#Wamaasai
Wamekuwa mstari wa mbele katika kulinda rasilimali za nchi hii,Urafiki wetu na wanyama pori hautawezekana kutenganishwa na yeyote, Hii Ni tabia ya kiasili,Ni kabila la kipekee lenye neema ya kipekee ya kukaa na rasilimali hizi(wanyama ) bila ugomvi!
#lindaardhi
Hata Wamama wetu na wazee wamejua 'Ardhi yetu Maisha yetu' Wako mstari wa mbele kupigania haki yao mpaka mwisho! Ardhi yetu tulipewa na Mungu Wala sio serikali,kwahiyo apaswaye kuhuhamisha Ni Mungu tu Wala sio mwanadamu yeyote !
Alluta continua β