KIKO Profile Banner
KIKO Profile
KIKO

@kikovikojunior_

33,035
Followers
3,566
Following
359
Media
16,661
Statuses

Media Personality | Communication Expert | Environmental Advocate for Sustainability & Social Change

Joined August 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
Tuonyeshe text ya leo uliyo ambiwa I LOVE YOU 😀🙌🏻
1
5
13
Jamani fanyeni sana mazoezi na mle vizuri, madaktari wenu wa baadae hawaudhulii vipindi vyote huku
65
84
1K
Yanga anashinda Yanga anashinda Yanga anashinda Yanga anashinda Yanga anashinda Yanga anashinda Yanga anashinda Yanga anashinda Yanga anashinda Yanga anashinda Yanga anashinda Yanga anashinda
128
57
686
Hivi ukiachana na NGONI MIGRATION ni topic gani nyingine unaikumbuka kwenye Physics?
196
16
614
Jamani naombeni mnisaidie nahisi natapeliwa kwani bei elekezi ya kutoa Mimba bei gani?
77
7
597
TUJADILI : Hivi Kwanini Biashara za Mastaa wa Bongo Hazidumu kama Mastaa wenzetu wa Nje? Mofaya imekufa, ChibuPerfume imekufa, Viatu Vya Vanessa vimepotea, Lipstick za Wema zimepotea sokoni, Shida iko wapi ??😟😟😟
103
13
551
SISI WANAFUNZI WA UDOM TUNAYO FURAHA KUBWA KUBOMOKA KWA DARAJA
30
8
465
Hivi kweli kuosha Nywele ni 35000/= au nimepigwa?
63
3
416
Msaada Twitani Kuna Demu nilimtongoza akanitolea nje.... Cha kushangaza leo ananiomba elfu kumi vipi nimpe au nimkate?
120
10
410
Your Birth Month Is Your Personality. Which Month Are You?😂😂😂 Jan: Serious Person Feb; Stingy Mar: Cutest Apr: Softest Person May: Kindest Jun: Funniest Person Jul: Perfectionist Aug: Charming Person Sep: Romantic Oct: Prettiest Person Nov: Perfect Lover Dec: horny Person
83
11
372
Movie gani huwa hauchoki kuiangalia kila mara?
109
6
324
Wanangu wa Twitter leo tuongelee mpira kidogo Who is the best captain in world football? 🤔
102
6
292
ALIEMPA NAMBA YANGU WEMA SEPETU NI NANI 😡😡
35
1
293
Mliokuwa mnaandika Topic kwa pen nyekundu, sub topic kwa pen nyeusi alafu notes kwa pen ya Blue Nauliza Mshaajiriwa Sadolin?
22
24
296
Nafollow watu 200 dondosha handle yako sasa hivi
145
11
269
Wasichana wawili wakipigana kisa wewe, My friend beba aliyepigwa huwezi kudate na John cena
16
17
266
Mdada wa watu anakualika dinner wewe unabeba na Condom za nini sasa
52
8
275
Kuna uhusiano gani wa kumaliza IFM na Matiti kushuka?🤔
27
8
262
Oyaah! Wajuaji, gari ukikanyaga mafuta na break at the same time nini itahappen?
58
9
252
Which phone are you using? A. Infinix B. Samsung C. iPhone D. Huawei E. Tecno F. If others *specify*
109
8
233
JAMANI TUWE MAKINI NA VYAKULA VYA MABARABARANI HUKO. Kuna jirani yangu hapa katoka kazini kafika Sinza Mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tanoAkaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia.Baadae kaelelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe akamuomba maji
78
9
253
Msaada wapwa Eti KANDAMBILI kwa kingereza zinaitwaje?
74
7
235
Gm Which country are you from? 🇦🇪🇳🇬🇮🇳🇦🇺🇺🇸🇰🇪🇵🇰🇨🇳🇳🇵🇿🇦🇬🇭🇳🇬🇪🇬🇧🇷🇩🇿🇺🇸🇵🇰🇹🇷🇿🇦🇬🇩🇳🇪🇩🇰🇯🇵🇹🇬🇪🇷🇲🇦🇭🇹🇹🇹🇨🇦🇮🇳🇭🇷🇰🇵🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🇬🇧🇫🇮🇵🇪🇸🇦🇷🇺🇮🇶🇫🇷🇸🇴🇵🇾🇲🇾🇱🇷🇵🇷🇨🇺🇨🇬🇰🇷🇸🇾🇾🇪🇭🇺🇳🇴🇹🇯🇮🇷🇦🇺🇳🇱🇸🇪🇬🇭🇩🇪🇦🇷🇬🇬🇱🇧🇻🇪🇬🇲🇷🇸🇱🇹🇸🇷🇰🇪🇬🇲🇨🇲🇸🇳🇮🇹🇲🇽🇮🇪🇬🇳🇬🇷🇲🇱🇬🇾🇮🇸🇦🇫🇦🇴🇸🇬🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿🇨🇭🇳🇵🇵🇸🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿🇰🇼🇸🇩🇹🇨🇸🇽🇨🇦🇹🇭🇺🇸 Let's. Make Friends 🌎👤 I Will Follow B.ack All retweet.
