Hii mikopo ya mitandaoni imekuwa kero kwa wateja wake kwanza Wana riba kubwa kupita maelezo lakini pia wanatabia ya kupigia watu walioko kwenye simu yako wakiwaeleza kuwa wanakudai wakati muda wa makubaliano ya malipo haujafika Ni muhimu mamlaka husika ziwachukulie hatua