 3. Ukiwa unamfila Kahaba ili msishatakiwe Amtaje Afande aka mgambo.
Tweet media one
1
0
20