55
17
234
WATU WENGI WANA AMINI KAMA UKICHORA TATOO BASI WEWE NI MUHUNI TU... HAIJALISHI UMECHORA KITU GANI,HATA KAMA UMECHORA KITU CHA DINI.. Maoni yako ni yapi?
63
7
229
Ni Reason gani inafanya usimpost bae wako kwa social media?
39
2
222
Sijawahi ona Askari wa kike ana mimba?🤔 Hawa wenzetu huwa wanataga nini?🤔
11
12
219
Hivi zile Senyenge watoto wa kishua huvaa kwenye Meno zinaitwaje?
24
4
218
Kuna jamaa anafollowers 100 kila post yake inalikes 1000 lakini sasa kuna mwamba anafollowers 11k ila sasa post zake zina like hazifiki hata 100 maana yake ni nini 🤔
28
5
211
Ni mtandao gani wa kijamii kwako ni bora muda wote toka umeanza kuutumia? 1. Instagram 2. Facebook 3. WhatsApp 4. Telegram 5. Snapchat 6. WeChat 7. Twitter 8. Messenger Taja mmoja tu 👇
84
8
203
Msichana mzuri mrembo ila tumbo ya profesa😄
20
9
200
Can you take a bullet for the person you are dating now???
26
0
208
Nyie Watu Wa MOROGORO Mkitaka Kwenda Beach Huwa Mnaendaga Wapi?
45
2
199
Huyo demu anaekuboa mara kwa mara ndio wife bro
17
7
206
Huna iPhone Oppo Wala Samsung...Kwani Unatumia Nini Wewe😂😂
41
0
180
Hakuna kiumbe hatari kama mwanamke anaejilipia kodi anaweza kukufukuza hata saa 8 za usiku😀
30
2
190
Can you date the third person that appears when you press @??
33
9
175
How do u unlock ur phone? 1. Passwords 2. Pattern 3. Fingerprints 4. Pin 5. Facial unlock
57
5
188
Nahitaji Ku follow Watu 100 Sasa Hivi Sasa Wewe Cha Kufanya Ni Kuni follow Na Mimi Naku follow Back Mara Moja Kindly RT Iwafikie Wengi......
57
22
169
He is dead but his music still lives, Who is he??
45
4
162
Which one do you prefer to use?
Tweet media one
58
8
164
Kushindwa Kumtoa Mtu Akilini Kuna Uwezekano Mkubwa Na Wewe Upo Akilini Mwa Mtu Huyo.!
13
32
175
Series gani kalii unafatilia kwa sasa??
39
3
160
This guy is a genius he painted the white wall to look like a bus 🙆🏽‍♂show him some love. 👏👏👏
Tweet media one
11
23
167
Ebu mtag mshikaji unaemkubali humu twitter
33
13
157
KAKA ANGU ALINUNUA SIMU MPYA AKANIPA YA ZAMANI,AKANUNUA GARI JIPYA AKANIPA LILE LA ZAMANI JANA KAOA MKE WA PILI NDO NIPO HAPA KWAKE NASUBIRI HATMA YANGU😎
27
6
149
Hivi na nyie mmegundua kwenye mfuko wa tambi wamepunguza kutoka tambi 100 mpaka 83 au ni mimi tu..!??
19
5
155
Dear condom manufacturers Mwaka huu tunaomba Condom zenye ladha ya pilipili maana siku hizi hawaliii tenaa😌😌
18
8
148
Ila nyie Zuchu🚮
12
0
150
Mbali na SPARTACUS ni movie gani nyingine inafaa kutizamwa pamoja na wazazi?
43
5
152
Happy birthday to us @sonyjacky_
Tweet media one
21
7
163
Mzigo huu hapa naomba RT 100 naiachia vocha nyingine sasa hivi Haya twende kazi
Tweet media one
14
39
148
Harmonize na Diamond Platinumz Wanafanya show mkoani kwako siku moja ongea ukweli utaenda wapi?
39
3
146
wewe Unaesoma Post Hii Naomba Siku moja Ufumaniwe
29
1
144
Which movie can you watch over and over again?
42
3
148
Kuna Young rapper yoyote Tanzania amefanya vizuri mwaka huu kama Young Lunya? Kama yupo mtaje
26
7
150
Ni kitu gani kimesababisha wazee wa kimila na ukoo kupoteza ushawishi kwenye jamii?
29
5
141
TATIZO SIO KUACHA POMBE 🍺 TATIZO NAMUACHIA NANI? 🤔
17
6
147
Nimekaa nimewaza, Hivi Mtu wa mwisho kufa atapikiwa Pilau na nani?
13
3
140
Nilichogundua Period inatuumiza sana wanaume kuliko wanawake. Kuna kihasira flani kinakaba koo 😂😂
15
4
143
Imagine una date na demu hajui past tense ya WATER
17
4
137
Can you marry someone with a kid already?
35
9
144
Sema hawa Gym trainers ni kundi lingine la wana wanaoongoza kula pisi za watu
23
3
141
Ninachojua mimi Michezo yote imesimamishwa sasa hizi habari za Michezo zinatokea wapi??
23
9
135
AVOID SEX BEFORE MARRIAGE!
28
1
139
Hamna kitu inaumizaga akili kama mtu anakuambia follow for follow back alafu ana followers 14.5k following 10 sijui wanamaanishaga wanafollow back majini
11
6
125
Sasa nipime UKIMWI wa kazi gani akati najua kabisa hauna dawa
10
2
126
Twitter sasa zamu ya kunyanyuana , RT hii post ili nikunyanyue
17
22
121
Nitajie kazi ya haka kamfuko?
Tweet media one
64
4
124
Ila humu Twitter Kuna ninii😄, Juzi mtu alikuwa na followers 200 Leo ana followers 10k hukoo, wengine tunakwama wapi🤔
12
5
122
Ukiomba mtu pesa alafu uone typing...... More than 5 minutes mwambie acha tu nishapata🤒✋
10
5
123
Wanawake mnaotugusagusa na Makalio yenu kwenye Daladala Mbarikiwe sanaa
18
0
128
Ila wanangu nikipata pesa nitawamiss sanaa
8
6
122
Hivi wanaomfananisha DIAMOND PLATNUMZ na wasanii wengine huwa wanaangaliaga nini haswa?🤔
26
0
124
Which Football Team will you never support, Not even in a million years?
28
5
124
Rafiki yako anayeteswa na Mapenzi anaitwa nani?
20
1
113
Ukimpa mzungu lifti siti ya mbele kwenye gari lako unaonekana kama wewe ni mfanyakazi wake
12
5
123
Huwezi kuwa handsome alafu unaweza Mathematics 😂😂😂 Never aisee
12
6
123
Kuwa Mchaga bila pesa, wewe ni sawa na mmakonde tuu
5
7
119
Which subject you never failed at school even when you didn't study?
33
3
118
Steshen gani ya Redio ina Movie kali..🤔 nisikilize
21
3
118
Ushawahi kuaachana na mtu alafu baada ya hapo mambo yako yanaanza kunyooka kama vile ulikuwa unadate na handbreak
6
11
115
Sasa hivi Manchester united tungekuwa nafasi ya pili......
17
6
107
Mtoto wa baba mwenye nyumba amepata mimba anasoma form 3... Sasa mimi nataka nihame mapema maana huyo mtoto muongo muongo sana
10
5
116
Yani kwa hatua niliyofikia kwa sasa nahitaji mwanamke yoyote tu yule ili mradi awe anapumua tu,😖
13
5
109
USIPOKEE NAMBA NGENI KAMA UNADAIWA 💀
14
4
112
Date someone who understands you're just joking on Social media
3
4
107
Katika pita pita zangu leo humu twitter nkakuta mtu kaniunfollow alafu nilikuwa namuheshimu sanaa
11
7
105
Wale wapwa wa halotel twendeni kazi
Tweet media one
12
3
103
Do we still have ladies that can date without asking for money and still respect the Guy?
21
3
102
I hotspot you, you smile, I disconnect.
9
4
106
Hii ni picha ilipigwa wakati wa kushoot moja ya scene katika movie ya 2PAC inayo tambulika kwa jina la JUICE ya mwaka 1996. Movie ambayo inaelezea maisha ya vijana wa kimarekani jinsi gani wanaishi, michezo ya kamari, matumizi ya silaa, sanaa na mambo mengine kibao. JUICE1996
Tweet media one
13
21
107
Kumbe umbali kutoka Dar mpaka Mwanza ni sawa na umbali kutoka Mwanza mpaka Dar
13
13
106
KWA MFANO NIKAKUPA DAKIKA MOJA YA KUNIAMBIA KITU CHOCHOTE UTANIAMBIA NINI?☺
26
2
96
You need to break your client out of prison, who are you calling?🤔🤔
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
24
2
98
WHICH IS YOUR FAVORITE? 1. Legend of the seeker 2. Merlin 3. Game of thrones 4. Vikings
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
57
2
92
Leo nikiwa natoka chuo kuna shule ipo hapa sinza ni ya sekondari kuna mama na mwanae anamimba alikuwa anampeleka mwanae kwa mwalimu ili ataje aliempa mimba, Ss nimebaki na maswali huyu mwanafunzi kama kashindwa kumwambia mama yake aliempa mimba je akfika kwa mwalimu ndo atamtaja?
11
5
104
Which advice would you give to someone who is falling in love with you🤔🤔
20
2
98
Jamani kumbe uki achwa💔 ndo inaumaga hivi.. 😭😭😭
11
5
103